IBADA YA MAOMBI MAOMBEZI MIUJIZA KUFUNGULIWA KWA WATU WA DINI ZOTE NA OFA 08/12/2020 IBADA YA PILI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #kawe_dar
    #achakuliaanzakuamini
    #ariseandshinetanzania

КОМЕНТАРІ • 685

  • @LeoniaMatambo
    @LeoniaMatambo 5 місяців тому +3

    Eee yesu umenisaidia katika mengi,nakuomba unisaidie nipate uwanja na kujenga pia nipatie amani ya ndoa yangu katika jina la yesu kristo aminaa

  • @agnesskulaya3115
    @agnesskulaya3115 Рік тому +2

    Ee mwenyenzii mungu naomba umponye mwanangu naomba umfungue aweze kukaa na kutembea kama watoto wengine ee bwana amina

  • @agnesskulaya3115
    @agnesskulaya3115 Рік тому +3

    Naomba ee mwenyenzi mungu kupitia madhabahu hii ya inuka na uangazee binti yangu afunguliwe kwajina la yesu kristo nami nyota yangu ingae niwena maisha ya furaha amani na mafanikio amen.

  • @noelmpahi7382
    @noelmpahi7382 2 роки тому +4

    Eee Mwenyezi Mungu, kupitia hili somo na haya mafundisho naomba unijalie moyo wa utoaji kama maandiko yako yanavyotufundisha

  • @MangobabyApollo
    @MangobabyApollo 4 місяці тому +1

    Amina yesu Naomba unijibuu maombi yangu yote niliyoomba kutoka kwako na pia maombi yangu ya kuitwa nje yakubaliwe 🙏🏻🙏🏻😭

  • @fatumaekabe9464
    @fatumaekabe9464 9 місяців тому +2

    Yesuchristu naomba kilio changu kigehuke kuwa kicheko kwajina la yesu christu amina. Nimechoka kulia lia kilasiku,magonjwa yana nisonga sana.

  • @yustergodfrid3547
    @yustergodfrid3547 Рік тому +2

    Eeee MUNGU , mwaka huu jidhihilishe kwenye maisha yang, nioneshe ni mwanaume yupi sahihi , ktk mahubr haya ya nabii mwamposa , katende miujiza Yako YESU 🙏🙏🙏🙏

  • @RaphaelSimon-xs7rg
    @RaphaelSimon-xs7rg 3 місяці тому +1

    Mungu nisaidie chuma ulete wa afya na maisha yangu atoke kwa jina la YESU AMEN

  • @user-zr7nc2uc4e
    @user-zr7nc2uc4e 5 місяців тому +1

    Mungu baba kupitia madhabau ya inuka uangaze naomba uniponye na mwaka usi ìshe bila kufanikiwa Amina,

  • @EsterSeleman-hd1es
    @EsterSeleman-hd1es 9 місяців тому +2

    Mungu naomba uniponye na familia yangu uchumi wangu mungu nipe kibali cha kuingiza umeme kirahis nipate mtaji kirahis nilipe maden kirahis napokea katka jina la yes Amina

  • @lilywei6352
    @lilywei6352 2 роки тому +5

    Yesu naomba uniongezee amani juu yangu.naamini nitarudi mshindi Tanzania na nyumba ya mama yangu itaisha kirahisi amen amen

  • @ishikcharity3853
    @ishikcharity3853 4 місяці тому +1

    Naomba ufungulivu kutokana na njozi niliyooteshwa mtumishi ulinijia ndotoni nikazane kuomba kwajina la yesu kristo aminaaaa

  • @FaudhiaYahaya-dy6bo
    @FaudhiaYahaya-dy6bo Рік тому +2

    Mungu naomba ukabali maombi yangu mchumba wangu lukas akubali kwenda nyumbani na tuweze kufunga ndoa ameen

  • @albinapatrick
    @albinapatrick Рік тому +1

    yesu naomba unifungulie hasubuhi ya leo nipate baraka unifungulie milango ya baraka amina

  • @user-oj3fb1he9w
    @user-oj3fb1he9w 10 місяців тому +3

    Mungu naomba mwaka huu 2023 usiishe bila mm kupata mimba

  • @herieth8840
    @herieth8840 8 місяців тому +1

    Ee mungu nisaidie namimi bwana badili historia yangu na jina langu nipe heshima nifanye wa viwango vya juu amen

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 7 місяців тому

    Napokea duka langu napokea mume wangu abdala napokea uchumi wangu na abdala wangu tunapokea watoto wetu kilahisi tu aameen

