DAUDI IS READY FOR ANYTHING TO GET HER BABY💔😭JACKLINE AND THE HUSBAND DEMANDS 100 000 000 MILLION

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn 10 днів тому +9

    Huyu dem anaenda kumtia maneno plz ambia daktari amfanyie mtoto amkubali daudi

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 10 днів тому +1

      Hiyo Ndio Dawa Na Awape Adabu Maana Wanakiburi Sana..Wote Wawili Mwanamke Miguu Wang'ombe Na Mume Mkia Wabuzi

  • @Iereen
    @Iereen 10 днів тому +2

    Beb matako yako mjinga hii Jack wewe ni malaya mdomo inakaa shipoto yako 😂😂😂😂

  • @GloriaKawira-w5u
    @GloriaKawira-w5u 10 днів тому +2

    Hio n plan ,angie b plz daktari afanyie mtoi kitu akubali mtoi wake coz hao watu wako n maneno

  • @SharunAa
    @SharunAa 9 днів тому

    Uuuuu uuuuuu ,,,Angle.wachan...,,wakea.... Mungu y.. Ngombe tu pleas weto uko n kiburi ..,,San

  • @JanetKenyatta
    @JanetKenyatta 10 днів тому

    Na vile uyu mwanamke arikuja akiwa mpole hila namurumia2 ajuangi dakitari n nani, kumbe mwanaume mwenye asaangi anakwanga na asira ivi mungu wangu kama ww n mwanaume na uko na mayai unazaa shukulu mungu 😢😢

  • @Kenyalydiahmonayo
    @Kenyalydiahmonayo 10 днів тому

    Hiyo ni mchezo juu daktari azamwambia atazaa wake kwani hamna nguvu ya kuzaa

  • @RizikiNyamata
    @RizikiNyamata 10 днів тому

    Hawa hawana asanty angie ambia daktar afanye mtoto ampende babak hawa watu wanataka pesa ya daud

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 10 днів тому +1

    Nahuyu mwanaume ana ka jabazi

  • @joycewanjiru9813
    @joycewanjiru9813 10 днів тому

    Angie saidia daudi apate mtoto na asipeane pesa ingine huyo mtoto alipewa maneno na huyu mama asikubali kubaki na mtoto

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb 8 днів тому

    Uyu dem hakuna wakati atarudisha uyu mtoi labda wataenda kufanyia kitu baya ju wanajua lazima arudie babake, daktari afanye kitu aki😢😢 apo ii fita n mingi kila saa

  • @vanisnyangewso
    @vanisnyangewso 10 днів тому

    Hahaaa eti beb mama ako hizi ni gani

  • @purityrotich1703
    @purityrotich1703 10 днів тому

    Daudi naye pesa anazo nywele na longi inafanana aje😮

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 10 днів тому

    Dactar fanya kitu amekubali babake daudi,maan huyu kijana wa Tanzania aki ni kama jambazi😂😂😂😂

  • @MwanaidiNguluma
    @MwanaidiNguluma 10 днів тому +1

    Huyu ni jambazi

  • @mkfamily0822
    @mkfamily0822 9 днів тому

    Daudi amenena amesema hataki maneno mingi ameachia daktari👍

  • @purityrotich1703
    @purityrotich1703 10 днів тому

    Angei b muulize huyo kihana kama hana mbegu za kiume mbona anangangania mtoto wa wenyewe

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 10 днів тому

    Daudi usitoe doo hata hela chukua mtoto daudi na mtoto wake wategenezwe wasimfanyie vibaya hii story imekaa haishi

  • @RehemaMukhwana-l2c
    @RehemaMukhwana-l2c 10 днів тому

    Hahahhahaa uweeh hii. Ndo inaitwa Toxic Marriage 😂😂😂😂😂

  • @Agnesmulongo
    @Agnesmulongo 10 днів тому

    Hawa hawana Asante juu huyu mama alisaidia huyo mtoi

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 10 днів тому

    andika kiswahili bana not for her sasa ni mwanamke sema his babe au

  • @nakyejwemargie6551
    @nakyejwemargie6551 10 днів тому

    but that guy they corroborated with the woman to get money from Dv so tell DV not to give them anything at all they will bring the kid

  • @RMM2222
    @RMM2222 10 днів тому

    Hapana kutoa pesa Aggie na wewe waja yako kwani daktari alisema wataleta mtoto

  • @Iereen
    @Iereen 10 днів тому

    Mbna mama daudi amenyamaza hivyo badala pia yeye akue mkali kwa huyu kijna wa tz

  • @maurineoduor502
    @maurineoduor502 8 днів тому

    Hawa watu wako na ujinga

  • @BarwakaAden
    @BarwakaAden 10 днів тому

    Daud aende azalishe

  • @bazzymamvin
    @bazzymamvin 10 днів тому

    Na daudi c anyoe akii,, 😂😂😂

  • @BarwakaAden
    @BarwakaAden 10 днів тому

    Ama achukue mtoto awaashie uyu Bibi

    • @AliceNjeru-os1yb
      @AliceNjeru-os1yb 8 днів тому

      Alf mkicheza ataenda kufanyia mtoi kitu baya ju wanajua lazima mtoi atarudia babake, daktari afanye kitu mtoi akubali babake akiwa vile ako tu atang'ara baadaye, ju xx ii fita faitaisha kama wanapiga adi daktari 😢😢😢

  • @MonicahKoki
    @MonicahKoki 10 днів тому +2

    Angei tumechoka plz ambia dakitali atengenese mutoto amkubali daudi

  • @Kiplagat-j4b
    @Kiplagat-j4b 10 днів тому

    😏😏😏😏

  • @MariamNamppija
    @MariamNamppija 10 днів тому

    🤔🤔

  • @BarwakaAden
    @BarwakaAden 10 днів тому

    Uyu jama kama akuna enegi awache mtoto ya wanyawe