YESU NI MUNGU MKUU? UST. SHAFII AWAPA MTIHANI MWAL. FRANSIS NDACHA NA MWL. DANIEL MWANKEMWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 116

  • @LucaWanzuki
    @LucaWanzuki 24 дні тому +7

    Mashaalha yani shek shafi unafafanua vizuri kabisa sijui jamaa wanafell wp kuelewa ebu chukua mauwa🎉🎉🎉

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 24 дні тому +7

    Sheikh s.s.p umezidi walimu wako masha'allah allah akuifadhi innsha'allah

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks 20 днів тому +2

    Ostathi hujui bibilia petro mwenyewe alisema Mungu wangu na Bwana wangu waisraeli wakataka kumpiga mawe na ujue kuna Baba na Mwana na roho Mtakatifu

  • @Educatedmind-k9r
    @Educatedmind-k9r 22 дні тому +3

    Shafii natamani siku moja basi nikushike mkono tu nikwambie kuwa "Allah akupe maisha yenye hekima na kheri nyingi"

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 24 дні тому +4

    Alafu ana busara sana na hii ni dalili kwamba mwalimu shafii hachangaji haki na batili kama wale wahubiri wengine, dini hii ya uislamu kama Mungu amekupa uhodari wa kuitangaza isifike mda ukaisaliti kwa saabu mwisho wake utahadhirika.. Shukran Ustadhi shafii bakia kwenye msimamo wako Mungu atazidi kukupa wanaokuamini na atakupa kheri duniaani na kesho kiyama

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 24 дні тому +1

    Wanao takiwa mema na kuelewa na Mwenyezi Mungu wataelewa wasio takiwa na Mungu hawataelewa. Huoni uongofu mpaka Mungu akuchague. Alhamdulilah kwa Neema ya Uislam. Mwenyezi Mungu awaongoze ndugu zenu ktk Adam watoke ktk giza.

  • @salamalsawaqi1206
    @salamalsawaqi1206 24 дні тому +18

    Jamani huyu SHAFI NI MTU WAAJABU MANEO YAKE NIYAKWELI NA YANASISIMUA NI BINGWA WA AKILI❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 24 дні тому +4

      Kabisa

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 24 дні тому +3

      Mashaallah

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 24 дні тому +3

      Yesu ni Mungu mkuu Yesu ni Mungu mkuu Yesu ni Mungu mkuu shafi kunyua moyo kija ulima WA milele upo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu njoo tunakupenda na ukitakakujua Paul ni mtume WA Yesu soma 1 Timothy 1:1 usipate tabu shafi hiyo 1wakorintho 1:1 hona utume WA Paul

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 24 дні тому

      Soma LUKA 1: 1
      Waandishi wa Biblia (akiwemo Luka) wamejisndikia ya Kuokoteza Mitaani na Kuwaaminisha Watu /Wakristo eti Biblia ni Maneno ya Mungu kumbe ni Maneno ya Kujitungia Watu tu Kwa Utashi wa Nafsi zao/Kwa Maslahi ya Dunia. Tazama Kalamu za Waandishi wa Uwongo......​@@prochesernest5439

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 24 дні тому +2

      @@prochesernest5439 hivi wewe husikii maandiko?. Una unachojifunza kweli. Kwahiyo bibilia huiamini. Hata huyo Paulo ana sema yesu si mungu

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 24 дні тому +3

    Shekhe Shafii asie kuelewa wewe hatokuelewa milele. Allah akuhifadhi

    • @imranmohamed8627
      @imranmohamed8627 6 днів тому

      Kweli kabisa mm humpendea ilo yuko clear kabisa

    • @DesderiusHaule
      @DesderiusHaule 5 днів тому

      Maswali hayo wahadhiri wa kiislamu pamoja na ustaadhi shafii waliwahi kujibiwa na pastor Ndacha kwa ufasaha kabisa lakini wakati wanajibiwa hao wahadhiri walikuwa wanapiga kelele kama wanafunzi wa chekechea hivyo wakatoka patupu mpaka sasa.

