HIZBULLAH YASHAMBULIA ISRAEL KULIPA KISASI, UN YAITAKA ISRAEL KUONDOKA KATIKA ARDHI YA PALESTINA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 9 днів тому

    Shekhe Asante Kwa kutujuza nakupenda Kwa ajili ya allah

  • @w4058
    @w4058 7 днів тому

    Ndio wanafiki wa umoja wa mataifa walivyo hawana ila unafiki na wala sie hatubabaishwi nao Hasbunallah Waniimal Wakiil Waufawidhu Amri illa Llah Inna Llaha Basirun bil Ibad

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 10 днів тому +2

    Takbir Allah Akbar, Yaa Allah tunazidi kukuomba na kutaka msaada wako uwape nguvu, ushujaa, ma uwajaalie ushindi ndugu zetu wapalestina na wote wanashirikiana nao kupigana dhidi ya mazayuni na vibaraka wake. Sheikh wetu hao UN tangu walivyoiunda israel na kupora nchi na kuwapa mayahudi walijua dhuluma waliyoifanya, na tangu izrael ilipopora sehemu ya ardhi kutokana na vita na waarabu pia kupanua maeneo na kujenga makazi haramu ya mazayuni yote yamefanyika mbele ya macho ya hiyo UN na kwa msaada wa nchi za magharibi, maazimio mangapi walijidai kuweka kwa izrael kuondoka na kuacha ujenzi ndani ya ardhi za waarabu lakini israel haikutii wala haiogopi maazimio yoyote ya UN, hiyo ni kuongezewa kiburi na hasa marekani na vibaraka wake. Hivi sasa tusubiri tuone hiyo Kauli itatoa natija gani, ila kwa uwezo wa Allah na hukumu yake yote yanawezekana. Tuzidi kuomba dua'a Allah alete nusra yake.

  • @PlacidiaMbekenga
    @PlacidiaMbekenga 9 днів тому +1

    Achen vita iendelee sana kama askari wa israel wanauawa hivyo, wataangamia wote kwa vita ya uvamizi wao.

  • @w4058
    @w4058 7 днів тому

    John Kalidai Allah akuzidishie ufahamu uzidi kuwaelewesha hao wapumbavu wenye chuki ndani ya nyoyo zao

  • @JohnKaliadi
    @JohnKaliadi 9 днів тому

    Vita sio nzuri, mwenyezi mungu aepushe vita ,waisrael na wapestina waishi kwa amani

  • @saadaluvanga7024
    @saadaluvanga7024 9 днів тому

    Tusitukanane jamani,tujadiliane kwa hoja tusiwe na chuki.

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 10 днів тому +1

    mazayuni makafiri wameraniwa guombeya wandugu zetu wa Palestine wagombowe inchi yawo ❤

  • @PlacidiaMbekenga
    @PlacidiaMbekenga 9 днів тому

    Huu ni upumbavu mkubwa. Mnataka israel wawafanyeje hezibolla, iwapo walijiingza kwenye vita,???? Mungu ibariki israel. Hiyo ndiyo vita Hamasi waliyoichokoza october 07.

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 9 днів тому

      Wewe hujui kitu kuhusu historia ya mgogoro huu,ndio maana umebaki na ushabiki kama wa Simba na Yanga.

  • @OSEBIUSNYALE
    @OSEBIUSNYALE 8 днів тому

    Hezbollah!hivi nyie hamuiogopi Israel? mungu alilipenda taifa la Israel hadi kamshusha mwanae kipenzi Jesus Christ.alafu nyie mbwa wawili mnakaa kwenye vyombo vya habari nakuiombea dua palestina?imeandikwa mpinga kristo yeyote atapigwa katika jina la yesu kristo.amen

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 10 днів тому

    UN kwa kiswahili ni Umoja wa Mataifa lakini mimi nadhani kiswahili sahihi ni Umoja wa Madhalimu wa Mataifa.

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 9 днів тому

    WAPALESTINA WALIOUWAWA HADISASA WANAFIKA LAKIMOJA NA ELFU THEMANINI, SO WANATUFICHATU.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 днів тому

      Lakini si unajua aliye anzisha vita

  • @JohnKaliadi
    @JohnKaliadi 9 днів тому

    Vita sio nzuri, mwenyezi mungu aepushe vita ,waisrael na wapestina waishi kwa amani

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 9 днів тому

    NAIOMBEA ISRAEL NA NASEMA ISRAEL HAMTAIWEZA HATA KIDOGO NA HAPO HAWAJAANZA KUTUMIA SILAHA ZAKE YAANI NYIE WAISALAMU NI MBWA NA MOHAMED WENU MBWA ,,,, ISRAEL ITASHINDA

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 9 днів тому

      Israel ana ki faa gani, angekuwa na kifaa angekuwa omba omba, huko Marikani? 😂😂😂😂

