kenya twapenda kazi zenu je mwapenda kazi ya wakenya kama mwapenda naomba usearch sajunior j ambae husema akipata nafasi anaeza kuwa moto kubwa kisha shear mimi napenda kazi yenu
The song wouldn't have been any better without Mario's vocals in it..every love song he touch,becomes a banger🔥🔥🔥 Powerful collabo💪 Love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Such a good song. Kuanzia melodies mpaka sauti everybody kacheza part yake. Mariooo..maan niko selective sana kuhusu songs lakini you man brought me here.
Darasssaaaaa eeeiiissshhh🔥🔥🔥🔥,Mariooooo💆♂️🔥🔥🔥,wapi likes zao plus za Nandy pia🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😵😵
ua-cam.com/video/qZEX2LU8I9E/v-deo.html
ua-cam.com/video/Rii__pMuKn8/v-deo.html
Watanzania na wapenda Sana.. Wakenya nawapenda Sana..mapenzi tele Toka Mombasa Kenya.🇰🇪🇹🇿🇺🇬
Mombasa and Dar we share many things in common
Bb 0:23
Noma na nusu, waliongalia zaidi ya mara moja gonga like twende sawa
Mariooooo Sauti tuu alafu Nandy hapo na loyalty 😍💯❤ ukikamilisha na Darassa 🥵💥💖
Love from kenya 🇰🇪
ukiniona nalia nifute machozi jua ukiniona nalia nalilia mapenzi kaliiiii
First Kenyan 🇰🇪🇰🇪 Wapi likes zangu🔥🔥
Nishakupa
As kenyans🇰🇪🇰🇪we approve this song🙌much love from 254🇰🇪🇰🇪
🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Marioo darasa aslay na kiba na kadada nandy wanajua hadi kero yaani
Marioo
Marioo ako na such a unique voice in Tanzania 🇹🇿 💖 💓 😌 wapi likes zake
Welcome
💯🔥🔥🔥
🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲✔
Huku America 🇺🇸 tunakucheza wewe fire boss.
Who’s here in 2024?
Here
Here
Here I am
Am here
All day
Likes za Marioo na Darassa🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪
ua-cam.com/video/Rii__pMuKn8/v-deo.html
Wanaosema hii Ngoma ni Kali na nusu gonga like hapa.
Iko PW sana
Nimeikubal kiukwel ik pw
Can come xd,
Sana
Hoyaa Darasa Yuko vizuri Daima. Acha kuomba like.
Marioo wewe jamaaa unajua sana kuimba mapenzi ......hii ngoma nzuri Sana
Tis4
ua-cam.com/video/OKTVqafq7XI/v-deo.html
ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html
Dallas group siku naenda kula naota mapenzi
Wote wameua dingiii
kenya twapenda kazi zenu je mwapenda kazi ya wakenya kama mwapenda naomba usearch sajunior j ambae husema akipata nafasi anaeza kuwa moto kubwa kisha shear mimi napenda kazi yenu
Ndiyo twapenda sana ndugu
alie angaliaa hii nyimbo mwez huu tujuane
Ndugu zangu nimekuja mapema nipeeni like jamani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nipee likes kumi za darassa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mapenzi unataka uyape respect, assurance,commitment.
Mapenzi sio kitu kama pesa ya benki umpe mlinzi bunduki akuteteee......
Fav part of the song😍😍😍😍😍
🎉❤
Marioo takes the first 44 secs of this track.And totally kills it.Engaging vocals!🔥🔥🔥
Burundi tupo tunapenda ngoma za kibongo hususani marioo nandy darassa bila kusahau kondeboy
Nilikuwa na subiri muda murefu iyo ngoma. Rwanda muko wapi ? gongen like zenu
The song wouldn't have been any better without Mario's vocals in it..every love song he touch,becomes a banger🔥🔥🔥
Powerful collabo💪
Love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ua-cam.com/video/Rii__pMuKn8/v-deo.html
💯
Welcome
🇴🇲🇴🇲🇴🇲
ua-cam.com/video/O7VS_ZCnKvQ/v-deo.html
The bad thing about this master piece is that inafika mwisho
+254 love
Baridaaaaaaaaaa marioooooo✍️✍️🇰🇪🔥🇿🇦ukiniona nalia nifute machozi ...sanaaaa 2..