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 24 дні тому +2

    Huyu jamaa mwisho wa siku atasilimu INSH ALLAH

  • @AliHassanAli-jd9ru
    @AliHassanAli-jd9ru 24 дні тому +1

    mashallah sheikh shafii Allah akupe afya na uhai

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 3 дні тому

    Simulizi uki poa kwa kuelwa na kufafanuwa hongera

  • @ZulekhaSaburi-t6i
    @ZulekhaSaburi-t6i 24 дні тому

    MashaAllah,,,Allah akujalie kheri fii dunia wal akhera InshaAllah

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 23 дні тому

    Wallah sheikh anachambua maandiko mpaka naskia Raha sana

  • @JumaNongwa
    @JumaNongwa 23 дні тому

    Hivi walishafikiria ni watu wangapi waliokwenda kaburini na imani ya yesu kua mungu kwa andiko hili hili la tito 2-13 na sasa wakristo wanagundua kua neno yesu mungu mkuu limepachikwa wajiandae kubeba mizigo yao kaamili siku ya malipo inshaallah

  • @SuleimanaliAmour-d6v
    @SuleimanaliAmour-d6v 23 дні тому

    Shkh shafii mfuate kitoto cha yesu umsilimishe

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 24 дні тому

    Shekh Shaf Unatisha kabis
    Allah akulipe kwa Elimu unayoifundisha

  • @Jbm-r5f
    @Jbm-r5f 24 дні тому

    Xaluti xhafii uko vzur ❤❤❤

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 23 дні тому +5

    HATA SHAFII AKITHIBITISHIWA KWA MAANDIKO ATAPINGA TU KWA SABABU AMEZIBWA AKILI NA mungu WA DUNIA HII!! - 2 Wakorintho 4:4

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky 23 дні тому

      😂😂ndo hoja hiyo au?😂😂😂😂😂

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 23 дні тому +1

      @@PasserbyMan-ju8ky
      unayo ya kuvunja hiyo??🤣🤣🤣🤣🤣

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky 23 дні тому

      @@wakeshojana kuvinja ndo Nini?
      kuvunja au?🤣🤣 Yani hayo magazeti ndo hoja za kuvunja🤣🤣

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 22 дні тому +1

      @@PasserbyMan-ju8ky
      Kuvunja hoja za magazeti ni tabu tupu kwa muislamu yeyote Yule....mnaabudu shaitan allah mkidhani ni Mwenyezi Mungu ...Poleni sana
      WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!

    • @mohamedhajimsingino2172
      @mohamedhajimsingino2172 21 день тому +1

      ​@@wakeshojanaWEWE ACHA KUTUKANA, YAANI UNAMWITA ALLAH SHETAN!!

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 24 дні тому +3

    Ama kweli ndio maana SHAFI HUPENDWI NA NDACHA UNAVUMBUA MAMBO YA WAKRISTO 😂😂😂😂

  • @SmartLady-b8x
    @SmartLady-b8x 24 дні тому

    MashaAllah! ❤

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 23 дні тому

    Maasha allah

  • @theemalindian
    @theemalindian 23 дні тому +1

    Sheik Shafii anampa sana promo Daniel na Ndacha. Watu hao wanafurahi kusikika mitandaoni tu . Wala sio kufundisha na hii ndio njia pekee wanayoitumia ili kiwa famous. USTADH rekebisha tu kwani unafanya vyema .

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 20 днів тому

    Yaani Paulo aliwauaa na kuwafunga wanafunzi wa yesu Kwa amri ya wakuuwake mapagani halafu baada kuua anamzulia yesu ni mungu mkuu ilikupotosha na kafaulu kapotosha wengi waingie nae jehannamu lkn yesu anasema mungu Wangu mkuu anamunguwake ndio mungu wenu

  • @hassanhuka7675
    @hassanhuka7675 20 днів тому

    Wallahi wakristo wasipo elewa itakua ni kukataati

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 23 дні тому +1

    Duuuuuuuuh,ndio maana nilisilim yaan km una akil timam na una nia ya kujifunza huwez kuwa mkristo

    • @imranmohamed8627
      @imranmohamed8627 6 днів тому

      Kweli kabisaa ndugu Allah atuongoze dini ni moja tu mengine ni biashara

  • @isaaAurah
    @isaaAurah 7 днів тому

    Mashallah. Kweli huyu ustadh shaffi ndiye Danieli anamtaka kwa mjadala. Danieli vile namjuwa kwa mada zake yaani elmu yake ndogo sana huyo pastor Danieli kwa Shaffi

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 24 дні тому

    Biblia na Ukristo ni kwaajili Kupoteza (Kuwakufurisha Watu) wasiojitambuwa/wafuata Mkumbo na Wapenda Maslahi ya Dunia.