  • @mariandunguru9135
    @mariandunguru9135 2 роки тому +3

    Asante Mungu kwa Neema yako na omba nifaulu endsemister kwa GpA kubwa 🙏

  • @BelinaMartini
    @BelinaMartini 6 місяців тому +2

    Yesu naomba uniponye nipate kupona na nipambane na maisha yng niwashinde maadui wanaonisumbua ameen

  • @mwasitivano
    @mwasitivano Рік тому +2

    Naomba mungu anijaliye mimba yangu inapoteya tumboni na yule aliye iba mtoto wangu tumboni anirundishiye mtoto wangu

  • @AngelaAdolph
    @AngelaAdolph 8 місяців тому +3

    Amen napokea kwa jin la jesu

  • @user-xn2jw9of4k
    @user-xn2jw9of4k 7 місяців тому +1

    E mwenyezi mungu nifanyie wepesi katika kazi zangu na uyafanye Maisha yangu kua mepesi na wazazi wangu waanze kumuamini mungu wamekua wagumu Sana mungu nisaidie naamini imekua amina

  • @VictoriavalenaVictoriava-yb4zd
    @VictoriavalenaVictoriava-yb4zd 9 місяців тому +2

    Yesu naomb ujibu maombi yangu 🙏

  • @agnesskulaya3115
    @agnesskulaya3115 Рік тому +1

    Asantee ee mwenyenzi mungu mwenyee huruma kwakunilinda mpaka leo hii naomba uzid kunipigania nilindee dhid ya maadui zang mungu naomba uilinde ndoa yangu ifunike kwadam takatifu ya yesu

  • @RehemaOmary-gu1ls
    @RehemaOmary-gu1ls 4 місяці тому +1

    Mungu mponye baba angu kirahisi na kila ugonjwa alio ambiwa ufutike kwa jina la yesu

  • @piaramsongo7860
    @piaramsongo7860 Рік тому +2

    Naomba mwenyez mungu afungue milango yng ya rizki na nipate mume mwema

  • @SimaNdosi
    @SimaNdosi 2 місяці тому

    Ameni hasante Sana Mungu wangu kwa neema yako msaadie Mme wangu afanikiwa kiuchumi na awe furaha naapande cheo kazi na mm nimiliki brach ,nipate nyumban, na usafiri kilahisi,na adaa yamtoto ameni namini utafanya

  • @marialukumbi
    @marialukumbi 11 місяців тому +2

    Yesu naomba ujibu maombi yangu ingilia kati hatima ya maisha yangu Mungu nisaidi mwanao napitika changamoto kubwa katika utafutaji nafanya kazi napata pesa lakini hazikai zinaisha na kupotea tu

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 27 днів тому

    E mungu wa madhibao ya arishe and shine naomba miujiza maishani mwangu,kwenye bihashara yangu miujiza tu, watoto wangu kufaulu kimiujiza zaindi katika jina layesu.

  • @lilywei6352
    @lilywei6352 2 роки тому +10

    Yesu naomba ujibu naomba yangu na uingilie Kati hatima yangu Baba nisaidie mwanao nimechoka kulala na kila wanaume yesu nataka ubavu wangu wa milele Baba nipumuzishe yesu

    • @jhstationery3036
      @jhstationery3036 Рік тому

      Mungu naomba uingilie kati katika hii biashara umetusaidi tunaenda vizuri katika uendeshaji wa biashara yetu tupo wawili Mimi na mume wangu usiluhusu mungu
      Biashara hii asimamie mtu mmoja naomba Kila wakati tushilikiane kama ulivyo tuweka tuwe wote pamoja ameni.

    • @Eunicemkabili-xb6vx
      @Eunicemkabili-xb6vx 10 місяців тому +1

      Eeee mungu naomba unibariki katika mlengo ni nayo tarajia kuyafanya

    • @NeemaSebastian-xh6ef
      @NeemaSebastian-xh6ef 9 місяців тому +1

      Mungu nataka nipone nguvu za giza

    • @AshaCosmas
      @AshaCosmas 9 місяців тому +2

      Yesu naomba unijibu maitaj yangu nipate mme sahii mwenye of ya mungu

    • @sarahmwakipembe5033
      @sarahmwakipembe5033 9 місяців тому +2

      Mungu mtazame huyo mwanao ameondika maneno mazito Mungu mtete

  • @mariamnyenye5349
    @mariamnyenye5349 2 роки тому +3

    Mungu naomba uniponye nipone niwe na afya nzur katka jina la yesu napokea na mm amina🙏