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 9 днів тому

      Hana nguvu hizo, unazo fikiria wewe, bali wa islamu Wana chukulia imani na sheria hivi vita, angalia Aljazeera, upate Vitu, jisi jeshi la ki zayuni linavio teketezwa ndani ya Gaza, na Hamas,

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 9 днів тому

      Halafu wewe unafirwa na wachawi na wewe ndio mbwa kabisa,Tena mbwa jike.Huna lolote unalomiliki,isipokuwa chuki za kidini TU.😅😅😅

    • @MwanahamisHussein-dp2if
      @MwanahamisHussein-dp2if 8 днів тому

      Unalaanamasikiniunaujualo

  • @HeboniBabu
    @HeboniBabu 10 днів тому

    Kama tulivyo mtuliza mama yako

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 10 днів тому

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 10 днів тому

    Mtapigwa mpka mjampe 😅😅😅😂😂 ayo makofia mnayo vaa kama kunguru 😅😅 ww ongea Israel ilivyo wapiga kwa kutumia simu zenu 😅😂😂 utafirwa mpk mfirike na makofia yenu

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 10 днів тому

      Sawa kofia kama kungulu lkn sio sawa na hao dada zenu wanaoenda Chachi na vipedo mizgo njinje hapo wanaenda ibadani

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 9 днів тому

      Wakiristo ni mataahira ndio maana hawajielewi
      Wayahudi hawahawa sio wakiristo na hao ndio waliompiga yesu wenu hadi kumuacha uchi na kama sikosei walimfanya kitu kibaya sana
      Sasa wakiristo wengi wamekua mbumbumbu ndio maana kila anayekosa hela anafungua banda na kuhubiri na wajinga wengi huingia huko..
      Ukiristo ni uchafu duniani na tizama nchi za kikiristo mavazi na tabia zao kwa ufupi hawana ustaarabu na waongo na ndio maana hata wake zao mara wajiite Mungu km Zumarid na wengine wengi
      Wao na wanyama hawatofautiani kwani hutembea uchi kanisani lkn msibani huvaa km waislam
      Je watu hawa wana akili??
      UKIRISTO NI UCHAFU

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 9 днів тому

      uki angalia wa Cristo ki makini wewe, unaona kama pana kitu? wa Cristo ni kama chombo baharini, Kina elekeya kule unakoenda upepo, bila kujali wapi kinaelekea😂😂😂😂😂

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 9 днів тому

      Nyie mnafirwa na wachawi.Bwege wewe.

  • @Kachelo96
    @Kachelo96 10 днів тому

    Shia razima myulizwe kama warivyo tulizwa suni ngojea muone

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 10 днів тому

      Mpumbavu ww Huna akili sunni gani walo tulizwa kenge ww nenda uka wasaidie makafiri wenzio wana kufa kama kuku uko ati mme watuliza suni nyoo sunni gani mlo watuliza nyinyi mme kimbia Afghanistan watalibani wame wapa kichapo mmbaka mme kimbia mmekula kichapo nama sunni mmbaka mme omba poo kenge ww Shia mzingi mwengine mmbaka mna mwita bwana wenu Nato awa saidie kwa siraha wana jeshi sio nyinyi kenge ww pereka makalio yako kwa papa aka kufile usi tupigie kelele humu Dunia hii aito tulia kwakua Nato ni mashetani na uyo mtt wao Israel mme mchokoza mrusi moto mna uwana yani nyie ni watu wa fujo tu

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 10 днів тому

      Makafri hua hamjui haki mmezoea dhulumatu bas ww unasikia waisrael wamechukua maeneo ya wapalestina kwa mabavu Tena unawakandamiza wapalestina yaan nyie wagalatia msiokua na akili Nan aliwadanganya mpaka mkawa wadhulumati hvyo

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 10 днів тому

      Kafri na shoga nyeusi ww nenda huko huko wakakufli

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 10 днів тому

      Lkn na wao Israel moto wanauona wa vita maana nawao wanakufa

    • @shaabansabour1214
      @shaabansabour1214 9 днів тому

      Nikwambie Neno moja tu. Mwenyezimungu akufumbue macho na moyo, wako.
      Uone Makanisa yanavyo pigwa mabomu na waisrael wanasema wao hawamwamini Mungu wenu Christo

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 9 днів тому

    MUNGU ibariki Israel

    • @w4058
      @w4058 7 днів тому

      Loo Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Allah tunakuomba atuzidishie subra YAARABB YAWADOOD taqabal dua utawatwangwa hao Waisrail wawe hapana pa kukimbilia na kila anawapongeza madhalim wakubwa

    • @w4058
      @w4058 7 днів тому

      Hao umoja wa mataifa wanafiki wakubwa vijibwa vya wazayuni wasituchezee akili zetu