Nilisubri video kwa hamu Sana Mungu awabariki watumishi katika Utume wenu hakika ulimwengu unabarikiwa Sana , N wimbo wenye ujumbe mzuri na matumain katika safari yetu ya Imani ♥️♥️🌹 Mungu tusaidiee wote Amina
Katika Nyimbo za 2024 ambazo zimeugusa sana moyo wangu, This song is among. Katika nyakati hizi za mwisho, tunahitaji kupata nyimbo zitakazotusaidia kutubu, kuliko nyimbo zinazotufurahisha, kutufanya tufurahi, pasipo kuugulia dhambi. Ni hatari sana kuwa na nyimbo za kuleta raha, kuliko zinazoleta majuto ya Dhambi. Hii nyimbo yafaa kuwa ombi la kila mmoja wetu.
Finally the wait is over. Though a bit disappointed, it has no English lyrics for those of us who do not understand ki swahiri 😢. All in all, good song
Woow i think mind yetu piah ningekuwa kama nyimbo zetu bac mbinguni tungewah tujitahidi twende mbingu najisikia vizuri nikisikia wimbo uuuu may God of creator bless u all
Nyimbo imenibariki asanteeni sanaaa na mmeitendea haki kwakweli vdio pia nzurii mnoo mmevaa vizuri Sanaa mbarikiwe mno na mtafika mbali Wana Wa Mungu 🙏
Najua wengi wanaisubiri kuwa wakwanza kuiona
Mimi nimekuwa wa kwanza kucoment 😂😂😂
😂😂😂
hhhhhhhaaahhhaa umetisha kaka
Saf San vjna ❤
Hongereni sana video nzuri sana nyimbo nzuri sana nilazima tu mtu ubarikiwe
Barikiwa sana watu wa Mungu huu wimbo umenigusa sana 🙏🙏🙏
Naendelea KUbarikiwa na Wimbo huu, Mungu awabariki sana watumishi Wa Mungu
Mungu anaeza kubadilisha kila kitu tusitende dhambi nimebalikiwa sana🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉
May our good God continue to give you more strength to serve Him. Good work wapendwa.
Nilikuwa nasubiri video yake kwa hamu snaa sana hatimae imetoka nabarikiwa sana ❤🎉
Jaman hiii nyimbo imenibalikia sana jamn ❤❤❤❤🎉🎉
Endelea kubarikiwa dear
Nipe nafasi nyingne 😢😢😢🙏🙏🙏😌😌😌
Mbarikiweee❤❤❤❤❤❤
Nilisubl sn hii video jamoon!! ❤❤❤❤
Mbarikiwe wimbo mzuri 🙏
Haleluyah sasa . Mungu awabariki sana
Nipe nafasi nyingine baba natamani moyo wangu ukutumikie qwa uaminifu
Be blessed
MUNGU AWABARIKI SANA wimbo wangu pendwa wa mwaka❤
Mbarikiwe sana Kwa nyimbo nzuri 🙏🙏
Naaam nafasi nyingine
Kumbes ni nyinyi MUNGU AWABARIKI SANAA 😊😊😊❤❤❤❤
Amen,
Jina la BWANA litukuzwe
Atukuzwe Bwana
Nilisubri video kwa hamu Sana
Mungu awabariki watumishi katika Utume wenu hakika ulimwengu unabarikiwa Sana , N wimbo wenye ujumbe mzuri na matumain katika safari yetu ya Imani ♥️♥️🌹
Mungu tusaidiee wote Amina
Amen,
Jina la BWANA Litukuzwe
Tik Tok brought me here,,, such a great song,,what a blessing!, what a time to be an Adventist ❤
Amen
Be blessed
Bless You 🥰🥰🥰🥰
Nice one naomba mpitie kwangu pia
♥️🔥♥️🔥♥️🔥♥️ MUNGU awabariki Kwa wimbo huu, Jina la BWANA litukuzwe sana 🙏 🎉🎉🎉
This is a blessing song indeed🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Amen
Wimbo mzuri mbarikiwe😊 sana
Dada mwise Mungu akubariki sanaa
Mwambien producer aongeze maneno ya kiingereza buanaaa......wengi watabarikiwa sana na nyimbo hiii ni nzuri sana sana sana sana sana san
Tumepokea🙏
mbarikiwe sana
Mmependeza barikiweni
Mungu awabariki sana! Niliisubiri sana hii video, hakika mmwitendea haki
🥲 Wimbo unanisaidia kufanya meditation kila siku asubuhi barikiweni sana❤.
Mungu azidi kuwabariki katika kuhubiri meno Kwa njia ya uimbaji🎉
Sometimes I loose hope but I always have it in my mind that tomorrow will be better
Be blessed lovies❤
Wow powerful God bless you watching you from Zambia ❤❤🇿🇲
Amen
Hongereni SANA 🎆🎆 Mpendwa Dativa Pamoja na Waimbaji Wenzako.Mungu Mwema Apokee Utukufu Kwa Kazi Hii Nzuri.
Asante sana Mpendwa Wangu, Tunamtukuza Mungu wetu aliye Hai
Amen
Katika Nyimbo za 2024 ambazo zimeugusa sana moyo wangu, This song is among.
