#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @eastafricabrokerkiller8028
    @eastafricabrokerkiller8028 3 роки тому +176

    Afande Sasa nimekuelewa sisi Ni wakosaji tu siku zote mungu turehemu.😭

    • @masalagulangwa3702
      @masalagulangwa3702 3 роки тому +4

      Jamani afande sele pole saba umetunga winbo huu ukiwa na majonzi sana ya kuondokewa i na rais kipenzi umeonyesha hisia kubwa ya upendo juu ya hayati rais na nina imani ulikuwa ukisali apone

    • @emeresianamichael2702
      @emeresianamichael2702 3 роки тому

      Ni kweli hiyo hali kila mtu itamkuta

    • @mawazoaliselemani
      @mawazoaliselemani 3 роки тому +3

      Unaona wanafiki wanaopenda kujaji kabla ya kujua Habari kamili?..walimjaji huyu jamaa

    • @midilastahans7188
      @midilastahans7188 3 роки тому +2

      @@mawazoaliselemani pole sana my dear broo Mungu wetu atakusamehe tu shetani alikuinhia kakahata mimi nilivyokusikiliza niikuombea tu sio wewe najua pomne na bangi.nisamehe kaka lakini na miye nimekuombea sana sana.maustaz hawana uwezo wa kukuua bila Mungu kutata.a kifupi mtu mwenye zambi hafa mapema.huachwa atubu.bado unanafasi ya kumsihi Mungu wetu usiogope mara 360.kama ilivyo andikwa kwenye biblia.usiogope wengine wapambe tu hapa.kwa Mungu hakuna wapembe wakae kwa kutulia.naa...wakuombeee.

    • @peterbillas9131
      @peterbillas9131 3 роки тому +1

      Tuko nyuma ya afanye sule

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +66

    Mungu akusamehe, hakika tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kila jambo

    • @laurentsimon8304
      @laurentsimon8304 3 роки тому

      Sele alimpenda sana jpm akachanganyikiwa ndio maana akafanya hayo Sela nakuamini pole sana kaka sisi ni wanadam nimeshuru sana kumuomba mungu msamaha

    • @ashwramashallah7242
      @ashwramashallah7242 3 роки тому

      Kweli hakuna mkamilifu

  • @michaelkasogela370
    @michaelkasogela370 3 роки тому

    Aminaumetubu...kaka sele Mungu ni wawote....

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 3 роки тому +43

    Vizuri afande Sele,Mungu humsamehe amtakae.Hakika Mungu Ni msamehevu!

  • @totooz5853
    @totooz5853 3 роки тому

    Asante afande sele...mkosa ni yule anae kosa na kukiri kosa lake na kumrudià mungu wake😭😭NILISEMA NI MAKOSA KUMLAANI HYU KAKA MKOSA ALANIWI MTU AKIKOSEA NI AONGOZWE BAT SIO KULANIWA..MUNGU ATAKUSAMEE LEO NA KESHO AKHERA

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 3 роки тому +4

    Anaongea point .woow👏👏

  • @rehemacharles6159
    @rehemacharles6159 3 роки тому

    Pole sana kaka yangu Mungu pekee ndio alijua ulikua kwenye hali gani binanamu wote tunamakosa mbalimbali pole sana naamini Mungu amekusamehe mana umejutia

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 роки тому +53

    Mungu amrehemu baba yetu kipenzi 😭😭poleni watz

  • @timotheomichael1858
    @timotheomichael1858 3 роки тому

    Mungu akusamekh sana afande selle mm peke yangu nakuombea uepushe nayote mabaya leo hii kuna watu wana chinda ng'ombe kuahehelikea kifo cha magufuli sisi twa mpenda na ndio mana twamuombea twaumia saa nyingine tunatamani tuambiwe ilikua tu ni mchezo au siasa na si kifo cha kweli magufuli yupo hai bro pole sana twakupenda pia afande sele

  • @abuumrisho204
    @abuumrisho204 3 роки тому +9

    Mash Allah brother Allah akuongoze na akulipe kwa kheri kwa kheri yoyote iliyo moyoni na kama kuna shari yoyote moyoni mwako aindoe

  • @OmarShehe
    @OmarShehe 3 роки тому

    @AfandeSele, pole sana kwa mshutuko wa mawazo. Pia wasamehe wale wote waliokusema vibaya baada ya tukio, kwani na wao walipata mshutuko kama uliopata ww.
    Binadamu sote sio wakamilifu na Mungu anajuwa hilo na ndio mana ameweka TOUBA("kumba msamaha").
    Usipoteze imani yako kwenye mda mgumu kwani sisi sote tupo kwenye majaribio.
    Dunia ni mapito, wengi wameenda na sisi tunatangulia.

