nikweli oman co weto wanao teseka mm niko na mamangu mdogo yuko huko na sasa yuko na miaka mitatu na haja teseka kwa hiyo wabaya wako kila mahali lkn mateso ya oman na ya kwenu ni tofauti ila co wote wabaya
Sijaona hata cha maana alicho ongea jaman oman kazi utafanyishwa mpaka usiku wa manane hupumuwi alafu watu wanalazwa mpaka stoo watu wanateswa mnapinga upumbavu mishahara tunapewa midogo nchi zingine Marais wao mashaallah wanawaangalia sana wasichana wao wanao toka Nchii zao wanahakikisha wanapewa mishahara mizur lakini watanzania tunaonewa yaan Nchii yetu ipo nyuma sana kimaendeleo n.a. ukiangalia watanzania ndo tunafanya zaid kazi kuliko hao waindonesia wafilpino lakini wezetu mshahara mkubwa ila Africa sis mishahara midogo sana alafu mnasema et omani hakuna neno jaman ebu kuweni wakweli watu wanateswa kwa kifup wa africa hatuna haki kabisa ijaza hatupewi hatupumziki kutoka shida kaaah kama tupo jela
Nipo Uengereza, nafanya kazi na Nimefanya kazi tofauti, na pia huku Ulaya tunapata mitihani ya kazi mpaka unaacha kazi, nilipo kuwa Tanzania Nimefanya kazi tofauti, majungu mengi na roho mbaya zipo hadi unafukuzwa kazi, hii mitihani ipo, na kila tunapo Enda tunayakuta, hivyo Watanzania msikate tamaa ya kutokwenda au kutofanya kazi, omba dua tu Mungu akupe kazi Utakayo I penda. ✌
Kaka asante sana...maana wamezoweya kututia aibu watu wa oman...nikiwa ni mmoja naiahi na wafanyakazi kama ndugu zangu...mnyonge mnyingeni haki yake mpeni...PONGEZI KAKA HAMZA ...ALLAH AKUPE KILA LA KHERI AMIN
jamani mm nipo oman na ninaish vizuri alhamdulilah nasikia tu watu wakiteswa lakini naweza sema mungu awafanyie wepesi wote wanaoteswa mabos zoa wapewe roho za kibinadam tuendelee kufanya kazi kwa pamoja oman na nch nyingine nyingi tu ee mungu tusimamie ktk kutafuta rizki ya halali naomba tuseme amina wote tuliopo oman nch za watu kikazi au kibiashara
kwakwer namsapoti uyo kaka wanao teseka wapo lakini sip wrote Sana saudiarabia soon Oman pako vzr wengine hawataki kazi wanawachafulia watu kazi wezao ubarozi inasaidia mashallah
Boss wng alikua mkenya wkt nafanya kazi Dubai niliimba aleluyah ilifika mahali nilitaman nijitupe kwa dirisha ule mda anaoni insist kusafisha dirisha gorofa ya 17😭🤗so sa ingine mwarabu anaweza akawa mbaya saingine mpoa tujikaze na kazi tu bongo kugumu
@@avriltravie6021pole sana mimi mkenya ni kweli ulifanyiwa vibaya ?manake wakenya wengi pia wanateseka huko uarabuni ulikubali vipi kuteswa na ngozi nyeusi kwa nini usingemtangaza kwenye social media tumfunze somo hatupendi ujinga huo na wala sisi sio wabaya
Am a Kenyan, this is my third year, and it's the best country, yes everywhere, tuko na watu wenye roho mbaya, au mzuri, lakini kila uendapo,itategemea unavyo jibeba, yaani the way you carry yourself is the way you will be carried, tena l have friends and we speak Swahili, ila tu ni kuchunga kazi,
Safi sana kaka nikwer wengine awajieshimu ukikaa nawatu ukijieshim basi nao watakupenda WA tz tumezoe kuwa huru na kuruka ruka na mabwana uku akuna mabwana nikz tu kama kauli mbiu ya baba yetu hapa kz tu akuna kuteswa waache maneno ya uzushi tukafunguwa ss wengine twaishi kwa laha na Mtu ukiteseka na Kutuma vois aisahidii kitu ubaro upo kwann uendi kushiki
Hawaji kwa nia ya kazi.! na kila nchi ina sheria yake wasifikirie watafanya vile wanavotaka wao ile kuzurura ovyo.! Wasije oman bora wakae hukohuko tznia.!
Kwa Hali ya kawaida Tu , umesema Mjomba ako anafanya biashara hyo, Yani biashara ya watu. Kwahyo wewe simtu sahihi wa kuwasemea wa Tz, sbbu huwez pinga biashara ya familia yako. je tutakusikiliza wew mueka vipuli ama tutawasikiliza wahanga wa Hilo tatizo. Rud Oman kaishi endelea kuchonga nyusi, usiwatie vichaa dada zetu wa kitanzania
Bongo Tz Hata maelezo yake yanakona nyingi hanyooshi maelezo. Ngumu sana kwa mwenye kuelewa akakubaliana na huyu kijana. Ila lazima kutetea ugali wa kesho
Me pia nipo Oman Namshukuru Mungu madam wangu yuko peace and love ila kikubwa nikumuomba Mungu atulinde huku 2ko kwenye nchi ya wa2 Nampenda saaana madam wangu nayeye ananipenda coz anajua kuishi na watoto wawa2 vizuri Mungu mbariki madam wangu umfanyie wepesi kwenye kila zito Ameeen
Huyo kaka nampa big up ameelexa ukweli mtupu,mm ni msichana hapa oman huu ni mwaka wa 4 na cjawahi kuona nikifanyiwa unyanyasaji,unyanyasaji upo hatukatai lkn sio wote wanafanyiwa hivyo,kikubwa ss tulioko nchi za watu inabidi tuheshimu mila na desturi za nchi hiyo siyo ufanye km upo nyumbani kwenu tena kila kitu unachofanya sawa tu
Jamani tuwe makini kwakusema wenzetu kila inci inawatu waroho mbaya na watu wa roho nzuri ila sio warabu wote tuseme ni wabaya. Mmi nilianzia Oman mpka nitoke nilikua naishi kma nyumbani mpka ivi niko saudia sijaona ubaya wwote so sikatai kma hakuna watu wabaya ila napinga kma sio wote
Ukweli ni kwamba watu wanateseka ila si wote, lkn wengi ndio wale wanateseka, mm niko Saudia na mateso kama kawa ni kuvumilia tu, hizo smart phone ni wachache walizo nazo, alafu hao ma agent wakisha kupandisha ndege ni wewe na Mungu wako, hawapeani namva za simu za maktaba wala wala embassy, tu angalieni vile mtaweka mikataba tenye kuwamulika wahusika yani ss tunao kuja kufanya kazi huku, Allah atunusuru
Ivi niulize kwani hao wafanya kazi wa ndani wanapokonywa simu. Nikiwa na maana km simu anayo mda anapata matatizo kwanini asifanye mawasiloano na sehemu husika. Tena niwambie kitu Serikali ya wenzetu inaheshimu haki za wafanyakazi kuliko mahali popote. Kwanini wasipeleke mashtaka ofisi ya kazi au Ubalozini Madina Qaboos. Ebu ndugu zangu tuweni wa wazi ata km shida ziko ila sio kiasi icho kinachokuwa kinaongelewa kwenye mitandao. Na nilichokigundua anesimama kueleza haya ni yule ashamaliza mda wake yupo Tz ili tu kuvunja moyo eengine wasitoke kutafuta riziki. Tuwe wa wazi maisha popote vitina majungu na chuki havitotufikisha popote. Hongera JPM 🇹🇿 Hongera Qaboos 🇴🇲
Callemele👎 umeon Kuteso kupo hata hapa Tanzania jaman au. Mbon mm nimefny oman miaka 3; n nimefany kaz vizr sana tena san. Nimerud mzima bila makelele watu wanataka wenyew kufanyiwa hayo mambo siyo ukwel acha uongo. N nimerudi nipo Dubai nkula bata kama kawa bila mateso acha uongo huo n mawivi mengi tuache tuishi kw aman.
