❤❤wauuuu No3 niliimiss sana hi bush gil, Ankojy tunajua unatupenda il kutuojesha nihaki yetu sie wa bush tulizoea kupew ukoko kwanza bade do ubwabwa unapakuliwa au sio wadau💃💃🎧🪑🏃
Bush girl katisha kasomba mali za watu ila sijapenda kwakweĺi mbona aliambiwa wazi na babu kuwa uamùzi ni wake kama atapenda kuolewa na Rowan au hapana akachagua kuoĺewa .....shenzi kabisa kweli usimuamini mtu hàpo nimejifunza ......asante anko Jay
Ulotunga iyi simulizi hujanitendea haki mimi kwelii hawezekani mtu azulumu mali za watu asipate azabu yakee sijapenda uyu tereza ni mwanamke mshenzi sana kamelazimishwa na wazazi wake azabu kanakuja kutowa kwa watu wasio usikaa mpunzi kwelii inabidi utuleteye muendeleye kweli sijapendaa uyu uzulumati Mimi
Huyu Roan ni mjinga sana,sijui anajiamini nini,mtu umeachwa na mtoto juu, kwani mapenzi yanalazimishwa jamani,kuna vilaza wa darasani ila Roan ni kilaza wa maisha
sijampenda uyo mwanamke teresa anasema amelazimishwa kuolewaa na kina roanny ilo jambo siyo kweli yy si amelazimishwa na family yake mwenyewe na pia babu yk roanny alikupa mda km yupo tayari kuolewaa na km ayupo tayari aseme atapewa pesa atarudishwaa nyumbani kwao Teresa yy ndio mwenye tamaa za pesa za kina roanny tamaa ni mbaya sana ❤❤❤ hii simulizi sijampenda mwisho ilipo ishia ilitakiwa Teresa apate ukumu yk inawezekana aishie jela kwa ajiri ya tamaa ya kuzurumu mali za watu na kusababisha kifo cha babu yk roanny 😂
Kaah yn cjaelewa kbs yn cjaoma 7bu ya Teresa kuilipizia kisasi familia ya kina Rohan wakati babu alimpa uhuru wa kukubali or kukataa yy pia alikuwa na haki ya kukataa ndoa pia familia yake ina makosa ndo iliyomshinikiza akubali ataenda kuish maisha mazur rohan pia alibdilika na kumuonyesha upendo alimsaidia pia kwa yule ex wake jmbaz japo walitaka wamzike akiwa hai mwandishi hapa big NO aisee umetupiga na kitu kizito
Kweli mapenzi shikamoo yani mumewe mariana mkewe katelekeza mtt wa 2months na yy anaenda kabisa kumsaidia mkewe asisumbuliwe dooh hata km nn jmn mama kuacha mwanae ni ukatili sana alafu anao uwezo mzuri tu wa kumlea 😢
Dah kweli hapa no kulala ni mwendo wa kukesha nayo mpaka pakuche asantee sana anko jay mapesa ❤❤🎉🎉🎉😘😘
❤❤wauuuu No3 niliimiss sana hi bush gil, Ankojy tunajua unatupenda il kutuojesha nihaki yetu sie wa bush tulizoea kupew ukoko kwanza bade do ubwabwa unapakuliwa au sio wadau💃💃🎧🪑🏃
Ankojay jamani anajua kusimulia ❤❤ mungu akuriki nakupenda bure ❤❤❤🎉😊
Asante kaka tuko pamoja kazi nzuli ubalikiwe sana tunakupenda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza jamani 🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹🇹🇿 ciao ciao
Ulipo tupo ankooooo🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹huna baya
Nilikua na waza DANI..asante lakini❤❤❤❤❤
Aah wale hamjaa mini ni sehemu yamwisho tujuane hapaa😢😢😢 ayaacha tusubiri Emmy😂❤❤❤❤
Enhee Bush girl wetu atafanikiwa mpango wake au atazama penziniii ankooo,anko jay tumetega masikio tujuze yalojiri
😂😂
wakwanza jamn asante anko ila unatufanya tusilale😅😅an apa mpk tumalze ndo tulale au mnasemaje wana wa anko jay😜😜😜😜😜
😂Ila Sie wa viporo tunateseka kwa kweli jamaniii 😂😂bora iyaze tuu haya tunaendelea pale tulipo ishia ✌️
Mmi ndio wakwanza ❤❤
Ahsante sana Ankojay kwa simulizi tamu may God bless you 🙏❤
Love you ❤❤❤anko Jay simulizi 😂😂😂😂 tnakukubali
Jamani nme chelewa nmekua wa 81 ❤❤❤❤kwako ankoj ubarikiwe sana wale wapenzi wenzangu wa ankoj like hapa
Ankoo nakupenda bure kaka yangu, unaniliwaza sana😊😊
Nimewah leo asant ankjay ❤❤jmn comment usiwe wanyim
😂😂😂😂😂anko jay lete simulizi wakati huu jamani mmi ndo 1nyinyi laleni tu
Ayaaa wa kwanza mm leo
likes tafadhal😂
Mambo wote ❤❤❤❤❤ 🎉
