Vipi hao bata ni wengi nashangaa mbona bado hawaja hara kwa mkeka 🤣🤣🤣🤣🤣 Ama pia wao wako kwa mwezi mtukufu Rudisheni ubaya hii inazingua imekosa radha wacheni ujinga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Msema kweli mpenzi wa mungu minimekomea hapa kuifuatilia hii niliekua nahitajikumuona simuoni ambae ni mkojani nyie ebumuniache kidogo kwendreeni na swaum yenu huko mnatufanya watoto👽
Mimi ni wa 3. Napenda kama hivi kuwa hazikawii kutolewa sehemu zinazofiata🇹🇿🇹🇿🙏🙏
Navoona apa baba mzaz wa sabi ni mkojan bin daruwesh mzee wa misuli akujee tumuome atujamuona tangu imeanza
Shekhe mandaz shekhe ubwabwa Ahsante sanaaa ipo vzr
Sas inaenda kuchangamka mm napnda san akiwepo mkojan
PIUPULZ... dah! Samofi kazi unayo.
Sema woyooo😂
bibi harusi amesema ukweli mtupu samofi kweli ni baba mlezi
Wakwanza
Hongera kwa hili🇹🇿🇹🇿🙏
🎉
Safi sana broo
Ww komea ss tupo na tunawapenda wasanii wote so mkojan muhmu ujumbe gang mabegan
👊
Baba thabi
mkojani bin darwesh bin tarbush
❤
Nimeipenda
😂😂shekh kajitahid namkubali
Duah....
Mkojan aje jamani mambo yawe bam bam
Vipi hao bata ni wengi nashangaa mbona bado hawaja hara kwa mkeka
🤣🤣🤣🤣🤣
Ama pia wao wako kwa mwezi mtukufu
Rudisheni ubaya hii inazingua imekosa radha wacheni ujinga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Big up
Hello piupuz😂
Thabi kithe theeee 5:40
Mambo yanataka kuwa murwaaaa mkojaniiiiii
❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂 nani anawazo kama langu kama baba yake sabi ni mkojani bin daruwesh
😂😂😂 vurugu zitaanxia hapo mkojani akija kupokea posa😂
Vurugu zitaanza hapo,
huyu mwalivanda vipi mbona haonekani
Hii move bado haija noga kabisa coz mkojani haonekani na mwaluvanda pia hata mm nitakomea hapa
Zingatia mafunzo yaliyopo.
Masalamaa
@@Amyomy-od5ry asalm alykum
Msema kweli mpenzi wa mungu minimekomea hapa kuifuatilia hii niliekua nahitajikumuona simuoni ambae ni mkojani nyie ebumuniache kidogo kwendreeni na swaum yenu huko mnatufanya watoto👽
Mbona yupo mda simrefu story itamfikia tajiri vuta subraa
Apa navoona baba ake sabi mzaz ni mkojan bin daruwesh😂😂😂
Usiondoke una mjuwa babaake swabi
Babaake Sabi huyo ni mzee wetu wafjo mkojani bin daruwesh taarabush
@@OSOONLINETV minapenda vurugu zake kwakweli