WANABANA PUA ETI MAULIDI BIDAA, HUO UJINGA WENU MUNASEMA MAULIDI BIDAA UISHE - SHEIKH HAMID JONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 268

  • @AmiryMwambashi-d4l
    @AmiryMwambashi-d4l Рік тому

    Mungu akuongoze mzee jongo

  • @sabkiunaasib194
    @sabkiunaasib194 2 роки тому +1

    Mashaallah sheikh wangu na Imam wangu wa masjid manyema Allah akuhifadhi na akulinde Kwa elimu yako pana upo vizui Allah akujaalie mwisho mwema.

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      Unamuombe mwisho mwema afe na bid'a? Na kwa vile bid'a inapendeza zaidi kwa iblis kuliko maaswiyya hawezi akaacha hiyo bid'a.

    • @salumdarwesh7322
      @salumdarwesh7322 2 роки тому

      Mwisho mwema ndio unaujua wew? Kwa nn usiitikie Aamin kwa kuombewa mwisho mwema shekh wetu ? Na kama umeona hayupo kwenye wema hapo kaombewa wema kwa nn usiitikie dua apate mwisho mwema kweli je hupendi apate ,,, Je upo kwa wema au khiyana? Hayo mengine ukitaka mfuate aloyasem na ushahidi muelezane halaf utuleteee majibu ,,,, Allah anasema waulizeni wanaojua ikiwa nyinyi hamjui,,, je wew wajua yote ? ,,,

    • @selemaniMbuguni
      @selemaniMbuguni 13 днів тому

      8:15

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 10 місяців тому

    Subiri bunge la katiba asemwe Nyerere ulie naona kazi hii haikufai

  • @salumdarwesh7322
    @salumdarwesh7322 2 роки тому

    Tuwaulize wanaojua ikiwa sisi hatujui ,,,, tusikae tukapinga mambo yenye manufaa na kuwakufurisha watu na kuwatia watu motoni kana kwamba mtu yeye ndio mcha Mungu na mtu huna elimu nalo Jambo ,,, kuweni makini dini ni pana sana

  • @KassimRamadhani-hh4fl
    @KassimRamadhani-hh4fl Рік тому

    Maashallaah

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 2 роки тому

    Tumche Allah,, sio siasa, hii ni dini, mtaulizwa na aliekuumbeni hayo mnayoyazua

  • @saidyusuf9245
    @saidyusuf9245 Рік тому

    Subhanallah hadithi zote zamtume hamupati moya ya kukumbusha mwatowa maneno bila yakuthibitisha dalili hiyo yaonesha wazi yakuwa hakuna dalili ya maulidi Mungu atuonewhe haki naturuzuku kuifuata na batili naturuzuku kuiepuka ammin ammin

  • @abdallahkaskas6168
    @abdallahkaskas6168 2 роки тому

    UKITAKA KUAMINI KWAMBA MTUME S.W AMEKUFA AU KAINTAQIL ILA RAFIQUL A'LAA
    REJEA KHUTBA ABUBAKRI( r.a)BAADA KUTAWADHWA UKHALIFA
    ALAFU JIHESABU WEWE NA YEYE NANI ALIKUA ANA MAHABA ZAIDI JUU MTUME WA ALLAH
    انا لله وانا اليه راجعون...

  • @bilallyhassani5165
    @bilallyhassani5165 2 роки тому +1

    Wallah Allah akulipe kheri

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 роки тому

    Jamaa anapotezea watu muda tu. Huyu mzee anazeeka vibaya.

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 Рік тому

    Wanaitwa masheikh alafu a hawatanabahi wamekua wabishi na washindani hakika sikio la kufa halisikii dawa toeni tafasir ya baranje tuelewe tuimbacho

    • @JoriJori-es2re
      @JoriJori-es2re 5 місяців тому

      Unatakiwa ksoma kwanza ndg siyo kuwakebehe mashekhe kwa kfuata mkmbo

  • @jumabeja956
    @jumabeja956 Рік тому

    MTUME SWALALAHU ALAYHI WASAALAMA ALIZALIWA NA AKAFUNGA SIKU YA KUZALIWA KWAKE
    HIVYO SUNA. NI KUFUNGA SIKU YA JUMATATU
    SI KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YA MTUME KAMA
    MANASWARA

    • @JoriJori-es2re
      @JoriJori-es2re 5 місяців тому

      Aliyekwambia hatufungi nan ndg yang

  • @binhussain3445
    @binhussain3445 2 роки тому +6

    Kwanini msiwaambie watu waache maulidi kwasababu inakhitilafu kwani lazima kufanya maulidi? Me naona nguvu nyingi itumike katika kuwafunza watu swala na Quran na tabia za mtume Swalallahu alayhi wasallam 🙏🙏🙏

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 2 роки тому

      Aaaaaa...unaweza kukaa kitako kwa kupindisha miguu

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 роки тому

      Usipo fanya unadha kuna mtu atakusumbua

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 2 роки тому

      Kwani tatizo ni jina maulidi au yaliyomo?? Kama limo linalofanywa ndani ya maulidi na halifai semeni tu

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      @@ismailmsangule1380 sasa mmeona kuwa Maulid ni tatizo, mnaiita kumswalia mtume.
      Hakuna anapinga kumswalia Mtume swala na salamu zimuendee, kinachopingwa ni hiyo bid'aa ya birthday ya Mtume ndio shida kwasababu hamjatanguliwa na wema wa umma huu

