Hehe that ass means nothing.... When a guy wants to cheat he will always do. Don't use your body as a measure to feel safe. Much as he cheated that guy better run. A woman who shouts like that.... Lolz embarrassing.
I wouldn't mind whether am cheating lakini ile Kofi huyu mwanamke angepata kutoka kwangu, huo mdomo ungenyamaza. If this is what the guy goes through, he is right to cheat. Women should be humble otherwise get out of the relationship if he is cheating.
This is all scripted sheet only wajanja can see this. bt si Watazamaji wa movie hawashikanishi anyway it's not bad ata movie we always enjoy na scripted thing congrats to the scriptt writer keep up good work ..next time add some sound track
Huyo jamaa anawasanitize ndio ameangusha hiyo cd. The guy in black tisho anapretend kuwekea huyo dame maji then huyo jamaa anawasanitize anakuja nyuma ya huyo msee wa tisho ya black anadrop cd ata inasikika ikidrop. Hamjui kuscript ata wenye mmechukua hawajui kuact. Channel fake kabisa hapa napo nimewanasa Thee Pluto all the way
Yes, iko staged managed angalia move ya msee wa tisho ya black...anaongezea dame maji alafu kuna vile anaficha huyo chali mwenye anasanataiziwa then huyo msee fake wa kusanitize anakaribia huyo chali then anadrop cd. Ata anaonekana akidrop na inaskika ikimake sound ya kuanguka huyo jamaa ni fake akwende kabisa
Mmeru bonoko😂Kijana ata Kama manzee..unamwagiwa hizo zote😒🙆..umetulet down💔..Ati 'ushaiona mkikuyu akona ass'😂 ata Gotv remote itauliza Ivo...nimeenda hivi narudi🚶
It's hard to find a loyal partner, but being single is cool coz no stress will affect you. Nowadays no trust but if you get someone who value you, you better take him/her in seriously,
I like how he kept his cool and did not return the slaps. This could have turn to chaos and GBV really quick if it was the other way round... Imagine someone shouting unataka kunimanhandle na yeye ndio anapigana😑
@@roninx7530 That's what I explained I said if the man had raised a hand it would have been seen as GBV and people will be concerned. But the man kept his cool and did not return the slaps. Read my comment vizuri
Mm nimeanzia hapo juu kusom comment mpka nimechanganyikiwa sas ni comment nn n kilakitu mumemaliza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🏃🏃basi Wacha tukajadiki hili swala nyumbani🤣🤣🤣🤣🤣
From the look of things,hii channel ni ya age group 18 to 24. Kindly if you are in this age group run to people who are late twenties and early thirties and learn from their mistakes. Insist advise from them. Concentrate more on developing yourself. The people hosting,are in their mid thirties have settled their families at home and now wako job kuchocha the early twenties and wasting their time.😂😂😂
This reminds me my days at campus, I assisted my friend with my laptop bag. When he returned it back I didn't knew he had placed "bullets" yaani "condom" in that bag. Wah when my girlfriend found out....the rest is history
Dada, unamkasirikia mwenzio anayekujali , nakukulinda akiwa nakinga na ku sifu makalio Yako anayo yachezea bila kinga,Sasa Usha jua mpo wengi na aliyekatika hatari zaidi ni wewe usiye tumia kinga, tafakari mpende mwenzio tumia kinga(KONDOMU).
Camera man bona Usi zoom tuwaone vizuri kwani kazi yako ni gani Next time try to zoom wacha kulala apo alafu. Video mzuri kama hii time kidogo ata ija isha time kidogo bona 👊👊👊
Hehehehe
😂 tunawataka sanaaa nyinyi
Tunawakujia nyinyi Sasa 😂😂
Lazima..... Mwaka huu wanaume mtanyooka 😄😄😄😄😄😄🤣
😂😂😂😂lazima hawa wapitiwe.@the amore family
It's okay hakuna mkikuyu Ako na matako but sasa wewe uko na mingi Aki am sorry basiii
Good work , clean up the streets 💪🏻💪🏻💪🏻bravo,hiyo food competition 🤣🤣
🤔🤔🙄🙄🥺🥺😩😩na dem amevaa dress top ama dress? MUNGU saidia hii generation 😭😭
I wish I had such kind of a woman. She has a future
True
Hehe that ass means nothing.... When a guy wants to cheat he will always do. Don't use your body as a measure to feel safe. Much as he cheated that guy better run. A woman who shouts like that.... Lolz embarrassing.
that's jus what they bring to the table the "box"hence the statement she made.lol
And that body she has is not great. However, he is still wrong for cheating and lying.
