NDEGE WA MAPAMBO: Afisa wa usalama mstaafu ajichumia riziki kwa kufuga ndege wa mapambo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2022
  • Ufugaji wa ndege una manufaa mengi. Wengi hufuga ndege kujiimarisha kibiashara lakini kwa Joseph Opondo mkurugenzi mstaafu wa kituo cha kukabiliana na uhalifu nchini, ndege wake wa mapambo wanampa utulivu wa mawazo. Shambani mwake katika kaunti ya siaya, opondo amefuga kila aina ya ndege, wengine wakigharimu hadi shillingi millioni moja kila mmoja.

КОМЕНТАРІ • 11