  • @alimhdtv1314
    @alimhdtv1314 3 роки тому +118

    Anaye ona sele anastahili kusamehewa anipe like

  • @RajabKAMIS
    @RajabKAMIS 3 роки тому

    Pole sana Afande S. Pole na Mwenyezi Mungu akusamehe. Pole sana ndugu yetu, pole. Mungu akubariki, na akuongoze akupe kuwa na subira unapofisha vipenzi vyako. Ni kawaida kila yeyote kufa ndugu yangu. Asieweza kufa ni Mungu peke yake. Jikaze Sele, jikaze. Ubarikiwe🙏

  • @unclevirustv9772
    @unclevirustv9772 3 роки тому +14

    Jamaaa umeelewela mm n mkristo na haturuhusiwi kuhukumu, hukumu tunamuachia Mungu lakn kama umetubu Mungu n mwingi wa Rehema atakusamehe

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 роки тому

    Bless ya bro..life goes on.Wanao jifanya kumjua Mungu ndo mafirauni watupu.

  • @jovinpaulnziza6605
    @jovinpaulnziza6605 3 роки тому +3

    Kutubu dhambi zako na moyo wako wote kwa mwenyezi Mungu ni vizuri. JEHOVAH akusamehe Afande sele amina.

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 роки тому +1

    Mungu anasamehe ,nawewe amekusamehe,umekiri umekubali, binadamu tunakoseana tunaombana radhi,nami nakuombea kwa Allah aupokee msamaha wako inshallah, amin

  • @babycandykhalid
    @babycandykhalid 3 роки тому +26

    Mungu wetu ni wa huruma. Vibaya kurudia kosa. Inshallah Kaka Allah atakusamehe 🙏

  • @marcelmathias9763
    @marcelmathias9763 3 роки тому +1

    Pole sana,ni vizuri sana kea kutambua kosa na kukiri

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 роки тому +22

    Afande sele mie nimepata voice zako, nilikusamehe kabla hujaomba msamaha kwa maana hukujuwa ulitendalo, pia msamaha wako M/Mungu ameupokea 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @eliasyohana930
      @eliasyohana930 3 роки тому

      C

    • @eliasyohana930
      @eliasyohana930 3 роки тому

      Amesamehewa

    • @pettywilliam4492
      @pettywilliam4492 3 роки тому

      Hajamkwaza mtu yoyote kwanini aombe msamaha fanyeni shughuli zenu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому

      @@pettywilliam4492 nitolee hapa bagi zako, Simu yangu band langu ww huwezi kunioangia cha kufanya, lione kiheleheleeeeee 🙄🙄🙄🙄🙄🙄😏😏😏😒👌👌👌👌👌👌👌👌

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 3 роки тому

      @@pettywilliam4492 waambie hao vilopolopo eti wamemsamehe wao ndiyo MUNGU. au Wana ubia na Mungu.pia Mungu wa kweli hujitetea mwenyewe huwa hatetewi na mtu, big up afande sele kwa kuomba toba ila iwe ya kweli Tena kwa NIKO AMBAYE NIKO (YEHOVA)

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 3 роки тому

    Pole sana bro polee Mungu akusamehe ndo maana tunaambiwa ukiwa na furaha Sana au uzuni Sana usiongee chochote pole ulipaniki maskini km mwanadamu WA kawaida Mungu akusamehe

  • @mankige9628
    @mankige9628 3 роки тому +3

    Mungu ni Mungu, ukiomba akijibu ni Mungu ukiomba asipojibu Mungu anabaki kua Mungu.