    • @salumdarwesh7322
      @salumdarwesh7322 2 роки тому

      Ukiona halikufai wew liache ,,, piaa kusoma muhimu watu watafute elimu cyo wanakurupuka kupinga au kukubali wasiyoyajuilia kujua Hadith mbili 3 haimaanishi ushakua shekh na wajua mambo yote tuwe makini na tunayosema na kuwatia watu ukafirini tusijitakase nafsi zetu Allah ndio mjuzi zaidi

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 2 роки тому +3

    Ukiona povu ujuwe sabuni imekolea vizuri

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 2 роки тому +1

    كم من مريد للخير لن يصيبه

  • @suleimanabdalla5022
    @suleimanabdalla5022 2 роки тому

    Hajielewi you Mzee

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 роки тому +1

    Amebadilisha maada. Kuzaliwa mtume s.a.w sio bid'a lakini kutengeza sherehe ya mazazi yake na kusema ni ibada ndio uzushi (bid'a)

    • @JoriJori-es2re
      @JoriJori-es2re 5 місяців тому

      Kwann ibada nn mwalim watu kipenz

  • @hatibhatib5760
    @hatibhatib5760 2 роки тому +1

    Bora fiesta kuliko maulid

    • @abutwalhar613
      @abutwalhar613 2 роки тому

      Dah mashekhe wetu Hao mashaallah

    • @mbaroukame2834
      @mbaroukame2834 2 роки тому

      Mpeleke na ndugu yako huko fiesta ndio utajua lipi bora.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      Kama Haujazaliwa Nje Yandoa. Basi Utakuwa Wazazi Wako Hawajaomba Dua Wakati Wanakusaka. Ama Utakuwa Ulivyozaliwa Ujaaziniwa. jichunguze.

  • @shamterashidi726
    @shamterashidi726 2 роки тому

    Hilo nalo neno

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Рік тому

    Mawahabi ni pote ovu liloanzishwa na Muhammad Abdul wahab miaka 250 iliopita na wanachukia sana kumtukuza mtume na kutaja sira yake mawahabi ni moja ya tatizo kubwa kwa sasa

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 роки тому +2

    Ndio maulid ni bidaa'Mbona hili halina shaka. Hakuna hoja ya kulitetea hata kama nyinyi hamkubali.Ni bidaa' shekhe.

  • @kikosahani7937
    @kikosahani7937 2 роки тому

    What about Christmas is BIDAA

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 2 роки тому

      Kwani Christmas ilianza lini??? Na je tarehe wanayosheherekea ni tarehe hakika???

  • @Aqdaam
    @Aqdaam 2 роки тому

    Pinga hadi UFE .....
    MAULIDI yali somwa, yana somwa, na yata somwa.....

  • @taturajabu8377
    @taturajabu8377 2 роки тому +1

    Hatujui tunaenda wapi hakika,tumche Allah yeye ndye anajua mkamilifu ni nani,inshallha

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 роки тому

      Wewe ndio hujui uende wapi sababu ya kukosa ilmu na akili. Mtume s.a.w akuambia fuata maamrisho ya Quran, sunnah yangu na sunnah ya khulafai rashidiin. Simple. Achana na uzushi na utafaulu duniani na akhira

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      Halafu unaposema "yeye ndie anajua mkamilifu ni nani" unamaana kwamba kuna wakamilifu katika binadamu! Jambo ambalo halipo sawa, wanadamu wanamapungufu na wala si wakamilifu.
      Ukamilifu ni wa ALLAH pekee yake.
      Imanaana hata kwenye maneno yako kuna migongano ya kupatia kauli. Watu wasome dini yao waijue, na hii ni nasaha kwangu kwako.
      Mambo ya kushabikia mabid'a hayatokunufaisha. Na ushaona watu wanakosea kumkosoa huyu jaahil.
      Allah akuongoze.

  • @hamadsalim5641
    @hamadsalim5641 2 роки тому +1

    Huwezi kufananisha Jambo JENGINE ili lako Lowe la halali la maulid munafanya kwa SABABU munapata maslah binafsi TU SIKUWAH KUSIKIA HATA SIKU MOJA WAKATI MASHEHE WA ZANZIBAR WAKO JELA IKIWAONGELAA KATIKA MAULID YAKO SHEHE HUJATIA BUSARA KABISA

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 роки тому +1

    Mjomba ake na nyelele uyu alimlilia kule bungeni habari zako tunazo shekhe

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 роки тому

    Shekh huyu si ndo alilia kwa ajili ya Nyerere?

  • @salumnuhu9066
    @salumnuhu9066 2 роки тому +2

    Huna hoja za kimsingi Babu

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 Рік тому

    Kupiga magoma kwao na kwa wakristo wa African divine mbona ni sawa tu , Bidaah jamani, Maulid ni upuuz

  • @chidolakhatib7847
    @chidolakhatib7847 2 роки тому

    Umetumia neno la ujinga sio kitu kizuri kwa kweli tuchunge ndimi zetu

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      Sio yeye ni waandishi wanaoandika headline hao

    • @chidolakhatib7847
      @chidolakhatib7847 2 роки тому

      @@maryamalli9090 ni yy mwisho katumia hilo neno

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      Mjinga Hujifunza Hamnashida.

