🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @DittoSylvester
    @DittoSylvester Місяць тому

    Uandikishaji!!,tunaona

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +1

    Kama kuna kuandikisha majina hewa. Hicho ni chama gani kama wao wanafundisha udanganyifu?

  • @MorandiKaroli-y1u
    @MorandiKaroli-y1u Місяць тому

    Msijadili mambo ambayo hayawezekan, hapo tatizo ni mabadiliko ya katiba, kwani hiyo ofisi ya msajili ni ccm na ipo chini ya serikal ya ccm, TUNAHITAJI TUMEHURU.

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m Місяць тому

    Ongereni police kukwapua 200ml mbona mmechukuwa kidogo mgebeba zote mpunguze makali ya kikokotoo mkiwaacha watoto wanalala pazuri wanasoma shule safi wee ukiwa gereni ni Bora kuliko kufa lofa ktk hii inchi

  • @raphaelmkosamali1056
    @raphaelmkosamali1056 Місяць тому

    Tambueni vyombo vyote viko chini ya ccm na ndiyo maana hata mahakama imekwepa kwani wote wanateuliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa taifa kwahiyo wote ni wanaccm kuanzia bunge ,mahakama pamoja na ofisi ya msajiri.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Kwani kuna haja kuwa na msajili huyu Mutungi kwa nini anakaa kimya wakati mambo yanaende ovyo ovyo na yeye mwanasheria? Hii ofisi hafanyi kazi yake. Kwani ninyi waandishi wa habari mnashabikia vitu hivi vitu. Kama tuko UN na walisaini kuwa tuna heshimu kanuni hizo au sheria hizo? Lakini hapa kwetu CCM Wakifanya cho chote kiovu kinaonekana kizuri. Hata CCM inapoiba kura yote hayo Mutungi ananyamaza kimya. Hayo yote anajuwa kabisa na anashiriki hata yeye kulinda nafasi yake ya kazi yake.