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 2 роки тому

    Pole sana kaka sote tumeumia sana 😭😭😭.Mungu ni mwenye rehema na mwepesi wa kusamehe ashakusamehe kaka

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 3 роки тому +71

    Saw mkuu vzr umegundua kosaa tumuachie Mungu tu🙏

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 3 роки тому

    Pole sana.dah magufuli kifo chake kime tuacha hoi kabisa.mimi ni mukongo ila kifu cha magufuli dahhh Mungu katutowa asali kinywani.afande sale nimekuelewa kabisa

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 роки тому +7

    Afande sele umeeleweka sana, hadi mwenyezi mungu atakuwa alishakusamehe.😭😭😭😭😭😭.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 роки тому

    Pole Kaka yangu Afande Sele Mwenyezimungu akutie nguvu pia naamini Mungu wetu ni wa huruma anaelewa wewe ni Mwanadamu tu

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 3 роки тому +16

    Now I get you pole sana. Ndugu l can imagine what you went through bado Mungu ni mwenye rehema hatuhesabiwi dhambi tunapotubu. Wapo wengi waliochanganyikiwa

    • @abiudkarume9705
      @abiudkarume9705 3 роки тому

      Mnamaliza mb pumbavu wp voice

    • @nuruontv6541
      @nuruontv6541 3 роки тому

      Afande Sele pole Sana,wengi tulichanganyikiwa na kukufuru tumuombe mnyezi Mungu atusamehe,na ailaze roho ya mpendwa wetu SHUJa wa Tanzania na Afrika mahala pena peponi kisho mbele ya kihama

  • @yunucabedy7758
    @yunucabedy7758 3 роки тому

    Munguanakilasababu tumshukurunimungu atupemwishomwema allhahuma amina

  • @omaribaga7618
    @omaribaga7618 3 роки тому +3

    Mashaallah kwa kuwa umetubu ila nakushauri kaka hii ni dunia ni maisha ya starehe za muda mfupi achana na hivo vitu unavo vitumia kuwa mcha mungu kuwa mfano mzuri mm nakuombea Allah akuongoze pia akuna mungu wawili mungu ni mmoja akuzaa wala akuzaliwa

  • @pamelahaaahthreewifemweeem2141
    @pamelahaaahthreewifemweeem2141 3 роки тому

    Ubarikiwe Sana Sele kwa kugundua makosa yako,,tumekusamehe na naamini M/Mungu ni mwingi wa rehema kakusamehe🙏

  • @blueton.77
    @blueton.77 3 роки тому +56

    Ongera sana kwa kuomba msamaahaa wananchi

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b 3 роки тому

      Wakumuomba msamaha ni Mungu sio wananchi

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому

      @@iFly-t9b alipokua anatukana alijisihau

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b 3 роки тому +1

      @@mohamedhaji2200 Allah amuongoze

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому

      @@iFly-t9b hajielewi huyu

    • @ibrahimkanuto3514
      @ibrahimkanuto3514 3 роки тому +1

      @@iFly-t9b sikiliza ndo uccomment amekwambia kakiri kwa Mungu

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 3 роки тому

    Afande umeongea vizuri, hakuna asie mkosea Mungu. Hongera kwa kumrudia Mungu wako na kuomba msamaha. Siku nyingine ukikasirika usiongee kwa kurecord.....hata ukifurahi sana pia usifanye hivo.
    Mungu akubariki

  • @azizamaboda3610
    @azizamaboda3610 3 роки тому +20

    Allah akusamehe😔😔😔😔pole sanaa jaman binafsi nililia saana nimeumia mno lakin hatuna budi kusema Alhamdulillah 🙏🙏🙏 tusikufuru💔💔

  • @zenj1986
    @zenj1986 3 роки тому

    Mungu anajua nia yako. Mungu ni msamehevu sana. Pole na msiba. Kwa kweli ni msiba wa Tanzania nzima

  • @staffordshombe1674
    @staffordshombe1674 3 роки тому +37

    Pole usirudie tena kufanya kitu kamahicho Sele

  • @rozinaswenya9682
    @rozinaswenya9682 3 роки тому

    Barikiwa afande sele kwa kumwomba mwenyez mungu msamaha.ameshakusamehe

  • @khadijarusimbi3504
    @khadijarusimbi3504 3 роки тому +5

    Mungu atakusamehe inshaallah

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 3 роки тому

    Pole sana afande Sele, na mimi ni mmoja niliyekwazika hata hivyo Mungu ni mwema nina imani amekusamehe.

    • @marykibwana9413
      @marykibwana9413 3 роки тому

      Angerusha ile Clip yakuomba msamaha, mana Ubaya huvuma zaidi kuliko mema I salute you.!!!