Mario the killer nakukubali sana Mzee Niko Rwanda
The chorus by Marioo is something else👌❤....mob love from Kenya 🇰🇪😍
Mwai
Live
afadhari wew umeonaa eboo😍😍
That true my dea
Koko mana anguo
The chemistry between Darassa and Mario + Nandy is really amazing 🔥
Darasa Classic music group uko sawa 🙌💯
King Kiba bado naiskiliza 2024 ,good music live forever❤
TULIYA NA EMIL toka Congo goma🇨🇩💟🌹🎂❤️ l'amour de ma vie 💖
This song is on another level 💯 likes za Darassa,Marioo na Nandy zikam through
Nilisubiri sana but now nimefikia penyewe sasa!! Love this song 🙏🙏
ua-cam.com/video/Rii__pMuKn8/v-deo.html
Mashine tupu zipo ndani ya beat. Nakubali haipingwi hiyoooo. Ommy star boy
Best song ever wabongo sijui wanafeli wapi kutambua vitu vizuri,let me enjoy nice music
Mapenzi yaani marioo anayaelewa wuuueh !😍😍🥰🥰
This is what we call talent marioo Darassa nandy big up😙😙😙😙
ua-cam.com/video/Rii__pMuKn8/v-deo.html
Nani anaangalia hii video huku akisoma comments Kama mm kuja hapa tujuane Enjoy good music nawapendaa wote 😍🌹😍
Me
Knc
Wimb nzr kwel
Mim
nipo mrembo
Currently kapipo is the best young producer in Tanzaniaaaaa.....keep it up broooo💥💥💥💥💯
So kapipo ni producer ? All along I have been thinking ni jina tu
jua ukiniona nalia nalilia mapenzi.. love this song
Am here for Darassa! Any time! Kenyan love 🇰🇪🇰🇪
Kama unasoma hii,Nina hakika hatujuani ila najua kile wapitia,najua vile Hali ni ngumu, ila nakuombea yote yatakua sawa,♥️
Ahsante sana. Iwe sawa na kwako pia.
Nashukuru. Ubarikiwe
asante sana bro. InshaAllah itakuwa poa
From Zimbabwe...this is Super Song ❤️
Nipe chakula nitanawa ntakula ntashiba siku nikienda kulala ntaota mapenzi
Ukisikia naimba nafuraha najiimbia ,kama ukisikia naimba naimba mapenzi
Ukiniona nalia nifute machozi,jua ukiniona nalia nalia mapenzi oooh eeeyee 🔥🔥🔥vocals za Mario zimeweza.much love from +254 🇰🇪
My son has to meet Darassa...ahahaha...we love your music! 254 woot woot! Marioo is just something else....African princess AliFUNIKA!
Still listening in 2024
Wakenya mumejaa umu ndani🤭am so proud to raise our flag too 🇰🇪❤️🔥it's my favorite song
Darassa unajua sanaa
ua-cam.com/video/qZEX2LU8I9E/v-deo.html
Hakosei kama ww kaka 😂😂😂😂
@@footballtv8488 mimi ni dada
ua-cam.com/video/OKTVqafq7XI/v-deo.html
ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html
🇰🇪maaad vibe!!!wapi likes ya hii ngoma...
My favourite song all da time dah darasa unajua sana
Loyalty ...ukiona nalia nifute machozi...respect, commitment, assurance
Best song always happens like this one. May be best song of darasa in his album. Ongera CMG
My favorite song of all the time, anyone like out there????!!!!
This song Ni moto. DARASSA kama kawa mistari, Marioo sauti. .waah Nandi. Love from kenya
From east Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kali sana ngoma❤
Listened to this uncountable times it a fire collabo,naacha comments anytime someone likes it nakumbuka the song of the year
🗣️jomon kujen uku kimeuna tayari respect sana kaka
This is the real meaning ya collaboration , kila mmoja kajiachia , this is lite
the combination of Swahili rap, poetry and singing in this song makes it unlike anything most people have experienced.
Wamekutana wote wanajua ni hatariiii
Let me tell you Maina, Mario is the next big thing after King Kiba when it comes to vocals... feel good music!
