Those days was wonderful days free of tensions, you enjoy listen the music, you can hear each instrument, not now with restless bongo increase tensions
enzi za raha hukumbuki tabu wakati huo..bendi za Dar zikibururisha wafuasi wake ...Western na Dar upande mmoja na Kilwa na Nuta upande mwingine..basi ilikuwa ni burudiko kemkem .Anatoglo Hall maskani..
One of my very favorite discoveries in all my days on UA-cam... Wish it was easier to find albums of this + similar groups' material in the United States
asante uncle nguzo nimefurahi kuusikia tena wimbo huu,enzi zile ilikuwa raha sana ilikuwa ni burudisho tosha,kwanza no worries,hata hujui kama kuna shida wewe unaona kila kitu kipo poa tuu.nyimbo hizi zinakuwa na ujumbe murua kabisa.endeleeni kutuletea vilivyo bora.mariam fritsi uswis.22.06.16.
Mama upo juu sana kwenye zilipendwa” Nakumbuka comment ulizotoa kwenye wimbo “Wajifanya wajua” wa Amboni Jazz Band” Mungu akupe Mwisho Mwema Mama” 15/01/2021
Though the root song is lingala, Conga success, but the music downright appealing. The vocals, the soloist,my God. What happened to TZ music. I was in primary and now 6 yrs retired and still listen to this as if it was yesterday. Micheal Enock was here? I remember his exploits later with Urafiki Jazz Band.
kiswahili cha asili maneno ya kufumba................. sio leo wazi mambo............... eeh nkakutongoza ukanikubalia.......................... wewe mtoto thubutu ukaimbe hivyo zamani. My apologies , i had no alternative katika kukemea hizi nyimbo za leo jamani !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
All songs of those days were delivering a message or some happenings to real life experience. But at least you can't fail to pick a word or two of wisdom. And these days!?! A lot of obscene and vulgar language and displays. Too bad.
Enzi hizo..Bendi za TZ ziliiga nyimbo za Zaire...na zikasoma kucheza na kupanga miziki. Huu wimbo...Kubali Nasema umeigwa kutoka mwingine wa bendi ya Zaire ...ni vile tu siukumbuki jina.
Nyimbo safi! sauti nyororo,vyombo, jamani dar jazz! wish tungerudi wakati ule!
Mungu wangu uwapumzishe kwa amani marehemu walioimba wimbo huu
Love this Tanzanian melodies it transports me to earlier times of my youth. They've a soothing and calming effect, simply put, therapeutic.
It was my favourite song I was at primary school I used to sing this song to motivate my girl friend ,whom now she passed away.
oooh memories, i was in primary school, what a good music, now I'm a retiree
Those days are gone,dar jazz thanks for the memories!
Wakati huo Dar ilikuwa na wakazi laki tatu na nusu tu.
Nalia Sana muda umekwenda we can't get it back ewe mungu tujalie mwisho mwema tutakutane na rafiki zetu jirani zetu wapendwa wetu,wazazi wetu,
MIki umanikumbusha baba na mama yanyu, wastarehe kwa amani!
Still love this old music...reminds when in secondary school with a small Transistor Radio tuned to Radio Dar.
Kweli darjazz ñyimbo nzuri na tamu hazichuji.naomba wimbo rehema jamani naupenda sanaaa
Those days was wonderful days free of tensions, you enjoy listen the music, you can hear each instrument, not now with restless bongo increase tensions
moyo wangu unalia jamani na machozi yanaangukia ndani,dar jazz a.k.a majini was bahari.wapi mwl nyerere?the best time has gone away
Gooodl s
.
.
Good staft
enzi za raha hukumbuki tabu wakati huo..bendi za Dar zikibururisha wafuasi wake ...Western na Dar upande mmoja na Kilwa na Nuta upande mwingine..basi ilikuwa ni burudiko kemkem .Anatoglo Hall maskani..
One of my very favorite discoveries in all my days on UA-cam... Wish it was easier to find albums of this + similar groups' material in the United States
The Guitar wire setting is amazing . . . just rendering low tone for suitably relaxations of heartfelt .
Nimeshiba mwenge! Dr. Ogeto International
The poem for life's lovely life !
States evenly along within the song's beat .
TRUE.