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 роки тому +66

    JPM TUNAKUPENDA YOU'RE THE BEST PRESIDENT IN THE ALL WORLD JPM 😭😭😭😭

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 3 роки тому

      Nonsense

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 3 роки тому +1

      You are right dear.

    • @mwasamiladldm7557
      @mwasamiladldm7557 3 роки тому +1

      @@sponsor7882 fala

    • @calimahad9274
      @calimahad9274 3 роки тому

      Japan 🇯🇵
      America 🇺🇸
      Emirates
      Brunei 🇧🇳
      UK 🇬🇧
      Saudis 🇸🇦
      Norway 🇳🇴
      Canada 🇨🇦 na nchi nyengine nyengi viongozi wao watakuaje kama Marehemu Magufuli ni the best in the world 🌎?
      Alijitahidi kiasi fulani lakini alikosea sehemu nyingi.

  • @nelsonngowi3950
    @nelsonngowi3950 3 роки тому

    Pole sana Sele. Mungu ni muaminifu kwako hata kwa hilo lilotokea. Ni ubinadamu

  • @samsonmaduka2820
    @samsonmaduka2820 3 роки тому +25

    Pole sana brother..ulipanic sana, Mungu we2 ni mwema anatujua udhaifu we2 ..huu ndio ubinadam wenyewe..kila m2 alighafirika kwa namna yake..

  • @philemongomwa3728
    @philemongomwa3728 3 роки тому

    Ndiyomaana hata mahakamani wanasikiliza pandezote mbili ili kupata uhalisia wajambo,Afande brother nimekuelewa naMungu niMungu mwenyehuruma akusamehe makosayako,
    Amen.

  • @josephbizzy1813
    @josephbizzy1813 3 роки тому +65

    Sote tu wadhambi Mungu atusamehe! 😥😥 na amrehemu rais John Pombe Magufuli.😥

    • @stephanokaaya1881
      @stephanokaaya1881 3 роки тому

      Afande Sele hapo umekuwa muungwana

    • @aminahamisi2837
      @aminahamisi2837 3 роки тому

      Ameeen

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 роки тому

      Mungu ameshamsamehee, hakuna binadam aliekamilika

    • @omaar5693
      @omaar5693 3 роки тому

      @@monicahovda4524 mi sikubali,, anaambia watu tu lakini kwa mungu anazuga,, mskize anavosema mungu mti mkubwa, waislamu wanae, Kristo wanae budha pia, wakumbuka wake yeye ni jua??? Anazuga tu apate amani...

  • @glorykimonge8629
    @glorykimonge8629 3 роки тому

    Wanasema dhambi ya kumkufuru Roho mtakatifu haisamehewi lakini ninaamini Mungu ni wa Rehema
    Pole
    Mungu aipe amani Roho yako

  • @stephanomagenda6774
    @stephanomagenda6774 3 роки тому +8

    M/mungu amsamehe yeye na sisi,pole broo

  • @hairgang1743
    @hairgang1743 3 роки тому +1

    Kiio Cha jamii.... Nafurahia busara yako Afande

  • @aishamohammed5347
    @aishamohammed5347 3 роки тому +21

    Nilikua namuomba sana mungu amsameh maan ss tumeumbwaa dhaif. 😭😭😭😭😭

  • @aishatarimo6780
    @aishatarimo6780 3 роки тому +1

    Mungu atakusamehe..Sele

  • @angelinasamuel_9951
    @angelinasamuel_9951 3 роки тому +7

    Kukosea kupo Mungu akusamehe sana brother Amin umesamehewa 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому +1

      Bado hajasamehewa mpaka afanye toba tena toba ya kweli

  • @najmanajma-4765
    @najmanajma-4765 3 роки тому +1

    Mwenyezi Mungu akusamehe binadam hatuko kamili

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 3 роки тому +2

    Mwenyezimungu ni mwingi wa msamaha. Omba mungu kwa toba ya kweli na mungu atakusamehe. Mfurahishe mungu binadamu haishi kusema.

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 роки тому

      Ni kweli kabisa Mwenyezimungu na Mungu wa rehema ni mwenye kusamehe!

