🍁Daaah nime enjoy sana aisee... unajua brother Dully ni kama mvinyo kadiri anavyozidi kukaa kwenye game ndio anazidi kuwa bora. He deserves everything and still yuko humble 💥🔥💥. By the way haujaniangusha kwa maswali yako mazuri big up #Sky 🍁
@@stephanowillium8455 kila kitu wapingaga hujui kua ndio walio tengeneza njia ya music kipindi kile babaako hataki uskilize mziki anasema ni uhuni asaivi ukiskiliza anafrai
The greatest of all time huyu jamaa alikuwa anajuwa Sana sio Siri nilkuwa namkubal Sana especially kipindi nipo shuleni lkn nashangaa industry ya music tanzania imekosa kumpa tunzo ya heshima
𝙳𝚘𝚗𝚍𝚘 𝚣𝚊 𝚊𝚜𝚞𝚋𝚞𝚑𝚒 Unaposikia kuwa mtu fulani hana nguvu za kiume huwa unaelewa nini? - Maana yake ana vichocheo vichache vya kiume vinavyoitwa testosterone,shida ambayo humfanya awe 1.Anapata shida kusimamisha uume wake 2.Hata ukisimama hauwezi kuendelea kuwa na nguvu kwa muda mrefu 3.Mbegu za kiume zinakuwa chache 4. Hawezi kumpa mwanamke ujauzito Wasiliana nasi upata usaidizi au ushauli lishe kamili kuboresha Afya yako mwanaume ya uzazi Whatsapp /call +255686128516
All the way from Tunduma border post ##nakuombea maisha marefu brother prince dully Sykes 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dully bana Mungu amtunze,Sky nyimbo ulizozitaja ni hatarii sana we love you guys 👁️👁️🇫🇮🤝
Legend kama legend 🔥🔥wimbo bora kwangu kutoka dully ni baby candy 🥰🥰👌
🍁Daaah nime enjoy sana aisee... unajua brother Dully ni kama mvinyo kadiri anavyozidi kukaa kwenye game ndio anazidi kuwa bora. He deserves everything and still yuko humble 💥🔥💥. By the way haujaniangusha kwa maswali yako mazuri big up #Sky 🍁
Hhahaahaaa tino umeona ee
MUSICIAN.....GREAT.
Bro pia ucsahau kumtafta Mr blue byser tnamkubal sana mwamba
Aisee Dully. Life’s come full circle. King Kiba anapewa 5000 na Dully when King Kiba alikuwa hana pesa.
Huyu brother ajawai zeeka nice interview mr Sky
Baby candy one of my favorite songs from #MrMasifa huyu jama is a living legend
Kabisa
Same here
Swadkata.
Dully, ww ni shida, balaa, mwanamuziki bora Tz
Alikiba angefanya bonge la collaboration na Dully!
Kuna majani na prince dully syskes ni watuu waliotengeneza hii bongo fleva wasanii wengii wamesapotiwa na dully na wamepikwa na majani respect to them
wewe dully Sykes wewe ni regend mkubwa umesaidia watu wengi sana na wakubwa ivi sasa na wana maisha yao hongera sana bro dully
Dully ana kipaji sana anavyozielezea izo biti 2020
Nakubali Sana brother juliy ngoma zako unauwasana
Dully huwa interview zake sichoki huwa ananena ukwel maisha yake na inafundisha sana
Such a nice interview
I love you Dully Yani hii ni zaidi ya utamu
@Simulizi na Sauti Hivi Kuteseka ya Ali Kiba na Dully ilitoka mwaka gani? Nakumbuka kama ilikuwa 2003 au 2002 hivi
❤Dull skay Hay minakupa hay😂😂😂🤩💯👍
The legend Dully ❤️❤️❤️❤️Thanks SNS,,,and Nice job 😍😍😍😍😍
Zamani airudi wasanii walikua wanapendana sahi game imechange kiki kibao na vijembe vingi
Hapana, chuki zilikuwa tangu zamani
Dully the king
Nikweli kaka sky nakukumbuka Sana RFA nilikuwa nakupenda Sana ghafla ckujua umeenda wapi kaka
Hapo kwenye kum imitate p funk eeh duly njoo ingiza chorus sikiliza nimeimbaje jaza chini piga mpaka yule akisikia arudi sema umempatia sana😂😂😂😂
Gwiji Kama gwiji! Nimecheka Sana alipokuwa ana muigiza namna majani alivyokuwa anamwambia Nini Cha kufanya kwenye wimbo wa kajala!
Kiba....king
LETA PART 2
Huyu jamaa hazeeki lakini kikongwe🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Sema dully kwenye sauti ya majani aliua sana
Dully napendaga ile ngoma yako handsome dah nakumbuka nilikuwa A . Town na kwa sasa nipo Mara dah!!
