AKILI EP N0.2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 179

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 роки тому +3

    Duuh! Bakar katupia uzuri wa Mnyama Simba 🤝💪🏽💪🏽😜😜😜

  • @veraniinnocent7624
    @veraniinnocent7624 2 роки тому +15

    Nadhani wote wanaofuatilia akili ndio wafuatiliaji wa binadamu series

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 2 роки тому +1

    Kikosi kizima cha maneno ya kuambiwa big up sana watching 4rom🇰🇪💪🤝

  • @malundegwesa4831
    @malundegwesa4831 2 роки тому +13

    Nimependa sana kuwaona washiriki wengi wa MANENO YA KUAMBIWA. One love kwa timu nzima

  • @benardmutayi5738
    @benardmutayi5738 2 роки тому

    Kazi nzuri wapendwa wetu Watanzania,, Bakari 🤣🤣🤣🙏🇰🇪🇰🇪

  • @halima7255
    @halima7255 2 роки тому +8

    Makusanya unazambi ww 🤣🤣🤣🤣🤣 na mwezako stani ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @patiencekuvuna9913
    @patiencekuvuna9913 2 роки тому +4

    Binadamu#akili#maneno ya kuambiwa mambo n moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @icapaoffice1592
    @icapaoffice1592 2 роки тому +1

    kwani za kufuata lini jamanj mbna mna2tia uroho?!! but one love From Burundi am so happy 4r 2 see team nzima ya MANENO YA KUAMBIWA season

  • @johnsoka2140
    @johnsoka2140 2 роки тому +3

    Mambo ndo haya sasa back to back huku #akili pale #binadam i like

  • @Delomar3
    @Delomar3 2 роки тому +7

    Naomba mueke BEHIND THE SCENES nione kaka bakari akipiga kelele 😂😂

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 2 роки тому +4

    Film zenu kali sana ila muda wakusubili nimrefu sana, mjitahidi kutuwekea Ep 2 kila wiki... ishauri tuu

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 роки тому +2

    Zimwi Leo kawa mzee wa suti kali sana big up broo

  • @خسنموس
    @خسنموس 2 роки тому +3

    Kazi nzuri jana binadam 31 leo Akili 2 munajua kutufuraisha munafanya poa sana kwenye tamthilia nawakubal 👌

  • @aminaomaryaliy3226
    @aminaomaryaliy3226 2 роки тому +1

    Makusanya munguanakuona🤣🤣🤣 stani siungemwacha asimame tuu

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 2 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kobelo Kuoga Kumeshinda Kusa Elfu 50,Mmmh Mi Siwaamini Hawa ,Kwa Sababu Wao Ndio Wakieka Haya Mawe Kila Sehemu.

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 2 роки тому +16

    Watu wangu🔥🔥🔥watching from Kenya 🇰🇪

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +2

    Mwenyekiti mwambieni apunguze mbwembwe zinakuwa nyingi saana yani mpaka anaharibu

  • @leahjoseph6
    @leahjoseph6 2 роки тому

    Dah Ila kobelo me unanimalzaga xn🤣🤣🤣🤣🤣

  • @davidoalex9196
    @davidoalex9196 2 роки тому +1

    mwenyekiti anazingua the way anavyoingiza

  • @RajatSharma-uq7pz
    @RajatSharma-uq7pz 2 роки тому +2

    Ni kiboko kitale Hana kazi mbovu 🌟🌟watching from Riyadh Saudia Arabic

  • @mkasysaid7384
    @mkasysaid7384 2 роки тому +2

    Watching from saudi arabia kobelo umenibamba🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️

  • @franciscojorgejorge6166
    @franciscojorgejorge6166 2 роки тому +2

    Dada Doris upo ,nakupenda sana dada Doris

  • @hamisidumbo1568
    @hamisidumbo1568 2 роки тому +3

    Wenyew wamemuona Salome samahani tujuane✋

  • @jasonmureke2460
    @jasonmureke2460 2 роки тому +6

    Watanzania Watanzania aaaa👀👀👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏😁😁😁😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ناجمهحسن
    @ناجمهحسن 2 роки тому

    hahahahahaaaaa bakari utachoka koo hahaaa timu maneno yakuambiwa twawapenda

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 2 роки тому +1

    Mwenye kiti amekalia Car seats 💺 ya watoto 😂😂😂😂😂

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 2 роки тому +7

    KAZI NZURI SANA... 🇹🇿🔥🔥🔥🔥

  • @gbwile1257
    @gbwile1257 2 роки тому +5

    Uyo kobelo Kila cku kuigiza mlevi inamana hakuna character nyengn anayoweza kucheza