  • @janemsilu6818
    @janemsilu6818 3 роки тому

    Pole kwa machungu uliyoyapata ni kweli tulikuwa tunaomba sana. Mungu wetu ni wa msamaha atakusamehe hakuna aliyemkamilifu . Ilimpendeza Mungu amchukue Rais wetu wakati huu. Endelea kuyajenga na Mungu wako usisikilize ya wanadamu lwani hakuna mkamilifu

  • @aishahakondo8525
    @aishahakondo8525 3 роки тому +7

    Afande sele mungu wetu nimungu mwenye msamaha atakusamehe

  • @himselftz4120
    @himselftz4120 3 роки тому

    Pole bro na hongera kwa kumuomba Mungu msamaha

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 роки тому +71

    "Mtaji wa tajiri ni ujinga wa masikini":AFANDE SELE

    • @EbondoSounds
      @EbondoSounds 3 роки тому +4

      🙏🏿🙏🏿🙌🙌

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 роки тому +1

      🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 3 роки тому +3

      “MTAJI WA TAJIRI NI UMASKINI WA MASKINI”

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 3 роки тому +1

    Nimekuelewa sana Afande Sele...!! Msamaha wako umepokelewa. Ushauri kwa Waislamu wote kujaribu kuachana na misingi ya visasi na hukumu...! Hiyo ni kazi ya Mungu na si binadamu.

  • @dwacts17apologetics54
    @dwacts17apologetics54 3 роки тому +5

    Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.”

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 роки тому +1

    Pole sana afande

  • @Nurah_FJ
    @Nurah_FJ 3 роки тому +3

    Afande Sele tunakupenda sana brother, Mungu wetu ni mwema na ni mwingi wa msamaha. Kuteleza si kuanguka kaka na kati yetu hakuna aliyekamilika. Mungu apokee toba yako na akusamehe kwa yote.

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 3 роки тому

    Bwana Yesu akubariki afande sele, tuendelea kuomba bado Mungu anaweza kumrudisha yani kumfufua

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 3 роки тому +3

    Afande Kuwa na Amani Mungu wetu ni Mungu wa Rehema, hao wanaokuhukumu achana nao maana wao siyo Mungu.
    Hakuna kosa kwa Mungu ambalo halisamehewi.
    Dhambi isiyosamehewa siyo hii, Mungu anakupenda wanadam ni wanafiki tu.

    • @tumainsawe6960
      @tumainsawe6960 3 роки тому

      Kabisa bro

    • @sokoinesokoine7468
      @sokoinesokoine7468 3 роки тому

      Mnafiki ww na huyo kichaa wako... huyu kavuka mipaka...
      Lazima apigwe dua tu aadabishwe na serikali imchukulie hatua... si anajifanya chizi

    • @xmaramoja362
      @xmaramoja362 3 роки тому

      @@sokoinesokoine7468 serikali siyo wapumbavu kama mnavofikiri upumbavu, Kama sele kakosea tulieni huyo Mungu wenu ajitete lakini kama hawezi kujitetea mbaka mmwambie cha jufanya ni dhahiri mnachoabudu hamkijui.
      Mnawaka hasira mioyoni mwenu kama mmetukanwa nyie mbona mnakuwa na roho za mashetani?
      Mioyoni mwenu mbona hamna rehema hata nusu?
      Acheni upumbavu Mungu ni pendo, huyo mungu wenu ambaye ni chuki si mwingine huyo ni shetani.

    • @sokoinesokoine7468
      @sokoinesokoine7468 3 роки тому

      @@xmaramoja362
      Sawa ndio sisi tunafanya Dua kwa watu km ww na huyo afande wake....
      Tutaona matusi yenu....
      Na serikali wajibu wake kuchukua hatua vichaa km hawa

    • @sokoinesokoine7468
      @sokoinesokoine7468 3 роки тому

      Mkiachiwa mtaligawa taifa

  • @mashachaney2048
    @mashachaney2048 3 роки тому

    GOD forgave you...I belive. Pole ka Kuumia and Naamini MUNGU alijua Umeumia

  • @suzanpatrick9380
    @suzanpatrick9380 3 роки тому +3

    Eeh Mwenyez Mungu nakuomba umsamehe kaka yetu afande Sele ni machungu ambayo alishindwa kuyacontrol moyoni

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 3 роки тому

    Yesu Kristo hakuja kuziangamiza roho bali kuziokoa, Neema ya Mungu iko juu yako atakuokoa uzirudishe roho za waliopotea zimwelekee Mungu. Kosa ulilofanya bado linasameheka. Nakuombea kwa Mungu akuokoe ili umjue sana uwe na Amani.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 роки тому +5

    Hakuna wa kulielewa kwa dhamira ya ndani Afande sele zaidi ya Mungu mwenyewe.Tumekusikia kwani tumeonywa kutohukumu.