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      Inafaa kutumia hilo neno ikimaanisha ni mtu asiye na 'ilmu. Ila hapa kamaanisha jeuri maana anaowaita wajinga au waache huo ujinga anajua fika kuwa huwa wanapinga kwa hoja zilizomo ndani ya quran na hadiyth. Watu wa baatw'il huwa mara nyingi hawatumii hoja ila hutumia hoja zenye mfanano ili wawachanganye watu na kuwapambia watu jambo lao na hii huitwa TALBIYSI sio hoja.
      Mfano haya Maulid yalipopigwa vita wakabadilisha jina wakaita kumswalia Mtume.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      @@mundhirhassan2708 Maana Halisi Yamjinga Nimtu Anaeweza Kujifunza. Mjinga Sio Tusi Endeleeni Kujifunza Nasikila Kukanusha. Usipende Kujiingiiza Katika kundi "MANN JAHILA SHAIANN AADAHU" Mtu Hukanusha Kitu Maadamu Akijui. Kumbe Sikila Usichokijua Wewe Nibidaa Au Kharamu.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 роки тому

    Nini ndugu yangu ulilia bungeni kulilia madaraka

  • @hamadimussa2119
    @hamadimussa2119 2 роки тому

    Huna jambo zaid ya vichekesho kuwachekesha watu wako

  • @fatmamuhamad3762
    @fatmamuhamad3762 2 роки тому

    Asalamu aleikum ni Bida tu hiyo

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 2 роки тому

      Roho zinawauma kwa sisi kumfurahia Mtume SWA
      Haya tunawaombea dua
      Mwenye EZ Mungu awaondelee
      Chuki na husda

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 2 роки тому

      Kwani bidaa ngapi unafanya

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      @@ismailmsangule1380 hii hoja hata Abuw jahli hakuiulizia, hajawauliza maswahaba baada ya kuslimu *kwani nanyi si mlikuwa huku kwenye shirki?* Kwasababu si hoja, we umeambiwa ni bid'a unatakiwa kutoa hoja za msingi.
      Kwa bid'aa ni bid'aa sasa hapa unatakiwa kutetea kwa hoja, na hipati. Mana ukikataa kama sio bid'aa maana yake inaitia katika sunna, na ukisema hivyo basi tunakutaka dalili wapi Mtume kaamrisha au kafanya. Basi. Hakuna nyongeza ya swali.

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      @@khaliphaabubakar9466 na'am roho zinatuuma hatukatai bali zinatuuma kwasababu ya kuharibiwa dini ya Allah kwa jambo ambalo halikuthibiti katika dini ya uislamu, chimbuko lake ni kwa mashi'a wa baatwiniyyah ambao ni makafiri ndio walioanzisha na wakapokea masuwfi.
      Pili inatumia kwasababu ya kupotezwa ndugu zetu waislamu na watu ambao wanajali maslahi ya matumbo yao. Na kama itaondolewa ubwabwa Maulid yanakufa hayafanywi tena.

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 2 роки тому

      @@mundhirhassan2708 wewe una haki gani ya kuita watu makafiri?
      Kama kumsifia Mtume SWA inawauma basi mstahamili tu.
      Ukiwa na imani ya thati na kama mnavyo dai mnafata Quran na Sunna
      Lazima umpende na kumfuata Mtume wetu SWA.
      Allahu Barik

  • @sherallysherally1203
    @sherallysherally1203 2 роки тому +2

    Sheikh, Ittaqillah.
    Kwenye Maulid zenu HAKUCHEZWI MICHEZO KAMA YANAYO CHEZWA KWENYE FIESTA???

    • @jumatano242
      @jumatano242 2 роки тому

      Hamueleweki mnapinga maulid kwahoja gani kucheza, ubwabwa, au nn hoja yenu nini watu kukusanyika na kumswalia mtume s.a.w

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 роки тому

      @@jumatano242 juha wewe. Salia mtume kila wakati na kila siku. Nani akuambia ngoja siku mazazi yake ndio mkusanyike na "msalie mtume" use your brain

  • @isihaqarajabu8374
    @isihaqarajabu8374 2 роки тому +7

    Maulid yatabaki kuwa bidaa mpaka kiama kinasimama,kwahio mpaka ukaamua kuifananisha na fiesta kabisa huu mtihan sana,hakuna ushahid wowote kuwa maulid yanafaa na hao waliokusanyika hapo ilibid gan waende mbona sisi tupo nyumbn na tunamswalia mtume?

    • @luqmanajmalhiqmal4540
      @luqmanajmalhiqmal4540 2 роки тому +2

      We huna elimu wala humjui Mtume [ s,a w]

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 2 роки тому

      Acha usenge wewe na ushoga,,, wewe wajua bidaa

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 2 роки тому

      Sawa hakuna ushahidi wa maulid kua yafaa,,, wewe type dalili maulid haramu,,, km kuna aya na hadiith isemayo maulid au mazazi ya mtume ni haramu? Tupe ndg km ipo dalili mimi leo naacha maulid ntavifata viwahabi

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      Tupe Aya Au Hadithi. Hatuhitaji Maneno Yasio Namashiko.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 2 роки тому

      @@nurdinmfamau3493 wewe mashiko yako yawapi km maulid hayafai?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому

    Innalillah!!

    • @ibniabdalla4817
      @ibniabdalla4817 2 роки тому

      Nani kafariki tena huko kaka yangu nao innalillah

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому +1

      @@ibniabdalla4817 "Al'ladhina idhaa aswaabahum Musweeba qaaluu Innalillah,,,,,",sasa kasome UK 349 wa kamusi ya Kiswahili Karne ya 21 toleo la pili 2011 chapa 2013, uone neno Msiba limefasiriwa vipi,,,,Kwahiyo si lazima kuwe na kifo Tu!!

