Rest in peace Chira 😭😭I knew Chira 2023 when he come out and said he is HIV positive. Since then I started supporting him and he has left without me seen him. I will keep the Mpesa transaction message to be reminding me of his name all days 😭😭😭so painful. May your soul rest in peace Chira 😭
2 Wakorintho 6:14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? 2 Wakorintho 6:15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? 2 Wakorintho 6:16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 2 Wakorintho 6:17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Wow this is incredible 👏🏻👏🏻👏🏻 Asante Kasolo kwa kuwatambua wengi kwa hii wimbo wish ungeweka ile sauti yake"I am Chira Brian Chira,,,na kama wewe sio pesa usinipee stress". Hongera kwa kazi safi👌👏🏻🌹🌹. May Chiras soul rest in peace🧎♀️🙏
As I have been watching 👀 this from Namibia 🇳🇦 SADC SOUTHERN AFRICAN I'm very much touched by these untimely deaths isn't only in Kenya in Namibia we are experiencing the same problem we old ones are burring the youths. Satan is targeting our kids my the development is very high /what's it really going on God?
Wow🎉🎉🎉Kasolo has the best voice and pure talent may God bless you abundantly..May chira rest in peace😢😢😢kifo cha Chira kilitetemesha Dunia...Chira rest well we loved you....😢😢
weuh weuh yaani masaa tu na wimbo already tuko nayo.....enyewe solo you are the king of gospel ukambani vai nguli yisa kuvosa musyakwa may his soul rest in eternal peace.....be blessed solo🙏
@@christinemutindi6329 woii i wish ingekuwa hivo but he missused his youth na ikamulekeza mautini ,,,, hakuna lingine ni kungoja Yesu mara ya pili na kuhukumiwa kulingana na matendo yake
The only way I can congratulate you is by subscribing , liking nd commenting 🙏 Thank you so much Kasolo ,May God bless you 🙏🙏 Chira Rest in Peace 😢😢😢 forever in our hearts brother
Am your fan from meru, i lost my dad nkimkumbuka naweka nyimbo zako sana sana ile ya brayo mungu akinibariki one day ntakutafuta utolee my dad wimbo, keep resting well dad
Congratulations kasolo, I wish siku moja nikuone kwa macho yangu tupige kaselfie, I love your songs bro, chira ameunganisha wakenya kabila zote I wish wakenya muendeleee hivyo bila kutengana
😭😭😭😭😭😭bt why God....Chira plz come back n tell us u were only pranking us ...is painful, tears since u went..wake up from your sleep we miss we..@kasolo ungetuimbia this one jana tulie sana uchungu ituondokee kwa roho .... Chira may Heavens receive you...Tumepoteza lakni mbinguni imepokea...lala salama
The death of Chira caught me by suprise and shock. I didnt know him personally nor did i constantly follow him but i used to feel his pains and am so sad i didnt ever take a chance to be an encouraging friend to him. But one thing i asked God is to give me a sign of what really happened to Chira and today i dreamt with a group of people and they were trying to cross a road to the other side and its like they were going on same destination but someone among them kept pushing anyone who tried to cross and one was almost hit by a speeding vehicle that the 'pusher' seemed to have timed as it was speeding towards them. I dont know what it really meant but the moment i woke up the first words were, "Chira was murdered!" May justice prevail. I will look for someone like Chira and try my best to guide them as a friend and compesate how i feel now that Chira is gone and i didnt locate him to show him some sisterly love. Amezikwa na bado yauma n still i havent blieved or accepted😢
To be sincere 😢I knew chira like two months ago😢😢I loved watching his tiktok videos ..he was just a vibe😢😢it pains me alot seeing such a young man lifeless 😢😢bye bye chira rest easy daddy
Rest in peace B chira. Your wish to build grandma a house is been full filled, your cousins will have a good education they won't struggle with school fees like you did. Kwaheri chira
Kasolo be blessed,,,aki huu wimbo unafanya mtu akate onion anyway ni sawa,,,huwezi ukauliza Mungu maswali😢😢😢😢😢,baba T be blessed too with your group,,na watu waache chuki aki,,