  • @dorcaspeter4413
    @dorcaspeter4413 3 роки тому +1

    Mungu akusamee 🙏sisi wote akuna mkamilifu

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 роки тому +7

    Hakika Mungu umemchukua Magufuri wetu🇹🇿💔😭😭😭😭😭

  • @nassraahmed8858
    @nassraahmed8858 3 роки тому

    M.mungu akusameh makosa yako.........Allah al-rahman na al-Rahim....Mwenyezi Mungu anampenda yule Mwenye kukosea kisha akakiri makosa yake na akaomba toba ya kweli Allah........Allah akusameh makosa yako.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 роки тому +4

    Wengine Wanasema Eti Uyu Kamtukana Mungu Matusi Ya Nguoni Ivi Mi Nauliza Au Nawaza Mungu Ajazaa Wala Kuzaliwa Wala Atujui Nguo Gani Anavaa Sasa Ayo Matusi Ya Nguoni Aliomtukana Mungu Kwani Mungu Anavaa Nguo Gani Mungu Mama Yake Nani Mana Mungu Tunamjua Kwa Imani Atujui Yuko Vipi Kazi Yetu Sisi Waja Wake Kuabudu Ukisema Eti Tusi La Nguoni Na Mungu Atujui Anavaa Nguo Gani Ivi Kati Ya Unaemtukana Uyu Na Wewe Nani Mwenye Akili Ikiwa Nyinyi Wote Amumjui Mungu Bali Tunamsoma Kwa Imani Nasi Tunamuamini Kwa Imani Uyu Kama Alivuta Bangi Muacheni Atajua Kola Lake Atajutia Kosa Kwasababu Ukweli Bangi Na Pombe Azimuachi Mtu Salama Mungu Anasema Samee Saba Mala Sabini Iweje Wewe Utoe Ukumu Wakati Nawe Auna Kibali Cha Peponi Jamani Muombe Mungu Msamaa Kwa Kutaja Jina Lake Mana Duniani Apa Akuna Wa Kumpeleka Motoni Mwenzake Wakati Akuna Mtu Aliebeba Tiketi Ya Peponi Mi Nimekusamee Kama Ulietaja Jina Nilamungu Wangu Mimi Sina Ukumu Juu Yako

    • @tumainsawe6960
      @tumainsawe6960 3 роки тому

      Una hekma sana bro

    • @castromemba6311
      @castromemba6311 3 роки тому

      Usimtegeme mwanadamu, mwanadamu Anaye kufa mtegemee Mungu Anaye ishi. Hilo ni somo kwako.

  • @faradjapaluku6665
    @faradjapaluku6665 3 роки тому

    Mungu ame kusamehe ndugu yangu ! Yeye ni mwenye rehema !

  • @abdulyhussein6395
    @abdulyhussein6395 3 роки тому +22

    Mungu ni mmoja tu hana shina wala tawiiiiiiii

    • @maudimaudi109
      @maudimaudi109 3 роки тому +1

      Kumbe umei-note hiyo !! Ni kweli Mwenyezi Mungu ni Mungu Mmoja. Hana matawi. Hafananishwi na chochote, hachoreki. Wanaoabudu ng'ombe na miti; mito na mawe; sauti na mizimu; jua, nyota na mwezi WASAIDIWE WAMFAHAMU MUNGU WA KWELI. MUUMBAJI WA MBINGU NA NCHI, VINAVYOONEKANA VISIVYOONEKANA.
      Kama Afande Sele anafuatilia chats hizi AANZE KUFIKIRI TOFAUTI KUHUSU TASWIRA YA MUNGU.
      Awe na IMANI, MUNGU NI MUNGU WA MSAMAHA.

    • @khakidsalimu1710
      @khakidsalimu1710 3 роки тому

      Naam

    • @benedictorchoma7101
      @benedictorchoma7101 3 роки тому

      Hakika,1 Wakorintho 8:5-6
      [5]Kwa maana ijapokuwa wako waitwao miungu, ama mbinguni ama duniani, kama vile walivyoko miungu mingi na mabwana wengi;
      [6]lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.

