DOGO ANAGUNDUA WAZAZI ANAOISHI NAO NI MASHETANI
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- Peter kijana mpole asiekuwa na makuu baada ya kunyanyaswa sana shuleni leo anagundua ndani ya chumba chake kuna mtu mwingine anaishi upande wa pili, baada ya kufuatilia mtu huyu anajitambulisha na kumwambia yeye ni dada yake na wazazi anaoishi nao sio watu wazuri hata kidogo.