Congratulations kasolo for the touching and memorable song😢 ukweli chira amezikwa kama king😢baba talisha amesimama kama mwanaume na nusu kuona safari ya chira imeisha salama,, continue rest im peace our boy brian chira😢😢
Rest in peace Brain chira😭😭 sending my condolences to the family and friends from Australia, Pumzika salama Champ💪we loved you but God loved you more,,,,to the rest of Kenyans let's love each other and support those in need of our support, no one knows his/her tomorrow,,, Congratulations to Brain's Chira friends may you never lack forever
Kasolo is talented and creative at the same time....and boom God's Grace directed him that's why he will always remain Relevant......Asikuambue mtu kitu kaka...💪💪💪
Kasolo what a talent. God given talent. Keep up your great work Steve. Your songs really console. I lost my boy a year ago mysteriously, this song keeps me on my feet. This young age death it sky rocketing. Where did we go wrong Gid to deserve such punishment from you. All the way from Zim. I wish you could perform in Southern of Africa Kasolo. Your talent is so great. May God keep blessing and lifting you higher and protect you from all enemies against you. ❤
Rest easy chiraa today I've believed you're no more again I've never met him in person but his death hit me really heard💔mungu hakuadalie mbele nzurii till we meet again champ🕊️🕊️🕊️🕊️♥️🙏
WA Kwanza Leo..hizo likes zikam❤❤❤
Asante Kwa kutuwakilisha solo
Go in peace chira
Hii nyimbo imeenda Shule Aki
God bless you kasolo
May Chira's Soul rest in peace 🕊️
I rebuke this spirit of premature deaths in our country in Jesus mighty name amen 😢😢
Amen 🙏🙏🙏🙏 this is too much
Same ❤
The awaited comment ... Asante Kwa revelation.
Ameen 🙏
Amen Amen
Wa mwisho leo ...hozo likes zikam asante kwa kutuwakilisha solo Go in peace CHIRA
Nipewe likes wakwanza huku😢,rip Chiraa 🥹 hongera kasolo
seriously unataka likes 😭😭
Am mourning my dear,Na hata simjui
So stressed 😥 Hadi nashindwa Na kazi😭Karibu niambie boss
@@Reepearl nipitie pia
@Stephen kasolo you are really talented keep.up the good.work may Chiras soul keep resting in eternal peace
Kifo ya chira iliniliuma sana kama mdogo wangu😢😢 i rebuke premature death in Jesus name
Ameeeen😢
😭😭😭💔
Team strong pitia huku with love, tusimamie ukweli tusikubali kuwakiliswa na wenye wivu
Ana majinuna habibty fiii mahujudi 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪✈️✈️✈️
Rest in peace Chira 😭😭I knew Chira 2023 when he come out and said he is HIV positive. Since then I started supporting him and he has left without me seen him. I will keep the Mpesa transaction message to be reminding me of his name all days 😭😭😭so painful. May your soul rest in peace Chira 😭
May God bless you for your kindness❤
Be blessed Kevoo🎉🎉
You did well....
😢😢
Be blessed bro
Mtoto hajawahi kutu disappoint aki umetunga wimbo na masaa af ukaachilia ❤❤❤ congratulations 🎉 Mungu akupe kukaa miaka mingi Kwa Jina la Yesu
Dust we came, dust we shall return... Rest in Peace Chira. I strongly love your work. One of this fine days I would wish to interview you.
😢😢😢😢 the song is touching Walai
Any way I love you nikiwa Lamu county ❤
Lamu tunasema ni wew Tu
The only Kenyan who was given a talent by God ,good job kasolo 🎉🎉🎉🎉,may you never luck,rest is peace legend of tiktok
1:51 woow kasolo God good kwa song ya chiraa😭😭😭😭thim TikTok that's kwa ushapond chiraa rip😭😭
2 Wakorintho 6:14
Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
2 Wakorintho 6:15
Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
2 Wakorintho 6:16
Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
2 Wakorintho 6:17
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Wamusyi wee n king mwah ata wakatae akh hiyo song Iko poa 🤜🤜🤜🤜
Wow this is incredible 👏🏻👏🏻👏🏻
Asante Kasolo kwa kuwatambua wengi kwa hii wimbo wish ungeweka ile sauti yake"I am Chira Brian Chira,,,na kama wewe sio pesa usinipee stress".
Hongera kwa kazi safi👌👏🏻🌹🌹.
May Chiras soul rest in peace🧎♀️🙏
As I have been watching 👀 this from Namibia 🇳🇦 SADC SOUTHERN AFRICAN I'm very much touched by these untimely deaths isn't only in Kenya in Namibia we are experiencing the same problem we old ones are burring the youths. Satan is targeting our kids my the development is very high /what's it really going on God?