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 роки тому

      @@jumakapilima7295 pole

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      @@adamhashim3352 pole na wewe

  • @samirsaid762
    @samirsaid762 2 роки тому +7

    Fundii huyuuu
    Allah ampe umr mrefu tuendelee kufaidika na elimu yake

    • @hamadfaki2503
      @hamadfaki2503 2 роки тому

      Naam huyo ni fundi wa kupinga sunna za Mtume Muhammad alayhissalam

    • @muhidinally3753
      @muhidinally3753 2 роки тому

      Huyu ana elimu ya kupotosha. Kama alivyosema sheikh Mziwanda baada ya muda kutokana na kukosa weledi na umaskini wote tutakuwa Washia

    • @salumdarwesh7322
      @salumdarwesh7322 2 роки тому

      Aaamin

  • @nasirhamadi8027
    @nasirhamadi8027 10 місяців тому

    Wee muhuni hakuna alokuwa hakujui huna ushekhee wowote pimbi wew

    • @JoriJori-es2re
      @JoriJori-es2re 5 місяців тому

      Umepata Dhambi ndg yang kwan kakukosea nn ktk mazngumzo yake

  • @asriyaaljabry27
    @asriyaaljabry27 2 роки тому

    Ht bibilia imekataza nyimbo vinanda haram kumadhimisha uzawa kufata matendo yake siku hizi mpaka mnatia aibu kucheza km mpo disco huo si uislam

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze 2 роки тому

    Mchumia tumbo!

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 2 роки тому

    Hivi kwa Nini kushikilia mambo yenye mashaka?

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      Acha Wewe. Pumzika Nafamilia. Tuache Na Kumswalia Mtume Wetu.

  • @أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد

    Weye mwenyewe mjinga kumbe

  • @allypapaa489
    @allypapaa489 2 роки тому

    Sheikh wa Mchongo!
    Huna Dalili huna Chochote!

    • @meekman1805
      @meekman1805 2 роки тому

      Manyang'au wapenda ubwabwa wamekomaa kwa maulidi. 😁

  • @saidnassor5655
    @saidnassor5655 2 роки тому

    Huyu ni Shekhe kweli yani hajuwi anaongea nini na atawa dalili ya uwingi kama watu wa jaahiliyya

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 2 роки тому +1

    Kwahiyo mtume hajafa au?

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 роки тому

    Hata mfanye nini bakwata imepoteza heshima yake kuuza mali za uma kiwanja cha changombe mmeuza hamna haya hamna uchamungu mmeuza njumba za wakfu zamisikiti mpo madarakani kutokana kwa nguvu za dola lakni hatakiwi

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 2 роки тому

    Nimewaadhika , maulid ndio kheri ya waislamu

  • @bemindfulofurswalah
    @bemindfulofurswalah 2 роки тому

    Mtume salalahu caleyhi wasalam alifunga siku ya jumatatu alipoulizwa akasema ni siku ambao nimezaliwa na siku ambao niliteremshiwa wahyi!! Sasa ni wapi mtume salalahu caleyhi wasalam akasherekea maulidi? Mbona unadai unampenda mtume na kisha unamkhalifu

  • @Abusalim308
    @Abusalim308 2 роки тому +1

    Kumbe wagonjwa wa akili wapo wengi

    • @mtorosenga1272
      @mtorosenga1272 2 роки тому

      Mgojwa wa akili ni wewe usiyekua na elimu

    • @Abusalim308
      @Abusalim308 2 роки тому

      @@mtorosenga1272 mimi najielewa na nimesoma ndomaana nimekaa mbali na upuuzi kama huo

    • @mtorosenga1272
      @mtorosenga1272 2 роки тому

      Ungesoma walau ukawa na elimu ya iptidayya usingepinga maulidi.hivyo kasome dini usisome aqida

    • @Abusalim308
      @Abusalim308 2 роки тому

      @@mtorosenga1272 kwa taarifa yako ni shahada ya Al iptidai, ni Almutawaswit nina thanawy . Alhamdulillah nimefuta ijinga siwezi kuburuzwa kama wewe

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 2 роки тому

      Kwakua ni mjinga wa kusoma na hutaki kusoma ndiomaana hata maneno ya Mtume unayaona kama kwamba yametoka kwa mtu asie na akili. Soma kwanza

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 2 роки тому +2

    Bora mzinifu na mlevi kuliko anayemfanyia birthday Mtume Muhammad salla llaahu alayhi waalihi wasallam

    • @mahammoudhaji
      @mahammoudhaji 2 роки тому

      Mh!maneno yako ni mazito

    • @mbaroukame2834
      @mbaroukame2834 2 роки тому

      Una uthibitisho wa kauli yako.

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 2 роки тому

      Na wewe ni bora kuingia Motoni kuliko kuingia Peponi.

    • @Nufaila442
      @Nufaila442 2 роки тому

      Hii nyundo haswaaa

    • @khamisisaidi5267
      @khamisisaidi5267 2 роки тому

      Weyee waonekana ni mtoto wa zinaa Mal uun mkubwa huna adabu na mtume weyeee ungelikuwa karibu ngalikutoa meno

  • @zawadihussein4018
    @zawadihussein4018 2 роки тому

    Kumbee kumpenda mtume hutakiwi kusema mtume kafaa..au amefariki...?
    Vipi hii Aya isemayo كل نفس ذائقة الموت
    Ina maana gani

  • @ibniabdalla4817
    @ibniabdalla4817 2 роки тому +1

    Maulidi ni bidaa wala halipigiki hilo.....mtume mohmad sw hakuzaliwa mfunguo 6 mwenye maandiko adhibitishe hapa kama nasema uongo mimi nyinyi mashekhe munao sema maulidi ni sahihi mupo kwa maslahi yenu binafsi na familia zenu (mashekhe ubwabwa)musi wadanganye waislam kwa maslahi yenu binafsi mutaenda kujibu kesho akhera

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 2 роки тому +1

      Ndugu yangu swali la Mtume kuzaliwa mwezi gani ni jambo lenye khitilafu kwa wanavyuoni so huwezi kuliletea shida kama unavyodhani.

