It was 2000 niliposikia huu wimbo..... nikiwa na wazazi wangu wote yaani baba mlezi baba mzazi na mama ambao wote wamefariki....baba mlezi 2009 ...baba mzazi 2013 then 2022 mama yangu.... niliposikia wimbo huu watu hao waliupenda sana RIP
Sweet old times of my childhood, Uhuru Park🇰🇪 was always packed with men hungry in their hearts longing to see The Spirit of God touch lives. Precious Jesus you remain my Lord forever
Amina mtumishi nabarikiwa nanyimbo zako nazinanikumbusha wakati mdogo kipindi hicho kipindi cha pasaka pale uwanjani wakati sinema inafungwa au tambala wakati linapandishwa juu kabla hatujaanza kuangalia muvie ya yesu walikuwa wanatuwekea wimbo huu na wakati wakumaliza kuangalia sinema wakati wakufunga au kushusha tambala basi wimbo huu unakuta ndoo unapigwa kwahiyo sisi miaka ya 2004 tulicheza sana huu wimbo MUNGU akubariki mtumishi
Amen Amen mtumish wa bwana yesu nilizidi kubarikiwa sana early 90's na hata Leo hii Niko hapa naendelea kusikiza huu wimbo nikiinuliwa na kububujika furaha ya yesu na kusema hakika yesu ni bwana Amen
Love so much these songs, after growing up and many years i can still remember them in my mind as if i heard them yesturday, been looking for them in the music stores but were no where because they said they were in cassette form and nolonger available, thanks so much for sharing them here, stay blessed. KE 🇰🇪
basi mimi nina swali hapa huyu cosmas alikua anaimba gospel kwnza kabla kuimba zile zingine ama alitangulia na zile zingine ndo baadae kaokoka na kuimba gospel.??plz natamani kujua
@@cosmaschidumule ooh great mungu akubariki sana na akuzidishie nguvu na maisha marefu uendelee kubariki watu kupitia nyimbo zako za injili..shukran..mimi ni shabiki wako from KENYA
Yesu ni bwana, hata leo tunakiri yesu ni bwana. Amutubadilisha yesu..
It was 2000 niliposikia huu wimbo..... nikiwa na wazazi wangu wote yaani baba mlezi baba mzazi na mama ambao wote wamefariki....baba mlezi 2009 ...baba mzazi 2013 then 2022 mama yangu.... niliposikia wimbo huu watu hao waliupenda sana RIP
wimbo mtamu kweli!!
Mixed reactions to this song
THIS ARE THE SONGS I LONG TO LISTEN ALWAYS THEY TAKE ME CLOSE WORSHIP LEADING CRYING
Turn on mayor doggy mall@@yosamedia
Sana@@yosamedia
Tuliimba sana vipindi vya watoto kanisani, na hata sasa nimekuwa mtu mzima bado nasema Yesu ni bwana🙌🙌🙌
Huu ndio gospel song❤,, imenibariki sana
Mafuta ya Roho wa Bwana Kabisa 🙏
Hakika Yesu ni Bwana
Amen,Huu wimbo nikiwa mdogo mama alipenda kuisikiza every evening after job ,its so touching. God bless you.
Finally I found the song I have been looking for
Truly a legend! The song hit Kenyan AM and FM airwaves pretty hard in the early-mid 2000s. It still rocks and will do so through generations.
Naupenda sana huu wimbo,YESU NI BWANA siku zote
Sweet old times of my childhood, Uhuru Park🇰🇪 was always packed with men hungry in their hearts longing to see The Spirit of God touch lives. Precious Jesus you remain my Lord forever
Aliyepiga SOLO Guitar🎸🎸 ana upako sana
Mziki wa zamani na nyimbo zamani safi saana miaka ya Leo sidhani kama wanajua kupiga magitaa
This song should be re-done na ichezwe na current versions then iyo video ikue kali. It must hit million views
YESU NI BWANA UMENIBADILISHA NA KUNITENGENEZA BWANA ...UMEINGIA GHARAMA YESU KWA AJILI YA ROHO YANGU....LET ME LOVE YOU MY GOOD FATHER ❤
What an amazing amazing song.asante mtumishi mungu akulinde kazi safi sana sana
Amina mtumishi nabarikiwa nanyimbo zako nazinanikumbusha wakati mdogo kipindi hicho kipindi cha pasaka pale uwanjani wakati sinema inafungwa au tambala wakati linapandishwa juu kabla hatujaanza kuangalia muvie ya yesu walikuwa wanatuwekea wimbo huu na wakati wakumaliza kuangalia sinema wakati wakufunga au kushusha tambala basi wimbo huu unakuta ndoo unapigwa kwahiyo sisi miaka ya 2004 tulicheza sana huu wimbo MUNGU akubariki mtumishi
Amen Amen mtumish wa bwana yesu nilizidi kubarikiwa sana early 90's na hata Leo hii Niko hapa naendelea kusikiza huu wimbo nikiinuliwa na kububujika furaha ya yesu na kusema hakika yesu ni bwana Amen
Ameen
Naupenda wimbo kwa kuwa kwake Yesu kuna raha
"😂Kama kuna mshamba basi mtenda dhambi ni mshamba nambari one"😂
Chidumule is a G.O.A.T!!
