Someone Just had the guts to comment and tell Baba T "make sure ukikufa ukufe na mtoto wako"! Seriously that's how low we have come ata kama ni kuchukia mtu as fans surely😢 Let's also know that hawa watu mnaonanga online they are still humans na wanafeel emotions
Baba T you are strong and a mentor to many dads out here😊 continue ignoring the haters ju they hate seeing progress in people,,,,let the hateful comments make you strong and not bring you down❤️we love you❤❤
Tolking about Nancy gf to baba mona, niliona comment mtu amecomment ety hauna nyota ya relationship au ndoa nenda tafuta mumewako achana na mume mwengine like really na imagine hiyo comment ilitoka Kwa a lady not even a guy a lady, sikuwai kuona video yeyote ya baba mona akisema he hates mama Mona which means bado walikua na ukaribu fulani as a husband & wife , also someone asked Kwa comment ety mbona haukuoleka ulikuwa waongojea Nini Hadi kufalishwa Pete ya pili, Nancy si yeye wakuamua bali baba mona,& as I know luo but not all of them hawana ugumu wakukaa na wanawake zaidi ya wawili & besides hatufai kuongea vibaya mostly sisi kama wanadada na hatuna haki yakurushia Nancy maneno mwenye yuafaa kufanya hivyo ni mama Mona of which she can't do that because niliona ni mwanadada mpole pia Yuko na heshima zake same to Nancy sikuona akionyesha disrespect mama Mona all in all mama Mona & Nancy hao ndio watabaki tuitwa na kuwa wapenzi wa baba mona so hata turuke au tufanye Nini itabaki a husband to both of them, ladies acha tuache tuki Kwa vitu za kijinga jinga isitoshe mtu anachukia mtu ambaye hamko related na yeye na hamna alikuwa wajua baba mona will die I personally niliongea naye 2 day before his dead, let us be humble & kind & baba T let prayers be you weapon against haters
Baba T we love you may God continue keeping u strong for Talisha Butere well represented she doesn't know what she is talking about may God protect you
Despite all those online trolls,, negative comments baba t can afford a smile,,,manze you are strong dad,,,may you live long to see your grandchildren from talisha❤
Baba talisha I really like your voice... Ad humanity in your speech.. I remember the time while your sympathizing with Dan the guy who lost two kids in a fire strategy
Mungu akutie Nguvu bro mwenye alisema ety pia ww utakufa n mtoto wako wacha ya mrudie yy,C lazime uende matanga y mtu kwani atafufuka Mathayo 8:22_23 Waache wafu wazike wafu wao,be Blessed🙌🏻🙏
Eeh jamani c poa aki Baba T you will never die in Jesus Name you’ll live more and more yrs with your daughter don’t worry baba T Achana na watu na maswali ya upuzi tu wangejua chenye Talisha amepitia hawangeongea hivo
That comment really got me n it was from a woman What happened to humanity in this world 😭😭😭it hurts alot to think that those thoughts came from a human being but thank God He's the one who gives life good work Commentator ♥️
@@carolinenjenga9058 can you imagine I feel sorry for her family members she's wicked and to think it sio aty ata walikuwa friends hivo sana why wish un innocent kid something like that and she's still trying to recover
Ghui nani huyo alisema hivyo aki. Eti Baba Talisha pia akufe na mtoi wake. Why people are so hurtless like this, surely. Kindly ignore the person who said that to you...
ghai surely aki TikTok imekuwa toxic sana Mimi kwangu naona baba t a take off kutoka TikTok kabisa coz imekuwa ya matusi daily kila siku ni matusi TikTok kwenye 8mefika ifungwe mbona watu wanatakia mtu kifo surely remember pia wewe mwenye unaongea ivo you never know your tomorrow
Madem kwanini ucomment kwa video ya mtu na hazira bila sababu kama unaona kitu aikubambi bita kuna video mingi apa kwa media aja ku change mtu kama ujui ni nini anapitia kwa life yake
@@faith5935 muda ni mchache kama hawakuenda hawakuenda na mazishi ya baba mona iliisha mbona wawakumbushe kilio wanalia tena mwangi salonist represented Tiktok family fully
We'll be back soon.Still under recovery 🙏.
