Hey Keranta, i don’t have a lot to say but I’m so proud of you for this far you have come. I watched you from the other Channel with Daddy Amour until now, and i love the growth that I’m seeing. I’m so happy for you and keep pushing much love. ❤️🫂
humble keranta ukitaka ukue celebrate youtube ju me nimeku follow BUT naona utakua na PRIDE soon usisahau mahali ulitoka ju ma celeb wengi husahau mahali walitoka after kuwa famous.
This combo is the best 😍
Achana na ile ya Fel
Ety Mercury, Venus, Jupiter 😂😂keranta ataniua
Kwani brain ni muscle keranta 😅 aah nose tena😂😂
😅😅😅😅Aki hamjui kibaki alienda 2022
This is interesting nawapenda. Do this with flaqo
It’s the …ata sisi tuko same level na videographer 😂😂😂😂😂btw nimeona hajui pia
Ati umehesabu adi rangi ya chuma 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂I can't believe hamjui when mwai kibaki died and it's just juzi
Aty AC NI?😂😂
My favourite 🎉🎉🎉❤❤❤😊 alafu wenye tunadai collabo reply DM keranta 😊
Hey Keranta, i don’t have a lot to say but I’m so proud of you for this far you have come. I watched you from the other Channel with Daddy Amour until now, and i love the growth that I’m seeing. I’m so happy for you and keep pushing much love. ❤️🫂
😂😂😂😂😂
Team kinuthia😂😂😂
team kinuthia bt pia eiyy bado mi ni team kerantaa team wote wote😂😂😂😂 bt more love hun😍
Ati anahesabu hadi rangi ya chuma😂😂😂😂
Keranta mama 😂,,situmekuona na ako kashati sana 😁
Anyway mob love
Umekuja kuwatch ama ni kuangalia nguo
@@lynneagellah9638 wewe ni keranta 😂😂
@@marries9979 Kwani ujuangi
Keranta anahesabu rangi y chuma😂😂
Keranta unakuanga sawa kweli ati finlessse 😂😂😂😂😂😂
Kerry ati US ni continent 😂
Much love keranta 🇹🇿🇹🇿
😂😂😂ati AC kwa calculator ni Air conditioner
Keranta kwani uko Kenya gani😅😅
Hapo kwa kibaki😅😅😅😅mko na mchezo fr
Keranta is beautiful❤
Keranta you should do this with Flaqo
Greatest combo 🎉❤
Keranta Leo ulikuwa sobber venye umeshida hiyo maswali
Team keranta always 😂🎉
Ety Kibaki alikufa 2017 kinuthia 😂😂
Ati brain ni muscle 😂😂
Kerry akianza alikua nje😂😂😂
Msisahau kusubscribe kwangu pia❤️
Team Kerry all the way❤, I don't know why I love Calling you Kerry😅.
😍😍Thank u😍🥂
I love kinuthia for real
USA imekuwa continent lini😹😹
Aki kinuthia😂😂😂😂
Team keranta❤
Kinuthia is just a vibe😂😂😂❤
Finnish-Finland
Jupiter shuwally Keranta💀😹😹😹💔
Love it when u throw kyuk here and there 👌🏾
Kinuthia
humble keranta ukitaka ukue celebrate youtube ju me nimeku follow BUT naona utakua na PRIDE soon usisahau mahali ulitoka ju ma celeb wengi husahau mahali walitoka after kuwa famous.
Eeeh wewe ni nini.... Acha mtu aishi aisha yake.... She works so hard.... Kama a nataka kuwa na pride she deserves it
@@briannasabina3507 pride si kitu poa
Changamka pia wewe usahau watu, Alaa!!
Interesting, plan for another one...
Team Kinuthia❤❤
❤❤❤
Wengine wetu tuko kwa kinuthia na bado kwa keranta
😂😂😂😂😂it's the 3rd question for me😂😂😂😂
My very educate mother just show as nine planets😅😅😅
Kinuthia was right on AC on Calculator,
😂😂😂 utapata ni kitu stupid...... 🗣️ Nose
Finally ♥️🤤
This combination is everything ❤
😅😅😅😅
❤❤❤
Accumulative clear😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Suicide squad ilikuwa citizen
Did you break up with you boyfriend
Why is there an eye on the thumbnail
Is this really a man😮
Knuthia ni boy ama girl ...????