Uyu kk msenge kweli mimi nipo uku nashuhudia wa2 wanavyo teseka na iyo Wi-Fi umpate m2 na roho yke laki katika asilimia 100 utakuta35 ndo wenye imani acha unafiki uwende mbinguni unatetea upuuzi mimi naomba Rais apambane zaidi ili watu wasije uku najuta Kuja uku mana ninayo Yaona uku kwa jirani zangu yanatia hasira na njia ya kusaidia sina mungu tulinde waja wako wote tuliopo nchi za nje inshallah
Unajuwa kila nchi kuna watu kweli nakuna watu wananembo yautu Ila sio watu Hata hapa kwetu wafanyakazi wanapigwa kuna mmoja yule aliyemuunguza pasi dada wake wandani nahuyo nimtanzania Sasa pia oman wapo baadhi wanaotia dosari nchi nzima Ila wengi wao huwa wako vizuri tu sema kazi zakule bize nakazi sio kama nyumbani wali mchuzi basi Kule vitu vyakahawa tu basi vinne vitano Ila vizuri ujipangie ila maisha ya kawaida
Jamani watu wenye Roho mbaya wapo Dunia nzima Tusipende kusema mabaya ya Oman tu na mema yao tuseme pia jamani Mimi nipo Oman mwaka wa 4 hu sasa na niko powa sana naishi vizuri sana na sina tatizo Alhamdulilah
Mimi mwenyewe nipo oman ila sisemi chochote. Bayana naisubiri siku ya kiyama. Nina uhakika Allah hampunji mja wake na pia yooote kila anayemfanyia mwenzake iwe kheri au shari yanaandikwa kwenye kitabu. Ila kumuanika boss au madam mtanfaoni hiyo sitaki. Sheria ya dini yangu na maamrisho ya Allqh yamekataza kumfedhehesha mtu. Lakini siku ya kiyama hakuna kulipana, riali, dolla, uro wala rupia. Hiko ni mtu anajilipa mwenyewe. Illah ninachowashauri mashaghala mliopo uarabuni na hata nchi zingine pendeni sana kusema Alhamdulillah mkipata misuko suko. Alhamdulillah ni maneno macjache sana kuyatamka lakini ni mazito sana ktk mizani. Kwa hiyo mtu akikunyanyasa wewe muache alivyo wala usimfedheheshe siku ya kiyama atakuongezea uzito mkubwa sana ktk mizani. Kuweni wajinga mashaghala msibishane na wenye nazo ni kitu ambacho hakiwezekani. Masikini kubisha na tajiri ni sawa na kipofu kupigana na mwenye macho. Nawashauri vumilieni kuteseka kwa wale mnaoteseka siku hazigandi. Na mlio na starehe Allah akuzidishieni starehe ila msisahau kuwaombea wanaosulubika. Mambo hubadilika huenda leo kwake kesho kwako. Nakutakieni kazi njema Allah awape subra. Ipo siku mtarejea makwenu biidhnillah. Hakuna maregu yasio na ncha kila kitu kina mwisho.
Rahma Shaban kila mtu anaisubir siku hiyo usujitie mkamikif fuska mkubwa wew na utafumbikwa ndani mpaka ila sipendi uje kwenye comment zangu fanaya yako
Watuuu waongooo wengineee jamani mm nipo oman pia cjaona mateso na nipo mascut punguzeni jamani wapo wabayaa lkn sii wote na baadhi ya wafanyakazi pia wajeuri na wiziii
Na ukiwa Tanzania utaambiwa mshahara mkubwa ukifika oman bos anakuchenjia utashangaa unapewa pesa lial 50 n.a. hapo kila kitu utanunuwa mwenyew n.a. ukiangalia nyumban unafamilia inayo kutegemea lial 50 haitoshi kitu kabisa hiyo sio haki kabisa tunaomba sana serikal yetu ya kitanzania ilifanyie kazi hili swala maana tunako elekea siko maana kazi tunafanya nyingi kuliko mishahara tunayo pewa ni tofaut
aisha Aisha Bushir wewe kama unateseka fanya mpango urudi kwenu kwani mlilazimishwa au ni lazima kufanya kazi huko mwisho kweli mfie huko na manyanyaso na kule usemi usemao mkataa kwao...... ........ Nadhau unauelewa rudi kwenu ishi vyovyote vile mwombe Mungu hakukuumba bure ana kusudi na wewe pole sana
Sio wote wanaoteswa wengine tuko vizuri atutamani kuondoka maana tunaishi vizuri Sana Ivo basi anateseka arudi zake kwao asituaribie wengine kazi Tz akuna nauko ndio kunamateso zaidi ya Oman
tatizo la waarabu wanatuzarau sana waafrika tukishakuja kwao kufanya kazi tunaonekana ni masikini wa kutupwa hatuthaminiwi kabisa na hii ni kwa waarabu wote na kwa upande wa mateso ni kweli wapo wanaoteseka pia wapo wanaoishi vizuri kwa upande wangu mm naishi vizuri tu ila tatizo dharau ndo kitu kinachoniuma yaani hata mtoto mdogo anakuonesha dharau inatia hasira sana lkn tunavumilia tu maana kuna watu huku wanalia kila siku jamani ni kuomba mungu tu atusaidue turudi salama makwetu ila mimi Oman puuuuuh basi .........
Huyu kaka kuna mengine kaongea uongo kwa mfano hili la simu sio wote wanaoruhusiwa kuwa na simu, nina marafiki wawili wanafanyakazi Oman, mmoja anaishi nyumba ambayo simu hapewi kabisa, aliwasiliana na familia yake kipindi family ambayo anaifanyia ili safiri ikamuacha kwa ndugu zao ndo hao ndugu wana utu hata wakamnunulia simu akaweza hata wasiliana na wazazi lakin waliporudi mabosi wake wakaichukua hakuna communication hadi mwisho wa mwezi. Na kuna mtoto wa Dada wa rafiki yng huyu yeye amepata bahati anafanyakazi kwa wa Omani wenye roho na ubinadam hata simu wamenunulia na kila SAA 5 Usiku akimaliza kazi anachati Whatsapp, na hata mimi nilipoenda Oman nlipiga simu na nikamuomba boss wake kumuona huyo binti na Boss wake alimleta nilipofikia na akamuacha apige story na mimi 2hrs baadae wakamfata. Na hata sasa hao maboss wake wanataka kuja Dubai wamesema watakuja nae anisalimie, kwahiyo sio wote wabaya na sio wote wazuri. Hata kwetu Tanzania wadada wakazi wengine wanateswa na mabosi zao sema kwa Tanzania ni rahisi kupata msaada sababu hutumii passport toka kwenu kwenda kwa muajiri kwahiyo ni rahisi kuondoka na kurudi kwenu au hata kuwashirikisha wanaokuzunguka ukapata msaada, ila kwa nje ya nchi ni ngumu sababu Passport yako inakuwa kwa boss, na pia sio wote wanajua wapi ilipo balozi ya nchi yao. Hii ni kumuomba tu Mungu wapate watu wenye imani. Ila kwa maisha ya kawaida mbali na kuwa Dada wa kazi kwa Oman, waoman wanaroho nzuri asilimia kubwa. Swala la uhuni jamani lipo kila sehemu, anayeijua Oman na woman najua atakuwa amenielewa.
Na kuhusu mkataba yaliyo andikwa ndani yake hayatekelezwi kabisa wanatuona sisi wendawazim lakini watanzania sio wakorofi ila uwaga wanatuchokonowa ili tuongee mtu atakupa pesa kidogo lakini mtu unalizika ila bado wanatuchokora
jamani watu wamewachoka wafrika ni waongo saaana hawana maaadili kabisaaaaa..kwahio msilaumu watu nyiyi wenyewe wauwaji mmeuwa na mmetesa wangapii ebuu acheni msijifanye wema ukweli hamna tabia nzuri kabisa....kwa wa tzwasukuma ndo wema watu wa kazi njo wa darsalam wahuni mpaka basi wazanzibari wavivu tena saaana hawawezi kazi wakiambiwa wanasema wamenyanyaswa...acheni ftna hamfai ...hamfai kabisa..