Katika nyakati hizi za mwisho, tunahitaji kupata nyimbo zitakazotusaidia kutubu, kuliko nyimbo zinazotufurahisha, kutufanya tufurahi, pasipo kuugulia dhambi.
Ni hatari sana kuwa na nyimbo za kuleta raha, kuliko zinazoleta majuto ya Dhambi.
Hii nyimbo yafaa kuwa ombi la kila mmoja wetu.
Nimebarikiwa na hii nyimbo
Always my best choice 😊
Jina la BWANA litukuzwe
Kongore kwenu mmenibariki na wimbo wenu pamoja na magazine yenu pia
Wooow!
i like the video nadhani ndio video kali kwa wa sda never seen before ❤❤❤
Nabarikiwa na huu wimbo mpaka nashangaa❤❤❤
Nikiyoo
What a wonderful message🙏
Hallelujah ❤❤❤❤❤
Sauti ya Wapanzi tumeisikia. Mbarikiwe sana
Ombi Letu, Sauti hii imfikie Mungu wetu na atende sawa na mapenzi yake.
Amina
Amina
Umetususa mikongeni kijana umepotelea wapi....???
Kaka Simon
Ninawamisi sana jamaa zangu.
Nitakupigia anytime tutete jambo
You nailed God bless you and enable it to be applied in contemporary life
Barikiwen Sana ujumbe mzur kwakilammoja,, from kasulu tz
First time to watch you and it is breathtaking! Be blessed
Asante Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu nakuona dada yangu jak ubarikiwe
Nice song
Mbarikiwe mfike mbali wimbo umenigusa ❤
😢😢😢😢nipe nqfasi nyingine
Jamani hii nyimbo naipenda sana,,,, leo sasa nimeiangalia vzr mmemuona na boss wangu nmebarkiwa sana🙏🙏🙏
Ameen MUNGU atukuzwe
Amina
Mbarikiwe, nafasi nyingine
Amen hakika mmenitia moyo
So sweet 🎵♥️
Barikiweni sana , nipeni utaratibu wa kuijiunga na kwaya jamani inanipa amani sana
finally the waiting is over💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🙏🙏🙏
Hatimaye
🎉🎉fabolous
What a wonderful message mbarikiwe sana🙏
amina mbarikiwe sana🙏🙏
Oooh jaman hongereni sana kwa kaz nzur 🙏🙏🙏🙏👂👂
Mbarikiweee, ni nzuri sana nami nimebarikiwa
Mbarikiwe sana😊
Nyimbo tamu sana hii, ina ujumbe mkubwa sana
Good message Bwana awabariki sanaa
Tunaisubri Kwa hamuuu
Lovely song
Barikiweni abahambi,nimebarikiwa na huu wimbo MUNGU ni mwingi wa rehema tele
Amen
Barikiwa Mtu wa MUNGU
Inspirational 🙏
It's a Good number!
Finally the wait is over. Though a bit disappointed, it has no English lyrics for those of us who do not understand ki swahiri 😢.
All in all, good song
@mweenemweemba9207 ooh... don't worry, soon we will put it🙏🙏🙏
@abahambivoicetz highly waiting
Nipe nafasi nyingine🙏
Nisaidie nibadilike waweza badilisha kila kitu nisitende dhambi 😢😢😢🥺❤️❤️❤️😍
Mnanibariki na huu wimbo...Mbarikiwe zaidi
Wow awesome
Asanteni kwa huu wimbo
Hongereni sana kwa kazi njema na Mungu awabariki
Huu wimbo ni maombi tosha🙏
Amen,
Jina la BWANA Litukuzwe
Utukufu na sifa ni kwake mwenyezi Mungu hongereni kwa utumishi mzuri Mungu awabariki sana❤❤
Amen
Barikiwa mtu wa MUNGU
Woow i think mind yetu piah ningekuwa kama nyimbo zetu bac mbinguni tungewah tujitahidi twende mbingu najisikia vizuri nikisikia wimbo uuuu may God of creator bless u all
🙏
Waoooooh mbarikiwe sana sana jaman
Nyimbo imenibariki asanteeni sanaaa na mmeitendea haki kwakweli vdio pia nzurii mnoo mmevaa vizuri Sanaa mbarikiwe mno na mtafika mbali Wana Wa Mungu 🙏
Amen
Jina la BWANA litukuzwe
Wimbo unabariki wengi
Amina sanaa mbarikiwe
Waoooooh 🎉🎉 Abahambi nawa❤❤❤ sana
Nipe nafasi nyingine 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
Nabarikiwa sana. Mungu awabariki sana
❤nipe nafasi nyingne Yesu🙏
Bwana awabariki sana kwa ujumbe huu
Love it 🎉
Safi sana Mungu awabariki sana
Wow! Hongereni sana!
Kazi ni moto sana!
Mungu awabariki Abahambi voice!
Amen amen😊😊😊🙏🙏🙏🙏
Amina
wimbo mzuri na nmebarikiwa na ujumbe huu
@@mathewerickswila2050 amina
Mungu azidi kukubariki rafiki
What a message 🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏😊
Amina ❤
Ameni nicely song ❤
Amen 🙏
Congratulations brother Hosea Chamame ...that's a beautiful piece
🙏 amen
Nazidi Kubarikiwaaa
Hakika Wimbo unagusa