  • @tatumzelela6631
    @tatumzelela6631 2 роки тому +2

    Mungu naomba nisaidie kupitia mahubili haya nipone kifafa kinachonitesa amin

  • @HamisaAhmad-yd1tw
    @HamisaAhmad-yd1tw 9 днів тому

    Naomb mwenyez mungu kupitia madhabau hii leo mm naend kufunguliwa kwa dam ya yesu ameen🙏🙏🙏

  • @YulithaMsigala
    @YulithaMsigala 11 місяців тому +2

    Mungu naomba uniongezee Imani kwenye moyo wangu baba

  • @EditherDeus
    @EditherDeus 11 місяців тому +3

    Namba mungu aingiliekati ilinifanikiwe ombilangu lakupata mtoto maana naamini mungu anatenda naatatenda kwajina la yesu ameee

  • @DainesSamson
    @DainesSamson Рік тому +2

    Mungu uniponye kizazi changu kiwe Kama nilivyo zaliwa kwajina la yesu ameee

  • @modestartemba8292
    @modestartemba8292 3 роки тому +5

    Napokea kwa jina la yesu watoto mapach wa kike na kiume kupitia madhabau hii,

  • @RegnaCharles-vw9fo
    @RegnaCharles-vw9fo 3 місяці тому +1

    Mungu naomba mimi na Mme wangu tupatane kama zaman Amin

  • @reyjohnson624
    @reyjohnson624 2 роки тому

    Ee mwenyezi MUNGU naomba unisaidie leo hii ucku huu mme wangu Yacobo Lazalo anitafte kupitia maombi haya ee mwenyezi MUNGU ucyexhindwa mtenda miujiza naomba ikawe zamu yangu kujibiwa na kupokea ndoa yangu irudi kuanzia sasa AMINA

  • @Priscahaonga-yy1de
    @Priscahaonga-yy1de 9 місяців тому +2

    Yes naomba waondoee wachawii wotee kwenyee maisha yang

  • @LeontinaMinyanya-np9ye
    @LeontinaMinyanya-np9ye 3 місяці тому +1

    Yesu nisaindie mambo yangu yanyook nipata kazi na mume wangu niwanaee pamoja

  • @jumaabdallah880
    @jumaabdallah880 3 роки тому +6

    Naomba mkono wa mungu unishike ktk maisha yangu ktk kazi zang ktk makaz yang yafungue maisha yang yawe mazur km ya wengine Emen

    • @zawadigiribart5250
      @zawadigiribart5250 Рік тому

      najiunga naiba hiii natubu nirikuw natumia majura myezi sita siingii bridi naomba mungu niponye

  • @marymary8313
    @marymary8313 3 роки тому +3

    Naomba mtoto wangu apate uponyaji katika jina la yesu kupitia madharau ya mwamposa amen and amen

  • @user-oz6bu1ds2n
    @user-oz6bu1ds2n 8 місяців тому +1

    Munguuu naombaa funguaa milangoo ya maishaa yanguu msaidiee Sanaa bib anguu kwenye mipangooo yakeeee yotee nipee amanii maishaa yanguu yoteee na ndguu zanguuu

  • @JescaHarrison
    @JescaHarrison 5 місяців тому

    Ee mungu naomba nipone hii homa ambayo inanisumbua ambayo bado sijaijua kupitia maombi haya naamin napona na kila dalili znapotea kwa jina la yesu naamin napokea hii leo amen

  • @InnocentChameleon-nj6ue
    @InnocentChameleon-nj6ue 7 місяців тому

    Baba katika jina la yesu, naomba tends muujiza wako juu yakizazi changu na unibaliki nakuniongoza, niwe na kiu yaneno lako, naitaji niisi kushiba kwa neno lako Baba, niokoe yesu.