Thanks to all that love us and support us unconditionally ❤️
Be strong bro 4 your baby girl
True bro salimia talisha hag girl 🥰🥰🥰🥰
It is well God got you
We love you Baba T
be strong baba talisha mungu mbele
Someone Just had the guts to comment and tell Baba T "make sure ukikufa ukufe na mtoto wako"! Seriously that's how low we have come ata kama ni kuchukia mtu as fans surely😢 Let's also know that hawa watu mnaonanga online they are still humans na wanafeel emotions
This is so sad,I didn't believe such words can come from a woman's mouth,,May God always protect baba t and talisha
Waaah
Don't worry stress ya ramadhan ilikua kwa Akili ya hiyo msichana
Ata kama but inauma mbona mtu ucomment ivo surely anyway kila mtu na life yake
You know hawa watu wa matusi wanasahau this is life anything can happen to anyone she or he should be shemless
Nobody is talking about how cute and hardworking these young guys are!! meanwhile fans wa Comme na Baba T mnipitie mnipush 1 k subs❤❤❤❤
Live long baby talisha watakifa wakuache ....shame on that lady 💔💔
Don't worry what people are talking about just be strong for you and for baby talisha ♥️♥️♥️♥️♥️ am team Baba T all the way❤❤❤❤❤❤❤
This man is positive ata kama ni baba Mona angesema hivo walae I continue resting in peace BABA MONA✌️
I like his choice of words 😊ignore the negative comments...continue being strong for your daughter
❤❤❤
I saw the comment and it broke my heart,if a human being can type that,Live long Baba T and your daughter..
Baba T you are strong and a mentor to many dads out here😊 continue ignoring the haters ju they hate seeing progress in people,,,,let the hateful comments make you strong and not bring you down❤️we love you❤❤
I like your positivity baba Talisha u are strong 💪🏼💪🏼💪🏼 and NO weapon formed against u shall prosper
Live long with ur princess Talisha
Likes za baba T 🙌
Hautakufa na mtoi wako Bali mtaishi kusimulia matendo makuu ambayo mungu ametenda katika Maisha yenu
Whoever said that doesn't know baba T story,more grace upon you and your angle
I lyke the way babaT is strong🥰🥰keep up with the spirit 🥳🥳never let negative comments let u down
🙏🙏🙏
God protect you Baba T and your little princess 👸🙏🙏🙏
I saw this comment kwa TikTok but just b strong baba T .. remember everything happens with a rxn and a purpose.
Nisongwe uku sijalate aki api likes za comme for bringing us hot things🎉 keep it up bro 🔥 wasee Pitieni kwangu musbcribe jamani 💪
Alafu Sasa mtoe baba Mona kwa midomo, let their souls rest😢😢
Kwani amemweka Kwa mdomo yake you people from luyha land Nini ukua mbaya na nyinyi amemweka Kwa mdomo chuki muache aki nkt
Baba Talisha you are astrong Man l like your positive altitude, May the Almighty God bless you & give you strength together with your daughter
Kuwa strong ndugu yangu . Watu wa butere hatujali na maneno ya watu
Hii dunia funga masikio na usonge mbele na maisha yako wanadamu ni wale wale watasema mengi God bls you Baba T
Be strong Baba Talisha just leave haters coz hawajui kitu wanafanya much for your daughter 🥰😘
Be strong baba t ad leave those heaters alone...keep going .God is there for you 🙏
Always
Tolking about Nancy gf to baba mona, niliona comment mtu amecomment ety hauna nyota ya relationship au ndoa nenda tafuta mumewako achana na mume mwengine like really na imagine hiyo comment ilitoka Kwa a lady not even a guy a lady, sikuwai kuona video yeyote ya baba mona akisema he hates mama Mona which means bado walikua na ukaribu fulani as a husband & wife , also someone asked Kwa comment ety mbona haukuoleka ulikuwa waongojea Nini Hadi kufalishwa Pete ya pili, Nancy si yeye wakuamua bali baba mona,& as I know luo but not all of them hawana ugumu wakukaa na wanawake zaidi ya wawili & besides hatufai kuongea vibaya mostly sisi kama wanadada na hatuna haki yakurushia Nancy maneno mwenye yuafaa kufanya hivyo ni mama Mona of which she can't do that because niliona ni mwanadada mpole pia Yuko na heshima zake same to Nancy sikuona akionyesha disrespect mama Mona all in all mama Mona & Nancy hao ndio watabaki tuitwa na kuwa wapenzi wa baba mona so hata turuke au tufanye Nini itabaki a husband to both of them, ladies acha tuache tuki Kwa vitu za kijinga jinga isitoshe mtu anachukia mtu ambaye hamko related na yeye na hamna alikuwa wajua baba mona will die I personally niliongea naye 2 day before his dead, let us be humble & kind & baba T let prayers be you weapon against haters
Pole sana Baba Talisha,Wacha waongee jioni wata lala tu
Aki for real why would you wish death to someone? even that small baby!!!! oh, God have mercy on your people na wengine tusamehe tu.