Good show
Legend mi nimeshuhudia upo juu enzi za misifaz camp
Walahi mwanangu Dully weeky chache zilizopita nikua naangali hio nyimbo ya UTAMU wa TUNDA nokajiuliza hao wasichana Anna na Neema kama bado mnaonana
Kazi yako nzri bro sky🤙
Kwenye sauti ya majan tuuu hapo hahaaaaa
😃😃😃😃😃😃shoo zote tupe part2
Hahah.....hapo kwa p funky tuu hio saut ulivoiiga me hoi😂😂😂
Kamaa yeyee aaiiseee 😀😀
🤣🤣🤣duh apo ulipomuigiza P Funk Funk nimecheka sana
😀😀Yaaaniii ata mm aiseee
safi nilikuwa naingoja kwa hamu
Nampenda
Maisha ya nasiri yake kweli.Mungu akubariki bro
BROTHER MEN DULLY ❤👑
Nice sns
Dully sykes is a great man🔥🔥
Kwa lipi
@@stephanowillium8455 kila kitu wapingaga hujui kua ndio walio tengeneza njia ya music kipindi kile babaako hataki uskilize mziki anasema ni uhuni asaivi ukiskiliza anafrai
@@medicaltz169 😂😅😂Sawa mjomba
Umesahau songs "Handsome" na "Hi"... bonge ya Mikito kitambo hicho Sky
Dully n Mwamba kwenye game ya Mziki wa Bongo flevar
Namkubari sana dully, from Japan
Upo tandale unasema japan
sky unavyocheka ishu ya pfunk kuzama kwa Kajala🤣
Sns mko vizuri kila siku , maana hatujawahi Sikia story km hizi za dully
Kaaaa
Kajala Kajala....Na wimbo ambao ulimfanya Dully apige show zote😂😂
Nimewapenda saaana jmn
Kipindi cha leo noma San
Ndugu zangu naombeni walau kwa dakika chache mtazame video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu🙏🙏
Hahahaaaaaa noma sana aseee
Kitu pekee ninachokupongeza kwa dully unajitunza sana kwenye mambo ya madawa
Kwa jinsi unamzungumzia candy ni wazi ulimpenda sana 😂😂😂
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
I'm driving na huku nacheka San
👏👏👏👏
The greatest of all time huyu jamaa alikuwa anajuwa Sana sio Siri nilkuwa namkubal Sana especially kipindi nipo shuleni lkn nashangaa industry ya music tanzania imekosa kumpa tunzo ya heshima
❤️❤️❤️
Uyu kumbe kibabuuu ila akizeeki 😂😂uyu ndomflume
Kweli kabisa
Uyu mkubwa sn uyu ila mwili wkmzuri sn
SNS 💙💙
Lkn mpaka leoafahamiki yupo yupo tu
Jamani me spendagi mtu aniambie mambo sasa unamwambia mambo mtoto wakiume akati na ww mwenyewe kidume wajuba mnazngua
😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaan duly umeipatia xn hiyo saut ya khalfan majan
😀😀😀Ilee mbaayaa kweli mtu wake wa karibu nimeaminii
Bongo flava king
Hii imebamba sana
#Tarzan....wayback
𝙳𝚘𝚗𝚍𝚘 𝚣𝚊 𝚊𝚜𝚞𝚋𝚞𝚑𝚒
Unaposikia kuwa mtu fulani hana nguvu za kiume huwa unaelewa nini?
-
Maana yake ana vichocheo vichache vya kiume vinavyoitwa testosterone,shida ambayo humfanya awe
1.Anapata shida kusimamisha uume wake
2.Hata ukisimama hauwezi kuendelea kuwa na nguvu kwa muda mrefu
3.Mbegu za kiume zinakuwa chache
4. Hawezi kumpa mwanamke ujauzito
Wasiliana nasi upata usaidizi au ushauli lishe kamili kuboresha Afya yako mwanaume ya uzazi
Whatsapp /call +255686128516
Mjinga huyu alinichukulia demu wangu ha ha ha ha ngumi jiwe anajua hili ...mtaa wa muheza kariakoo
Oya Hamza nakutafuta jamaa angu
Oya Hamza nakutafuta jamaa angu
Goat 🐐
Wekeni yakuhendeleya jammeni tunasubiri mwendelezo
Napenda kipindi cha huyu jamaa
nilikua natak kujua sns tafuta gigy kwa hiki kipind jamani
#Sns one Day naomba mfanye interview na #rayvany tumemis hiyo kitu
Tupe nyingine