JEMEDARI SAID AFUNGUKA ISHU YA BALEKE KUSAJILIWA YANGA / AMCHAMBUA KELVIN KIJILI NI MCHEZAJI BORA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 10

  • @AllyKiduka
    @AllyKiduka 25 днів тому +1

    Sura ya jemedari haiitaji kujuwa kuwa ni hasidi

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 25 днів тому

    Unajifunza wakati huu? Ally Kamwe alishapita huko siku nyingi sana.

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 25 днів тому +1

    Hivi kwanini Simba timu ya tatu kwenye ligi inazungumziwa kila siku kupita timu ya pili au bingwa? Hili ni tatizo kwa vyombo vya habari ambavyo zinaifanya Simba kujisahau

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 25 днів тому

      Kwani wana nini kingine cha kuongelea! Simba na Yanga ndo wanawaweka mjini

    • @AshimuMuhammad
      @AshimuMuhammad 24 дні тому

      ​@@errydeo8865Hajui boli huyo anaeshangaa Simba kuongelew na anajua ni nembo hapa Tanzania ktka mashindano yakimataifa so lazima idadavuliwe

  • @maribahanyora8478
    @maribahanyora8478 25 днів тому

    Umeulizwa kingine unaanza kuongelea mambo ya jana yaani unagubu sana

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 25 днів тому

    Acha hayamambo ya uchambuzi jielewe taama yako,( nifese ntakufahamisha usijali)

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 25 днів тому

    Uchambuzi huuwezi, ulisema Job mfupi hawezi kuwa beki lakini uliaibika, ulisema Yanga haitafika mbali kwenye federation, yanga ilifika final, ulisema yanga inaongozwa na kundi la wahuni, yanga ndiyo iko fire.

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 25 днів тому

    Pumbav, title nyingine, content nyingine, jinga kabisa 😠

  • @user-tp3nm1do6j
    @user-tp3nm1do6j 25 днів тому

    Huna lolote wewe,roho yako chafu mpuuzi tu