  • @annaniasamuelmgawe1698
    @annaniasamuelmgawe1698 18 днів тому

    Nyie mnashangaa kwamba YESU ni Mungu mbona hata Roho mtakatifu ni Mungu.
    Kwa nini uwa amjadili Quran 4 : 171 ambayo inasema Allah ana mwana.

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 23 дні тому

    Kweli ma kristo bado hamjafahamu

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 24 дні тому +1

    Simulizi anaskia utamu akionyeshwa maandiko😅

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 24 дні тому +1

    MASHA ALLAH 💚💚💚

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 24 дні тому +1

    Ningekua mkristo Kwa maelezo haya ingetosha kua muislam,

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      Huo uislamu siyo NJIA ya Mungu ...Yesu NDIYE NJIA YOHANA 14:6

    • @MathayoGervas-z6g
      @MathayoGervas-z6g 22 дні тому +1

      sawa pamoja nayote bishaneni nachojua yesu nijina lilio hai tukilita mapepo yanalipuka muhamadi hana majabu yyt natangaza leo yesu anatenda muhamad anangoja hukumu kwamujib wa quruaani hivo bx mtume hana mamlaka yyt

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 22 дні тому

      @MathayoGervas-z6g waebrania 7:24-25, 9:24-25, warumi 8 34-35, YOHANA 14:6.... MATHAYO 1:21-23, Isaya 7:14 -15, Isaya 9:6-7..

  • @josephorenge731
    @josephorenge731 24 дні тому

    Mambo ya mungu huwezi elezea

    • @MaryamMaryam-n1v2e
      @MaryamMaryam-n1v2e 24 дні тому +1

      Elewesha wewe tufundishe

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 24 дні тому +1

      Huna akili wala maarifa

    • @josephorenge731
      @josephorenge731 24 дні тому +1

      @@MaryamMaryam-n1v2e ulikua unataka yesu mwenyewe akuelezee ngojea hadi siku ile atakaporejea mara ya pili utamwuliza maswali hayo yote

    • @mohammedsalim3315
      @mohammedsalim3315 23 дні тому

      Kwa​@@josephorenge731yohana 14 28. Mungu ni mkuu kuliko Mimi.

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

    Mwambie SHAFII asome. Isaya 7:14-15, Isaya 9:6-7, Tito 2:13, UFUNUO 1:8-10... alfa na omega. MATHAYO 1:21-23.... Emanuel maana yake Mungu pamoja nasi. Hata nabii Isaya anaposema MUNGU MKUU. YESU NI MUNGU MKUU penda msipende...

    • @MnymadiMpalangulu
      @MnymadiMpalangulu 22 дні тому +1

      Hauna akili wew Kwahyo unakubali yesu ni mungu mkuu? Kam unakubali tuambie mungu msaidiz ni yupi?

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 24 дні тому +1

    Mungu ana mjuwa mungu 😂😂😂

  • @YusuphLyanga-e8j
    @YusuphLyanga-e8j 23 дні тому +1

    Shafii ni mweupe isome hyo TITO 2:13 KWA KING JAMES VERSION,,,KISWAHILI IMEKOSEA TAFSIRII📌📌📌

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 23 дні тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 Kwhyo una uthibitishia ulimwengu kuwa Biblia ya kiswahili ina mapungufu....???😂😂😂😂sasa km ina mapungufu mnaitumia ya nn.....???yaan ww una amin kingreza Kwan Yesu aliongea Kingreza....??

    • @YusuphLyanga-e8j
      @YusuphLyanga-e8j 23 дні тому

      @@huseinshedrack6180 tatizo unajibu kwa ushabiki,,,biblia haina shida,,,shida ni translation ya kiswshil imepelea kdg kwa baadhi ya verse

    • @imranmohamed8627
      @imranmohamed8627 6 днів тому

      Kwaiyo watuambia bibilia ya Kiswahili walikosea?