  • @mashamshamu9386
    @mashamshamu9386 3 роки тому +9

    Mungu naomba nipate mapacha

    • @user-yx8ev5ct9s
      @user-yx8ev5ct9s 3 роки тому

      Mungu nataka nipate watoto mapacha sita Niwazaee kwa njia lahisi kabisa nawote wawe wazima wenye afyaa tele

  • @DonaTemba
    @DonaTemba Місяць тому

    Mungu wa mbinguni naomba mwaka huu usipite bila kujibu haja ya moyo wangu naitaji majibu ya maombi yangu bwana usinipite 🙏

  • @AnithaThomas-x5i
    @AnithaThomas-x5i Місяць тому

    Asante mungu kwakumtumamtumishi mwa.mposa mengi anatutendea kuptia nguvu zakp mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏

  • @AdMk-tf5ou
    @AdMk-tf5ou 8 місяців тому

    Mungu naomba ufungue milango yangu passport yangu lrudishwe office pesa yangu lrudishwe office njia zangu zifufunguliwe na watoto wangu wafunguliwe Kwa masomo na Maisha mafanikio lfunguliwe amen

  • @atanito1327
    @atanito1327 3 роки тому +6

    e mungu baba nashukuru sana maombi yangu yamekubaliwa kiasi chake

  • @godricerasta5744
    @godricerasta5744 3 роки тому +7

    Mungu nisaidie nipate mtoto humwaka usinipite hivi hivi

  • @gladnessjohn5768
    @gladnessjohn5768 Рік тому +2

    Naomba mungu anisaedie kwasababu nimeandamwa na roho mbaya zakunikatisha tamaa na madeni yananinyima amani kabisa

  • @kajembekajembe4393
    @kajembekajembe4393 2 роки тому +1

    Napokea uponyaji Mungu Nisaidie.Niitwe mama Nizae mapacha kwajina layesu Napokea kwajina layesu Napokea uponyaji

  • @atanito1327
    @atanito1327 3 роки тому +4

    naomba mabos wanitafute sana ili niwasaidie amen udat asitoke karibu yangu amena

  • @sukariyao6537
    @sukariyao6537 3 роки тому +3

    Kwa kupitia madhabau ya lnuka uangaze napokea uponyaji mie na uzao wangu pamoja na familia yangu kla aina ya vifungo vikafunguke kwa jina la YESU AMEEN 🙏🙏🥰

  • @JackSolomon-oy7kb
    @JackSolomon-oy7kb 3 місяці тому

    Asante mungu naomba niongezwe mshahala nieshimiwe kazini amen

  • @janethcharles2903
    @janethcharles2903 2 роки тому

    Eeh mungu nomba kiujumla nikafungulie Mimi pamoja nafamiliy yang eeh mungu nomba kiujumla nikafungulie Mimi pamoja nafamiliy yang amen

  • @olivasimbeanje255
    @olivasimbeanje255 2 роки тому +1

    Kwa kupitia madhabahu mungu anisaidie hitaji la moto wangu

  • @KaviraMaterebeka
    @KaviraMaterebeka 4 місяці тому

    Mungu wa mwamposa unisikilie uruma namiye nipate wa toto ici miaka mungu wa mwamposanisikilie uruma mimi nimwenye Zambie nyingi sisistaili naomba unisamee kwa yote bila mwicho n'a mutoto yangu Pia bila mwicho mujibie n'a yéyé Pia siwezi kosa Ku chukuru 'isikilie uruma Sana mungu wa mwamposa

  • @atanito1327
    @atanito1327 3 роки тому +1

    Mungu baba nifanyie miujiza kwa jina la yesu amen

    • @sifatmohamed6147
      @sifatmohamed6147 3 роки тому

      Napokea uponyaji kwauzao familia yangu ninachakiomba nikafanyiwe wepesi kuanzia leo amen

  • @nelsonchisanza5556
    @nelsonchisanza5556 3 роки тому +1

    Eee Mungu naomba Mwamposa utakapoanzaa kuomba naomba unifungue na kila vifungo nilivyofungwa na Nguvu za kishirikina Amina

    • @lucassaryaa42
      @lucassaryaa42 3 роки тому +1

      Eee mwenyezi mungu naomba ubariki maombi yangu

  • @neemabeatrice1672
    @neemabeatrice1672 5 місяців тому

    Naomba Mungu anifunguwe na family yote nisisumburiwe na ndoto mbaya za kunirudisha nyuma nifanikiwe na niongezeke kwa jina la Yesu kristo.