It's all about last days.
So talented nice song❤❤❤ i can't get tired of listening you gained a subscriber🙏 Rip chira😢
Wow🎉🎉🎉Kasolo has the best voice and pure talent may God bless you abundantly..May chira rest in peace😢😢😢kifo cha Chira kilitetemesha Dunia...Chira rest well we loved you....😢😢
King of gospel 💯 nakuombe mungu aweze kukuweka kiwango kingine zaidi ya hii uliyo nayo ndugu yangu; be blessed
weuh weuh yaani masaa tu na wimbo already tuko nayo.....enyewe solo you are the king of gospel ukambani vai nguli yisa kuvosa musyakwa may his soul rest in eternal peace.....be blessed solo🙏
Mwenyezi Mungu apendezwe na wimbo huu, aipokee Roho ya Brian Chira kwenye ufalme weke wa milele.
True amuondoloee Tu adhabu ya kaburi aki
@@christinemutindi6329 woii i wish ingekuwa hivo but he missused his youth na ikamulekeza mautini ,,,, hakuna lingine ni kungoja Yesu mara ya pili na kuhukumiwa kulingana na matendo yake
Amen🙏
Stephen Kasolo all the way🔥🔥,i was blessed with a daughter and i had to call her Shine as your daughter just because of you,...RIP Brian Chira
The only way I can congratulate you is by subscribing , liking nd commenting 🙏 Thank you so much Kasolo ,May God bless you 🙏🙏
Chira Rest in Peace 😢😢😢 forever in our hearts brother
Am your fan from meru, i lost my dad nkimkumbuka naweka nyimbo zako sana sana ile ya brayo mungu akinibariki one day ntakutafuta utolee my dad wimbo, keep resting well dad
Your very talented stephen Mungu azidi kukuinua kbsa
Wàaau kasolo true amezikwa ka king bb talisha mfano mwema we will miss you brian chira RIP 😭😭frm gulf
Rip chira,be blessed bro kwa wimbo zuri ,umoja ni nguvu
Umoja Ni nguvu ,utengano niudhaifu.......
Bwana aliipeana,Bwana alitwaa...AMINA
#SAFIRISALAMACHIRA
Congratulations kasolo, I wish siku moja nikuone kwa macho yangu tupige kaselfie, I love your songs bro, chira ameunganisha wakenya kabila zote I wish wakenya muendeleee hivyo bila kutengana
Solo congrats your the king of kamba gospel .... hours na tuko wimbo ya chira
😭😭😭😭😭😭bt why God....Chira plz come back n tell us u were only pranking us ...is painful, tears since u went..wake up from your sleep we miss we..@kasolo ungetuimbia this one jana tulie sana uchungu ituondokee kwa roho .... Chira may Heavens receive you...Tumepoteza lakni mbinguni imepokea...lala salama
Nye naisye ukaina Na malea,utungi wi kwaw'o Heko solo my brother Mungu pia akulinde milele,,rest in eternity Brian chira....
Congrats kasolo our king of kamba land .ata wakuchukie aje wapendwa na wengi.even malaika mbinguni they wanafurahia bravo🎉
The death of Chira caught me by suprise and shock. I didnt know him personally nor did i constantly follow him but i used to feel his pains and am so sad i didnt ever take a chance to be an encouraging friend to him. But one thing i asked God is to give me a sign of what really happened to Chira and today i dreamt with a group of people and they were trying to cross a road to the other side and its like they were going on same destination but someone among them kept pushing anyone who tried to cross and one was almost hit by a speeding vehicle that the 'pusher' seemed to have timed as it was speeding towards them. I dont know what it really meant but the moment i woke up the first words were, "Chira was murdered!" May justice prevail. I will look for someone like Chira and try my best to guide them as a friend and compesate how i feel now that Chira is gone and i didnt locate him to show him some sisterly love. Amezikwa na bado yauma n still i havent blieved or accepted😢
Congratulations our own stephen kasolo.......Baba T and your team be blessed🙏🙏
Kasolo wewe kweli ni baba yao wakubali tu waache vita na wakuuge mkono all in all congratulation 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂
Kabisa
Kasolo may you be blessed,,Baba T and your team...may the almighty God bless you..
