Saa kumi unusu Adhana ni saa Tisa.....Hii ndio Moja wapo pia ya sababu Ikhtilafu ya mwandamo wa mwezi.... Kwa sababu nchi yoyote munao pishana kwa Nusu saa au 45 Dakika Kwa Ibada basi kufata mwezi wao itakuwa ni matatizo na matatizo yenyewe ni kwa sababu itakuwa mara nyengine mupo sawa na wakati mwengine hamuko sawa...Sasa hao wanaolizimisha mwezi wa popote itakuwa tunafanya Ibada ya wasiwasi...
@@abakibibi9917 wakati na Dakika ni tafauti....hata huku Mombasa Kenya twaeza kuswali maghribi 12:30....Kisumu wanaswali maghrib 1:00....haimanishi hatufai kuwaskiza mwezi wakuandama Bado tuko matlai Moja na Dakika na masaa tupo pamoja Haina Ikhtilafu wala hatutafautiani kwa Dakika na masaa katika Ibada
Mtume Muhammad s,a,w alisema watu watatoka sehem mbali mbali kwenda kufta elimu sayyidina ANAS BIN MALIK R,A na yey sayyidnqsayyidina anas ANASEMA kwamba popote mwezi utapoonekana watu wafunge na wafungue hata kipindi cha MTUME MUHAMMAD S,A,W pia walifanya hivo sas wee nani unapinga hoja za maswahaba
Mashallah alhamdulillah
Ma shaa Allaah
Zamani walituaminisha huku kama usiku huko nimchana,na tumepishana dakikachache sana,
Saa kumi unusu Adhana ni saa Tisa.....Hii ndio Moja wapo pia ya sababu Ikhtilafu ya mwandamo wa mwezi.... Kwa sababu nchi yoyote munao pishana kwa Nusu saa au 45 Dakika Kwa Ibada basi kufata mwezi wao itakuwa ni matatizo na matatizo yenyewe ni kwa sababu itakuwa mara nyengine mupo sawa na wakati mwengine hamuko sawa...Sasa hao wanaolizimisha mwezi wa popote itakuwa tunafanya Ibada ya wasiwasi...
MUANDAMO WA MWEZI WA KIGOMA ,TABORA NA MWANZA NAO TUSIUFUATE TUNAPISHANA NAO WAKATI
@@abakibibi9917 wakati na Dakika ni tafauti....hata huku Mombasa Kenya twaeza kuswali maghribi 12:30....Kisumu wanaswali maghrib 1:00....haimanishi hatufai kuwaskiza mwezi wakuandama Bado tuko matlai Moja na Dakika na masaa tupo pamoja Haina Ikhtilafu wala hatutafautiani kwa Dakika na masaa katika Ibada
Hatuufati ndio
Mtume Muhammad s,a,w alisema watu watatoka sehem mbali mbali kwenda kufta elimu sayyidina ANAS BIN MALIK R,A na yey sayyidnqsayyidina anas ANASEMA kwamba popote mwezi utapoonekana watu wafunge na wafungue hata kipindi cha MTUME MUHAMMAD S,A,W pia walifanya hivo sas wee nani unapinga hoja za maswahaba
Dar es salaam na kigom??