  • @TeclaMakala
    @TeclaMakala Місяць тому

    Mungu naomba baba yangu kəsi yake ya mirathi iishe kiraisi kabisa na auze nyumba haraka kwapesa anyotaka yeye Amina

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l 3 місяці тому

    Kutoka Saudi Arabia napokea uponyaji Amen 🙌🙏🙌🙏🙌🙌🙏 baba wa mbinguni nisaidie

  • @kapembamahaanga3129
    @kapembamahaanga3129 Рік тому

    Yesu naomba unifunguwe matatizo yangu yote Amin nikombele zako bwana naomba

    • @RhodaSteven-o5l
      @RhodaSteven-o5l Рік тому

      Ee mungu naomba usikie maombi yangu nahitaji kufaulu kakti masomo yangu ya kidato cha Tano na cha sita wote wasemao cwezi wakastaajabu matendo Yako naomba nikiamini amen🙏🙏

  • @EspoirKahitari
    @EspoirKahitari Місяць тому

    e baba mungu mwokozi wa mbigu na nduniya ni saidiye kwa kesi ya coti niko nayo Monday ni maliziye ayo baba Mungu ni saidiye nisikiliwe ku kazi coupa vision ni saidiye wasifungiye gariyangu nisaidiye mimi na mamayangu baba na umponye mamayangu baba mungu amen

  • @luluyusuph1350
    @luluyusuph1350 2 роки тому +2

    Arise and shine Tanzania mtumishi mm nahitaji kufunguliwa kiuchumi na mwili wangu

  • @victoriangailo5909
    @victoriangailo5909 Рік тому

    Mungu najikabiz katika madhabahu yako naomba ubaliki maisha yangu na mume wangu ubaliki Kaz yake azidi kufanikiwa

    • @sophiakomba8761
      @sophiakomba8761 Рік тому

      Ameni napokea uaminifu kwa yesu ata uyu mwanaume ataki. Kunitafuta atani tafuta mwenyewe kwa jina la yesu na kwa ushindi mkumbwa atanitafuta yeye mwenyewe ameni nimeshoka kumlilia mtu nieli nimlilie mungu ameni

  • @MomG-d6o
    @MomG-d6o Місяць тому

    Yesu naomba ukombozi wa ndoa yangu, nahitaji urejesho wa ndoa yangu naomba amani, upendo na uwazi nihurumie mie mwanao na uwastajabishe maadui zangu

  • @MartiniTarimo-dw1rw
    @MartiniTarimo-dw1rw 6 місяців тому

    Mungu naomba tubariki mi na mke wangu tupate watoto na mafanikio na milango ya watu wabaya ufunge juu yeti Mungu tusaidie tunahangaika kutafuta familia Mungu tusaidie

  • @agnessgwalino1146
    @agnessgwalino1146 3 роки тому +1

    Nimepokea kwa jina la yesu na sasa na ujauzito wa mwezi mmoja namuombeamume wangu azidiwe na wateja

    • @marykitego5856
      @marykitego5856 3 роки тому +1

      Jmn mtupe na sisi namba zake tumtumie hata picha atuombee

  • @elizabethtarimo8600
    @elizabethtarimo8600 2 роки тому

    Naomba uponyaji kupitia madhabahu hii kwa jina la Yesu

  • @janethsuleiman8684
    @janethsuleiman8684 Рік тому

    Eee mungu nenda katende miujiza juu yangu nikapate kupata biashara yangu mwenyewe na nijenge kilahis nipate pesa kilahsi amen

  • @paulmasanja78
    @paulmasanja78 Рік тому

    Napokea kufunguliwa mahitaji yangu kwa jina la yesu

  • @agathaanthony1040
    @agathaanthony1040 3 роки тому +1

    Najiungamanisha na ibada hii napokea upako kwa jina LA yesu aminaaa

  • @glorymbowe7521
    @glorymbowe7521 3 роки тому +3

    Natangaza kufanikiwa ktk maisha yangu yote amina

  • @judithrichard1127
    @judithrichard1127 2 роки тому

    Mungu kupitia madhabahu ya mwamposa ,naomba nipate kazi, afya kwa watoto wangu pamoja na ndoa yangu nifunge ndoa na mume wangu, naamini kwa jina la yesu kristo amen

  • @paumkulia1547
    @paumkulia1547 2 роки тому

    Mungu naomba nijibu maombi yangu kupitia mtumishi WA mungu

  • @LeontinaMinyanya-np9ye
    @LeontinaMinyanya-np9ye 3 місяці тому +1

    Kaka yangu ameukwa anamiaka 5 toka azekuumwa tukombele zako mungu tunahomba uponyaji kwako mungu wamazapao yainuka huagaze

  • @AngelaAdolph
    @AngelaAdolph 8 місяців тому

    Ee MUNGU naomb uwez nisaidia niwez kupita kwenye usaili wa migration uwez kuniongoza vizur niwe na afya njema kila kitu kiwe safi EE BWANA nakuomba unisaidie AMEN