    • @benedictorchoma7101
      @benedictorchoma7101 3 роки тому

      Hakika,1 Wakorintho 8:5-6
      [5]Kwa maana ijapokuwa wako waitwao miungu, ama mbinguni ama duniani, kama vile walivyoko miungu mingi na mabwana wengi;
      [6]lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.

  • @fannettemora6868
    @fannettemora6868 3 роки тому +2

    Pole kwa Afande Sele na watanzania wote.. Mimi ni mkenya nilipenda Rais Magufuli sana😭😭😭Rest in peace Magufuli

  • @jsmastory5770
    @jsmastory5770 3 роки тому +7

    Nmedaka point moja Mungu ni mti mwenye matawi mengi ila yeye ni Shina,(Amini kile kinachokuponya kupitia icho Mungu unakuwa umemuabudu)

  • @edisarochius6079
    @edisarochius6079 3 роки тому

    Mwenyez Mungu atakusameh Kwan akuna anaejua alitendalo.🙏 Naamini amekusameh kwan umejutia ulilotenda.

  • @rogerbahihota7126
    @rogerbahihota7126 3 роки тому +5

    Mungu ni baba wa rehema, ila usiongeze tena kukufuru Mungu siku nyingine.

  • @lizziesylivester3159
    @lizziesylivester3159 3 роки тому

    Hakika Mungu niwarehema..... Natoba ya kweli nikukiri kosa na kutubu.. na Mungu Yuko upande wako hakika

  • @francisaban3873
    @francisaban3873 3 роки тому +38

    Wasikusumbue hao watu, kwa sababu hata wao sio wakamirifu..cha muhimu tumuombee mzee wetu na tumuombee mama yetu Samia aendeleze yale maono ya mzee wetu...Rest in Power mwamba, tutakukumbuka daima

    • @nurumanyota416
      @nurumanyota416 3 роки тому

      Kweli kabisa

    • @oscarbaltzar1645
      @oscarbaltzar1645 3 роки тому

      kabisa

    • @twalhamnyira5318
      @twalhamnyira5318 3 роки тому +1

      Usiseme wasikusumbue nan? Anae msumbua zaid ya mwenyewe na akili yake mbon unaongea kama alicho kifanya mwanzo ilikuwa saw hapo alipo muomba msamaha mungu wake ndio sawa

    • @ramadhansiraja1853
      @ramadhansiraja1853 3 роки тому

      Bora angemtukana babayake mzazi na mamayake ambao walomzaa mshenzi kabisa uyu nyinyi mnaongea ongea tu

    • @sokoinesokoine7468
      @sokoinesokoine7468 3 роки тому

      Hana adabu kabisa

  • @janethmollel6324
    @janethmollel6324 3 роки тому

    Nlikuelewa sana Afande Sele Mungu akusamehe na atusamehe sote

  • @ikupamwaisoba4118
    @ikupamwaisoba4118 3 роки тому +4

    Asante Mungu mwenye Rehema naamini kwa huruma zako umemsamehe na umetusamehe watanzania wote,endelea kumlinda na kumfundisha ktk njia zake afatane na matakwa yako Mungu mkuu.

  • @jumathabit8703
    @jumathabit8703 3 роки тому

    broo mh afande kamtukana mungu sasa unatakaje atuombe watanzania ,maana mungu yuko all of the world ukisema aombe msamaha ataomba dunia nzima unahisi watu wengine hawajaskia wa nje ya watanzania ,broo nimemwelewa sana sisi sote wakosaje ,sizani kama kila mtu afanyi haya !!!

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 роки тому +39

    M/mng akusamehe cna lakusema ya kheri na shari yote anayajua yeye na ndy ana hukmu ya haki 🙏

  • @bernardlaughter7600
    @bernardlaughter7600 3 роки тому

    Mungu akubariki Afande Sele, 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @robartsalum3876
    @robartsalum3876 3 роки тому +16

    Mungu atakusamehe mzee wadarubin kari

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 3 роки тому

    MTume Muhammad (S.a.w) amesema kwa kusistiza ili ukitaka kuishi kwa amani na furaha katika maisha yako basi (USIKASIRIKE) huu ni ushauri kutaka kwa mtume wetu Muhammad (S.a.w) kwasababu kukasitika kunaweza sabibisha ukafanya makubwa mabaya amabayo hukutarajia......chukueni usia huu na muishi nao ..