Bush girl katisha kasomba mali za watu ila sijapenda kwakweĺi mbona aliambiwa wazi na babu kuwa uamùzi ni wake kama atapenda kuolewa na Rowan au hapana akachagua kuoĺewa .....shenzi kabisa kweli usimuamini mtu hàpo nimejifunza ......asante anko Jay
Kazi nzuri kaka listening from Kenya much love
Woooow🎉🎉🎉 ndo maan usingizi uligoma kumbe kuna jambo huku😂🎉❤❤❤❤
Anko we kiboko aisee ❤❤❤ nikeshe tu ntalala kanisani 😂😂
Ila we ankoo jmn haya we tuonee tuu tunakupenda hivyo hivyo😂😂😂
Ngoja tuone mipango ya bush girl kama itafanikiwa au laa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤ good bush girl piga ubwa na mwenye ubwa yani wanaume wa dar wanapigwa na mwanamke mmoja wa mkoani 😂😂😂😂 loani umepata dawa yako
😢😢😢😢mseme tuu km mwalalaga huku kungoja simulizi
Jaman hii simulizi ni nzuri sana💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝
Pale upo standBY kumckizaa Danny.., Bush Girl anakatiza 😢😅😅
🫰💙
Mim nilvyoon bush girl shwaa kulala
😅😅nyie watu mnachekesha
Ila safr hii anko yuko vizur anawahisha kazi had rah, hongera my kaka Mungu azid kukupa nguvu mpy kila iitwapo leo
Anko jay unaelimisha jamii sana mungu akuzidishie pamoja na mwandishi.❤
Sasa mtu akiwahi si nivizir pia Jmn 😊
Asente Sana anko jay simulizi nizuri Sana yenye mafunzo migi asente mwandishi Said Jr asente ysimuja kuliya kijana wako mke wako owa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 3:26
Team anko jay ❤❤
Dua zangu zikufikie anko na mwandi wale wapenda burudan ya anko weka like plssssss
Mm npo darasan bt siachi kusikiliza 😂😂so npe like jaman
Hii simulizi ilikuwa zuri mwanzo ila mwisho imeisha vibaya sanaa maana ilitarajiwa kijana Roy awe kijana bora na sio mlivyoileta
Sijapenda hii simuliz ilivyoishia
Hat Mimi
Na Mimi imeniumiza Sana😏
Wakwanza jamani like zenu
No 1 woyooo
Ulotunga iyi simulizi hujanitendea haki mimi kwelii hawezekani mtu azulumu mali za watu asipate azabu yakee sijapenda uyu tereza ni mwanamke mshenzi sana kamelazimishwa na wazazi wake azabu kanakuja kutowa kwa watu wasio usikaa mpunzi kwelii inabidi utuleteye muendeleye kweli sijapendaa uyu uzulumati Mimi
Yaan sija penda kabisa mbwa huyu telesa
❤❤watatu leo
Jamani hii simulizi kumbe fupi, ila sio mbaya Asante Anko
Iyo ndoa nimeipenda buri aise yapilika pilika namna hiyo najikuta nacheka baraaaa jaman mwana mme hajulikan mwanamke hajulikani ubabe kazi moja ka
Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau 🎉🎉🎉
Lete bana emi upesi asa mana aiii anko jey we2 nakuaminia sana😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂nacheka nn kwani,baba mtoto na mama mtoto ❤❤
Wapendwa kitu hukuu jamaniiiiiiiii 🎉❤😂
Imeisha vibaya
nime wahiiiiiiiiiiiiii
Tamutamu sana lkn si Kwa mkeshi huu aise sitoweza🥱🥱🥱
Mapinga kali sana
Anko jay very nice babu kimbwa hii simulizi Safi sana kiboko ❤❤❤❤💯💯💯🌷🌷🌷🌷🌷🌷 💐 kwa mwandishi
Wakwanza Leo nipeni like
Huyu Roan ni mjinga sana,sijui anajiamini nini,mtu umeachwa na mtoto juu, kwani mapenzi yanalazimishwa jamani,kuna vilaza wa darasani ila Roan ni kilaza wa maisha
Dead gap umenena
sijampenda uyo mwanamke teresa anasema amelazimishwa kuolewaa na kina roanny ilo jambo siyo kweli yy si amelazimishwa na family yake mwenyewe na pia babu yk roanny alikupa mda km yupo tayari kuolewaa na km ayupo tayari aseme atapewa pesa atarudishwaa nyumbani kwao Teresa yy ndio mwenye tamaa za pesa za kina roanny tamaa ni mbaya sana ❤❤❤ hii simulizi sijampenda mwisho ilipo ishia ilitakiwa Teresa apate ukumu yk inawezekana aishie jela kwa ajiri ya tamaa ya kuzurumu mali za watu na kusababisha kifo cha babu yk roanny 😂
Kwel kbisa Teresa iliendana na yule jambaz wke mna wte wna tamaa na awo wazaz wke pia wnatamaa
Kweli kbs yaaani sijapenda eeti family amemlazimisha wakati kapewa muda kbs sijapenda....
