"ANAMSUMBUA SANA DIAMOND HUYU" BABA LEVO AMWAMBA ALIKIBA MBELE YA WAZIRI MKUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @fednandnews2240
    @fednandnews2240 11 місяців тому +75

    😂😂😂 Ila nchi yetu Kenya Tujifunze Hawa watu wanatupita msizani natania hiki kikao Ni Cha heshima Sana lakini rengo lao Ni juu ya team yao ya taifa iliyoenda kule afcon 2024 na wamewapa maic mwijaku na baba Revo uku Kenya tunae chawa mmoja haongei kuhusu kukua kwa Kenya mala nyingi Ni kutukana Tanzanian musicians artists mh Aya Hongereni Sana tz Nawapenda Sana from Kenya❤❤❤🇹🇿🇹🇿

    • @Njeriii536
      @Njeriii536 11 місяців тому +1

      ❤❤

    • @melitalaunoni4018
      @melitalaunoni4018 11 місяців тому +3

      Tunakupenda pia

    • @hamisisalim
      @hamisisalim 11 місяців тому +1

      Ila uko sahihi sisi bado kwenye huu umoja sijui wapi tunakosea sisi wakenya

    • @HussainMaula-mw8vz
      @HussainMaula-mw8vz 11 місяців тому

      Nimefurahi unaandika vizuri kiswahili kwani kenya kuna somo la kiswahili shuleni????????????

    • @john_1trader
      @john_1trader 11 місяців тому

      ​@@HussainMaula-mw8vz eee tunasoma sana kiswahili

  • @ZakaliaMichael
    @ZakaliaMichael 11 місяців тому +28

    King kiba million 20 hongera king

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 11 місяців тому +14

    Kiba Congrats Kwa Mchango Wenu Mungu Awape Maisha Marefu Kweli🎉🎉🎉🎉

  • @kingprofessorofficial2077
    @kingprofessorofficial2077 11 місяців тому +1

    Mfalme King Kiba heshima itawale kwako Our legend Kwa mchango wako🔥🔥👍🙏🙏❤❤

  • @stevennyula9642
    @stevennyula9642 11 місяців тому +3

    I love Tanzania will be visiting this beautiful country in a near future.

  • @raulnassor5761
    @raulnassor5761 11 місяців тому

    Unatufaa kuwa raisi baba kuwa raisi mungu mmoja baba majaliwa magufuli km angekuwepo daaah! Pia unamkosha huko aliko mungu arehem Amin.

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 11 місяців тому +14

    Kiba umetisha sana bro

  • @RajabuBojo-j2l
    @RajabuBojo-j2l 11 місяців тому +4

    Tuchangie team uku watu wanavunjiwa vibanda vyao mama ntilie wanafukuzwa uku watanzania tupo gizan daah 🥲🥲

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 11 місяців тому +6

    King Kiba is unique❤❤

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 11 місяців тому +43

    Kiba milioni 20 duu yaani mimi tu hapa nilipo million 1 sijui nitaipata lini pengine mpaka kufa😢😢 Mungu nisaidie

    • @bexy.
      @bexy. 11 місяців тому +2

      Mungu atakujaliaa

    • @amirlehao8945
      @amirlehao8945 11 місяців тому +3

      Mungu akujalie insha'Allah

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 11 місяців тому +3

      Agnes utapata tu dadangu

    • @mgtanzania9834
      @mgtanzania9834 11 місяців тому +4

      Mungu akufungulie milango yenye baraka katika maisha yako dada @agnesjohn

    • @Justin-eb2xn
      @Justin-eb2xn 11 місяців тому +6

      Jaman Agnes uskate tamaa😢

  • @FadhilMwaihabi
    @FadhilMwaihabi 11 місяців тому +1

    Shukrani km kiba

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 11 місяців тому +9

    Do!!! Kuna zile hela za magoli za mama wapeni sie tunamlipa mwiguru nchemba kila mwezi anachukua 1,500 kwenya umeme hizo peke yake zinaumiza roho zetu tuoneni huruma wananchi jamaa

  • @salimmwakukana5544
    @salimmwakukana5544 11 місяців тому +1

    Jamaa zangu majirani mmeweza saana aisee

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 11 місяців тому +7

    😂😂😂 Mwijaku Chizi sana kwani unataka kumtoka hata Waziri Mkuu hela kweli yule Mturuki hakutaja hela kweli!!?.. maana misielewi kituruki