Hongera sana baba t in all ur support en commitment to this soul 👏 👏 🎉
R.I.P BRIAN CHIRA.... nipeeeni likes na msubscribe Kwangu
Already done,,,,nipitie pia
Done pia mimi nisubscrifice
@@KendyJames done pitia
Nipitie pia
@@MelodyNyakio49nipitie nimekupitia
Congratulations Mr stephen kasolo for the good message God bless you 🙏
😢😢😢😢 i lost my husband through road accident last yr now is 7month but i have never been stressed vile kifo ya chira imenipea😢😢😢
Yaani hadi gospel artist wameacha kazi ya mungu waimbie magay,kama ulikuwa mzuri bona ukumkanya
Are you crazy 😏😏 listen to yourself Madam
Congratulations stephen kasolo jana walikuuliza mbona hukuimba but within few hours finally umeimba hongera sana let our brother brian chira rip😭😭😭😭
To be sincere 😢I knew chira like two months ago😢😢I loved watching his tiktok videos ..he was just a vibe😢😢it pains me alot seeing such a young man lifeless 😢😢bye bye chira rest easy daddy
Hii iende viral woow this is wonderful...
Amen: wimbo mzuri sana: Mungu asante kwa yote jambo ni ngumu kukubali lakini tunakuachia: Baba tupatie mwisho mema😢🙏🏽
Rest in peace B chira.
Your wish to build grandma a house is been full filled, your cousins will have a good education they won't struggle with school fees like you did. Kwaheri chira
Big up kasolo❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉main point on this song. 1 usidharau mtu ,,,2,,, tuwe na umoja🎉🎉
Wow ongera Baba T na team yako 🎉🎉 congratulations solo kwa nice song all be blessed ❤ RIP Chira
Wow aki kasolo mungu akumbariki sana Tena sana aki weww sijui unatonga song wapi uki lala tu unapata Jana Tu sai tayari song aki 😢😢😢😢
Pure talent!! Who can produce a powerful hit song within a couple of hours? only our dear man of God can! Hats off the King of gospel music!
omg i cry again kasolo this is so emotional wish this song could be played kwa mazishi
Na ulisema kwa interview fulani utamwimbia good job Baba Shine🙏...Rest easy Brayo Amen 🙏
Ngai kasolo ❤❤❤❤❤❤.
You are talented 🙏🙏🙏Mungu azidi kukulinda na kizazi chako
Wish Chira can just wake up for just 1min😢he will be surprised of how people Loved him❤❤❤
May you Rest in Peace Champ
Kasolo be blessed,,,aki huu wimbo unafanya mtu akate onion anyway ni sawa,,,huwezi ukauliza Mungu maswali😢😢😢😢😢,baba T be blessed too with your group,,na watu waache chuki aki,,
Brayo lala salama🙏🙏.mungu tunaomba utuodolee izi Vifo vya watu wachanga
Wow kali sana 😢😢😢may God bless all tiktokers baba T ,tizian na mc kirubi na mama nyako may almighty God bless you all
Congratulations kasolo for the touching and memorable song😢 ukweli chira amezikwa kama king😢baba talisha amesimama kama mwanaume na nusu kuona safari ya chira imeisha salama,, continue rest im peace our boy brian chira😢😢
Be blessed solo my brother from the same subcounty,,,you got talent 🎉🎉,,, R. I. P Brayo😭😭
Congrats solo,I love you for your good job in gospel ministry,,mbali unaenda solo,kudos our King of gospel
Wow congrats papa, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu... Rest in peace Chiri 😢😢😢. Nipewe like na subscribe❤
Already done,,, nipitie pia
@@MelodyNyakio49 already
@@davidjelina2nipitie pia
Rest in peace Brain chira😭😭 sending my condolences to the family and friends from Australia, Pumzika salama Champ💪we loved you but God loved you more,,,,to the rest of Kenyans let's love each other and support those in need of our support, no one knows his/her tomorrow,,, Congratulations to Brain's Chira friends may you never lack forever
Nice song kasolo...As luhyas we will always support you....
This is our own Baba Shine ⭐.
Chira Mungu akulaze pema umetangulia sisi tutafuata na jina la Jesu liinuliwe.
