#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 4 дні тому +3

    TATIZO nyinyi mmekalili sana Mnataka yanga ishinde magoli meengi sana SI hivyo ndugu zangu SI Kila siku ijumaa jamani nyie subirini mtaona

  • @leoncearistides3448
    @leoncearistides3448 4 дні тому +2

    😂 hili bwabwa nalo😅

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 4 дні тому +1

    Kwanini Leo Wachambuzi msiseme tu kuwa Washambuli aji wa Dar Young African kwa leo haikuwa siku nzuri kazini halas ,timu ipo ugenini na imepata points 3 yaani Wachambuzi wa Tanganyika wanatoa kasoro kibaoo dah,yaani sio kila mechi inahitaji maelezo mengi michezo mengine huwa na jibu rahisi tu HAIKUWA SIKU NZURI KAZINI HALAS

  • @samsonsulle7440
    @samsonsulle7440 4 дні тому +2

    Mbona hamsemi ukweli zaidi ya kulalamika kumbukeni wale pia ni binadamu wanachoka

  • @telesforisinge4475
    @telesforisinge4475 4 дні тому

    Hey Mr you mean simba is going to win, yanga imeshinda ,

  • @KayandaPaul
    @KayandaPaul 4 дні тому

    Uchambuz wa hovyo sana huu sio kila mchezo utafanya vzuri leo ukipata matokeo hafifu team mbovu sku ikifunga Magol mengi mnafagilia. mnazngua hamueleweki uchambuz wenu wale ni binadamu sio marobot

  • @user-wo5fr5jp7b
    @user-wo5fr5jp7b 4 дні тому

    Wachezi wetu waliathirika na mechi za kimataifa. madiliko ya hali ya hewa na pia walichukua tahadhali ya kutoijua CBE. Mechi ya marudio tutafanya vizuri

  • @carloschiwanga171
    @carloschiwanga171 4 дні тому

    Timu inabadilika kutokana na mazingira ya mechi husika..kiufupi Mwalimi na Management ndowanajua nini wanafanya...hizo tulizonazo sisi ni Opinion, Facts zipo kwa Gamond na Management

  • @peterhaule9234
    @peterhaule9234 4 дні тому

    Kumbuka altitude ya ethiopia kaka....Jumlisha baridi.

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 4 дні тому

    Mmuache kocha wetu,mwakajana Beuluzid alituchapa tatu mkasema kwanini hakuchukuwa tahadhali.

  • @josephlyakurwa
    @josephlyakurwa 4 дні тому

    Sasa we mchambuzi mbona unajichanganya, unasema Gamondi kaja kwa mfumo wa kujilinga, sasa hizo nafasi za kufunga 6 wametengenezaje

  • @user-ce8wc9te7y
    @user-ce8wc9te7y 4 дні тому

    Sasa yanga ingefungwa ingekuaje jmnh

  • @abrahamchengula8137
    @abrahamchengula8137 4 дні тому

    Upo sahihi kaka,anayekuchukia hajui MPIRA

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 4 дні тому

    Unachambua bwabwaje iseee

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 4 дні тому

    Huko ulaya pia wanakosea magoli wachambuzi njaaa

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 4 дні тому

    We jamaa unachambua nn apo-kwani yanga katikiswaje na hyo CBE?

  • @masoudmongomongo244
    @masoudmongomongo244 4 дні тому

    Hao waliokata tamaa labda ni madunduka ss yanga kwani tumefungwa weee hebu kaa kwa kutulia.

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 День тому

    Jumamosi huyu mchambuzi ataijua yanga na hatachambua tena

  • @telesforisinge4475
    @telesforisinge4475 4 дні тому

    Yao hawezi cheza Kila game

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 4 дні тому

    Duuuuuh kweli yanga inasemwa vibaya jamani ila Mimi naamini mkiwasema yanga na Wao watashikwa na hasira

  • @mabagamendez1156
    @mabagamendez1156 4 дні тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mabagamendez1156
    @mabagamendez1156 4 дні тому

    iv yanga leo kaxhinde ugenini bado lawama wachambuzi gan hawa jaman

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 дні тому

    Msijimalize sana. Wamechoka. Kocha kafanya vizuri kwani nafasi nyingi zilitengenezwa. Mbona CBE hawakushinda?? Leo wameusoma mchezo. Mziki unakuja. Ila Dube anaonekana ana pressure. Labda apumzike kwanza.

  • @user-ce8wc9te7y
    @user-ce8wc9te7y 4 дні тому

    Mnafik we mtangazaj et mapenz ya anifa sijui nn

  • @AdamMwombeki
    @AdamMwombeki 4 дні тому

    Makolo amuwrzi kuwa wengi kuriko wananchi

  • @mabagamendez1156
    @mabagamendez1156 4 дні тому

    xaxa wewe unataka yanga axhinde gori ngap? Kama tu amexhinda bado lawama mchezaji sii lot wametoka timu za taifa jaman nao wanachoka

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 4 дні тому

    Gemu TU Leo iliwakataa mutakuja kuwakataa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 дні тому

    Pumbaaaa wewe.

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 4 дні тому

    Bakizeni akiba ya maneno mtaumbuka wachambuzi wa mchongo

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 4 дні тому

    Kuzuia kwao kwa sababu walikuwa hawajuhani ndo mahana wamecheza vile.

  • @christianmahembe4827
    @christianmahembe4827 4 дні тому

    YANI WACHAMBUZI WA BONGO BANA HAKUNA KITU...HAPO GAMONDI AMEKOSEA NINI..

  • @johnurio9151
    @johnurio9151 4 дні тому

    Mbona husemi wachezaji wametokea timu za taifa? Kila mmoja katokea njia yake na hali ya hewa tofauti,hayo magoli mengi mtayaona mechi ijayo

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 4 дні тому

    Nim ni yanga lakn Kuna shida inaanza kuwapata wachezaji ukweli

  • @user-zz4lz3jb9w
    @user-zz4lz3jb9w 4 дні тому

    Tutawafunga tu wakija hapa mtaona mtabadili kauli zenu.mtaanza oooh yanga hii italeta kombe

    • @ZabibuMwenda
      @ZabibuMwenda 4 дні тому

      Labda kombe la uji

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 4 дні тому

      😂😂😂😂😂Naijua hiyo hapana chezea wachambuzi wa Tanganyika

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 4 дні тому

    Ishu ni utulivu na ushindi tuu maana ata al ahly ugenini uwa inashindaga Moja na kukosa kosa magoli mengi tu kikubwa ushindi yanga kashinda ugenini kaondoka na point tatu nyumbani tunakuja kumalizia kazi tuu

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 4 дні тому

    siku azifanani

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 4 дні тому

    Heeeh nyie wachambuzi mbona mnawakosea watu Heshima jamani yaani pamoja kwamba tumeshinda goli moja tena ugenini Bado Mnasema kocha kikosi kimempalia ivi kwelii jamani ? Yanga ikishinda magoli mengi mnaisema imecheza na timu mbovu ivi mnaielewa Hali ya hewa ya Ethiopia kweli ? Mpira hapo ivyo yanga inastaili Heshima na pongezi kushinda ugenini

  • @user-ou9wj4hu3e
    @user-ou9wj4hu3e 4 дні тому

    Mbona munakalili matokeo? Timu ipo ugenini na pia imeshinda bado munalaumu.Duu wabongo acha tu.

  • @RichardWambura-w9o
    @RichardWambura-w9o 4 дні тому

    Kwa nn usingeingia ww

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 4 дні тому

    Unachambua bwabwaje iseee