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 роки тому

    Janga kubwa ni uwepo wa taasisi yenu Bakwata

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 2 роки тому

    Mswiba

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 2 роки тому +3

    Hili zee hamna kitu kichwani

    • @jumatano242
      @jumatano242 2 роки тому

      Wewe mara kumi yake

    • @Abuuabdillah259
      @Abuuabdillah259 2 роки тому

      @@jumatano242wote hamjielewi

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 2 роки тому

      Wewe huna adabu kabisa ,kwanza lugha hiyo unapata wapi?? uislamu gani unakufundisha Kutukana wanawazuoni???

    • @Abuuabdillah259
      @Abuuabdillah259 2 роки тому +1

      @@iddyjohn1032 kama wanawazuoni ndio hawa watu ambao hata udhu wao hawaujui tusubili kiama

  • @jamallmwalim6629
    @jamallmwalim6629 2 роки тому +1

    *kwan munadhani wingi wenu ndio haqqi nynyi munaakili kwael kama kweli muko na akili musengekata viuno mbele za wanaume wenzenu*

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 2 роки тому

    Tafiti zinaonyesha kila penye watu wa4 kuna mgonjwa wa akili mmoja

  • @mundhirhassan2708
    @mundhirhassan2708 2 роки тому

    Watu hawazungumzii kuzaliwa ni bid'aa bali huko kufanya sherehe ya kuzaliwa, mbona hujielewi mzee, na huku ni kuzeeka vibaya

  • @samirsaid762
    @samirsaid762 2 роки тому +2

    Mda mchache niliokaa kwake nimefaidika na mengi

    • @zawadihussein4018
      @zawadihussein4018 2 роки тому

      Kweli umefaidika na upuuzi mwingi kutoka kwa huyu munaafiki Alie liaa na kutoa machozi bungeni kwa sababu Kuna kafiri mmoja alitukanwa yeye kwa kumpenda huyo kafiri akatoa machozi

  • @abdulhafidhtalib2226
    @abdulhafidhtalib2226 2 роки тому

    Kwahy ndo hoja zako mzeee mbona hoja za kina mama

  • @jamallmwalim6629
    @jamallmwalim6629 2 роки тому

    *ebu mche Allah ww ebu tuaambie ni nani amewafundisha maulidi na tuambie NAWAAQIDH za maulidi Yani vitenguzi vya maulidi na mutwambie nguzo za maulidi*

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      Hahaha hawawezi jibu hilo kattu!
      Ila kuna nguzo moja hiyo ikidondoka maulidi yanakufa, yaani ubwabwa.
      Pia waulize "nyinyi ni watu wa kudhihirisha nia kwenye ibada na maulidi mnadai ni ibada, je mbona hamtamki nia ya maulidi? Mbona hapa watu wa maulidi wanajikhalifu wenyewe

  • @AbdulKareem-rq2uv
    @AbdulKareem-rq2uv Рік тому

    Hata we unasema maurid bidaa basi na na ww utabaki kuwa bidaa mpaka kiyama sababu hata ww umezuka tu

  • @hamzasima
    @hamzasima Рік тому

    Hakuna ulicho ongea sheikh itaqillah hayo ni haramu wala hayanasibishwi na dini bidaa ni kuivalisha dini ww sheikh itaqillah yaa sheikh

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 2 роки тому

    Masufi mmeishiwa na hoja mnaongea utumbo siku hizi. Hebu muwe mnachagua watu wenye akili kuongea. Sasa ndo nn kwamba uepo wa fiesta ndo ufanye maulidi isiwe bidaa. Akili zenu finyuu sana kwa kuwa mmeikataa sunna

    • @salumdarwesh7322
      @salumdarwesh7322 2 роки тому

      Mwenye akili ni wew bora ukatuongelee hem fanya haraka tusikose mambo muhimu ,,, changamka ukaongee ya maaana shekhe mkubwa na mcha mungu wetu

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 2 роки тому

    Labda kilugha neno maulidi?

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 2 роки тому

      Maulidi kiugha ni mazazi. Mazazi iwe ya binaadamu,majini au wanyama.

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 2 роки тому +3

    Ndio ni bidaaa na ndiosababu mnaitetea kwa nguvu kubwa 🤣🤣🤣

    • @ramadhanihashim3945
      @ramadhanihashim3945 2 роки тому

      Nin maana ya bidaa

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 2 роки тому

      Uthibitisho wa kua Maulidi hayafai tunaomba

    • @Nufaila442
      @Nufaila442 2 роки тому

      @@ahmadzubeir3363 ni swahaba gani tunaye mjua aliyasoma haya mambo yenu ya uzushi

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 роки тому

    Maulid kama si Bid'ah ni nini?

  • @AbdulKareem-rq2uv
    @AbdulKareem-rq2uv Рік тому

    Ww unaesema maurid ni bidaa hunaelimu ww nenda kasome vzr hata miaka 9 ili ujuwe raha ya kumtukuza bwana mtume

  • @mundhirhassan2708
    @mundhirhassan2708 2 роки тому

    Hakuna hoja kaitoa hapo. Bali ni shubuha tupu na shubha si hoja ni kuwafanyia watu talbiys, kuwafunikia mambo waislamu. Na hii ni ghish, na ataukizwa juu ya hilo.
    Hawa watu wa Maulid wanafanana zaidi na wakristo juu ya hili, kwasababu wanaswara wanaosherehekea mazazi ya 'isaa na wao wanasherehekea ya Muhammad swala na salamu zimuendee. Kwa hili wamejifananisha nao.
    Pia mazazi amesherehekea ammi yake Mtume swala na salamu zimuendee huyo Abuw lahabi kwaiyo huyo ndie salafi wao kwa maana ndie mtangulizi wao, na hii Maulid ni sunna ya Abuw lahabi ndie alieshereheka. Kwahivo hatuna shaka kupigia mfano fiesta Maulid yao

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 2 роки тому +1

      Kwani kufanya kitu ambacho makafiri wanafanya haramu?? Na je kuna dhambi??? Na je kwa ushahidi gani???