  • @MwakamiMashiba-jv3bu
    @MwakamiMashiba-jv3bu 7 місяців тому

    Mungu naomba .mwaka nibebe mimba nijifungue mapacha wakike na wakiume 🤰👩‍❤️‍👩

  • @mariamhassan6091
    @mariamhassan6091 2 роки тому +2

    Naomba mungu anijibie maombi yangu napitia wakati mgumu sana kwa sasa naamini nitavuka kupitia mtumishi wa mungu ameen🙏🙏

  • @emanuelmgonja1884
    @emanuelmgonja1884 Рік тому

    Eee mungu naomba unijibu maombi yangu ya kufunguliwa masikio yangu yaanze kusikia kwanzia sasa, na saut yangu itoke vzr, pia na ufahamu wangu kwa jina la yes tenda miujiza leo usaipite bila ya kunifunguwa leo kwa jina la yes

  • @marryjonathan7735
    @marryjonathan7735 2 роки тому +1

    Mungu kupitia madhabuhu hii,niepushe na magonjwa nipe afya njema kwa jina la yesu,,amen

  • @priscaanjero2443
    @priscaanjero2443 Рік тому +1

    Mungu kupitia mazabaho haya naomba nifungulie njia nipate mume mwema na familia safi

  • @RamRao-u7x
    @RamRao-u7x 23 дні тому

    Amen baba mungu naomba nipe moyo yaibada

  • @khadijakupela2381
    @khadijakupela2381 9 місяців тому

    Baba naomba nipate uponywaji wa mwanangu Anthony aache pombe ni mateso kwake na familia na jamii inayotuzunguka,baba naomba umpone na sisi tupone, Ameen ameen na ameen

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 7 місяців тому

    Napokea mm na familia yangu tutafanya mambo makubwa kilahisi tu aameen tunapokea baba

  • @queenmamy8414
    @queenmamy8414 3 роки тому +3

    Eee mungu naomba nisaidie

  • @pilirashidi5450
    @pilirashidi5450 Рік тому +1

    Baba naomba uingilie maisha yangu kila kila nilicho nyang'anywa kirudi kwangu Mara sana.Amen.

  • @user-vo2bq6xf6o
    @user-vo2bq6xf6o 7 місяців тому

    Mungu nibariki namimi mwaka huuu usinipite baba nipate mtoto namimi baba nimechoka nakuliya kila mwezi ,mwaka heeee yehova

  • @joycerobert7365
    @joycerobert7365 Рік тому +1

    Yesu wng baba yangu naomba unisaidie nipate Amani ya moyo ang na furaha ya maisha yng ukaniponye magonjwa yanayo nisumbua yakawe 6:01 Y we mwisho

  • @user-qi2mm7yn1h
    @user-qi2mm7yn1h 9 місяців тому

    Mungu niokowe Mimi kwachangamoto yangu ninayo pitia kwasasa nahitaji kuwa nafulaha kwenye maisha yangu na familia yangu najuwa mungu upo pamoja NAMI amen

  • @leilajumma
    @leilajumma 10 місяців тому

    Yesu naomb unifunguwe matatizo yangu yote Amini nikombele zako bwana naomb unasaidie amen 🙏🙏🙏🙏

  • @atanito1327
    @atanito1327 3 роки тому +2

    Mtu yeyote anae nidai aniogope kwa jina la yesu amen

  • @wilfridasafari1577
    @wilfridasafari1577 8 місяців тому +1

    Napokea uponyaj wa tumbo kwa jina la yesu

  • @salamkhamis3588
    @salamkhamis3588 3 роки тому +3

    Mwamposa mungu akupe maisha marefu Sana kwa kuwaponya watu japo kua na mm natatizo sija fanikiwa kuponywa nahamini nitaponya amiina

  • @immajonh2532
    @immajonh2532 Рік тому

    naomba mungu anijalie kwenye biashara yangu nizidi kufaanikiwa zaidi, pia naomba mungu atufungue mm na baba watoto wangu tuweze kuoaña kabs popote alipo, Moyo wake ufunguke kwangu moja kwa moja, aminaa,,

  • @BeatriceNgasa-j3n
    @BeatriceNgasa-j3n Рік тому

    Mungu simamia biashara yangu kwa jina la Yesu vita ni kubwa baba pambana nao wote wanaotaka kuniangusha kwa madhabahu hii Mungu naomba ukanitendee