@@ayishaHabibu alikuwa apate na yy adhabu yke
😂😂😂😂😂😂😂 kwani busaaa ndio tuojee
Weee. Akojei. Nimecheka. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 48:46 Teresa. Kiboko. Tunaendelea
Napenda sana simulizi zako ankojay🎉🎉🎉
🎉🎉❤❤ni mefika🎉🎉
Waaa hi pambe🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤ nice 🎉🎉
Daah ila mwisho asee Anko umeongea vzr sn na hii simuliz fupi alaf yenye mafunzo sn ata siku izi mambo aya yapo sana tu 💔
Roan ana jeuri yakumiliki ududu wake tu huyo 😂😂😂😂😂😂😂 na huyo Teresa atamfundisha akili
Waoh❤❤❤❤
Nimekuwa wa 30 leo jamni mm nitisubir hapa hapa like tano jamni 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Lakin anko😂😂😂😂 hatarii sanaa
Uongo zambi yani toka nilisikiliziyaga simulizi iyi ndo ya kwanza kwa ubaya yani najutiya na muda wng
this story is super hot and🔥🔥🔥 thanks anko jay hope itakuja nyingine nzri zaidi ya hii
Salute anko jay hakuna kionjo kweli ❤❤🎉
Mariana bwana 😂😂hebu fungua mlango
AnkoJay utatuua kwa Raha za simulizi jamani😂🎉🎉🎉🎉
Nawe teressa umeniudh mtu alikuterekeza unamfuata wa nini aisee huyo mwakarindele sio sahihi kabsa kwako bora huyo mzee watoto kwakua unammudu
😂😂😂😂😂😂tereza wewe ni kiboko kweli hadi mimi nimekupigia saluti
Du u. Mungu. Amnistia. Kwa. Hili. Alilolifanya. Teresa😊😊😊😊
Mama anko j mungu aendeleè kukupa uhai
Shukurn Ankojey wetu forever ❤❤🎉
jamn nmkuwa wakwanz ❤❤like zenu
wakwanza ufe akt watu tupoonline mida yote😜😜😜😜😊😊
Sijaipenda kabisa hii simulizi.
Rohan atajutia hafanyi vizuri 😢😢 pole sana Tereza😢😢😢
Jamani eeeeee hivi Haya majina ya kina roney Yana nini 😅😅😅😅😅wote wana lelewaga na babu zao 😅😅😅😅😅aiseeeee au Miki ndio sielewi 😅😅😅😅
Kwani mutu akichelewa hua hapewi like😢 wapenzi nioeni huruma hata lke 5 tu mana mm nawapa kila siku🎉🎉🎉
Yaani na suburia aiiis you kil me kkkkkkkkkkk ila Nime enjoy sana
Wow shukrani Sunday njema wacha tumalize tulipo ishia
Asante kaka maan ss tusio sikiliza za wakubwa tunainjoi 😂😂😂😂
Kaah yn cjaelewa kbs yn cjaoma 7bu ya Teresa kuilipizia kisasi familia ya kina Rohan wakati babu alimpa uhuru wa kukubali or kukataa yy pia alikuwa na haki ya kukataa ndoa pia familia yake ina makosa ndo iliyomshinikiza akubali ataenda kuish maisha mazur rohan pia alibdilika na kumuonyesha upendo alimsaidia pia kwa yule ex wake jmbaz japo walitaka wamzike akiwa hai mwandishi hapa big NO aisee umetupiga na kitu kizito
Kwakweli. Hii. Simulizi. Imeni. Furahisha. Sana. Asante. Akojei. 🎉🎉🎉🎉🇮🇹🇹🇿👍🔥🔥🔥🔥🔥
Wakwanza leo
Oyooooo 🎉🎉🎉🎉🎉
Humu watu awalali jamani 😅😅anko nae anataka tukeshe maana Kila mtu wa kwanza humndani abaligan ni Hao🙏 asalam alykum 🧕😮😮
Kweli mapenzi shikamoo yani mumewe mariana mkewe katelekeza mtt wa 2months na yy anaenda kabisa kumsaidia mkewe asisumbuliwe dooh hata km nn jmn mama kuacha mwanae ni ukatili sana alafu anao uwezo mzuri tu wa kumlea 😢
Ana hata uchungu na mwanae
Wanawake wengine bwana tamaha sana nachukia sana mwanamke kua katili kiasi hiki
Duuh uyu n bush girl kweli mana sio kwa makofi ayo pole yako we mkaka 😂😂😂
Hadi inauma rowani pole Sana kijana lakini urisema hutaki doa ona sasa
Jaman hamlaliiii😂😂Nkazan mi wa kwanza kumbe wa 50😂
Bora wewe 😂😂
@Aishwaraimasiennah 😂😂😂😂😂watu hawalaliiiii duuuh
Mwandish said jr kazingua kinoma
❤❤❤❤❤
Huyu mdada mshamba sanaa kwann asingeaza na wazazi wake
Munanikanyaga pole pole
😂😂😂
FUNDISHO. KWA. WAZAZI. WASIJIAMULIE. TUU. BILA. WATOTO😊😊🇮🇹🇹🇿