Kwelikabisa Kaka mie nipo oman mwaka 2 sijawah kupata tabu hata siku moja nakalibia kumaliza mkatab mabos wangu wananiomb niongeze mkat kwakweli nipo kwenye amani.sio ote wanaofanyiwa ubaya
Mmmhh minipo omn ninamiaka sita sijawahi pata mateso hakika niwatu wema sn na out natoka km kawaida nikiwa nao ss km unataka tuachiwe huru ukazururee tu unaendawapii kwamfano hii siyo Tanzania jmn acheni watu wafanye kazi wapate riziki yahalali ni kweli wapo familia zingine wanaroho mbaya but sio wote sijawahi kutumia mshahara wangu kwakujinunuliaa mahitaji kila kitu napata alhamdulillah mungu awajaalie nawengine wapate mahali pazuri amin
Nikweli wabaya wapo nawazuri pia wapo ilahuelewi unapokwenda kamautapata tajiri mzuri au mbaya ni mungu"tuu akujalie kwenye maisha uvumilivu uwepo hata Tanzania pia kunawatu wanaroho mbaya mm nipo Oman ninamiaka 8 Bo's wangu nihuyo mmoja"sijabadilisha nawatakia wenzangu mungu awajalie wapate"maboswazuri
nyinyi mnaesema hawateswi kwamasilah yenu alafu wenzenu wanaenda wanajiingiza kwenye moto mungu anawaona siamini kama indonesia kusema wamefunga kwajili yawatu kupata matesowalidanganya napia siamini kama watu wanaorudiswa maiti wana danganya ingawa sinauhakika.
Jaman inatengemia na nyumba jamana apa nilipo Mie masikin atali ata kula kwawo Shida jaman nakuusu sm inatengemia. na nyumba apa nilipo Mie tuko waswaili wengi tumenunuwa kwa ela yetu wapo we nyeroho mzuli wapo na makatili wapo tele jaman Kama we umepata nyumba iko poa shukuru sana watu awapewi chochote zaidi ya mshaala wako tu jaman achani tumekuja kutafuta tuna bidi tumuachiye mungu tu
Jmn inategemea bhn ila ww kk acha uongo km.una la kuongea nyamaza bhn kwan kuna wengine ata cm anatumia kwa.siku y ijumaa tu yaan siku nyengine so few uruhusiwi kutumia,
Ata nyie majent,ndyo watu w kwanza kutuzarau yaan kwa maana mlitumbia siku ya ijumaa ni siku ya kupumzika lkn siyo hvyo tulivyokubarian unakuta ijumaa ndyo unapelekwa kwa ndugu kwenda kufanya kazi, na wengine unakuta anafanya kazi sehemu mbili na msharaha ni uleule yaan
Kwakweli cc waomani tutafurahi saaana kma Magufuli atazuwia watanzania wasije nchini oman.! wakae hukohuko hatutaki sisi kuzuliwa uongo na kutukanwa ovyo!! kila mtu afanye kazi kwao!
Halafu kitu kimoja niongeze. Swala la kutolipwa ni uongo kwa sababu hata hile siku unarudi kwenu basi airport kabla hajaondoka mwenyeji wako basi unaulizwa kwanza "Jee! Unaondoka kwa ridhaa yako au kuna matatizo?" Na "Jee! Bosi wako mmemaliziana au unamdai chochote?" Na akisema tu kuwa bado hatujamalizana ndio hamna safari hapo. Anakuja polisi paleplae na hamruhusiwi muondoke nyote mpaka haki imetendeka. Nimeyashuhudia kwa macho yangu hayo Mphilipino kagoma kuondoka anasema hajamalizana na bosi. Dakika hiyo hiyo kacha askari na kamzuia boss palepale.
Brother umeongeya ukweli binaadamu Wenye roho mbaya wako duniani koto siyo omn pekee Wakati mwingine tutaongeya mengi muonekano wako ndiyo uhalisiya wa tafsir i nzima ya maisha yk
Jina halipendezi na kauli zako wewe Abubakar bora ungekuwa hauna jina maana unasema maneno hujielewi.wewe huteseki kabisa umestarehe sana huko tz hakuna wabaya wote wamekamulika haya endelea na kufuru kwa kusema maneno ya kukashfu watu kumbuka Allah anakusikia na anakuona kesho tutaenda kujibu maswali yetu.
Ata mimi naishi Oman lakini kweli watu wengi wanateseka uyo kaka muhongo vitendo vibaya utavifanyia wapi mda wote umefungiwa akuna kiswahili uyo kaka anakudanganya wanauliwa wanateswa kwanza unanyanganywa pasot wanao waleta huku wakisha kufikisha awakujali poris utaendaje wakati ujui sehemu yoyote mimi.nawambia wadada ambao awajafika msije unadanganya utaendaje ubarozi umefungiwa ndani msije
Msema kweli mpnz wa mungu Mimi nipo oman ninamieza kumi kiukweli ninaamani ya kutosha sijawai kununua kitu Chochote zaidi tukitoka naweza nunua vocha Basi na muda mwingine wanawza kukununulia wenyewe nyumba Wi-Fi muda wt ninamda wa kupmxika xaid kuliko wa kufanya kazi nimekuja kufanya kazi sikuja kuangaria magofa hata tz yapo ndugu zangu achenini maneno fanyeni kazi
Brother uko sahihi kwa maneno yako,tatizo letu waafrica hatuna fadhila,kama ni mateso ya wafanya kazi wa ndani basi hata hapo Bongo pia wanateswa. Tuwache fitna zisizo na maana .
Yani kiukweli unachosema ni kweli watu wanapost vitu vingi Sana kuhusu uwarabuni lakini kiukweli ni uongo na kuhusu sim tupofree na sim ila baadhi wazuri baadahi sio watu wazuri lakini hawa watu huku ni watu wazuri tuu mm natoka nachezea sim ninavyotaka ila kiupande mwingine wanamapenzi ya kinafiki lakini hilo sio tatizo kikubwa ni kazi bas but these People are good
Mimi nipo hapa na wenzangu wanatoka lushoto...tanga mjini handeni morogoro dar pemba na unguja.sumbawanga...Arusha mwanza tupo ok kila jioni sote tunakaa pamoja saa 10 jion mpaka inaadhini magharibi...tunapewa mshahara na pesa ziada tunapewa...nguo na kila kitu..msituvunjie riski zetu...hamna lenu ni umbeya tu...hapa home ipo wi fi...kitu cha kwanza nimesetiwa katika simu yangu....tusiwaonee wametuokoa...tynatuma kila kitu kwetu wao ndio wanatupa na pesa za kutumia mizigo yetu....tupo ok...KARIBUNI MUJE TUJIUNGE NA SISI OMAN
Kusema ukweli watanzania atufadhiliki akuna kitu.ambacho tutafanyiwa alafu tuone Kama aki kwetu maana watanzania wengi tunapenda kusujudiwa na ndomana wengi wetu wanashidwa kukaa nchi za wenzetu ivi tutabadilika lini na tuwe watu wenye shuklani maana sijawai kuona au kusikia mtu katoka omani alafu akasema nilikua napata raha zaidi ya kulialibu jina la omani mana kila mtu akitoka omani akifika uko.anasema omani.wanatesa oman wanaua Oman sio pazuli ivi liiini itatokea mt akaongea maneno mazuli kuusu omani jamani watz tujilekebishe ayo sio maisha Mimi.nipo Oman sasa nin mwaka wa3 lakini akuna ata siku moja nikasikia mtu.kafanyiwa kitendo cha ajabu bila sababu,%💯 ya watanzania tumezoea kufanya mambo ya ajabu mfano ukiangalia tabia ya wizi kashifa kejeli matusi na ata pia kushea mapenzi vitu ivyo tunavyo watz ss ii ni nchi ya wenzetu.mungu kawajalia dini kwaiyo na mambo ayo awajazoea tomana unakuta mabint wng wanapata mqtatizo kutokana na tabia zao za ajabu alafu wakifanyiwa ukatili.wanasema omani pabaya lahasha mt unashindwa kujifikilia kwanza unaenda omani kuiba au kuangalia mataa au kufanya mambo ya ajaabu au unaenda kufanya kazi Kama unaenda kwa ajili ya mambo ya ajabu wallah utaludi jina nakama unaenda kutafut lidhiki kwa moyo 1,kwakwli.utatamani kuludi kwenu laikini Kama mambo yenyewe ndohaya amakweli utapaona pabaya cha kuwashauli watanzania wenzangu tubadilike sio kila siku.tuwe watu.was drama hatuto endelea