One thing I have learnt from Baba T , BE YOURSELF 🙏🙏
Don't judge anyone be4 you listen his/her story. It's really hurting.
Pole Sana Baba T don't listen to what people will talk about you.
I love this man baba talisha so intelligence ❤
Mungu ako na wewe Baba T be strong with your baby
Wah,aki the pressure out here is becoming wooorser.yaani mtu kukosa burial ya mwingine ni kesi😅😅😅
Kenya iko na maneno
Jamani...
Keep going baba T uzuri wewe huwajibu Mungu Yuko nawe❤❤❤
Baba T dont explain urself too much, just live ur life and b there for ur baby some people out here are so cruel😢😢
May God protect u baba T
We love Baba T❤️❤️❤️
Baba t is Soo mature ✔️
Baby Talisha survived the worst and we thank God for that
No weapon formed against her and dad shall prosper
Keep going BABA T
COMME😁 GOOD JOB
Asanti Brenda
Baba T we love you may God continue keeping u strong for Talisha Butere well represented she doesn't know what she is talking about may God protect you
I understand you baba talisha😊❤
Binadamu walishinda hata mungu...achana na hao
Be strong baba t mungu yupo
Be strong baba t
mi nimependa huyu chali...baba t you strong
Despite all those online trolls,, negative comments baba t can afford a smile,,,manze you are strong dad,,,may you live long to see your grandchildren from talisha❤
That lady should apologize and widhraw those words.Its not good at all...that comment was heavy and unfortunately it came from a woman..like seriously
Her time is coming and God will avenge,,and that's for sure
Baba talisha I really like your voice... Ad humanity in your speech.. I remember the time while your sympathizing with Dan the guy who lost two kids in a fire strategy
Baba talisha n strong mungu azidii kumulinda na mtoi wake❤
Amen
Baba T God is there for you and baba T usiogope
Be strong baba T. and just leave all to God and be there for your beautiful daughter .God always🙏❤
Good job @comme 🔥💪
Wah...I like your positivity..Baba T be strong always...💪💪
😊😊😊
Death is something I can never wish even my worst enemy like what do people gain when they see other people misfortune's and even wish them to die
I know this guy, si yeye ndyo alipoteza wife thika road yrs back, yeye pia ashapitia stress watu waache kumtusi
This man talks bt unafeel uchungu Ako nayo
Mungu akutie Nguvu bro mwenye alisema ety pia ww utakufa n mtoto wako wacha ya mrudie yy,C lazime uende matanga y mtu kwani atafufuka Mathayo 8:22_23 Waache wafu wazike wafu wao,be Blessed🙌🏻🙏
May God see that person. Baba T just forgive and forget.
Pole dear usijali nao yao inawangoja😢
Na kwani ilikuwa lazima aende aki wakenya 😢 mnakuwanga na maneno 😮
People just judge without knowing the real story! Sad 😮. Baba T is mature.
Eeh jamani c poa aki Baba T you will never die in Jesus Name you’ll live more and more yrs with your daughter don’t worry baba T Achana na watu na maswali ya upuzi tu wangejua chenye Talisha amepitia hawangeongea hivo
Haki ifeel your pain baba talisha but be strong hizo ni majaribio just move on with your life and your kid
I just love your courage be strong for the sake of your child and don't mind about what people say
Very true
Nice talk😍😍
That comment really got me n it was from a woman What happened to humanity in this world 😭😭😭it hurts alot to think that those thoughts came from a human being but thank God He's the one who gives life good work Commentator ♥️
Thank you Carol
Pple can be very funny Kwan yeye ndio alikuwa yuaenda kuzisha I just hope mwenye alisema hivo yeye ndio atakufa wa kwanza
@@dorrennyakio5391 you never know ukichimbia mwenzako shimo utaanguka wewe mwenyewe ata kama hupendi mtu hiyo imezidi she's a disgrace to womanhood
45😊
@@carolinenjenga9058 can you imagine I feel sorry for her family members she's wicked and to think it sio aty ata walikuwa friends hivo sana why wish un innocent kid something like that and she's still trying to recover
Pole baba T
God will protect u and the little princes
Haina shida kila mtu atakufa tew be strong Baba T
Very true people dont appreciate... people hate baba T for being himself mushindwe
Baba T never explain ur self let them take or talk the way they want u and ur God know why.
