UKHTY MWANACHA AWANOGESHA WANAFUNZI WA AL-IHSAN KWENYE MAHAFALI YAO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Ukhty Mwanacha ni miongoni mwa ma Ukhty waliopata bahati na nafasi kwenda kusoma qaswida special ndani ya shule ya Al-ihsani iliopo mwanakwerekwe Zanzibar.Hii ni muendelezo wa mahafali ambayo kila mwaka huadhimishwa na Skuli hiyo na ukhty Mwanacha ni msomaji maarufu sana ambae kila mwaka hupata nafasi ya kuhidhuria.
    Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia.
    Whatsapp. +255772285543
    Call. +255772285543

КОМЕНТАРІ • 41

  • @halimaawes8299
    @halimaawes8299 4 роки тому +6

    Mashaa Allah, Ni furaha ilioje kwa wanafunzi, wazazi walimu na kila anaye husika na wanafunzi. Allah awabarikiye dada zangu. Allah awajaaliye kuwa ni elimu yenye manufaa ya akhera na dunia yenu.

  • @mwanashasalimu8465
    @mwanashasalimu8465 3 роки тому +3

    Mashaallah dada mungu akuzidishie kipaji chako ,nimeipenda sauti yko dada 👌👌🥰🥰

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 3 роки тому +3

    Beiti hii mmesahau...
    Ili kuzidi kuwini tafuten tcha huyu
    Kwa Arabic jueni mtazidi kuwa juu
    Kwa jina mtambueni cmwengine ni dashuu...
    Al.ihsaan nitafutein cjicfu lkn kwa Arabic ya form1 had form6 tuuh wallahy naiweza alhamdulillaah.....rooh inaniuma had leo cjapata ajira. Allah nisaidie

    • @fatmaali4390
      @fatmaali4390 3 роки тому

      YaaAllaah Kwa Rehma Zako tukufu mpe Dashuu milango ya kheri ya kazi yenye kheir na barka na Umkundulie kwa Jaha Yako YaaRabb...aamiin👌🤲🤲🤲🤲

  • @saidbinbakar9725
    @saidbinbakar9725 4 роки тому +1

    hongera ukhty mwanacha hongera pia kwa producer Miki dady kazi nzuri imeshinda ile ya asili kutoka comoro.

  • @ummuhassan2268
    @ummuhassan2268 4 роки тому +6

    Maashaallah Allah awaondoshee husda amiin

  • @mariammbaruk9662
    @mariammbaruk9662 4 роки тому +2

    Mashallah mwanacha huahukosei mashallah

  • @hassankenga7174
    @hassankenga7174 4 роки тому +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 uko juu

  • @shixeoshxs7276
    @shixeoshxs7276 3 роки тому +1

    Inshaallah mungu awasimamie ktk ngazi zao zote za masomo na wengine wote maeneo mbali mbali nchini

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 роки тому +3

    MaashaAllaah kila la kheri wadogo zangu

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 роки тому +2

    natamn kulia mashaallah. hadi rahaaaaa acha ni download kwanza 💞💞💖❤️🌹

  • @husnamohammed9660
    @husnamohammed9660 4 роки тому +2

    MashaAllah Al-ihsan muko vzr😍

  • @adiltymohd2134
    @adiltymohd2134 3 роки тому +1

    Mashaa allah Allah Awape ulinzi wanapoendea mbele

  • @KazijaMachano-cj7eg
    @KazijaMachano-cj7eg 9 місяців тому

    mashaallah 💗

  • @rashidmussa4963
    @rashidmussa4963 4 роки тому +1

    Uko vizuri dada mwanaacha

  • @amratkombo6955
    @amratkombo6955 3 роки тому +2

    Mashallh ✌

  • @brotherabaa3795
    @brotherabaa3795 4 роки тому +1

    Mashaallah pongezi kwako mwanacha

  • @subiraali7806
    @subiraali7806 4 роки тому +1

    Mashallah Mungu awafikishe mbali zaid ❣️🙏

  • @Mowlanaboy
    @Mowlanaboy 4 роки тому +1

    Masha Allah dada uko juu sana

  • @halimahamad9430
    @halimahamad9430 3 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah 😘😘😘 Allah bless you more

  • @totolamoody3341
    @totolamoody3341 4 роки тому +2

    Duuuh wewe fundii😘

  • @zuwenahamad6178
    @zuwenahamad6178 4 роки тому +1

    Pambe masha Allah 😍😍😍

  • @zahyahadi6381
    @zahyahadi6381 4 роки тому +1

    Bismillah Maa shaa Allah

  • @ondegesauda7028
    @ondegesauda7028 3 роки тому +1

    MashaaAllah

  • @mohdsuleiman2628
    @mohdsuleiman2628 4 роки тому +1

    Beautiful wallahi ❤❤

  • @fatmabakari6624
    @fatmabakari6624 4 роки тому +1

    Mashallah mashallah

  • @leylayusuf435
    @leylayusuf435 4 роки тому +4

    Waminshar hassid idha hassad nawapenda bure was tz natamani ningezaliwa huko

  • @hawaahathuman441
    @hawaahathuman441 4 роки тому +1

    Mashallah

  • @yahyasamia9018
    @yahyasamia9018 4 роки тому +1

    Umeua dda mwnch hukoseagi

  • @zaituniisumailithanksagain2043
    @zaituniisumailithanksagain2043 3 роки тому

    Zaituni Isumaili

  • @nasramhongole2630
    @nasramhongole2630 3 роки тому +1

    Samahan hii shule IPO wapi?

  • @suleimansalim8744
    @suleimansalim8744 3 роки тому +1

    Pambe