  • @yustinkivamba4721
    @yustinkivamba4721 11 місяців тому +2

    Baba levo anauliza huyo hajasema kuhusu Hera 😂😂 mwijaku fafanua vizur

  • @jackloxley2865
    @jackloxley2865 11 місяців тому +4

    Angekuwa doto magari ingenoga sana

  • @MshakRaphael
    @MshakRaphael 11 місяців тому +4

    Very nice king baaa

  • @AlexKweka-j6p
    @AlexKweka-j6p 11 місяців тому +19

    Alafu kumbe baba levo hana akili hata moja

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 11 місяців тому +1

    Unadhani wanawezaje kuchangia mapesa yote hawa wawekezaji...?? Regulatory capture ni lazima

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 11 місяців тому +3

    Hongera king kiba

  • @agogomgagagigigogo
    @agogomgagagigigogo 11 місяців тому +1

    Kama Kiba katoa 20M,bac sikilizia mkuu wa taasisi ya wasafi ,hapendagi ujinga lazima itoke 100M,Simba la Masimba Dangote

  • @Dipeson700
    @Dipeson700 11 місяців тому +1

    Wasenge wanachangiwa hela alafu hawapati ata point 1 😂😂😂

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 11 місяців тому +2

    Baba revo umezingua 😢

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 11 місяців тому +3

    Hujasema kuhusu hela huyu 😅😅😅😅baba levo

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 11 місяців тому

    Yan saiv majiran zetu wataikubali Tz 🇹🇿 kwa mwendo huu dharau kwishaaaa

    • @westcijosh
      @westcijosh 11 місяців тому

      Kwann wasema hvyo?

  • @OmmyYuli
    @OmmyYuli 11 місяців тому +5

    Mungu aendelee kuwa Pamoja na waziri wetu Majaliwa

  • @meshackgerald4032
    @meshackgerald4032 11 місяців тому +6

    Hizi pesa utasikia tu watu wamepiga watu walivy na roho ngumu😂😂

  • @MoïseJohnny-b1e
    @MoïseJohnny-b1e 11 місяців тому +1

    Alikiba nimukubwa

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 11 місяців тому +9

    Amepambwa mpaka katoa hela ... 😂😂

    • @kipupwefedede7130
      @kipupwefedede7130 11 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 na sjui Kama kweli anayo mana amejikuta kalopoka tu

  • @donvanpierre4369
    @donvanpierre4369 11 місяців тому

    airtel wanatoa 30m .. kiba anatia 20m hii ratio dah

  • @LugyPlan
    @LugyPlan 11 місяців тому +6

    Nywele ya mweshimiwa waziri imechanywa na mashine😅

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 11 місяців тому +7

    😆🤣😆🤣🤣🤣Hawa mabig chawa hawa, nimecheka!

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 11 місяців тому

    Daah! Kiba ametoa Million20 mm nahangaikia mtaji wa Million5 tu mwaka wa 3 sshv eeh jmn

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 11 місяців тому +2

    King

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 11 місяців тому +3

    King Kiba

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 11 місяців тому +4

    Kwan TFF pesa wanazipeleka wapi?

  • @selemani-k1b
    @selemani-k1b 11 місяців тому +10

    kwahiyo tutakiwa tunachangishana miaka yote

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 11 місяців тому +1

      Ndio Tanzania yetu na watanzania na viongozi kifupi ndio maisha tunayopenda kuyaona 😢

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 11 місяців тому +7

    Machawa🤣👍

  • @AlfaniShabani-g3x
    @AlfaniShabani-g3x 11 місяців тому +1

    Kiba noma sana

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 11 місяців тому

    Baba levo kwani ameelewa iyo inglish mbona km ametingisha kichwa km vile ameelewa😅😅😂😂

  • @amichijr6067
    @amichijr6067 11 місяців тому +1

    Pesa zinachangwa , kilichobaki wachezaji wasilianguxhe Taifa Sasa

  • @imrizzy9668
    @imrizzy9668 11 місяців тому +6

    Bila simba mambo hayendi mzee 😂

  • @fidelisgeorgesinsangoh7244
    @fidelisgeorgesinsangoh7244 11 місяців тому

    Chawa promax..... Ndo hawa sasa

  • @mathewjunior6113
    @mathewjunior6113 11 місяців тому

    King kama king

  • @janjikilly1719
    @janjikilly1719 11 місяців тому +1

    Bro people really have money, imagine Alikiba katoa M20 just like that without even thinking about it! And he even said it like it was nothing