Wasamehe tu Bab T. Hawajui wanayoyatenda . Live long Bro.
Be strong baba t 💪💋
Ghui nani huyo alisema hivyo aki. Eti Baba Talisha pia akufe na mtoi wake.
Why people are so hurtless like this, surely.
Kindly ignore the person who said that to you...
Baba T mtu asikuambie upuzi
Oooh nilikuwa live ya mtu Fulani nikaona hiyo comment 😮😮waah
Heee if this is Baba Talisha then akina Nancy, the whole family na mama Mona will also learn to live with the pain.....one day they will all heal.
Baba T much love ❤❤❤❤ I love your positivity ever and your genuine and humble be strong for your Bby Talisha.
Comme connect baba T na pst T aki for counseling and prayers. I feel like only he's a man he might be passing through a lot.
Mtu haezi jishikia microphone😅 like hauchoki mkono
Much love to you baba T
Why do people hate or judge others without knowing their side of story? Mtcheeew!!
Dont worry baba t am team ❤❤❤❤❤❤❤
Don't wish bad for talisha and her daddy please they have been through hell may God protect them
Aki.watu Wana heshima pole baba t
This two guys were not friends
Negativity Is always there but never mind only God knows about someone's tomorrow
Pia wewe comme mbona hukuenda pia wewe uko na makosa😂😂 nyinyi watu wa UA-cam tumewaona sana kwa umbali
The rules is never take negatives things in life
Haki tujifunze kurise watoto wetu Kwa njia ya Mungu si Kwa social media 😢
People should just leave Baba Talisha alone.The guy has just gone through alot
Mm nakuamini baba t kila kitu na wakati wake
Where do people get that bad energy to hate someone mwenye hujai meet, forgetting that sisi sote ni maiti, 🤔🤔🤔bravo baba t, let them talk
ghai surely aki TikTok imekuwa toxic sana Mimi kwangu naona baba t a take off kutoka TikTok kabisa coz imekuwa ya matusi daily kila siku ni matusi TikTok kwenye 8mefika ifungwe mbona watu wanatakia mtu kifo surely remember pia wewe mwenye unaongea ivo you never know your tomorrow
I feel Nancy will vibe very well with baba T 😌
😂😂😂 let's onliners bring them together it can work
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
God will fill that Gap.
Eeii yawa tulitoka enzi za kutaftiwa mabwana
@@faithwanjiku1466 yea. Big up siz
Madem kwanini ucomment kwa video ya mtu na hazira bila sababu kama unaona kitu aikubambi bita kuna video mingi apa kwa media aja ku change mtu kama ujui ni nini anapitia kwa life yake
Ukisikia mtu akisema ni life huyo amepitia a lot of pain hadi hana story ..summary inakuwa 'ni life'
Iyo comment iliniuma walai that girl faith àkufanya poa .....she must apologise to baba t or we pit down her account team bab t hatumtambui
We know y you missed but mazishi iliendelea
Exactly baba t ako right
That comment walai ilifanya nicry... I felt bad Soo bad...💔💔💔 I don't know baba T but that girl is evil..
Tunajua ni kwa nini ilileta issue wakati wa mchango ndo mkaenda mbsa na hanna benta cz faustine huwa wanafeel they own tiktok
Weeeh maneno ni mengi tmy ndio akuna
@@faith5935 muda ni mchache kama hawakuenda hawakuenda na mazishi ya baba mona iliisha mbona wawakumbushe kilio wanalia tena mwangi salonist represented Tiktok family fully
Wangechange nini wangeenda,? people should style up, kitu muhimu Mungu aipee Familia ya baba Mona nguvu.
@@azinahramadhan8326 nashangaa