You guys you are not defending the 2 sides ,boy anapigwa mkiangalia na boy akijaribu kufanya mnamshika,,be fare on both sides as u handle this
Iam also wondering ,why
Aki na vile nko njaa. Si mngeleta hii contest hapa 237 wallae!!
Leo utapuliza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
In Hera in Hera
Hi nayo machine kubwa,, ukimess utagongwa
Weeeweeee unachomea wakisii aje umenibooo
Huyu dem amemkalia chapati boy child 😂😂
I love my single life, wacha ningangane na warabu
come to me...mi mwaminifu.
Inhaler na ngwai zitapelekana kweli🤔🤔🤔🤔
Karibu aoshwe n food, maji n kajuice🤣
"mapenzi ni roho, si simu" 🙌🙌😂
I think it's unfair the lady pouring food, water and food on the boychild and you don't protect him yet you protect the noise maker from him
I think u should bring this chic back we know how things went from here
Bravo mars upload every hour manze tuna miss drama na comedy yako😂😂😂😂😂😂💔💔💔
Yeess
Unaskia loyalty test nguvu inaisha😀😀😀
I totally love this lady, that's the spirit baby girl.
Are you loyal
Which spirit??unapigana na mwanaume na akikupiga teke moja una faint??Tumia akili
I hope hautapatikana 😂😂
Ju ya iyo story si nikupate inbox
I wouldn't mind whether am cheating lakini ile Kofi huyu mwanamke angepata kutoka kwangu, huo mdomo ungenyamaza. If this is what the guy goes through, he is right to cheat. Women should be humble otherwise get out of the relationship if he is cheating.
Kuleni ndio katambe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waaah! Nyeri manenos aki, huyo angepata hiyo engine aki angekata, kesi baadaye. 🙆🙆🙆🙆🙆
Let me hope even at the end of it dem atapewa pesa 😜 after all ameshinda kifood
Kifood na kidrama,am proud of her,men cheat then still beat women leo huyu amepatikana.
Aaahhh ata uyu Dem amejichocha sana... Mara sijui utakula Kwa macho... Meno... Sawa basi Wacha vita ...
Nothing hurts as being called bro na dem unadate,as if ni sister yako.
😄😄
Mimi na hubby wangu tunaitana bro😂😂na life inasonga...don't take things too seriously
Nimooo tunakuanga loyal but tunapatana na watu bladfucking
This is all scripted sheet only wajanja can see this. bt si Watazamaji wa movie hawashikanishi anyway it's not bad ata movie we always enjoy na scripted thing congrats to the scriptt writer keep up good work ..next time add some sound track
I am convinced kenyans are the most gullible people on this planet. Literally nobody is seeing how fake this is
Awa boiz shida yao Huwa nn juu awatoshi ata ata apate dhahabu
Nowonder chakula ilimshinda kukula
😁😁😁😁 ushwahi ona mkikuyu ako na ass?😁😁🤣🤣 I like that part
Na huyu
Where's my inhaler ......Mtu aniashie ngwai Sahi 🤣
Wanaume wakatie madem mnaeza handle 😹😹😹😹
😂😂😂 wueh mdate madem mnaeza ngaria
Ati anauliza kama mumewai ona mkikuyu ako na matako😂😂
uyu dem,weh!
Hapo kwa bouncer iko sawa,great...
Jamaa anacheza, thi only kikuyu mwenye ass🤣🤣🤣,,, basi hio ass ni assless😅
Huyu msee amepatikana 😂😂😂
Waaaa kuna lijamaa lifisi apo hmmm
The guy with the suite has a crush on the lady
😂😂😂👌👌👌i saw it from the start😂😂
Kumbe si mimi nimeona pekee😂😂
Dressing code ya dem the dress is short na macho haina pazia that's y anajikuta tu macho ikisorora
Cctv kama mimi.fisi kabisa😂
I thought I saw alone😂😂
Waaah am single forever
Huyo jamaa anawasanitize ndio ameangusha hiyo cd. The guy in black tisho anapretend kuwekea huyo dame maji then huyo jamaa anawasanitize anakuja nyuma ya huyo msee wa tisho ya black anadrop cd ata inasikika ikidrop. Hamjui kuscript ata wenye mmechukua hawajui kuact. Channel fake kabisa hapa napo nimewanasa Thee Pluto all the way
Ata mi nakula na macho broh jikubali😹😹
Hawa wababa wanachoma sana
Kikuyu ako na ass
Mimi siezi kukula na macho nakam right away 😂🏃
I love being a nyeri woman....🤣🤣🤣
The girl anamwangalia like 'boy if you mess up'😈
Boy child amechomaaaaaa😁😁😁😁😅
The guy gets a 10/10 from me from keeping a cool head #real G.