Daaaaa hata mimi niko oman lakin uyu kaka mhhhhhh mana kuna wafanyakazi hata cm awaluhusiwi wala chakula awal mpaka wenyew washibe uyu kaka anazingua sana ila asilimia Kubwa wengi wananyanyaswa ila mi namshukulu mungu niko naish kama tz
huyu kijana muogo ndio kunao wanaishi vyema hila wengi huteseka na kuteseka kwa wafanye kazi kwaletwa na hao wapelekanaji mmi nililetwa na shangazi tu yalio nikuta nikama nililetwa na mtu kanda hao wapelekanaji huwa wakishakupeleka Kukitukea shida wanakuruka utaendajy police wakati ata mlango ujuwi uliko kwahiyo wanao leta watu gulf ndio wabaya na waongo anyway sijuwi tz but kwetu ni mafisi watupu
Nipo oman nakulavizuri sana nanilichokifata nikazi Tatizo tunafanyakazi kwazi mana ndio nilichokifata atakwetu nafanyakazi ila tambuweni atakwetu kunawazuri nawababya
Ni kweli kabisa huyo kijana ni muongi huyo dhiki ya maisha ndio ina mfanya awatetee wale wanaomlisha huko uarabuni. Wahusika wenyewe wanarudi wanakalamika wwewe ni muuaji
Acheni uongo hata hapa wko wanaowatesa wafanyakazi tena wengi wanawaunguza mpaka na pasi hamusemi lkn mnasema imani yuko msichana miaka 4 na amemjengea mama yke nyumba kubwa sio wote wanawatesa na sim wanatumia kawaida hata hapa kazini huwez kutumia sim saa yeyote
nikweli oman co weto wanao teseka mm niko na mamangu mdogo yuko huko na sasa yuko na miaka mitatu na haja teseka kwa hiyo wabaya wako kila mahali lkn mateso ya oman na ya kwenu ni tofauti ila co wote wabaya
Saumu Mresh umenena kabsa...tupo weng na hakuna shda.co wote
wardah habibyt nikweli ictoshe inatengemea na ww mwenyewe utakavo jieka
Saumu Mresh kwel mana na wao pia wanaitaj wafanya kaz..na tusiwaseme vibayaa mana wengne twaish vizur nao..na wanatujal pia
Saumu Mresh umeongea kitu chamaana kwa ni mm niko huku nasiteseki alafu km mateso yapo kila pahalitunaishi kwa raha sana
Saumu Mresh minimekaa miak 4 wallah sijatesek wala nn Alhamdulillah
Mateso yapo haswaaaa namshukuru mwenyez mungu Kwa kunirudusha nyumban🙏 tz
Sijaona hata cha maana alicho ongea jaman oman kazi utafanyishwa mpaka usiku wa manane hupumuwi alafu watu wanalazwa mpaka stoo watu wanateswa mnapinga upumbavu mishahara tunapewa midogo nchi zingine Marais wao mashaallah wanawaangalia sana wasichana wao wanao toka Nchii zao wanahakikisha wanapewa mishahara mizur lakini watanzania tunaonewa yaan Nchii yetu ipo nyuma sana kimaendeleo n.a. ukiangalia watanzania ndo tunafanya zaid kazi kuliko hao waindonesia wafilpino lakini wezetu mshahara mkubwa ila Africa sis mishahara midogo sana alafu mnasema et omani hakuna neno jaman ebu kuweni wakweli watu wanateswa kwa kifup wa africa hatuna haki kabisa ijaza hatupewi hatupumziki kutoka shida kaaah kama tupo jela
Asante kaka umeongea vizuri umetupa haki
Warabuu noma sana roho mbayaa sana
Nipo Uengereza, nafanya kazi na Nimefanya kazi tofauti, na pia huku Ulaya tunapata mitihani ya kazi mpaka unaacha kazi, nilipo kuwa Tanzania Nimefanya kazi tofauti, majungu mengi na roho mbaya zipo hadi unafukuzwa kazi, hii mitihani ipo, na kila tunapo Enda tunayakuta, hivyo Watanzania msikate tamaa ya kutokwenda au kutofanya kazi, omba dua tu Mungu akupe kazi Utakayo I penda. ✌
Aminn
Kaka asante sana...maana wamezoweya kututia aibu watu wa oman...nikiwa ni mmoja naiahi na wafanyakazi kama ndugu zangu...mnyonge mnyingeni haki yake mpeni...PONGEZI KAKA HAMZA ...ALLAH AKUPE KILA LA KHERI AMIN
Niko omani sii wote wabaya ata tz wako wabaya na wazuri mimadam wangu amenipenda kweli atakwenye gari ataki nikae nyuma nakaambele kwaraha zetu omani oyeeee
Ety ni kweli Oman hawaruhusiw kuoa waafrika
Naskia sheria zao hawaruhus kuoa watu weusi
. m nmetaka kuja had naogopa jmn
@@mwanahassan6487 shoga Ang wengi tunaogopa
jamani mm nipo oman na ninaish vizuri alhamdulilah nasikia tu watu wakiteswa lakini naweza sema mungu awafanyie wepesi wote wanaoteswa mabos zoa wapewe roho za kibinadam tuendelee kufanya kazi kwa pamoja oman na nch nyingine nyingi tu ee mungu tusimamie ktk kutafuta rizki ya halali naomba tuseme amina wote tuliopo oman nch za watu kikazi au kibiashara
Tatizowadada wanaendakujiuza sikazini
Amiin
Allah awajaalie aman msiteswe huko nchi za watu
Nipenamba nije
Niko Oman huyu kaka ameongea u kweli salute kwake one love.
unasema ikweli tu uheshim kazi
Big up sie tupo na tutaendelea kuwepo Oman mnaotaka kuja njooni wasiwatishe hakuna shida yoyote shida kama zipo ni dunia mzima
Zainab Van Camps Zainab Van Campes big up zainab
Zainab Van Camps Zainab Van Campes .na mm nataka nije niunganishe
Siku mtarushwa dirishani ndo mtaimba taarabu.
KAMA kufa kuko kuko2 na wabaya wako kill a mahali na wazuri pia wako omani ukijua kilichokupeleka utaenjoy sana nimekaa omn miaka4
mimi naitaji kwenda oman au dubai
kwakwer namsapoti uyo kaka wanao teseka wapo lakini sip wrote Sana saudiarabia soon Oman pako vzr wengine hawataki kazi wanawachafulia watu kazi wezao ubarozi inasaidia mashallah
Asante Kwa kusema ukweli my brother
Me nimekaa na mwarabu Oman miaka miwili sikuteseka nimekaa na mkenya Dubai chamoto nilikiona ubaya ni roho si rangi 🤗🤗
Duuu kweli kabisa wakenya niwabaya ukikutana nao kazi moja wanasumbua sana,hasa wakituona watanzania au waowao kwa wao mjinga sana makenya,
Boss wng alikua mkenya wkt nafanya kazi Dubai niliimba aleluyah ilifika mahali nilitaman nijitupe kwa dirisha ule mda anaoni insist kusafisha dirisha gorofa ya 17😭🤗so sa ingine mwarabu anaweza akawa mbaya saingine mpoa tujikaze na kazi tu bongo kugumu
@@avriltravie6021pole sana mimi mkenya ni kweli ulifanyiwa vibaya ?manake wakenya wengi pia wanateseka huko uarabuni ulikubali vipi kuteswa na ngozi nyeusi kwa nini usingemtangaza kwenye social media tumfunze somo hatupendi ujinga huo na wala sisi sio wabaya
Uko wapi kwa sasa dada?
