ANAKUTANA NA MWANAUME MWENYE MAAJABU YA KUTISHA. USIACHE KUTAZAMA KISA HICHI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @SammidohJeshii
    @SammidohJeshii 3 дні тому +1

    Aah!! Jamani dada kazi nzuri xana barikiwa.xana tena zaidi dadangu ❤❤ 🌹

  • @OlanaOly-e5p
    @OlanaOly-e5p Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 3 місяці тому +5

    Kipenz unatowaga Kaz safi sana yan mungu akubariki maisha yako yawe na aman

    • @Simulizinalilly
      @Simulizinalilly  3 місяці тому

      Aminaaa.! Ubarikiwe wewe mpaka ushangae.! ❤️🌹

    • @BetinaEzekiel
      @BetinaEzekiel 3 місяці тому +1

      Awezi kuondokana na icho kiapo

    • @Simulizinalilly
      @Simulizinalilly  3 місяці тому +1

      Amina nna hitaji namba zako nna zawadi nitatoa humu UA-cam Ila wewe yako itakua ya kipekee VIP sitaki uje upambanie humu.

  • @ashuu7972
    @ashuu7972 2 місяці тому

    Pole san aisha

  • @MarymutuaM
    @MarymutuaM 2 місяці тому

    Kipenz unatowaga kaz safi sana yàn mungu akubari

  • @SawalibicheAbedi-q7c
    @SawalibicheAbedi-q7c 3 місяці тому +1

    Asante sana nimejifusa kwako ubarikiwe

  • @Vanessa_Petro
    @Vanessa_Petro 3 місяці тому

    Lily mpenzi wangu nakupenda na napenda sana movie zako sauti nzuri unajitahidi sana

    • @Simulizinalilly
      @Simulizinalilly  3 місяці тому

      Kipenzi ❤️🌹 una pepo yako. Nakupenda pia. Asante kwa encouragement. Bless you

  • @annamenard4454
    @annamenard4454 3 місяці тому

    Kumtegemea mungu kunafaida

  • @ChancelineCatherine-bj6jd
    @ChancelineCatherine-bj6jd 3 місяці тому +3

    Ooh my gosh

  • @AishaAli-oe1vd
    @AishaAli-oe1vd 3 місяці тому +3

    Wajna huyo 🤣🤣🤣

  • @PendoNyakwesi
    @PendoNyakwesi 24 дні тому

    Aombe sana😂

  • @SolomonLuka-g2n
    @SolomonLuka-g2n 3 місяці тому

    Kuondokana na hiyo laana aende kanisani na awe na iman yakuivunja hiyo laana awe na hofu ya mungu na iman ya mungu

  • @AwaNkatha
    @AwaNkatha 3 місяці тому

    Aende kanisani akaombe kwa mathabao mungu amuodolee laana

  • @mugabekazigraciella
    @mugabekazigraciella Місяць тому

    ❤❤🎉

  • @ITIKAGIDEON
    @ITIKAGIDEON 3 місяці тому +4

    Hayo matambiko mbele ya MUNGU ni takataka tu.all in all nimejifunza kumtegemea mwenyezi MUNGU katik kila jambo yeye ni ngao yetu na kwa msaada wake tunashinda yote ya ulimwengu huu

  • @JohanithaAsimwe-tl3ox
    @JohanithaAsimwe-tl3ox 3 місяці тому +1

    Nizur San jamani dada angu 🎉🎉🎉🎉

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv 3 місяці тому +1

    Bado sana maana hayo mmbo ya matambiko douh mungu atunusulu kwakweli aisha bdo anakazi nyingne yakufanya na kwa mungu hayo matambiko ni kma uchafu to maana ukishajiweka kwa mungu hakuna kinachoshindkn

  • @Bajay001
    @Bajay001 3 місяці тому

    kujinasua kw io tmbiko amuendee mungu wake Kansa au mskitn na atanusurka

  • @vumiamoni4342
    @vumiamoni4342 3 місяці тому

    Aende kanisani apate maombi ya deliverance

  • @ITIKAGIDEON
    @ITIKAGIDEON 3 місяці тому +1

    Amkimbilie MUNGU wake atamvusha na kulimaliza hili asikate tamaa kwa MUNGU yote yamawezekana

  • @SalmaSalma-j6f
    @SalmaSalma-j6f 3 місяці тому

    🎉🎉❤😊😊😂👍🥰👌♥️💒

  • @RoseGideoni
    @RoseGideoni 3 місяці тому

    Aisha afanyiwe maombi ndo njia sahihi

  • @ShadrackKyalo-s7v
    @ShadrackKyalo-s7v 2 місяці тому

    Matambiko kama Haya yanataka MTU aombe MUNGU amsaidie kuepukana nayo

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 3 місяці тому

    Amrudie ty mung wak yot yataisha