    • @Nicholaskibewaithaka-qj4uj
      @Nicholaskibewaithaka-qj4uj 2 дні тому

      Sharing wewe kwa kweli na myahudi.juu vile wayahudi walimkana yesu hata wewe wafanya hivyo hivyo

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 24 дні тому

    ❤❤❤

  • @YusuphLyanga-e8j
    @YusuphLyanga-e8j 23 дні тому +1

    Ukiisoma hio comment isome tena hiyo tito kwa lugha ya english(KING JAMES VERSION)

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 23 дні тому

      😂😂😂😂😂😂 Kwahyo Biblia ya kiswahili haifai😂😂😂

    • @YusuphLyanga-e8j
      @YusuphLyanga-e8j 23 дні тому

      @huseinshedrack6180 imekosea translation ya hyo verse,,,tena cyo hyo imekosea nyingi2,,,mpka usome english bible ya king james version 1611AD

    • @imranmohamed8627
      @imranmohamed8627 6 днів тому

      Tuzichome basi bibilia zote za Kiswahili nyinyi ni viumbe vya Allah Tu tatizo lenu Paulo kawavuruga

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 24 дні тому +1

    Shafi mbona usomi Yohana 20:28-29 hapo Yesu ameitwa Mungu na mwanafunzi wake hao uliowataja katika mathayo kama Paul aliposema Yesu kristo Mungu mkuu Tito 2:13 na warumi 9:5

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 23 дні тому

      Aliitwa au alijiita....?Kwan ww ukiitwa Rais umekuwa Rais....??

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 23 дні тому

      @huseinshedrack6180 kumbe unataka ajiite ona hapo ufunuo Yohana 22 13 kama unaufaamu nzuri mwanzo na mwisho ni Mungu Yohana 10:30 mathayo 28:19 ufunuo 1:17 njoo Kwa Yesu hupone jehanamu ipo hachana na huyo allah anayesemewa heti yeye ni mwanzo na ndiye wa mwisho Quran 57:3 karibu kwetu wakristo tunakupenda

  • @davidbarnabas-e8f
    @davidbarnabas-e8f 24 дні тому

    YESU NI MUNGU MKUU

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 23 дні тому

      Endelea mumuabudu siku inakuja utatambua kua YESU mwenyewe alisema Kuna Mungu Mkuu,Wala usjali wewe,endelea kufungia macho maandiko

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 23 дні тому

      Hayo ni manenoyako laki kwa maandiko hakuna.

  • @josephorenge731
    @josephorenge731 24 дні тому +3

    Mtaendelea kujichanganya hata lining? Yesu ni Mungu mkuu

    • @AlisaidAlis
      @AlisaidAlis 24 дні тому +1

      @@josephorenge731 ww ni kipofu unayee stability kuhurumiwa

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 24 дні тому

      Wewe Aminitu unavyo taka ilamaandoko yashasomwa maana ukiwa Ukristo huwezi kukamilika mpaka uyakatae maandiko hapo ndio utaitwa mkristo wakweli kwahiyo upo sawatu naimani yako

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 24 дні тому

      Huna akili kwani hapo anasoma gazeti sishangai umepoteA hiyo kauli makafi wa zamani walisema hayo

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 24 дні тому

      Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu hii imekaa vizuri

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 24 дні тому

      @prochesernest5439 hahahaaaa sitatizoo ukimuabudu wenzio wanaabudu ngombe na punda ila yesu mwenyewe amesema mimi mtu sasa wewe ukimuita mungu anasema anayemuabudu yeye anamuqbudu buree sio kwa faida sasa wewe umekula hasara

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan 23 дні тому

    Huyo simulizi nae mtupu

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 20 днів тому +1

      Simulizi mzimaa sababu anauliza qnajibiwa na shafii maandiko sio maneno ya shafii ni maandiko ww ni mtupu na Paulo ukimsikiliza aliewadhibu na kuua wanafuzi wa yesu sasa ww msikilizee pauloo halafu uende jehannamu na Paulo mpotoshaji

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 24 дні тому +1

    Paul anamjua Yesu alijitabukisha kwake kuwa ni Yesu aliyemtokea matendo ya mitume 9:3-8

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 23 дні тому

      PAULO simwanafunzi wa Yesu walahakumuona.Yesu paulo alikuja baada ya Yesu kuondo miaka mingi.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 22 дні тому