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      Ndio maana Mkaitwa Wajinga Kwasababu Ujinga Sio Tusi Bali mjinga Anaweza kujifunza. Mnapinga Kwa hawaa Zenu Hamna Ushahidi Wa Qur'an Wala Sunna Mtuache Kidogo.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      @@mundhirhassan2708 Mnazisabihisha Hadithi Namahali Si Swarah Kuzinasibisha. Ili kuuondoa Ujinga Nikusoma Nasikila. Nasikila Kukikharamisha.

    • @mundhirhassan2708
      @mundhirhassan2708 2 роки тому

      @@nurdinmfamau3493 ila hatujawahi sikia mtu wa maulidi kakiri kuwa mtume swala na salamu zimuendee kufanyiwa zama zake, na wala hatujawahi sikia kuna maswahaba walifanya baada ya kufa kwake, kwahivo sisi tupo nao hao ambao hawakufanya, wewe ambaye unaweka dalili mahala pake hebu waambie hao maveve wako wakupe uo ushahidi ambao ni swaraahatan wa maulidi bila ya kuegemea aya ambazo ni kuwafanyia shubha watu kama mtaweza, kitasimama qiyama hampati.
      Bali sisi tuna hadiyth na aya ambazo swaraahatan zimekuja kukataza watu kuzusha katika dini, na laana juu wa wazushi kama wasoma maulidi,
      Mfano tu,
      خالفوا اليهود والنصارى....
      Wakhakifuni mayahudi na manaswara...
      Hii ni amri ya Mtume swala na salamu zimuendee, ambayo anakataa watu wasijifananishe nao, kwa idi zao, ibada zao, maongezi yao, mavazi yao na mengine mengi. Ukija suwfiyyah, watu wa maulidi wanasherehekea kuzaliwa kama wanavyosherehekea manaswara kuzaliwa nabii Isa, masuwfi wanasherehekea mwaka mpya kama wanavyosherehekea manaswara mwaka mpya wa miladi.
      Nani wamefanan na hao makafiri??
      Nani wameweka dalili za quran na Sunnah mahala so pake?
      Hujitambui ndugu.
      Na ndio maana ya maneno ya ibn tayymiyyah Allah amrahamu, "mtu wa bid'aa haji na hojja ispokuwa inamrudi yeye mwenyewe.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому +1

      @@mundhirhassan2708 Wewe Umeyaona Ya Maulidi Tu. Kunavitu Vingapi Vinafanyika Nawakati Wabwana Mtumi Havijafanyika. Tukiwa Katika Maulid Tunakumbushana Mema Mema Nakukatazana. Tunakutana Najamaa Zetu. Tunakula Nakufurahi. Nichuki Nahasadi Zinazoendelea Kwenu Hata Mashiko Hamna. Hata Mswahafu Wakati Wamtumi Haujakuwepo Nasasa Tunautumia.

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 2 роки тому

    Huyo ndo kiongozi anaongea utumbo hvoo haya hao maamuma wasemaje jmn

  • @zawadihussein4018
    @zawadihussein4018 2 роки тому

    Hivi huyu sie alie lia bungeni kwa sababu Kuna kafiri mmoja alitukanwa yeye kwa kumpenda huyo kafiri akatoa machozi

  • @saidnassor5655
    @saidnassor5655 2 роки тому

    Hakuna elim hapo porojo tuu towa aya au hadithi au maneno ya maimam acha kupoteza waislam

  • @saidyusuf9245
    @saidyusuf9245 Рік тому

    Babu je maswahaba hawa kufahamu dini nyie ndio mwajuwa dini zaidi mwasema bila yadalili ateni kuzuwa kwenye dini

    • @JoriJori-es2re
      @JoriJori-es2re 5 місяців тому

      Kwan kosa la maulid nn haswa hata ukasema hayafai?

  • @thegreatmind9178
    @thegreatmind9178 2 роки тому

    Sheikh dini ni kwa hoja wacha tuwe na debate halafu tuone dalil zenu

  • @aboubilal3926
    @aboubilal3926 2 роки тому

    Hebu leo tujaribuni kuuzima ubishi...
    Je, Mawahabi ni kina nani?

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 роки тому +1

      Wanaita wahabi mtu yeyote wa kuiga na kutetea sunnah ya rasuul s.a.w

    • @aboubilal3926
      @aboubilal3926 2 роки тому

      @@mohagurey2214 Kama ni hivyo basi wangewaita Muhammadiyah (jina zuri sana ambalo hakuna Muislamu atakeyelikataa)

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 роки тому +1

      @@aboubilal3926 wakifanya hivo basi watapoteza wafuwasi so lazima ikuwe wahabi. Uliza tu namna ya kujuwa mawahabi, 1: wanapenda kuacha mandevu na kunyoa masharubu 2: kanzu Yao huwa juu ya ankle 3: wanapenda kupinga bid'a (uzushi katika dini) na kadhalika, ndio dalili ya mawahabi na hayo ndio sunnah ya mtume s.a.w

    • @aboubilal3926
      @aboubilal3926 2 роки тому

      @@mohagurey2214 Kwa hiyo Uwahabi wanamaanisha sunnah?