He didn't have a choice....uyo ni big momma
"Ama ni balloon leo utapuliza😹😹😹"
No simping out here😂😂😂
Kindly please give us part2
Naona Security 🤣🤣🤣🔥❤️
Woooow 🙄🙄🙄 Ooooh my God 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The lady anasoma nini na phone iko off
hahahaaaaa, hivi huko Kenya nani anaetongoza, mwanamke au mwanaume? mbona wanawake ni wababe sana huko??
Waa this gal 😳😳😳
Hahahaha 🤣😂🤣😂 akii boy hana say wallh
We need to see those texts on camera otherwise this looks like it's planned 🙃
Stage managed
Yes, iko staged managed angalia move ya msee wa tisho ya black...anaongezea dame maji alafu kuna vile anaficha huyo chali mwenye anasanataiziwa then huyo msee fake wa kusanitize anakaribia huyo chali then anadrop cd. Ata anaonekana akidrop na inaskika ikimake sound ya kuanguka huyo jamaa ni fake akwende kabisa
Uv noticed it hahah🤣🤣🤣
Utajua hujui🙆
Huyu boy ndo hajui, angejifanya ameshikwa na ugonjwa wa kutetemeka ,mrembo angembembeleza aamke
😂😂😂😂😂😂Dem ni fire
😂😂😂😂huyo boy aondokee tu...ikiwa marriage atauawa
Huyu dem si keki,😠😠😠😠
Mmeru bonoko😂Kijana ata Kama manzee..unamwagiwa hizo zote😒🙆..umetulet down💔..Ati 'ushaiona mkikuyu akona ass'😂 ata Gotv remote itauliza Ivo...nimeenda hivi narudi🚶
21:52 kuna kaboy amekota thao hapo chini yenu mkiwa mko madrama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂manze hakuna msee ameona bana comment mzima great video hawajaona taliban
Design amehepa like hajafanya kitu🤣🤣
huyo ni taliban
😂😂😂😂aaaah... upload many more..show zako hunibambaa walaii😂😂😂ever ziko na fight
𝑍𝑖𝑛𝑎𝑘𝑢𝑤𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑟𝑒𝑎𝑙😃😃
Haezi post yenye haina vita juu watu wanapenda drama so zile zenye ziko loyal hazipostiwi
Violence. She should be sued
If you are watching this 🙏😍 may God grant you all your heart desires
Amen
Same to you
Amen 🙏🙏
Amen
Amen
Give them the cash but don't subject couples to food competitions. It doesn't sound right.
Sasa wewe boychild,anglia size mwanzo ndio ucheat,""kuja hapa wewe"🤣🤣🤣🤣🤣am in love with the girl.
Then mkichapwa na mtu kama huyo you’ll start tweeting about GBV… double standards…
@@fredlucas1910 umeona huyo anaweza chapa mtu,hata chipo zinamshinda,ama pia wewe ni kama yeye 🤣🤣🤣🤣🤣
Msiba wakijitakia 🤣🤣🤣🤣🤣
Uzuri ni ile I don’t do kenyan ladies so I can’t be in that situation
Show lit by the guy talk to much
Ati wakikuyu hawana ass,av seen many with better,,she just want to cause dramas kwasababu Ni mnyeri,mtajuwaje
Aki,,,,,aty hatuna ass😢😢😢,,,hajui wako wamebeba na hawatangazi
Umeshawai ona msapere akona ass😃. Punchline
It's hard to find a loyal partner, but being single is cool coz no stress will affect you. Nowadays no trust but if you get someone who value you, you better take him/her in seriously,
the lady is fire she does not entertain nonsense.