Watanzania ndio wabaya wacha uwongo, shenzi tanzanians
Am a Kenyan, this is my third year, and it's the best country, yes everywhere, tuko na watu wenye roho mbaya, au mzuri, lakini kila uendapo,itategemea unavyo jibeba, yaani the way you carry yourself is the way you will be carried, tena l have friends and we speak Swahili, ila tu ni kuchunga kazi,
Safi sana kaka nikwer wengine awajieshimu ukikaa nawatu ukijieshim basi nao watakupenda WA tz tumezoe kuwa huru na kuruka ruka na mabwana uku akuna mabwana nikz tu kama kauli mbiu ya baba yetu hapa kz tu akuna kuteswa waache maneno ya uzushi tukafunguwa ss wengine twaishi kwa laha na
Mtu ukiteseka na Kutuma vois aisahidii kitu ubaro upo kwann uendi kushiki
Umesema kweli Kaka wengeni wanaparamia waume za watu
Muongo wewe
Ahsante brother maneno ulosema ni 100%
Hawaji kwa nia ya kazi.! na kila nchi ina sheria yake wasifikirie watafanya vile wanavotaka wao ile kuzurura ovyo.! Wasije oman bora wakae hukohuko tznia.!
Ukweli anaujua mungu tu wamaisha ya oman. Mm kiukweli sina chakusema ila kwahapa ninapofanya kazi mini nisemetu Alhamdulillah.
Kwa Hali ya kawaida Tu , umesema Mjomba ako anafanya biashara hyo, Yani biashara ya watu. Kwahyo wewe simtu sahihi wa kuwasemea wa Tz, sbbu huwez pinga biashara ya familia yako. je tutakusikiliza wew mueka vipuli ama tutawasikiliza wahanga wa Hilo tatizo. Rud Oman kaishi endelea kuchonga nyusi, usiwatie vichaa dada zetu wa kitanzania
Bongo Tz kabisaaaaa
Bongo Tz kwakweli.bora angehijiwa mtu mwingine kabisaa
Bongo Tz Hata maelezo yake yanakona nyingi hanyooshi maelezo. Ngumu sana kwa mwenye kuelewa akakubaliana na huyu kijana. Ila lazima kutetea ugali wa kesho
acha kuongea ubuuzi ww wasichan wanateseka ila ni kuvumilia tu nakuomba mung awape subira
Me pia nipo Oman Namshukuru Mungu madam wangu yuko peace and love ila kikubwa nikumuomba Mungu atulinde huku 2ko kwenye nchi ya wa2 Nampenda saaana madam wangu nayeye ananipenda coz anajua kuishi na watoto wawa2 vizuri Mungu mbariki madam wangu umfanyie wepesi kwenye kila zito Ameeen
Saida Juma saida nicheck whatsapp 0719777186 tujenge maisha but now nipo chuo
Huyo kaka nampa big up ameelexa ukweli mtupu,mm ni msichana hapa oman huu ni mwaka wa 4 na cjawahi kuona nikifanyiwa unyanyasaji,unyanyasaji upo hatukatai lkn sio wote wanafanyiwa hivyo,kikubwa ss tulioko nchi za watu inabidi tuheshimu mila na desturi za nchi hiyo siyo ufanye km upo nyumbani kwenu tena kila kitu unachofanya sawa tu
Asante mdogowangu na mimi niko oman mateso siyaon
Jamani tuwe makini kwakusema wenzetu kila inci inawatu waroho mbaya na watu wa roho nzuri ila sio warabu wote tuseme ni wabaya. Mmi nilianzia Oman mpka nitoke nilikua naishi kma nyumbani mpka ivi niko saudia sijaona ubaya wwote so sikatai kma hakuna watu wabaya ila napinga kma sio wote
Anaesifu mvua ilimnyea daa km ulipata mahali pazur Mshkur ALLAH AZZA WAJALLA dumisha ibada na kuwaombea woote wanao teseka poyoyo tuacheni wapo wanaoumia
sikweli mm nimiaka karibu 10
Niunganushue Saudia best
I'm from Kenya 8 years in Oman Muscat sijaona umbaya yoyote haba
Ni kweli kabisa
Ukweli ni kwamba watu wanateseka ila si wote, lkn wengi ndio wale wanateseka, mm niko Saudia na mateso kama kawa ni kuvumilia tu, hizo smart phone ni wachache walizo nazo, alafu hao ma agent wakisha kupandisha ndege ni wewe na Mungu wako, hawapeani namva za simu za maktaba wala wala embassy, tu angalieni vile mtaweka mikataba tenye kuwamulika wahusika yani ss tunao kuja kufanya kazi huku, Allah atunusuru
Huyu sio Mzima
Mtoto Chele huyu,anabahasha hapa mujini washamuharibu waarabu na ashazoea
Ivi niulize kwani hao wafanya kazi wa ndani wanapokonywa simu. Nikiwa na maana km simu anayo mda anapata matatizo kwanini asifanye mawasiloano na sehemu husika. Tena niwambie kitu Serikali ya wenzetu inaheshimu haki za wafanyakazi kuliko mahali popote. Kwanini wasipeleke mashtaka ofisi ya kazi au Ubalozini Madina Qaboos. Ebu ndugu zangu tuweni wa wazi ata km shida ziko ila sio kiasi icho kinachokuwa kinaongelewa kwenye mitandao. Na nilichokigundua anesimama kueleza haya ni yule ashamaliza mda wake yupo Tz ili tu kuvunja moyo eengine wasitoke kutafuta riziki. Tuwe wa wazi maisha popote vitina majungu na chuki havitotufikisha popote.
Hongera JPM 🇹🇿
Hongera Qaboos 🇴🇲
Mimi niko huku na siteseki nipo kama nyumbani wabaya wapo kila sehemu dunia nzima
Wanasemea coz kuna watu wengi ambao wanateseka sana
Uu sioukweli siowoote wanaoteseka
Niko omani omani oyeee tunakula vizuri sana wewe kaka hongera
Dada matatizo yapo lakini sio kweli vingine kweli
Umeonaee
Ata Mimi nipo Oman napatabraaa sana nimenenepa atareeeee
@@suzanaagustino7940 Duh Susan utakuwa umenenepa vyote,vingine vikinenepaga vinazidi kuwa vitam wacha wee
uyo ukweli kaka nasisi tuko saudia mbona hatuyaoni dhu waace uwongo ata uwe wapi kama haujieshimu basi watakunyoosha
Carmella mateso ypo kuna dem upstairs hakuwa anaruhusiwa hata kuenda hammam pka baba awe hayupo alisafiri
Carmelle Mambo vp?
Callemele👎 umeon Kuteso kupo hata hapa Tanzania jaman au. Mbon mm nimefny oman miaka 3; n nimefany kaz vizr sana tena san. Nimerud mzima bila makelele watu wanataka wenyew kufanyiwa hayo mambo siyo ukwel acha uongo. N nimerudi nipo Dubai nkula bata kama kawa bila mateso acha uongo huo n mawivi mengi tuache tuishi kw aman.
Nikweli Kaka W engine wavivu ndomana wanazua
Uyu kk msenge kweli mimi nipo uku nashuhudia wa2 wanavyo teseka na iyo Wi-Fi umpate m2 na roho yke laki katika asilimia 100 utakuta35 ndo wenye imani acha unafiki uwende mbinguni unatetea upuuzi mimi naomba Rais apambane zaidi ili watu wasije uku najuta Kuja uku mana ninayo Yaona uku kwa jirani zangu yanatia hasira na njia ya kusaidia sina mungu tulinde waja wako wote tuliopo nchi za nje inshallah
Hapa kazi tu Oman kisingel bongo 👌👌👌
Unajuwa kila nchi kuna watu kweli nakuna watu wananembo yautu Ila sio watu Hata hapa kwetu wafanyakazi wanapigwa kuna mmoja yule aliyemuunguza pasi dada wake wandani nahuyo nimtanzania Sasa pia oman wapo baadhi wanaotia dosari nchi nzima Ila wengi wao huwa wako vizuri tu sema kazi zakule bize nakazi sio kama nyumbani wali mchuzi basi Kule vitu vyakahawa tu basi vinne vitano Ila vizuri ujipangie ila maisha ya kawaida
Ni kweli kaka shida ziko but wengine wanajitakia kulingana na heshima zao.Simu ziko twachat ile mbaya,Mungu atusaidie hatuko huku kupenda.
