Isaya Kiungi--NITASIMAMAJE (official Video music)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @michaeljengwaz4328
    @michaeljengwaz4328 Місяць тому +1

    Moyo wangu umejua wazi,bilawewe,siwezitembea,❤❤❤❤❤

  • @erickmawira5969
    @erickmawira5969 5 років тому +3

    Mimi mgeni toka 254...nimeupenda huu wimboo....Kali saana....nimewakilisha wakenya wote hapa

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 роки тому +1

    Nani mwingine kagundua kuwa Mungu kaibariki Tanzania kwa baraka nyingi tofauti mfano katupa Isaya kiungi

  • @ApostleMophatYekonia
    @ApostleMophatYekonia 3 роки тому

    Whaoooo bila wewe nitasimamaje hakika YESU nishike mkono,, napapenda hapo pa ooohh daddy 😃😃😃😃

  • @joshuasamwel_tz
    @joshuasamwel_tz 4 роки тому +1

    Hakika . Amen nimebarikiwa #Nitasimamaje

  • @elishathecomedy1221
    @elishathecomedy1221 Місяць тому +1

    Kaka wapi Saiz kaka mbona kimya sana

  • @ApostleMophatYekonia
    @ApostleMophatYekonia 4 роки тому

    Ameeeeennn wapwa katika Yesu tuendelee kushare nyimbo hii ya mtumishi wa Mungu huyuu

  • @crishazmwandambo9235
    @crishazmwandambo9235 2 роки тому

    Isaya nimeelewa nyimbo nzur na ina ujumbeee mzito MUNG azidi kuonekana kwenye kaz zako amen

  • @kenjaboy8070
    @kenjaboy8070 5 місяців тому

    Kaka nakubalii Sanaa 🙊🙊🙊🙊

  • @JANETHMASSAWE-t6e
    @JANETHMASSAWE-t6e Місяць тому

    Unajua sn mdogoangu, Mungu akutunze na àkukumbuke

  • @salomemichael5797
    @salomemichael5797 5 років тому

    safi br kaza mungu akubariki utunzi mzur safiiii hongera

  • @elinamwankina8844
    @elinamwankina8844 4 роки тому

    Hongera sana barikiwa issa

  • @emerichjb23
    @emerichjb23 4 роки тому

    Wow kaka nimebarikiwa sana. Hongera sana. Nyimbo imetulia sana!

  • @lyidianaiso729
    @lyidianaiso729 3 роки тому

    Hongra sana broo Mungu azd kukuinua kwa viwango vya juu zaidi

  • @monalisalebasoto2538
    @monalisalebasoto2538 3 роки тому

    Umetishaaaa

  • @kadalakomba811
    @kadalakomba811 5 років тому +1

    Ongera sana mtumishi wimbo unabariki mno.

  • @baraka.e.masatu3551
    @baraka.e.masatu3551 4 роки тому

    Barikiwa sana kwa kazi Nzuri, nausikiliza kila wakati.

  • @lomgoldtz907
    @lomgoldtz907 4 роки тому

    Uko poa sana endereza uduma ya mungu

  • @graceshayo8465
    @graceshayo8465 3 роки тому

    Kaz nzur sana

  • @viktamade
    @viktamade 4 роки тому

    director kazi nzuri sana na muimbaji nyimbo nzuri sana

  • @elimarmemberofjesus7923
    @elimarmemberofjesus7923 4 роки тому

    Kaka miaka mia Mungu awe nawe nimeelewa mpaka mwisho

  • @erastomwanyika9305
    @erastomwanyika9305 5 років тому

    Kaz nzuriiii mnoooo ubarikiwe sanaaa

  • @IsayaKiungi
    @IsayaKiungi  5 років тому +1

    Nashukurun wooote maombi Yenu

  • @emmanuelmwasibata8904
    @emmanuelmwasibata8904 4 роки тому

    Hongera sana

  • @digallamkushi
    @digallamkushi 5 років тому +1

    Aisee nashindwa kuelezea hii ngoma Mana ina kila sifa ya kua nyimbo Bora ya muda wote Mana ina ujumbe wenye kutufany tumtegemee yehova daima ili tusimame. big up my G bloood isaya(damo)

  • @lucianimichael7849
    @lucianimichael7849 4 роки тому

    Tutafika Mungu ni mwema balikiwa

  • @ezrayavan7686
    @ezrayavan7686 5 років тому

    Hongera broo kaz ni njema

  • @barakamwaitebele6929
    @barakamwaitebele6929 3 роки тому

    Kazi yako njema barikiwa Sana.

  • @mariamstephano5892
    @mariamstephano5892 5 років тому +1

    Hakika nimeguswa na huu wimbo yaan pale umepepeta kwenenda kwangu umepepeta mawazo yangu umepepeta kulala kwa kwangu yaaan dah

  • @marrycharlzm5828
    @marrycharlzm5828 5 років тому

    Wimbo mzuri sana ujumbe mzurii sauti ndo 🔥🔥🔥🔥 saaaaaafi

  • @rachelrashidy9128
    @rachelrashidy9128 4 роки тому

    nmekusikia leo kwenye radio ya kina mr mbeya ndo nmekuja kukuchek uku kwel broo wimbo n mzr barikiwa sana

  • @asifiwemarthin4293
    @asifiwemarthin4293 5 років тому

    Kichupa kikali sana

  • @mombomalagila3096
    @mombomalagila3096 3 роки тому

    Safi sana Kijana mwenzangu

  • @montmusa3320
    @montmusa3320 5 років тому

    Nakubali nyimbo kali

  • @alexandermotela
    @alexandermotela 5 років тому +3

    Kaka Mungu azidi kusimama na ww, umetisha be blassed

  • @IbrahimIbraToo
    @IbrahimIbraToo 5 років тому +1

    Nimepitana na hii nyimbo kwenye pirka tu. Nimeipenda sana. Naweza penda sana kufanya nyimbo na wewe.