HUYU DARASSA FUNDI KWELI, NIMEMKUBALI MIA FIL MIA. KEEP GOING BROTHER MZIKI MZURI
Colabo Safi sana Tena Sana yani nandy ndo queen jamani alafu marioo hawakufiki mzee baba nahuyo darasa ndo kila kitu shukran Sana mumemezaaaaaaaaa
As a Kenyan this is officially my favourite Tanzanian song
Iyi nyimbo naipenda kutoka Congo kila Siku naiyagaliya leo naamuwa ku comment
This is siiickkk ⚡⚡⚡🔥🔥🔥🔥
marioo ni stima
Who is here in October? This is a banger
Am slowly starting to grow interest in marioo..he is a guy to watch.. Big up... Imeweza sana aiseee
aliweza from kitambo sana
@@JeffSauke najua but right now as per mi ndo ameanza kuwika
I love the way Kenyans 🇰🇪🇰🇪they show love to us Tanzania music
But you tanzanians don't support Kenyans music
@@zuhurahkhamis4257 let them play good music and we will support like before.
@@abdulabdul6370 they have many good musics but still you don't support
@@abdulabdul6370 what about otile, jovial, nadia, sanaipei, bahati khaligraph and many more there songs are good but still you don't support
We love all of them they have sweetest merodies
You guys nailed it...much love from kenya ❤
Mashabiki wengi wanafuata majina makubwa hawafuati muziki Mzuri,,💯💯
True said
🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 tumefika pia much KWA music ya tz💕💕like zetu jamani
Nyimbo nzuri sana. A breath of fresh air in the Tanzania music arena at present ❤
Great project over here. Muziki umeenda shule!🇰🇪
The next big musician in east africa nipe lyk if you agree asante sana na mungu awabariki
Mapenzi sio kitu Kama pesa bank kweli umpe bunduki mlinzi. Hauzikuti aiseee❤❤
Hi Ngoma ni hot and fire🔥🔥🔥🔥🔥, people from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi
This man darasa never disappoints, everything he touches is a masterpiece 👌🏾💯
Nimeisubiri sana hii, CMG, TOTO BAD from BAD NATION and favorite AFRICAN PRINCESS.
Unayama Kabisa huu
MARIOO utengwee 🙌🏽, jamani waungwana please naombeni sana huyu mtu ATENGWEEE aisee 🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
Ajaaaaab
Darasa, mario na Nady ni mtihani kwa industry
Kun fire kun
Woohoo, fantastic, nice song, From Mombasa Kenya. Nipe likes sangu!!
Best collabo 2021 period.
Periodt
@@holenhosea1055 k
ua-cam.com/video/O7VS_ZCnKvQ/v-deo.html
safi kabisaa
WHY(KWANINI)?
Q. What is loyalty???
A. Loyalty is when you come back and check the video after listening to the audio.
ua-cam.com/video/qZEX2LU8I9E/v-deo.html
ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html
exactly
ua-cam.com/video/N_8gp2BF2nI/v-deo.html dbdhdh
😂😂😂😂
Yaani on repeat! Darassa never disappoints! Tano toka Nairobbery! 👊🏾
Hatariiiiiiiiii baba mtoto ni nomaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Eeeish marioos vocals are just dope.... Big love🇰🇪
Marioo's hands movements are so on point! Great collaboration. On repeat mode!!!
Beats 🙌 melody Mariooo 🙌🙌 back again listening 👂
Bado hii track haijatambulika inavyofaa..you just wait till it catches traction and it'll get to 5m+ by December
Yan hii ngoma should go viral world wide..darasa kaua..mario amechinjaaa nandy ndo kachakaza kabisaaa.....nice song..message 👏...umetugusa sana
On behalf of Ugandans, we affirm that this song is another banger as we welcome our sister Nandy 😍
Notice how the two most established stars Nandy and Darassa took a back seat and let mario really shine. This is absolutely wonderful.
Such a good song. Kuanzia melodies mpaka sauti everybody kacheza part yake. Mariooo..maan niko selective sana kuhusu songs lakini you man brought me here.
Knowing about this hit song 2 years later. What a collaboration. Wonderful song. Absolutely love it ❤
Mwenye aliyo fikiria iyo collabo ya hao watu watatu uyo mtu ni Best kabisa hapo walifukia wasafi team
Wueeeh I have just discovered Marioo🔥🔥🔥 then add Darassa and Nandy, oh my!🔥 Kenya approves this song❤❤❤
Tanzania mnatesa...much love from 254
Omg Nandy ate this😍🥰🙌🏾
Une bonne collaboration
Colabo moja kali sana
A good collaboration
Darassa........ the only musician na Tambua..........hao wengine ni mfano.....
True