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 роки тому

      @@aboubilal3926 mia kwa mia

  • @jamallmwalim6629
    @jamallmwalim6629 2 роки тому +2

    *wewe na ABUU BAKAR nani anampenda mtume nilini walikusanyika wakafanya huo ujinga icho kiuno Chako utakwenda mkatia uyo alikwambia ufanye uzushi wa maulidi*

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 2 роки тому

      Lini walikusanyika wakashindana kusoma quran kisha wakapeana zawadi? 😅

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 роки тому

      @@ikabako2454, Kuna mambo mengine hayakufanywa lkn mazuri mfano mashindano ya Qur-an. Sunna ili iwe sunna iwe ima Mtume s.a.w kaifanya mwenyewe au wamefanya maswahaba na yy akaikubali (inamaanisha kipindi cha uhai wake). Ssa Qur-an imekusanywa baada ya kufa Mtume s.a.w kwahio tuseme bidaa???

  • @YusufYusuf-vk7hi
    @YusufYusuf-vk7hi 2 роки тому

    Shekhe mbona kama wewe ndiye unaebana pua mbwembwe nyingi kazi kuchekesha watu tu. Vijana wenu kazi yao kukata viuno mbona hamuwakatazi

  • @FahadAli-ig7kp
    @FahadAli-ig7kp 2 роки тому

    Sheikh hapa unachanganya mada hakuna sheik hata mmoja alie sema kuzaliwa kwa mtume muhammadi ni bidaa ila masheikh wanasema kua maulidi ndio Bidaa

  • @saidisalum1514
    @saidisalum1514 2 роки тому

    huyu ndo hajui kabisa yani kwavile viesta ni mbaya zaidi akaona ahalishe maulidi heti kwasababu haifanani na fiesta hujui kwamba hata ukafiri unatofautiana

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 2 роки тому

    Kwa kweli huu ni msihani mkubwaa! Sasa maulidi kama si BIDAA ni nini! Ikiwa Maswahaba walioswali nyuma ya Mtume hadi nao wameondoka hakuna hicho kinachoitwa Maulid sasa Muelewe nyie Makhulafiii! Toweni hoja ktk kitabu au sunna za Mtume ili tukueleweni sio blaa blaaa tu!

  • @jamilahamis2462
    @jamilahamis2462 2 роки тому

    Wanao fnya maulidi ndio kundi la mtume msw wengine makafili Kama mashia

    • @Ibnukhaalid
      @Ibnukhaalid 2 роки тому

      Maneno yako ni hatari sana,hebu tazama unavyo wakufurisha watu wengi pasina hoja,maneno yako yanawalenga pia maswahaba kama vile Abuu Bakr, umar,uthmaan, Ally... Hawa na wengine wengi hawakufanya maulidi hivyo kwa kauli yako hiyo hawa wote ni makafiri! NAKUNASIHI KUYAFUTA MANENO YAKO HARAKA IWEZEKANAVYO KISHA KUTUBU KWA MOLA WAKO.

    • @hamadfaki2503
      @hamadfaki2503 2 роки тому +1

      @@Ibnukhaalid Mtume alayhissalam anasema"yoyote anaemuambia Muislam mwenzake ewe kafiri neno hilo linarudi kwa mmoja kati ya wawili hao"ikiwa aliyeitwa kafiri anastahiki kuitwa kafiri litampata neno hilo, kama hastahiki kuitwa kafiri linarudi kwa alietamka. We endelea tu kutuita makafiri mwisho wako utaona.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 роки тому +1

      Allah amekusikia..ukiwa uyasemayo sio uhalisia,basi hio kauli itakurudia.

    • @azamomar9920
      @azamomar9920 2 роки тому +1

      @Jamila Hamis Allah akuhifadhi kwani hujui usemayo bali nimihemko ya kiimani bila ya elimu touba ndo jambo muhimu kwako muda huu nakaa ukijua kwamba kila neno unalo ongea japo ni dogo kama punje ya ulezi utaenda kuulizwa na Allah sidhani kama utakuwa tayari kuwaita maswahaba wa mtume muhammad s.a.w nao ni makafiri kwa sababu hawakuhi kukusanyinka kushereheekea siku yake yakuzaliwa yani kufanya maulidi. Allah akusamehe nakuongoze ili uweze kubaini haki na upotevu.

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 2 роки тому

      Ww acha bang

  • @kadizosea6250
    @kadizosea6250 2 роки тому +2

    wanapinga maulidi ila pilau la maulidi wanakula tunawajua na vikanzu vyao vimini

    • @fadhiliharuna3934
      @fadhiliharuna3934 2 роки тому +3

      Subhaan llah ndugu yangu usikebehi sunna za mtume, usione unawatusi nakuwachafua wanaovaa kanzu fupi bali umemchafua nakumkebehi huyo Alie amrisha waislamu kuvaa hivyo. Nae ni محمد صلى الله عليه وسلم acha ushabiki bali wape hongera walio muiga mtume na wape pole wale walienda kinyume na mtume nakuwaombea Dua Allah awaongoze.