  • @barakajacobs4539
    @barakajacobs4539 5 років тому

    Hakika nimeipenda hii☑️🙏🙏 Ila kwako mim Nitasimama🙏

  • @tumainhobokela9728
    @tumainhobokela9728 5 років тому

    Aisee isaya mungu aendelee kukuinua kwakwel

  • @elzawafula5998
    @elzawafula5998 5 років тому

    Hongera Sana my dear Mungu azidi kukutumia kuongoa watumishi wake waliotanga mbali ili warudi miguuni pa Yesu

  • @erineosanga7125
    @erineosanga7125 5 років тому

    Balikiwa sana ndugu yangu! Umeyatendea vilivyo mawazo yako huku ukimsifu Bwana wetu wa mbinguni

  • @gospotv
    @gospotv 5 років тому

    Kazi nzuri kabisa, Endelea kubarikiwa

  • @joelemmanuel9616
    @joelemmanuel9616 3 роки тому

    Ngoma ninayo ipenda mm bro free sana

  • @uwezomwambone7901
    @uwezomwambone7901 3 роки тому

    Saf mtumishi

  • @solangejacques6065
    @solangejacques6065 4 роки тому

    🔥🔥🔥😍😍

  • @KibongeWaYesu
    @KibongeWaYesu 5 років тому +1

    Awesome

  • @ezebofficial_919
    @ezebofficial_919 3 роки тому

    Shadamo see u bro

  • @emmanueldanken3832
    @emmanueldanken3832 5 років тому

    Kazi nzuri mtumishi

  • @victortalebobo726
    @victortalebobo726 5 років тому

    Aise ngoma nikali imesimama zaidi mungu akusimamie kaka na endelea kupambana🙏🙏🙏🙌🙌👊👍

    • @anethponera6910
      @anethponera6910 5 років тому +1

      Mungu akupiganie ufike mahali unastahili💪💪💪

  • @abiudiupdates
    @abiudiupdates 5 років тому

    Hongera sanaa

  • @GLORYCHOIR1
    @GLORYCHOIR1 5 років тому

    amen nimeupenda barikiwa

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 5 років тому

    Hongera Sana bro ipo vzr

  • @cleversmk4529
    @cleversmk4529 5 років тому

    Kazi nzuri isaya🔥🔥

  • @azzodreyproducer
    @azzodreyproducer 5 років тому

    Kichupa kipo poa saaaaaaaaaana

  • @modern9311
    @modern9311 5 років тому +1

    Baba🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @danielibrahim0362
    @danielibrahim0362 4 роки тому

    Be blessed

  • @hondwamathias
    @hondwamathias 5 років тому

    Hongera kaka Wimbo Mzuri Sana,

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 4 роки тому

    Upo vuzuri

  • @priscasanga
    @priscasanga 4 роки тому

    Niiiiiiiceeeee

  • @veronicamtweve9476
    @veronicamtweve9476 3 роки тому

    Nice song ❤️

  • @digallamkushi
    @digallamkushi 5 років тому +1

    Ile kazi yetu ikitoka wataelewa kwanin nilikuchagua wwe ufanye Cora's bro.

  • @martnmackenzies
    @martnmackenzies 4 роки тому

    Barikiwaaa

  • @issakapenina2038
    @issakapenina2038 2 роки тому

    Kaka hongra xana

  • @OFFICIALDASSAYSONMUSIC
    @OFFICIALDASSAYSONMUSIC 4 роки тому

    _Brikiwa sana blood hy kaz nilikuwa nasubiria kwa ham sana bro nisaidie clp nipo post instgram tutangazee_Brikiwa sana blood hy kaz nilikuwa nasubiria kwa ham sana bro nisaidie clp nipo post instgram tutangazee karb na upande wang kaka tunafanya kazi moja

  • @petermgendwa155
    @petermgendwa155 4 роки тому

    Nice

  • @DonaJr
    @DonaJr 5 років тому

    #NITASIMAMAJE

  • @michaelisara
    @michaelisara 3 роки тому

    Amen

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 роки тому

    Isaya Kaka lini utakuja dar?

  • @entujaelmsangi4328
    @entujaelmsangi4328 5 років тому

    🙌🙌🙌

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 роки тому

    Isaya hiyo video umeshutia Wapi hiyo reli iko tz au Kenya?

  • @mwalimucharlesnelson3349
    @mwalimucharlesnelson3349 5 років тому

    Good Music

  • @elviskiwanga257
    @elviskiwanga257 5 років тому

    nice

  • @anethbuhung7544
    @anethbuhung7544 4 роки тому

    Kaka barikiwaaa sanaaaaa
    Pleas Ntafute kwa namba ang hii Nashida na wewe
    0763814124 amen

  • @marrycharlzm5828
    @marrycharlzm5828 5 років тому

    Barikiwa baba na hongera mnoooo