Rais Dr William Ruto amevunjilia Mbali Baraza lake lote la Mawaziri na kuwafuta Kazi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • Akilihutubia Taifa katika ikulu yake jijini Nairobi,Rais Dr Ruto amesema Kuwa hili ni kufuatia vilio vya Wakenya kupitia maandamano ya Vijana wa GenZ ambapo Waziri mwenye mamlaka makuu na Ushirikiano wa Kimataifa Hon Musalia Mudavadi na Naibu wake Hon Rigathi Gachagua ndo ambao wamesazwa.
    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Justin Muturi pia ameonyeshwa mlango .

КОМЕНТАРІ •