      @mwinyiswaleh8388 wew mtume Paul ni mtume WA Yesu kristo 1 wakolintho 1:1 na 1 Timothy 1:1 Paul mtume WA Yesu

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 22 дні тому

      @prochesernest5439 sikia wewe Paulo simtume na hawezi kua Mtume.ukisoma historia yake amefanya matendo mengi yanayoenda kinyume na Yesu na Mungu mwenyewe hanahadhi ya kua Mtume.ayazako bado haziwezi kumfanya paulo awe Mtume.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 22 дні тому

      @mwinyiswaleh8388 wewe Paul ni mtume 100% Hila huyo mtume wenu Muhammad huyo ni mtume WA uongo 100% muone mtume wenu Muhammad na allah wake wamepinga maneno ya biblia wakati biblia imekuwapo kabla ya huyo Allah na mtume watajitokeza mwaka Mia 610 baada Yesu kristo mwokozi wetu kupaa kwenda mbinguni nyie hachana na majini mapepo wachafu wanawapoteza biblia imetukataza kushilikiana na majini kitabu Cha Walawi 17:7 na 1wakorintho 10::20-21 njoo Kwa Yesu huyo mtume wenu alikuwa anaua watu kapingana vit na karogwa na kaoa kitoto Aisha miaka 6 wakati yeye akiwa na miaka 56 hiyo VP imekaaje?

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 22 дні тому

      @prochesernest5439 huwezi mfananinisha mtume Muhammad na Paulo alie wauwa wanafunzi wa Yesu .Mohammad alitumwa na Mungu na anakitabu Paulo alitumwa na nani na wapialitumwa na kitabu gani alipewa.

  • @abdymaalim637
    @abdymaalim637 21 день тому

    Shekh toboa yote

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 24 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂 masinagogi ni msikiti kazi kweli kweli wewe Allah ajui kama masinagogi ni msikiti wewe umepata wapi au unampinga allah? Soma Quran 22;40 hapo Kuna masinagogi makanisa misikiti je wewe shafi na Allah nani mkweli kwa hiyo Aya?

  • @josephorenge731
    @josephorenge731 24 дні тому +2

    Hakuna kosa kwenye biblia kosa ni wewe unayekosoa biblia

    • @SaidIsmail-f1j
      @SaidIsmail-f1j 24 дні тому +2

      Wewe ujui lolote katika dini yani ni mbumbu sasa biblia imeandikwa kwa lugha yako Bado unataka kubisha lugha unayoielewa kama si ujahil ni nini?

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 24 дні тому +1

      Kalamu za Waandishi wa Uwongo..../walojiankia Biblia Kwa Kuokoteza Maneno ya Kuokoteza Mitaani, hawakupata Kwa Yesu/hawakumsikia Yesu Wala Mungu.
      Rejea Biblia- Luka 1 : 1

    • @josephorenge731
      @josephorenge731 24 дні тому +1

      @alhadajjmohammedsmith9042 Roho mtakatifu ndiye aliyewaongoza waandishi wa biblia

    • @josephorenge731
      @josephorenge731 24 дні тому +1

      @alhadajjmohammedsmith9042 ukimkosesha Roho mtakatifu hauna uzima wewe

    • @ahmedimakope
      @ahmedimakope 23 дні тому

      ​@@josephorenge731punguza ushoga

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 20 днів тому

    Huyu Paulo atawatia wengi motoni unasema yesu mungu mkuu halafu hata hujaishi Wala kua mwanafunzi wa yesu unakuja kusema mungu mkuu aliesema ni binadamu anaitwa Paulo. Likini yesu mwenyewe aliesema mungu Wangu ndio mungu wenu .lkn yesu mwenyewe hakuwahi kusema mm mungu niabuduni hakuna sehemu yesu akisema alikini yesu mwenyewe anasema babayangu babaywenu mungu Wangu mungu wenu sasa yesu anakiri anamungu wake abae mungu wenuhamsikilizi yesu mwenyewe mnakuja kumsikiliza mshenzi mmoja mpotoshaji Paulo aliewadanganya wkt hata hakua kipindi Cha yesu Wala hakua mwanafunzi wa yesu . Na yesu akiondoka anasema ntarudi Kwa alienileta

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 20 днів тому

    Hayo maneno yote anayosema shafii yanatoka kwenye maandiko