He is areal servant not a got.got is used for evil the number of the beast
@@okumukelvin4051 Goat is an abbreviation for Greatest of all time, simply a legend if you may in simple english😅
Old is Gold for sure
Love so much these songs, after growing up and many years i can still remember them in my mind as if i heard them yesturday, been looking for them in the music stores but were no where because they said they were in cassette form and nolonger available, thanks so much for sharing them here, stay blessed. KE 🇰🇪
God bless you so much,You are most welcome.
We will bring all songs here.
God bless you so much,You are most welcome.
We will bring all songs here.
2024 Yesu ni Bwana
I can't get enough of it ....guitarist is /was talented
Jesus is the lord for sure amen 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Moja kati ya nyimbo bora za injili good job mazee message kali iko real
Navyosikiliza hii nyimbo it's remind me of my father
Mtumishi kunabaadhi yanyimbo zako azipo tafadhari ziweke
Ameen,
Zitawekwa zote kabisa
Simple swings with sweet outputs
Barikiwa sana mtumishi wa mungu Kwa wimbo mzuri uwa unanibariki
Ameen ,
Mungu akubariki sana
Back them days when in Primary school, made me not miss any crusade nearby
I miss old gospel 😢
Ametutengenezaa Yesu. Yesu ni Bwana
This is one song that is a blessing.
Zamani sana.....when there used to be crusades
hongera mtumishi wa mungu
AMEN Mtumishi Wa MUNGU👍👍💙💙🙏🙏
Ameen
Huu wimbo wa ni Barikiwa Sana ninapo husikia
YESU NI BWANA LEO KESHO NA MILELE YOTE
Amen, YESU ni BWANA
It takes me back to year 2001 when I used to climb big tree and sing the song
YESU ni Bwana amen
Cosmas Chidumule after leading Orch DDC Milimani Park for years he saw light. I love his voice
Yesu nibwana
YESU NI BWANA.
Yesu ameni badilisha
Barikiwa mtumishi,hakuna crusade ingeanza kwetu bila hii wimbo back in 90's kwetu,a real blessing.
Oh Utukufu kwa Mungu
B blessed zaidi Even tu you generations to came
Yesu ni bwana, jaman nakushukuru sana kwa wimbo huu mzuri ubarikiwe mtumishi.
Ameen
Adi Sasa nabarikiwa na kuinuliwa🎉🙏🌹
Amen
Lovely mtumishi
Ameen
Very powerful 👏 🙌
So inspiring song❤ I really love it
YESU NI BWANA
Thank you Jesus!
Childhood from class one weeeh
Indeed, Jesus is Lord.
Je suis béni par cette chanson
Amen!My childhood song!!!
Still a blessing up to date .
Amina
2023 still here
Amen and Amen
Wow
❤
Wanna see,clearl.surely ups to u if u reject Jesus Christ of Nazareth;He remain Lord's of lords
I wanna in UA-cam pls
basi mimi nina swali hapa huyu cosmas alikua anaimba gospel kwnza kabla kuimba zile zingine ama alitangulia na zile zingine ndo baadae kaokoka na kuimba gospel.??plz natamani kujua
Nilianza na za Duniani Kisha nikaokoka.
@@cosmaschidumule ooh great mungu akubariki sana na akuzidishie nguvu na maisha marefu uendelee kubariki watu kupitia nyimbo zako za injili..shukran..mimi ni shabiki wako from KENYA
Daah! Long time sana nilinunua kaset ya albu ya hizi nyimbo kwenye kava uliandika kiatu Cha yesu ulikuja Tanga mjini nakumbuka. Ubarikiwe sana mzee
Amen,Huu wimbo nikiwa mdogo mama alipenda kuisikiza every evening after job,its so touching. God bless you.
Amen
Amen
Amen