  • @godfreymwandoje122
    @godfreymwandoje122 2 роки тому +7

    Akili one love 🙌🏿🙌🏿🙌🏿👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 роки тому +3

    Na mimi naomba mnikoment kama nlivowakoment mimi

  • @biommy6700
    @biommy6700 2 роки тому +2

    Hahaa, kaa Bakari umeweza kwenye mgambo,,,afu wee daa mweni etii jamaniii hela iyoooo

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 2 роки тому

    Kitale bhana ameamua atuzibe mdomo na hii akili haya bhn shukran

  • @mamalaozphilemon.8800
    @mamalaozphilemon.8800 2 роки тому +2

    makusanya sio mtanzania😂😂😂😂 patamu hpoo🤣🤣🤣

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 2 роки тому +1

    Kitale uja wai kosea ata siku moja

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 2 роки тому +2

    😂😂😂😂nimecheka nilivyomuona kaka yk mogela jamani!! Ent anaitisha lamgambo

  • @muddymussa9007
    @muddymussa9007 2 роки тому +5

    Wakwanzaaaa

  • @twaybachellah914
    @twaybachellah914 2 роки тому +6

    From oman 🇴🇲🇴🇲🇴🇲💃💃💃

  • @samwelboniphace5791
    @samwelboniphace5791 2 роки тому +4

    Wakwanza Mimi like zangu tafadhali

  • @samiuhassan8153
    @samiuhassan8153 2 роки тому +2

    Wowooo bakari na kidumu cha mgambo hahaaaaa hatarii

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 2 роки тому

    Kazi nzuri mnajuwa kazi nzuri

  • @ashahassanhiribae1527
    @ashahassanhiribae1527 2 роки тому

    Bakari😁😁😁lamgambo, big up movie tamu

  • @kamandakulukutantamantetel6193
    @kamandakulukutantamantetel6193 2 роки тому +1

    Kenya ipo ange sana,we love it.

  • @wilsondebelchior7687
    @wilsondebelchior7687 2 роки тому +3

    Eu vos amo imensamente, vocês fazem filmes incríveis e educacionais, Desejos vos muita criatividade. #one1🇲🇿🇲🇿

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 роки тому +2

    nani anefurahi kama mimi baada ya kumuona salomeee

  • @wendosaumu1287
    @wendosaumu1287 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣nakupenda Bure kobelo

  • @dvjkelly8449
    @dvjkelly8449 2 роки тому +5

    Yaan kitale unajuaga kutushika system, haya umeshatuoverdose tena na hii, na hapa tayari ishatuingia kwenye damu sasa, hizi story unatoaga wapi , mbona movie zako tamu ivo,
    Yaan episode ya pili tu tayari tushaanza kutaka kipande cha tatu tujue itakuwaje bhana, asee wee kiboko

  • @jennifercharls4991
    @jennifercharls4991 2 роки тому +1

    Mbona kama hamumuoni Bakari anatoa tangazo😂😂😂

  • @maulidsaleh8059
    @maulidsaleh8059 2 роки тому +2

    Ambao tupo pamoj tujuane bc kwa like

  • @hadijaamini4836
    @hadijaamini4836 2 роки тому +1

    kaz nzuri✌...Akili ni😘😘

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 2 роки тому +1

    kazi mnzuri

  • @issaathuman2447
    @issaathuman2447 2 роки тому +3

    Haina kufel wakuu back to back👏🏿👏🏿👏🏿💪🏿

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому +1

    Kazi mzr sana mungu awabariki sana🙏

  • @rasmi2196
    @rasmi2196 2 роки тому

    Wow ,msitucheleweshe ,imeweza ,

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 роки тому

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Bakari,Bakari,Bakariiiii wewe kaka wa Mogela Umetoka jela teari na Baba yko Mzee Kama

  • @Farthun
    @Farthun 2 роки тому +2

    Wakwanza asante dj. Wtu

  • @pilishazycounterog8200
    @pilishazycounterog8200 2 роки тому +1

    Mwene wee Eti lugha yako inanivuluga😂😂

  • @meriummazima4729
    @meriummazima4729 2 роки тому +1

    Tuko pamoja na Tz🇳🇦

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +1

    Mgekuwa mnatoa dabo dabo na binadamu wabaya kama hii akili ingekuwa raha sana

  • @mussaandrea2317
    @mussaandrea2317 2 роки тому +1

    Mama Joyce👏👏👏 inside

  • @samiuhassan8153
    @samiuhassan8153 2 роки тому +1

    Ni motoo sanaaaa

  • @issaathuman2447
    @issaathuman2447 2 роки тому +4

    Wooooyooooo

  • @rahmamumy9777
    @rahmamumy9777 2 роки тому +2

    Wooow,,nimechelewa leo,,,

  • @hamisiswalehe1729
    @hamisiswalehe1729 2 роки тому +1

    Akili imeka kizazi Sna 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 роки тому +2