KWANI TZ NAKUNA WATU WANAOTESA WAFANYIKAZI?!!!.
Wpo kibao wanafika tu nchi yap
@@ummulkurthumabeid2914 tena adi mengine tunayashuhudia watu wanafanyiwa vitendo vya ajabu kama awapo mchini kwao
Jamani watu wenye Roho mbaya wapo Dunia nzima Tusipende kusema mabaya ya Oman tu na mema yao tuseme pia jamani Mimi nipo Oman mwaka wa 4 hu sasa na niko powa sana naishi vizuri sana na sina tatizo Alhamdulilah
Maisha ya utafutaji ni magumu mm nyumba ya kwanza nimelazwa chini miez 6nikatoka lakini ss naishi hapa nilipo vizuri nashukuru mungu
shukran Fahim hapo umeongea ukweli kabisa hali halisi ya oman atakaye ameen ameen asiye ameen abaki kweye usiku wa giza
Mmmh sio kweli haki ayipo unateteya tu
Mimi mwenyewe nipo oman ila sisemi chochote. Bayana naisubiri siku ya kiyama. Nina uhakika Allah hampunji mja wake na pia yooote kila anayemfanyia mwenzake iwe kheri au shari yanaandikwa kwenye kitabu. Ila kumuanika boss au madam mtanfaoni hiyo sitaki. Sheria ya dini yangu na maamrisho ya Allqh yamekataza kumfedhehesha mtu. Lakini siku ya kiyama hakuna kulipana, riali, dolla, uro wala rupia. Hiko ni mtu anajilipa mwenyewe. Illah ninachowashauri mashaghala mliopo uarabuni na hata nchi zingine pendeni sana kusema Alhamdulillah mkipata misuko suko. Alhamdulillah ni maneno macjache sana kuyatamka lakini ni mazito sana ktk mizani. Kwa hiyo mtu akikunyanyasa wewe muache alivyo wala usimfedheheshe siku ya kiyama atakuongezea uzito mkubwa sana ktk mizani.
Kuweni wajinga mashaghala msibishane na wenye nazo ni kitu ambacho hakiwezekani. Masikini kubisha na tajiri ni sawa na kipofu kupigana na mwenye macho. Nawashauri vumilieni kuteseka kwa wale mnaoteseka siku hazigandi. Na mlio na starehe Allah akuzidishieni starehe ila msisahau kuwaombea wanaosulubika. Mambo hubadilika huenda leo kwake kesho kwako. Nakutakieni kazi njema Allah awape subra. Ipo siku mtarejea makwenu biidhnillah. Hakuna maregu yasio na ncha kila kitu kina mwisho.
Nikweli
Rahma Shaban kila mtu anaisubir siku hiyo usujitie mkamikif fuska mkubwa wew na utafumbikwa ndani mpaka ila sipendi uje kwenye comment zangu fanaya yako
Rahma Shaban
Rahm wjin
Rahma R. Maasha Allah
Uwiiiii
Kwasasa nipo Saudia kwamyaka mi3 na nusu Oman nime ishi mwaka mmoja na sijawahi Ona ubaya ubaya nirohoyamtu tu 🙏
Akaaaa mi napita tu na mm ndo Niko huku alhamdulillah wafanyakaz wanaume na wanawake tofauti hebu nyamamaza wewe
Watuuu waongooo wengineee jamani mm nipo oman pia cjaona mateso na nipo mascut punguzeni jamani wapo wabayaa lkn sii wote na baadhi ya wafanyakazi pia wajeuri na wiziii
Afu wengine huwa wanarudia matukio. tukio la mwaka jana wanaleta mwaka huuu maisha popote tuu hata kwenu mnaweza kukosana.
Poleka ndugu zako wote
Na ukiwa Tanzania utaambiwa mshahara mkubwa ukifika oman bos anakuchenjia utashangaa unapewa pesa lial 50 n.a. hapo kila kitu utanunuwa mwenyew n.a. ukiangalia nyumban unafamilia inayo kutegemea lial 50 haitoshi kitu kabisa hiyo sio haki kabisa tunaomba sana serikal yetu ya kitanzania ilifanyie kazi hili swala maana tunako elekea siko maana kazi tunafanya nyingi kuliko mishahara tunayo pewa ni tofaut
aisha Aisha Bushir wewe kama unateseka fanya mpango urudi kwenu kwani mlilazimishwa au ni lazima kufanya kazi huko mwisho kweli mfie huko na manyanyaso na kule usemi usemao mkataa kwao...... ........ Nadhau unauelewa rudi kwenu ishi vyovyote vile mwombe Mungu hakukuumba bure ana kusudi na wewe pole sana
Mm mkenya uwa nasema sio wote wabaya lkn pia matatizo sana twayaleta cc wafanya kazi
Sio wote wanaoteswa wengine tuko vizuri atutamani kuondoka maana tunaishi vizuri Sana Ivo basi anateseka arudi zake kwao asituaribie wengine kazi Tz akuna nauko ndio kunamateso zaidi ya Oman
maryam maryam true ao wanaojishaua wanawatetea tu sijui wanaogopa watafukuzwa,pua ndefu ao wanatabu
tatizo la waarabu wanatuzarau sana waafrika tukishakuja kwao kufanya kazi tunaonekana ni masikini wa kutupwa hatuthaminiwi kabisa na hii ni kwa waarabu wote na kwa upande wa mateso ni kweli wapo wanaoteseka pia wapo wanaoishi vizuri kwa upande wangu mm naishi vizuri tu ila tatizo dharau ndo kitu kinachoniuma yaani hata mtoto mdogo anakuonesha dharau inatia hasira sana lkn tunavumilia tu maana kuna watu huku wanalia kila siku jamani ni kuomba mungu tu atusaidue turudi salama makwetu ila mimi Oman puuuuuh basi .........
Hatamimi niko oman myaka mine naishivizuri ila panawezetu wanatesekasana tenasana
Huyo aelwiOman wanaume awateseki ila madada WA ndani wanateseka sana wanachapwa wananyang"anywa simu wanauwawa msijaribu kwenda huko
Comeni kwenda ,hao madalali nao niwanyama pia.Wanajali pesa kuliko utu wamtu aliyempeleka.hawafatiliii maisha yao.kwann wanakufa nakurudi wamekufa
Huyu kaka kuna mengine kaongea uongo kwa mfano hili la simu sio wote wanaoruhusiwa kuwa na simu, nina marafiki wawili wanafanyakazi Oman, mmoja anaishi nyumba ambayo simu hapewi kabisa, aliwasiliana na familia yake kipindi family ambayo anaifanyia ili safiri ikamuacha kwa ndugu zao ndo hao ndugu wana utu hata wakamnunulia simu akaweza hata wasiliana na wazazi lakin waliporudi mabosi wake wakaichukua hakuna communication hadi mwisho wa mwezi. Na kuna mtoto wa Dada wa rafiki yng huyu yeye amepata bahati anafanyakazi kwa wa Omani wenye roho na ubinadam hata simu wamenunulia na kila SAA 5 Usiku akimaliza kazi anachati Whatsapp, na hata mimi nilipoenda Oman nlipiga simu na nikamuomba boss wake kumuona huyo binti na Boss wake alimleta nilipofikia na akamuacha apige story na mimi 2hrs baadae wakamfata. Na hata sasa hao maboss wake wanataka kuja Dubai wamesema watakuja nae anisalimie, kwahiyo sio wote wabaya na sio wote wazuri. Hata kwetu Tanzania wadada wakazi wengine wanateswa na mabosi zao sema kwa Tanzania ni rahisi kupata msaada sababu hutumii passport toka kwenu kwenda kwa muajiri kwahiyo ni rahisi kuondoka na kurudi kwenu au hata kuwashirikisha wanaokuzunguka ukapata msaada, ila kwa nje ya nchi ni ngumu sababu Passport yako inakuwa kwa boss, na pia sio wote wanajua wapi ilipo balozi ya nchi yao. Hii ni kumuomba tu Mungu wapate watu wenye imani. Ila kwa maisha ya kawaida mbali na kuwa Dada wa kazi kwa Oman, waoman wanaroho nzuri asilimia kubwa. Swala la uhuni jamani lipo kila sehemu, anayeijua Oman na woman najua atakuwa amenielewa.
