Fred Msungu - Nini la kufanya !

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Zipo nyakati kwenye maisha mwanadamu anapita mahali pagumu kiasi haoni jambo la kufanya kabisa....Nyakati hizi hua zinamtengeneza mtu kuwa jasiri zaidi au kumuondolea ujasiri kabisa kama asipojua asante nini , Lakini wakati huu unapofika bado hua limebakia jambo moja la kufanya ambalo litakupa matokeo yenye faida zaidi
    Kupitia somo hili utajifunza ufanye nini unaookosa kabisa kujua ufanye nini ..HATUA HII ITAKUPA USHINDI NA KUKUPELEKA HATUA YA JUU YA MAISHA YAKO (Utukufu mwingine)

КОМЕНТАРІ • 17