    Akili Nice movei ❤️🇴🇲

  • @hafswamaryam7169
    @hafswamaryam7169 2 роки тому

    Kazi nzur sana

  • @salehmwarabu6017
    @salehmwarabu6017 2 роки тому

    Daaaah haya SAWA mtuletee Binadamu basi

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому

    Movie hiko sawa kabisa 👌👌👌

  • @eliasmaziku1841
    @eliasmaziku1841 2 роки тому +4

    Wapiliiiiiii🤟

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +1

    Salome leo amevaa kauwosh

  • @saidmwakalinga3405
    @saidmwakalinga3405 2 роки тому

    Mwenderezo vp

  • @michaelmziho1671
    @michaelmziho1671 2 роки тому +3

    Malizana kwanza na BINADAMU bro afu hii itafuata unatuchanganya ujue

  • @Farthun
    @Farthun 2 роки тому +2

    Wauuu smart sana

  • @abdallahamad855
    @abdallahamad855 2 роки тому

    Muko hizr jongereni san

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 роки тому +1

    Stan na said hii nafkir itakuwa kec ya ngoswe hahahahahahah

  • @sarasarunguraru8195
    @sarasarunguraru8195 2 роки тому +2

    Watching from Saudi Arabia

  • @janethjoseph150
    @janethjoseph150 2 роки тому

    Kazi nzuriii sana

  • @saidimroma8029
    @saidimroma8029 2 роки тому

    jaman kuna watunzi wengi wa filamu Tanzania ila uyu kitale bora zaid

  • @mikonoextra
    @mikonoextra 2 роки тому

    Kazi nzuri

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +1

    Nimewah leo

  • @uwezogroupcomedy1135
    @uwezogroupcomedy1135 2 роки тому +1

    Bakariii 😃😄

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 2 роки тому

    Mwene kalala maskini kamka Tajiri

  • @everlynemisiko6002
    @everlynemisiko6002 2 роки тому +1

    Kubero na sabuni😂😂😂

  • @abdulihalili7227
    @abdulihalili7227 2 роки тому +1

    Njoeenii njoeeniii

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 роки тому +2

    Leo ngoja nisubscribe tena 💥💥

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +1

    Bakari umewezwa 🤠🤠

  • @mdmonir3988
    @mdmonir3988 2 роки тому

    Kobero kilasiku kalewa jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aliceirakoze9542
    @aliceirakoze9542 2 роки тому

    Alie ona maman joisi najoisi anipe linki apa kama aliwayi kufulah kwenye maneno yakwambiwa

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 2 роки тому

    Said Makusanya unamvuruga mwane kwa lugha yako😃😃😃😃

  • @lucasmanase2917
    @lucasmanase2917 2 роки тому +4

    👏👏

  • @rosemaryjoseph2346
    @rosemaryjoseph2346 2 роки тому

    Makusanya wewe Mungu anakuona 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kombokombo1211
    @kombokombo1211 2 роки тому

    Move Safi kidgo tu mumekosea mbona hamujaweka ujunbe wowote Kama vile maneno ya kuambiwa na binadamu wabaya ?

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому

    Lugha inamvuruga jamani mke wa kobero🤠🤠

  • @margaretmay5840
    @margaretmay5840 2 роки тому

    Jamn hongereni sanaa

  • @rukiaabromo4283
    @rukiaabromo4283 2 роки тому +6

    Nimekua wa kwanza kucomment leooo💖💖💖💖

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 роки тому +1

    Mtawala sjakuonaaa

  • @hudaGharib429
    @hudaGharib429 2 роки тому +5

    🇹🇿🔥 🔥 🔥 🔥

  • @uchebetz7284
    @uchebetz7284 2 роки тому

    Movie tamu sana

  • @amissislywachako1772
    @amissislywachako1772 2 роки тому +3

    Wa pil ku comment

  • @ibrahimarmour4711
    @ibrahimarmour4711 2 роки тому

    Nimemuona msauzi huyu nilisikia amefariki nijuzeni jamani

  • @Mokiwa_Rajabu
    @Mokiwa_Rajabu 2 роки тому

    Allah Amrehm kibuyu