Da jazz raha tupu naomba. Nitafutie wimbo sioni dalili yakuniPenda aa naona dalili ya uongo no kweli rukia ooh wimbo mtamu sana
Ooh ya kale. Kweli dhahabu Mungu aliwakarimu vipaji Dar Jazz wote (Majini ya Bahari)
Dalili ya kesho kulivyo kubaya ni watu kuipenda jana.Zamani kutamu jamani!
asante uncle nguzo nimefurahi kuusikia tena wimbo huu,enzi zile ilikuwa raha sana ilikuwa ni burudisho tosha,kwanza no worries,hata hujui kama kuna shida wewe unaona kila kitu kipo poa tuu.nyimbo hizi zinakuwa na ujumbe murua kabisa.endeleeni kutuletea vilivyo bora.mariam fritsi uswis.22.06.16.
Mama upo juu sana kwenye zilipendwa” Nakumbuka comment ulizotoa kwenye wimbo “Wajifanya wajua” wa Amboni Jazz Band” Mungu akupe Mwisho Mwema Mama” 15/01/2021
where are the old good days? I wish to go.
I was in std.4 those days when we chased birds in bushes on saturdays and Sunday's.... Great memories!!
Nyimbo hizi zilikuwa na ujumbe ambao unaingia hadi rohoni
Dah kweli yakale dhahabu majini ya bahari sio ukumbi anatongro tanzania region
Jamani miaka hii ingerudishwa nyuma ingekuwa saaafi sana.
Dar Jazz aka Majini wa bahari Kwenye ubora wao ah the old golden times
poa sana nimelia sana
nimekumbuka marehem mama yangu huu wimbo basis tu dar jazz
Full music with many to listen. Thanks Power Nguzo
Dah jamani zamani raha,nyimbo zinanikumbusha radio 277 tunaenda nayo mgombani kuchuma kahawa Basi huchoki burudanu mwanzo mwusho
nwakumbukawazazi wangu hasa mama yangu alikuwa anaimba na kucheza
Wakati huu ulikuwa raha sana jaman wako wapi wazee wetu roho inauma sana
Sasa tupe njohole jazz band
Wahenga tupo,ukituita twaja
Darsengo weee 1967/69
I miss CLEAN Love SONGS like dc😔
huu ndio muziki unao sisimua damu
It was Never Hapenned within SOLO since i was recognize SOLO attack!!.
Nguzo hapa kaka we acha tu. umekuna kichwa changu
Vumilia jamani iko wapi WAHENGA!!?? Nafikiri ni Lesiwanyika hawa.
Kweli kabisa
Bado ninakiu ya kusikiliza music wa dar jazz endeleeni kutuletea zipo zaidi.nakumbuka kipindi cha chuo tunaenda temeke ukumbi muumdo bar.
My best love song
Sikiliza sana hii nyimbo alfu tafakari sana,
Victor Mkongewa utakubali I've Lea savant Qatari MA Italy hairdo tena
Though the root song is lingala, Conga success, but the music downright appealing. The vocals, the soloist,my God. What happened to TZ music. I was in primary and now 6 yrs retired and still listen to this as if it was yesterday. Micheal Enock was here? I remember his exploits later with Urafiki Jazz Band.
Belo ritmo africano
Dar oyee
Shukran, Power!
DADA MARIAM FRITSI UPO WAPI, MBONA KIMYA..................... HUSIKIKI ?
natamani nitoeke
Solo king Enock
kiswahili cha asili maneno ya kufumba................. sio leo wazi mambo............... eeh nkakutongoza ukanikubalia.......................... wewe mtoto thubutu ukaimbe hivyo zamani. My apologies , i had no alternative katika kukemea hizi nyimbo za leo jamani !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Glides on a gilded rail
All songs of those days were delivering a message or some happenings to real life experience. But at least you can't fail to pick a word or two of wisdom. And these days!?! A lot of obscene and vulgar language and displays. Too bad.
SWADAKTA, BW. SUNGURA
Asha Dada nuta jazzi
Asha Dada nuta jazzi
Asha nuta jazzi
Enzi hizo..Bendi za TZ ziliiga nyimbo za Zaire...na zikasoma kucheza na kupanga miziki. Huu wimbo...Kubali Nasema umeigwa kutoka mwingine wa bendi ya Zaire ...ni vile tu siukumbuki jina.
Karibu nyiimbo zote zili copy kutoka Zaireafilko ni maneno yamepachikwa kwa kiswahili@@josepetermalia8929