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 11 місяців тому +4

    Haikuwa na haja ya kupitisha bakuli hili jukumu la TFF makusanyo ya mashabiki uwanjani hii pesa inaenda wap

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 11 місяців тому

      Wameona watu wanapenda sifa ,hii nchi Viongozi hawatosheki wao ni kujilimbikizia tu

  • @stanleyngonyani1441
    @stanleyngonyani1441 11 місяців тому +2

    Nipe like zangu😂

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 11 місяців тому +7

    Kumbe kiba ana hela mamae🙌🙌🙌

    • @RajabuBojo-j2l
      @RajabuBojo-j2l 11 місяців тому +1

      Akiba bank ni ya alikiba nakupa hio

    • @WendoJuma
      @WendoJuma 11 місяців тому

      Yaa ni kweli tena mda sana niyake ​@@RajabuBojo-j2l

    • @ommylax7231
      @ommylax7231 11 місяців тому

      Mfalme ni 1 tu Yesu kristo mkombozi wa maisha yetu

    • @rashtz2785
      @rashtz2785 11 місяців тому

      ​@@RajabuBojo-j2l wewe ya kweli hayo? Akina bank?

    • @AndrewMpelumbe
      @AndrewMpelumbe 11 місяців тому

      ​@@RajabuBojo-j2lni kweli iyo au unatuokota.? Kama ni kweli bac noma xana iyo

  • @riavlogstz
    @riavlogstz 11 місяців тому

    Viva Tanzania ❤

  • @AlexKweka-j6p
    @AlexKweka-j6p 11 місяців тому +6

    Sasa Alikiba ndie mfalme?😅😅😅

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 11 місяців тому

    Manara kasema atatoa 5M

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 11 місяців тому +1

    Simba angekuwepo hapo angezima hizo kelele zote eti wanachangia😂😂😂😂😂

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 11 місяців тому

      Diamond ameshakusaidia nini kwenye maisha Yako mbaka Sasa? Unatumia nguvu kubwa kusifia hela za mtu asiye kujua! huu ni ushamba na ujinga aisee, tumia muda vizuri kufanya kazi utengeneze pesa zako binafsi Ili usiwe mtu wa kusifia Hela za watu

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 місяців тому

      @@Oldskulgemini9991 Baba yako akienda barabarani anataka aheshimiwe na kila mtu kisa anaitwa baba flani kwa nini na kakuzaa wew hajawazaa wao?? Fala wewe

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 11 місяців тому

      @@MrTop-wj7no hueleweki umeandika nini, ila acha kusifia Hela za watu wasiokujua, Fanya kazi utafute zako huyo unaepoteza muda kumsifia hakujui na hatokusaidia chochote kwenye maisha Yako

  • @Gabby-jm8
    @Gabby-jm8 11 місяців тому +1

    SIMBAAAA1

  • @jucrisethabeet1405
    @jucrisethabeet1405 11 місяців тому

    Kumbe wasafi wanajua mfalme wa bongo ni nani🤣

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 11 місяців тому +6

    ua-cam.com/video/N-RAOUGx_Yg/v-deo.htmlsi=4y49PV8sKnWQbZPY
    MAAJABU YA MTI WA MNAZI
    ua-cam.com/video/N-RAOUGx_Yg/v-deo.htmlsi=4y49PV8sKnWQbZPY

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 11 місяців тому

    🙌

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 11 місяців тому +1

    Mil 20 kiba mupngo huyu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 11 місяців тому +1

    Sasa mbona hizo team za mataifa mengine hawaweki harambee ya kuchangisha . Yaani wizi mtupu si bora mungewachangia wale walio patwa na mafuriko jamani na wagonjwa wasio jiweza

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 11 місяців тому

      Wameshachangiwa serkali na mashirka yake wamechaia B 6 ndio wnazotaka kujengea nyumba wengne juz saruj mifuko 1000 nawengeo.

  • @Comforterboeog-yg7bd
    @Comforterboeog-yg7bd 11 місяців тому +3

    Call me comforter boy

  • @allykivunja5511
    @allykivunja5511 11 місяців тому +1

    Mchezo pesa

  • @turatashewaukweli
    @turatashewaukweli 11 місяців тому

    Tujifunze kutafuta pesa

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 11 місяців тому

    This is a circus. Sarakasi tupu. A comedy show.

  • @EmmanuelMoses-pb1zh
    @EmmanuelMoses-pb1zh 11 місяців тому

    Kwani diamond alichangia shingap

  • @mmg4230
    @mmg4230 11 місяців тому

    Wajinga wanapewa airtime asee