Saaaana wallah😢
mm nipo omani nafanya kazi huu nimwaka 6nipo
Na kuhusu mkataba yaliyo andikwa ndani yake hayatekelezwi kabisa wanatuona sisi wendawazim lakini watanzania sio wakorofi ila uwaga wanatuchokonowa ili tuongee mtu atakupa pesa kidogo lakini mtu unalizika ila bado wanatuchokora
Kweli kabisa kaka angu unachongea Ni sahihi kabisa si wt mtu anakuja kwa ajili ya kazi lakini anaaza ya kwake .
Ni kweli anacho kusema Oman kuzur sio kama Saudia Arabic
Nakuunga mkono saudia hakwendeki lkn omani kidogo wana imani
jamani watu wamewachoka wafrika ni waongo saaana hawana maaadili kabisaaaaa..kwahio msilaumu watu nyiyi wenyewe wauwaji mmeuwa na mmetesa wangapii ebuu acheni msijifanye wema ukweli hamna tabia nzuri kabisa....kwa wa tzwasukuma ndo wema watu wa kazi njo wa darsalam wahuni mpaka basi wazanzibari wavivu tena saaana hawawezi kazi wakiambiwa wanasema wamenyanyaswa...acheni ftna hamfai ...hamfai kabisa..
Haujambo?
Maryam saidi
Kwakweli ww umeongea ukwel popote wabaya na wazur wapo lkn mmnazungumzia kwamba niwengi wazur roho zao ni mzur hawana ubaguz
Kwelikabisa Kaka mie nipo oman mwaka 2 sijawah kupata tabu hata siku moja nakalibia kumaliza mkatab mabos wangu wananiomb niongeze mkat kwakweli nipo kwenye amani.sio ote wanaofanyiwa ubaya
Kwakwel oman akthar ndowenye.roh mbay na.weng ndowenye roh nzr
Mmmhh minipo omn ninamiaka sita sijawahi pata mateso hakika niwatu wema sn na out natoka km kawaida nikiwa nao ss km unataka tuachiwe huru ukazururee tu unaendawapii kwamfano hii siyo Tanzania jmn acheni watu wafanye kazi wapate riziki yahalali ni kweli wapo familia zingine wanaroho mbaya but sio wote sijawahi kutumia mshahara wangu kwakujinunuliaa mahitaji kila kitu napata alhamdulillah mungu awajaalie nawengine wapate mahali pazuri amin
Mrs dully Amiin 🙏
Nikweli wabaya wapo nawazuri pia wapo ilahuelewi unapokwenda kamautapata tajiri mzuri au mbaya ni mungu"tuu akujalie kwenye maisha uvumilivu uwepo hata Tanzania pia kunawatu wanaroho mbaya mm nipo Oman ninamiaka 8 Bo's wangu nihuyo mmoja"sijabadilisha nawatakia wenzangu mungu awajalie wapate"maboswazuri
Mrs dully Ameen
Mrs dully hehehee mimi nipo miaka 9 hahahaa full rahaaa hamdellah
Mrs dully kwanini tusifanye group jamon
nikweli jamn sio wote wabaya hata mimi niko Oman sijapata matatizo Alhamdulliah
nyinyi mnaesema hawateswi kwamasilah yenu alafu wenzenu wanaenda wanajiingiza kwenye moto mungu anawaona siamini kama indonesia kusema wamefunga kwajili yawatu kupata matesowalidanganya napia siamini kama watu wanaorudiswa maiti wana danganya ingawa sinauhakika.
Jaman inatengemia na nyumba jamana apa nilipo Mie masikin atali ata kula kwawo Shida jaman nakuusu sm inatengemia. na nyumba apa nilipo Mie tuko waswaili wengi tumenunuwa kwa ela yetu wapo we nyeroho mzuli wapo na makatili wapo tele jaman Kama we umepata nyumba iko poa shukuru sana watu awapewi chochote zaidi ya mshaala wako tu jaman achani tumekuja kutafuta tuna bidi tumuachiye mungu tu
Jmn inategemea bhn ila ww kk acha uongo km.una la kuongea nyamaza bhn kwan kuna wengine ata cm anatumia kwa.siku y ijumaa tu yaan siku nyengine so few uruhusiwi kutumia,
Ata nyie majent,ndyo watu w kwanza kutuzarau yaan kwa maana mlitumbia siku ya ijumaa ni siku ya kupumzika lkn siyo hvyo tulivyokubarian unakuta ijumaa ndyo unapelekwa kwa ndugu kwenda kufanya kazi, na wengine unakuta anafanya kazi sehemu mbili na msharaha ni uleule yaan
Rashda kaje___ ha ha ha! Ntumie number yako
Poleludini 0716511600
ỉviwalabu wanaolewa nangozi nyeusi
wewe kaka mungu hanakuona wasichana wanateseka sana omani hongea hukweli
Ktk nchi za uarabuni oman inaongoza kukaa kukaa na watu vizur mimi binafsi yangu nabahatika ingawa shida zipo ila tofauti na wenzetu wanaonda saudia
Yuko sawa sio wote wanaonyanyasa bhana kasema ukweli
Kaka hujui ulizungumzalo sikulaum wengine mpaka tunaludi tz hatujatoka nje na sio wote washahili ni uwongo usilopoke
Kwakweli cc waomani tutafurahi saaana kma Magufuli atazuwia watanzania wasije nchini oman.! wakae hukohuko hatutaki sisi kuzuliwa uongo na kutukanwa ovyo!! kila mtu afanye kazi kwao!
Sio vizuri kuipaka matope nchi ya oman acheni uongo baazi ya watanzania tunao jieshim mbona tupo
Jaman si kweli mengine munawachafuwa watu wabaya sio wote cm unatumia km kawaida
jaman mimi niko salama so ote wabaya mtwacie oman oyeeeee
Halafu kitu kimoja niongeze. Swala la kutolipwa ni uongo kwa sababu hata hile siku unarudi kwenu basi airport kabla hajaondoka mwenyeji wako basi unaulizwa kwanza "Jee! Unaondoka kwa ridhaa yako au kuna matatizo?" Na "Jee! Bosi wako mmemaliziana au unamdai chochote?" Na akisema tu kuwa bado hatujamalizana ndio hamna safari hapo. Anakuja polisi paleplae na hamruhusiwi muondoke nyote mpaka haki imetendeka. Nimeyashuhudia kwa macho yangu hayo Mphilipino kagoma kuondoka anasema hajamalizana na bosi. Dakika hiyo hiyo kacha askari na kamzuia boss palepale.
Brother umeongeya ukweli binaadamu Wenye roho mbaya wako duniani koto siyo omn pekee
Wakati mwingine tutaongeya mengi muonekano wako ndiyo uhalisiya wa tafsir i nzima ya maisha yk
Kweli
Ww kibaraka tu pengine umeshaolewa huko hakiwezekani watu wanarejeshwa maiti ww unasema ni watu wazuri kwenda huko
Huyo kaolewa kweli kwani humuoni huyo na hereni kavaa
Hata kuna watanzania wana roho mbaya
Jina halipendezi na kauli zako wewe Abubakar bora ungekuwa hauna jina maana unasema maneno hujielewi.wewe huteseki kabisa umestarehe sana huko tz hakuna wabaya wote wamekamulika haya endelea na kufuru kwa kusema maneno ya kukashfu watu kumbuka Allah anakusikia na anakuona kesho tutaenda kujibu maswali yetu.
@@biancahot4588 kwaiyo mond anavaa nae kaolewa
Ata mimi naishi Oman lakini kweli watu wengi wanateseka uyo kaka muhongo vitendo vibaya utavifanyia wapi mda wote umefungiwa akuna kiswahili uyo kaka anakudanganya wanauliwa wanateswa kwanza unanyanganywa pasot wanao waleta huku wakisha kufikisha awakujali poris utaendaje wakati ujui sehemu yoyote mimi.nawambia wadada ambao awajafika msije unadanganya utaendaje ubarozi umefungiwa ndani msije
Point San goooooooood umeongea
Kaka kunàmambo yañaeñdelea àmjui mshàhàrà wenyewe mdogo kazi nyingi matàtizo yapo .