May God take all the glory, kasolo Mungu akulinde na icho kipawa amekupa sauti zuri,,Chira,Brian Chira,kwaheri lala salama ,your legend young soul🎉❤
Kasolo is talented and creative at the same time....and boom God's Grace directed him that's why he will always remain Relevant......Asikuambue mtu kitu kaka...💪💪💪
Asante
I'm still in tears 😢😢😢😢😢rest in peace Brian it's too early u left us😢😢😢congratulations baba shine our king of ukambani🙏🙏frm gulf
I love your songs 🎵 very much 😊
Hii nayo kali sana solo may God bless u, tuzidi kuombeana hii safari sio rahisi ina majaribu na dhoruba nyingi sana, CHIRA rip broooi❤❤❤❤😭😭😭😭🙌
May THE LORD protect us from premature and evil deaths
Nipeeni likes❤...na mnifollow ...Rip chira😭
Already done,,, nipitie pia
Pitia pia
@@RayTVAfrica. Nimekupitia
Kudos Stephen kasolo keep the juice flowing,,,,,,,,nyimbo zako zinaguza😭
Omg 😢😢who would know Chira would bring this country into stand still 😢😢may God keep us , together we stand
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Aki kasolomoni mungu amekupea talent ya kipekee.....congrats
The voice...is on another level
Wewe ni babayao yaani in hours ushapika congrats man and thanks for appreciation ❤
Nice one kasolo talented,,,,lala salama Chira😢😢
Utukufu solo has not slept cooking this 😢chira lala salama😢
Aki
@@StephenKasoloyaani within hours the song was out
Hongera sana kwa wimbo mzuri hakika tumejifunza mengi kupitia kifo cha chira rip chira 😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭
Wimbo mzuri pumzika kwa amani chira tulikupenda lakini Mungu akakupenda zaidi 😭😭😭
Kasolo you're a hero 👏 I love your music aki though I don't understand some but I love your message
May chira continue resting in peace ✌😢
Kazi safi kinara wa gospel ukambani Stephen kasolo kitole 👏👏
Congrats kasolo for this welfare song to Brian chira,may his soul rest peacefully
Congratulations solo,,,,,his soul rip...,
Team strong let's show love
Neema na ikutoshe Mr Solo..it's Soo emotional 😭 may chira rest well.(Solidarity)
Wimbo imetungwa na masaa na imeashiliwa your are the king in music solo, wakubali tu na wawashe vita,,,,,Rip chira
Wish angeimba kwa mazishi.... Solo is talented.
Sure❤
Aki kasolo nampenda bure ata waktusi kwa mitandao
@@Reginamwikali2030true hata Ile ya syokau haikubamba. Sauti hapa imetokea poa poa
Rest in peace chira Brian chira 😭😭😭😭😭😭😭😭we will miss you
Thank you kasolo,,,God bless you for honouring Brian chira 🙏🙏
Kasolo what a talent. God given talent. Keep up your great work Steve. Your songs really console. I lost my boy a year ago mysteriously, this song keeps me on my feet. This young age death it sky rocketing. Where did we go wrong Gid to deserve such punishment from you. All the way from Zim. I wish you could perform in Southern of Africa Kasolo. Your talent is so great. May God keep blessing and lifting you higher and protect you from all enemies against you. ❤
Gugu nation forever ❤❤❤❤❤congratulations our madam president Nyako being mom to our son chira❤our son rexal heaven ❤
Gugu nation tuko ndani❤🎉
❤❤❤❤ GuGu nation for life
Nice song auntie Stella cousin to Tabbie Shem...You are blessed Kaso l told you will go far🙏🏾
Thank you kasolo for the good son for the send off of our beloved friend chira, may his soul rest in peace 🙏
Hongera Kasolo kwa huo moyo wako ulionayo na Mungu atakubariki.
Rest easy chiraa today I've believed you're no more again I've never met him in person but his death hit me really heard💔mungu hakuadalie mbele nzurii till we meet again champ🕊️🕊️🕊️🕊️♥️🙏
Rip 😭 mwezetu lala salama 😭😭😭😭❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Solo you are blessed 🎉❤......may God uplift you.
Meanwhile..Rest in peace Brian chira!
Woow kasolo 👏👏🤝 usha itoa 😢😢😢 Rest in peace brian chira 😢😢😢😢😢😢😢
.
Congratulations kasolo be blessed 🙏 kwaheri brian chira
May GOD bless u kasolo...ak najipata nikilia...I wsh MUNGU akuweke maisha marefu...Brian RIP...
Rip Brian chira....hongera baba T kwa kazi uliofanya