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 роки тому +4

    Pole saana kwa kweli saa ingine waweza kufuru yote hutokea unapofiwa, Mungu ni mwenye huruma atakusamehe

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 3 роки тому

    Inalilah wanalilai lajiuni allah akuongezee ktk njia ilinyoook ishaalah ya labi mpokeree maomb yak mja wakoo akuna aliyemkamilfu isipo kuwa wew allah aza wa jaala 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💖💖💖💪💪💪💪💪

  • @mdabemdabe9709
    @mdabemdabe9709 3 роки тому +16

    Mungu akuusamehee zilikuwa hasira sana Mungu akusamehee

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому +2

      Hasira na kumtukana Mungu

    • @jamilahemed1341
      @jamilahemed1341 3 роки тому +1

      Hasira gani ujinga tu

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому +2

      @@jamilahemed1341 kabisa dada, ni upuuzi tu kwani ameondokewa peke yake? Ana uchungu kuliko familia yake? Ana uchungu kuliko wazir mkuu na makamo? Ana uchungu kuliko nini? Aonekane alimpenda zaidi kuliko sisi sote? Aonekane alimpenda zaidi kuliko mungu aliemuumba? Sasa watanzania wote wakianza kutukana kwa msiba huu tutakua tuna taifa au nchi ya walevi na wavuta bangi. Acheni bangi hizo hazina faidia

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому +1

      @@jamilahemed1341 kabisa dada, ni upuuzi tu kwani ameondokewa peke yake? Ana uchungu kuliko familia yake? Ana uchungu kuliko wazir mkuu na makamo? Ana uchungu kuliko nini? Aonekane alimpenda zaidi kuliko sisi sote? Aonekane alimpenda zaidi kuliko mungu aliemuumba? Sasa watanzania wote wakianza kutukana kwa msiba huu tutakua tuna taifa au nchi ya walevi na wavuta bangi. Acheni bangi hizo hazina faidia

    • @omarylukindo5306
      @omarylukindo5306 3 роки тому +1

      Hasira Gan hadi utukane muumba wako,sie tumefiwa na wazaz wetu mbona hatukutukana mungu zaid ya kumshukuru

  • @missangatv1368
    @missangatv1368 3 роки тому

    Pole xnaa,Mungu nimwenye kusamehe

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u 3 роки тому +3

    Akuna aliye kamilika Mungu amekusamea legend

  • @rhodamwafongo6660
    @rhodamwafongo6660 3 роки тому

    Mungu ni mwema akusamehe kwa rehema zake ,

  • @rashidsleman5545
    @rashidsleman5545 3 роки тому +6

    Mungu ni mwingi wa kasamehe

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 3 роки тому +1

    Pole afande Sele namimi nakuombea msamaha kwa Mungu wa Mbinguni

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 3 роки тому +1

    Uko vizuri Sele mungu amesamehe. Kila binadamu ana makosa yake

  • @alhajsadik3439
    @alhajsadik3439 3 роки тому +3

    unatakiwa uliee ujutie kosa lako usichukulie poa t umeomba msamaha afu uka relax ,,umefanya kosa kubwa sanaa inatakiwa toba ya kweliii

  • @anethgabriel7944
    @anethgabriel7944 3 роки тому

    Pole sana kaka, mungu nimwema sana na hakika atatusamehe wote🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sarahambajo2873
    @sarahambajo2873 3 роки тому +3

    The man has repented and our God is a merciful God

  • @nyembomajidi3027
    @nyembomajidi3027 3 роки тому +1

    uko sahii afande sele, musiba wa mzee wetu kila mtu alimkosea mungu namna taarifa ya kifo ilitangazwa gafla, kosa Lako ilisikilika vibaya kwa sababu ulitoa moyoni na kuitangaza hazarani, na mini kifo ya mzee wengi walimukufuru mungu, sele wewe usijali walimwengu mungu amekusamehe.

  • @faithklove9419
    @faithklove9419 3 роки тому +15

    Kama uliomba mungu msamahaa waachie wanadamu wapanye yao...mwamini mungu.

  • @zabiburamadhani354
    @zabiburamadhani354 3 роки тому +1

    Pole mungu wetu ni wahuruma atatusamehe