Msema kweli mpnz wa mungu Mimi nipo oman ninamieza kumi kiukweli ninaamani ya kutosha sijawai kununua kitu Chochote zaidi tukitoka naweza nunua vocha Basi na muda mwingine wanawza kukununulia wenyewe nyumba Wi-Fi muda wt ninamda wa kupmxika xaid kuliko wa kufanya kazi nimekuja kufanya kazi sikuja kuangaria magofa hata tz yapo ndugu zangu achenini maneno fanyeni kazi
Kwer kabisa udugu mi mwenyewe nashkulu npo vzur naawa watu
nipo Oman kuusu swala la sm Mabos wengi awaruusu😴
Naombanayako 0716511600
Umekuja kuchezea simu au kufanya kazi !!
Sanaa
Mm Hivi ninavyo angalia nipo huku, kiukweli ctesek wako vizr, na niko poa kabisa ila Kaz kama Kawa wi- fi mwanzo mwisho mapungufu kila sehem
Wapo wanao Teswa ila so wote me Mwenyewe Nipo huku Nime kaa huku Miaka miwili Nkaludi Nyumban miezi Miwili zen Nmeludi Tena Na Nko vizuri kabsa
Brother uko sahihi kwa maneno yako,tatizo letu waafrica hatuna fadhila,kama ni mateso ya wafanya kazi wa ndani basi hata hapo Bongo pia wanateswa. Tuwache fitna zisizo na maana .
Rashid Seif huyu Kaka mungo juu mjomba wake Ni ageniti
Rashid Seif kweli lkn WaPo wanaoteswa
Maneno yako yapo sahihi kaka
Limekukost hilo jina La umalaya. Ukweli ni huo. Ila hayo matusi kwangu naona hayatoshi ongeza na mengine yafike hataa elfu 10
Utateswa na kosa lako heshima haiuzwi
Yani kiukweli unachosema ni kweli watu wanapost vitu vingi Sana kuhusu uwarabuni lakini kiukweli ni uongo na kuhusu sim tupofree na sim ila baadhi wazuri baadahi sio watu wazuri lakini hawa watu huku ni watu wazuri tuu mm natoka nachezea sim ninavyotaka ila kiupande mwingine wanamapenzi ya kinafiki lakini hilo sio tatizo kikubwa ni kazi bas but these People are good
Mimi nipo hapa na wenzangu wanatoka lushoto...tanga mjini handeni morogoro dar pemba na unguja.sumbawanga...Arusha mwanza tupo ok kila jioni sote tunakaa pamoja saa 10 jion mpaka inaadhini magharibi...tunapewa mshahara na pesa ziada tunapewa...nguo na kila kitu..msituvunjie riski zetu...hamna lenu ni umbeya tu...hapa home ipo wi fi...kitu cha kwanza nimesetiwa katika simu yangu....tusiwaonee wametuokoa...tynatuma kila kitu kwetu wao ndio wanatupa na pesa za kutumia mizigo yetu....tupo ok...KARIBUNI MUJE TUJIUNGE NA SISI OMAN
Sham Zone big up sham zone
bro umeongeya kweli sio wote wanaotesa tuna miaka 10 hao hawafahamu wanachukuliwa na ma beduwi majangwania wana wasingiziya wote wabaya
Kusema ukweli watanzania atufadhiliki akuna kitu.ambacho tutafanyiwa alafu tuone Kama aki kwetu maana watanzania wengi tunapenda kusujudiwa na ndomana wengi wetu wanashidwa kukaa nchi za wenzetu ivi tutabadilika lini na tuwe watu wenye shuklani maana sijawai kuona au kusikia mtu katoka omani alafu akasema nilikua napata raha zaidi ya kulialibu jina la omani mana kila mtu akitoka omani akifika uko.anasema omani.wanatesa oman wanaua Oman sio pazuli ivi liiini itatokea mt akaongea maneno mazuli kuusu omani jamani watz tujilekebishe ayo sio maisha Mimi.nipo Oman sasa nin mwaka wa3 lakini akuna ata siku moja nikasikia mtu.kafanyiwa kitendo cha ajabu bila sababu,%💯 ya watanzania tumezoea kufanya mambo ya ajabu mfano ukiangalia tabia ya wizi kashifa kejeli matusi na ata pia kushea mapenzi vitu ivyo tunavyo watz ss ii ni nchi ya wenzetu.mungu kawajalia dini kwaiyo na mambo ayo awajazoea tomana unakuta mabint wng wanapata mqtatizo kutokana na tabia zao za ajabu alafu wakifanyiwa ukatili.wanasema omani pabaya lahasha mt unashindwa kujifikilia kwanza unaenda omani kuiba au kuangalia mataa au kufanya mambo ya ajaabu au unaenda kufanya kazi Kama unaenda kwa ajili ya mambo ya ajabu wallah utaludi jina nakama unaenda kutafut lidhiki kwa moyo 1,kwakwli.utatamani kuludi kwenu laikini Kama mambo yenyewe ndohaya amakweli utapaona pabaya cha kuwashauli watanzania wenzangu tubadilike sio kila siku.tuwe watu.was drama hatuto endelea
Zulfa niko omani nshukulu mugu nimepata sehemu nzuli sinyanyasi lakini nikweli kuna wegine wanateseka jamani ndio binadam kuna wegine wanaroho nzuri nawengine wanaroho mbaya atauko kwetu tz kunawatu wanawachukuwa wasichana kutoka mikoani wakishawareta drsm wanawanyanyasa kwaiyo manyanyaso kote yapo
Tumeumbwa matabaka
Nikwel kak umesem kwel lkn akthar wana roh mbay nawachache ndo weny utu kutok oman karibun ten iraq huku mashaallah hawatak shob wakikuon haufai wenyew wanakurudisha maktab.hawaongei huk.nikimyakimya tu nahuk sio kam oman watu.waoman wanalala jan dah hatamung wenyew hapend kaa sio kwaulalaj huo huk.wot wanachap kaz mviv ww ukishindw.sheur yak unavaa unavyo tak ww yan dah rah kwel allihamudulilah.nashukur allah kwakwel
Alihamndulillah nimemaliza Miaka 4 na hakuna shida kabisa kila sehem kuna wazur na wabaya na sis wadada wa kitanzania tupunguze midomo
naomba namba zauyo kijana kwan nasheda yakaz anaweza kunisapot kwaanko yake.
Daaaaa hata mimi niko oman lakin uyu kaka mhhhhhh mana kuna wafanyakazi hata cm awaluhusiwi wala chakula awal mpaka wenyew washibe uyu kaka anazingua sana ila asilimia Kubwa wengi wananyanyaswa ila mi namshukulu mungu niko naish kama tz
huyu kijana muogo ndio kunao wanaishi vyema hila wengi huteseka na kuteseka kwa wafanye kazi kwaletwa na hao wapelekanaji mmi nililetwa na shangazi tu yalio nikuta nikama nililetwa na mtu kanda hao wapelekanaji huwa wakishakupeleka Kukitukea shida wanakuruka utaendajy police wakati ata mlango ujuwi uliko kwahiyo wanao leta watu gulf ndio wabaya na waongo anyway sijuwi tz but kwetu ni mafisi watupu
Jaman mm npo Oman cm mdawowote natumia halafu naishi vzuri mateso siyo kwawote wengine tumebahatisha tunaish vzuri tu
Ridia Yohana her yakowwe ulo batisha
Nipo oman nakulavizuri sana nanilichokifata nikazi
Tatizo tunafanyakazi kwazi mana ndio nilichokifata atakwetu nafanyakazi ila tambuweni atakwetu kunawazuri nawababya
Ukipat.sehem nzur mshukur mung ila kunawengin wanatesek.sio.sir.ila lazima tujue binadam tuko kimakund kuna wazur na wabay namd mwingin huw tunajitakia weny baad hakufuat.kilicho kupelek unakuw na mambo mawil has.hicho ndokinacho.tuuwa.kwasan.nakurushwa kweny magorofa
Aliyoyasema ni sawa ,itasaidia kutusafisha Waomani, hasa vigazeti feki vinavyotangaza habari za uongo