Fireeee. Uyo boy child hana bahati leo
Hahaha kabisa ata mimi naweza fanyia mtu hivo
Hey n Kubad Hugo dem n mhot no nonsense
Ushawai ona mkikuyu akona ass🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I like how he kept his cool and did not return the slaps. This could have turn to chaos and GBV really quick if it was the other way round... Imagine someone shouting unataka kunimanhandle na yeye ndio anapigana😑
But even girls should not beat up boys
@@mzuribeauty4287 That's exactly what I explained
Lakini pia dem hana right ya kumpiga, kila mtu aheshimiane
@@roninx7530 That's what I explained I said if the man had raised a hand it would have been seen as GBV and people will be concerned. But the man kept his cool and did not return the slaps. Read my comment vizuri
@@masika4010 hawa hawaelewi kizungu yako 😆😆
Kuna jamaa amekuja na specks ,towards the end of the video,akachukua kitu apo chini😂😂😂🤣,ogopa juja
I literally come to UA-cam everyday to check the notification “someone liked your comment’’ and “you have a new subscriber’’ it’s always Make my day🤧💙
Kikuyus are now loosing their culture🤣😂 wanamea nyash😃
Mscheeeeeeew😂😂😂😂
Tulikuwa tumetulia then Simon boom🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@joycembugua4584 sio fiti,, they should go back to their roots😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Mm nimeanzia hapo juu kusom comment mpka nimechanganyikiwa sas ni comment nn n kilakitu mumemaliza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🏃🏃basi Wacha tukajadiki hili swala nyumbani🤣🤣🤣🤣🤣
ile ufala mko nayo nikufurahia watu waki kosana ujinga of high quality
this is scripted. i know this lady and last time I checked she was married with kids
Alaaah!!! Kwahivyo tumechezwa eeh
The ninja angeshinda hii race but the moment alisikia loyal test morale ikaisha🤣🤣🤣🤣
Hapo ni ukweli
@@abbygaelwanjiru1660 😁😁
Nmemuhurumia ak🤣🤣🤣🤣🤔🏃♂️
Appetite ilipotea🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
From the look of things,hii channel ni ya age group 18 to 24. Kindly if you are in this age group run to people who are late twenties and early thirties and learn from their mistakes. Insist advise from them.
Concentrate more on developing yourself.
The people hosting,are in their mid thirties have settled their families at home and now wako job kuchocha the early twenties and wasting their time.😂😂😂
Nani alimuashia ngwai juu skuona inhaler? 420 gang concerned.
This reminds me my days at campus, I assisted my friend with my laptop bag. When he returned it back I didn't knew he had placed "bullets" yaani "condom" in that bag. Wah when my girlfriend found out....the rest is history
🤣🤣🤣🤣🤣
ATI I need my inhaler 😅😅😅the guy in suit..why 😅😂😂🙌
Dada, unamkasirikia mwenzio anayekujali , nakukulinda akiwa nakinga na ku sifu makalio Yako anayo yachezea bila kinga,Sasa Usha jua mpo wengi na aliyekatika hatari zaidi ni wewe usiye tumia kinga, tafakari mpende mwenzio tumia kinga(KONDOMU).
Kabisa yeye anaweza kuwa analiwa bure
Did i just hear "ushaiona mkikuyu akona ass😂😂"
Ameniona kweli😂😂😂😂😂
Nimo come check mine ujue kuna wenye wako na fine ass
@@mishelwambui7318 🤣🤣🤣🤣,we don't mind comparing
Ata mimi nmeskia ivo😂😂😂😂
Pia mm nmebeba
Happy birthday to him(◍•ᴗ•◍)❤ drama after dram,,,, keep sanitizing the street 💯🔥
Ubaya wa mapenzi hakuna mtu ako safe,ukue mrembo,ukue unakaa vile unataka,thick,slim,😂😂🥴utachezwa ama uchezane ..
Aki🤣Asante Mungu wenye tunakaa vile tunataka
@@cess342 😂😂aaaii..haukai ivo
Camera man bona Usi zoom tuwaone vizuri kwani kazi yako ni gani Next time try to zoom wacha kulala apo alafu. Video mzuri kama hii time kidogo ata ija isha time kidogo bona 👊👊👊
Utakua unakula na machoo😂😂😂😂😂😂😂💔💔💔Wiiiiiiiiiiiii
😂😂😂 waaaaa me vle wanatupa chakula walai imeniwasha🤣🤣🤣
Wanawake wa nyeri we don't accommodate nonsense 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Walae
Yes we don't
I want this lady to be my husband mistress