.HATIMAE WIZZY GANG AMUOMBA EMODA MSAMAA/ JACKSON: HUNA UBAVU WA KUPIGANA USIJIITE NEY WA MITEGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @adelaungwa9232
    @adelaungwa9232 Рік тому

    Jamani wizzy gang nakupenda sana bro jamani wamsamehe kaka yangu wizzy gang

  • @deco_479
    @deco_479 Рік тому

    Hapewe ulinzi uyo wizzy gang🔥

  • @luukuyata7540
    @luukuyata7540 Рік тому

    Naitwa LEY MASUDI nashukuru kujikuta kwandugu wizzigang wasirudilie tena kuimba matusi.niujinga

  • @santamerra4552
    @santamerra4552 Рік тому

    Nimefurahi maongezi yenu mazuri sana na dogo kuomba msamaha safisana

  • @Wanaharakati
    @Wanaharakati Рік тому

    Kuntu
    Actor bongo movie

  • @nyabadeux
    @nyabadeux Рік тому

    Yeeeee kumbe ndo ivyo alivyotukana emoda amemkosesha eshima kweli emoda ni mtu wa familis kubwa na anamke amuhombe msamaha kweli

  • @nextlevelteamtz3064
    @nextlevelteamtz3064 Рік тому

    Og wizz ngenge

  • @rizikiadventine439
    @rizikiadventine439 Рік тому

    Eti usitumie Kinga unapuguza utamu ila huyu Jackson 🤣🤣

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu Рік тому

    Mwenye akili atahelewa mnacho kiongea hongereni kwa ushauri

  • @Emmanuel_Benjamin
    @Emmanuel_Benjamin Рік тому

    Fact

  • @rizikiadventine439
    @rizikiadventine439 Рік тому

    Nyonyonyooo 🤣😂😂😂

  • @samueltumaini3396
    @samueltumaini3396 Рік тому

    Mumeongea point nzuri Jackson.

  • @deco_479
    @deco_479 Рік тому

    Shabik one moko🤞🏾

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu Рік тому

    Itapendezasana nduguyangu Jackson ukifanyahuo utaratibu wakuwakutanishawote wawili na mfanyekitu ambacho kitasababisha sisi wafuatiliajiwenu kuyasahauyote yaliyopita kati ya EMODA na WIZZ GENG na nikuombe hiloswala ulifanye araka mana mdawowote EMODA anaweza akaondoka kwenda USA kwahiyo ningefurahikuona mmelifanya kabla safariyake ahijatimia ahende USA wakiwa wameshalimaliza hilo swala asantenisana na nizipongezesana TV za nyarugusu kwakazi mnazozifanya huwatunawafatiliasana ongereni.

  • @johnasumani3888
    @johnasumani3888 Рік тому

    Mwambie uyo dg kabisa