Kama ni tuzo sasa nimpe nani// We malkia pekee moyoni// Nishaweka nia kwako mwngne nani// Nitahadithia mashekhe mpk ukumbini// Navuta picha maisha yangu mimi na wewe Kama ni pressure alieushusha ni wewe Tumevuka mengi mpk leo nipo nawe// Kama n msingi sio tofali ni mawe// Yale maisha kwa siku mlo mmoja Nikapata pressure madoni watakuhonga// Ulkuwa nami kwenye baya na zuri Hii namba ten mi moja we sifuri// Nishasahau mabaya yao Walinidharau wanawish niwe wao// Chumba kimoja nilipanga m nawe Tukaishi pamoja hukutaka nipagawe// Nikivurugwa mawazo unanitoa// Na kunipa moyo ipo siku nitatoboa/ Mpk visenti ulinipa kuniokoa// Mapenz juu yako mungu ndo anaejua//
3rd
Sasa kata uno, mwaga
Mahaba toka Tanga
Kwa giza nipe mwanga,
Mwanga mwanga mwanga. Mwangaaa
Hii ni atari🔥🔥🔥🔥
Kumamake sana 🔥🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣
🔥
💻👏
Huzun moja hatar
🙏
Kama ni tuzo sasa nimpe nani//
We malkia pekee moyoni//
Nishaweka nia kwako mwngne nani//
Nitahadithia mashekhe mpk ukumbini//
Navuta picha maisha yangu mimi na wewe
Kama ni pressure alieushusha ni wewe
Tumevuka mengi mpk leo nipo nawe//
Kama n msingi sio tofali ni mawe//
Yale maisha kwa siku mlo mmoja
Nikapata pressure madoni watakuhonga//
Ulkuwa nami kwenye baya na zuri
Hii namba ten mi moja we sifuri//
Nishasahau mabaya yao
Walinidharau wanawish niwe wao//
Chumba kimoja nilipanga m nawe
Tukaishi pamoja hukutaka nipagawe//
Nikivurugwa mawazo unanitoa//
Na kunipa moyo ipo siku nitatoboa/
Mpk visenti ulinipa kuniokoa//
Mapenz juu yako mungu ndo anaejua//
Unambiwa niatari rakini sarama
Sanaaaa🙏🙏🙏
Nakubali DJ wang
Pa1 ndg
Kaka nina omba namba yako