    • @sulemuntary6846
      @sulemuntary6846 2 роки тому

      Tatizolenu hamutaki kusoma ndomana munamlaumu huyu Mzee
      Mnazijua bidaa nynyi

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 роки тому

      Mche Allah nasema lililo la haq kama hauna chakusema nibora ukanyamaza

    • @jumatano242
      @jumatano242 2 роки тому

      @@fadhiliharuna3934 mnazidi vikanzu bhana tusikebehi nn mbona nyinyi mnakebehi maulidi

  • @mohamedswaleh6778
    @mohamedswaleh6778 2 роки тому

    Xx huyu amepewa mic yanini ajielewi

  • @mohammedlipindula5415
    @mohammedlipindula5415 2 роки тому

    Hii dini niya Allah nasio yabinaadam yeyote kwahiyo msilete kejeli nahao panyarodi niwatoto wenu masheikh kama nyie wapenda dunia

    • @salumdarwesh7322
      @salumdarwesh7322 2 роки тому

      Hata wew waweza kuwa nae hata zaidi ya huyo panya road ,,,, kama unajua kuwa dini ni Ya Allah basi usiseme mambo usiyoyajua unaweza kutupa ushahidi wa hayo unayoyasema hapo au umeamua tu mapenzi yako kuongea hayo kuwa makini

  • @mohamediabdirashidi1099
    @mohamediabdirashidi1099 2 роки тому

    Uozo mtupu mtapata tabu sana yaumul qiyama

  • @ibniabdalla4817
    @ibniabdalla4817 2 роки тому

    shekhe mjinga ni wewe mwenyewe..tupe hadidhi au maandiko yanayo sema mtume mohmad kazaliwa mfunguo 6 huo munaosema muna mswalia mtume mohmad sw..hatuogopi kusema maulidi nibidaa na hakika ya bidaa ni motoni...acha kutudanganya hapa lete maandiko yanayo halalisha maulidi

    • @ibrahimabdallah9505
      @ibrahimabdallah9505 2 роки тому

      Hivi kuna bidaa ngapi zinafanyika na mnaona halali? Hivi kuna mtu anayejua umuhimu wa quran zaidi ya mtume? Mbona tunafanya musaabaqa wa quran? Wapi mtume au maswahaba walifanya musaabaqa wa quran? Hizi ni ijtihada tu tuwache ushabiki.....

    • @ibniabdalla4817
      @ibniabdalla4817 2 роки тому

      tupeni maandiko yanayo halalisha maulidi achakuzukuka zukuuka hapa

    • @ibrahimabdallah9505
      @ibrahimabdallah9505 2 роки тому

      Mtume Muhammad ye mwenyewe alijisomea mawlid na maswahaba wakafwata na sisi tukajifunza kutoka kwao..ama unafikiri nani wa kwanza kueleza mazazi ya mtume?

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص 2 роки тому +1

    Wacha kuvuta bangi wewe mwehu!

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 2 роки тому

      Bangi anavuta na baba yako mzazi?

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 2 роки тому

      @@mohamedhamismagoraonlinetv459 babako eti? Hhhhhhhhhhhhh umelaaniwa ukiwa sababu ya kutusiwa babako, kwa kumtukana babake mtu! Haya kamwambie huyo mwehu akusomeshe hadithi hiyo.

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 2 роки тому

      @@مبغضالبدع-ع9ص wewe ndo unamtukanisha baba yako. Anaonekana hakukupa malezi mema zaidi ya kukufundisha usafihi na mdomo mchafu kama alokuwa nao yeye. Na yeye baba yako amepokea somo hilo la matusi kutoka kwa babu yako. Unawatukanisha wazee wako.

  • @allyigaly4659
    @allyigaly4659 2 роки тому

    Mashkhe wte wa bakwata kazi na kula mali za waislam tu mmekalia bidaaaa tu mkiona waso waislam wanaendelea ama weng wao wako serikalin mwaaanza piga kelele oooh wanapendelewa hali ya kua nyie mmekalia bidaa zenu

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص 2 роки тому

    Yeye kusema wanaopinga ni wajinga hajatukana, na yeye ameongea umwehu mtupu hapo! Hhhhhhhhhhhhhhhh

  • @issanasir3583
    @issanasir3583 2 роки тому

    Huyu mzee huwaga Kama shoga...anajipendekeza Sana kwa mufti mpaka kero

    • @huseynmaitaya9002
      @huseynmaitaya9002 Рік тому

      Hapana ndugu yangu usimtukane , asije chukua amali yako siku ya qiyamah, muache yeye atukane ila wewe usimtukane, naomba kama utaweza kuifuta hii comment itakua ni bora na umuombe Allaah akusamehe

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 2 роки тому

    hamna elimu nyie wazee.

    • @zuwenaabdallah4516
      @zuwenaabdallah4516 2 роки тому

      Kma wazee hawana elimu nyinyi vijana mmeipata wapi 7

    • @siraajjumaathman2125
      @siraajjumaathman2125 2 роки тому

      Jamani inategemea mtu anaegemea wapi kwani ukisikia hoja za mfanya maulid na yeye anako egemea na wasiofanya nao wanasehemu wanaegemea kama waislam sidhani Kuna haja ya kutoleana lugha mbovu kama Mtume aliposema dini ni nasaha Sasa km tutamia lugha mbaya na Kali nani atamsikiliza mwenzie?
      Kuna vingi vimezuka lakini katika njia mbili kama anavyosema imaam shafii kuja bidaa yenye kulaumiwa na bidaa yenye kusifiwa akatoa mfano wa swala ya tarawehe, Mashindano ya Quran, khutba kwa kiswahili na mengi mengi hivyo kila mwenye kulifanya jambo na yeye anapo tegemea
      Tusikufurishane Bali tunasiahiane

    • @imamsaleh6231
      @imamsaleh6231 2 роки тому

      Elimu ni kitu gani?
      Elimu yako imeisaidia nini jamii ya kiislamu?
      Kwa elimu ulio nayo inanufaika nayo vipi?

    • @answaryhussein256
      @answaryhussein256 2 роки тому

      Nimekuta wote wanaokataa maulid ni wajinga tupu hawana hoja hata moja