Some fans are complaining that Wanjiku is showing scripts but they are here watching 😂😂😂😂. Chill and enjoy. Script or no script, it can happen in real life
The wife shouldn’t be hitting that girl. She didn’t know fisi was married! Angel you need to intervene next time and make sense to the hurt wife in such circumstances!
Yaani TWD yeye ndiye president wa you tube, saying like other content creators are doing scripting na watu wanakubali,na wenye mnakubali si muhamie huku muache kutusumbua hapa
Unfortunately it now hard to watch these shows after scripting allegations. Is it so hard to get real people with real issues? Now I understand why Wanjiku does not do follow ups
Then do not watch. We who believe and like it watch. You are not forced to watch, neither is she obliged to do follow up. It is her show, she decides what to do and you decide to watch.
Ww mschana mwaume ata haujui kwake,inafikia wapi mpate mtoto na yy.sikulaumu,hivyo ndo mmezoea,lakini wanaume wakimalizana nanyinyi,mnaanza kufuata fuata waume wa wenyewe.this is what happened to kamsicha kengine kalikua na bwana yangu kaliachwa hivyo tu.na bwana yangu akamwabia ilikua tu uongo ile ya wanaume na akamwabia pole iyo ikaisha.tell the goatwife not to leave her husband because of kiluka jia.mtu anazaa na mtu mwenye hajui kwake what's this.
Ungemchunguza Kwanza,kabla kulala na yy.ugepeda hata kumeet huyo bro wake alikua anasema, ndo umjue viziri ww si wakwanza neda kalee mtoto,wachana na doa ya wenyewe.
Men b sure of wat u do or talk. Mara simjui dem..mara namjua kama customer wa club yao, mara nilimpeleka shoot, mara alinipa doo nikamtumia kwa M pesa akanipa cash, mara tulitumia cd, mara namjua na mtoi simjui. Men b serious and take ur responsibilities. Not punishing innocent grandmother to cater for the mjukuu. Kijana b a man pliz.
Hiyo tumbo iko n mtoi wa 2 months? really! anyway, wasichana, mboa uzae na mtu hajakuoa, hujawai enda kwao na unajikaza kuzaa? wasichana ni wajinga kweli.
Kwani walipatana tu immediately akapata ball coz mtoto ni 2mths meaning ball ni 9mth ndio and 2mth ya mtoto i doubt mtoto sio wa huyo nikuwekelewa huyu ni malaya hata angetaka kupata ball angesoma mwanaume kwanza sio hivyo uongo hata mayb mtoto sio 2mths
Mwenye anaona wajiku anafanya kipindi aende kwa wenye walisema ni vipindi sisi tunataka vipindi tuwatch muzisumbue watu hapa kila saa vipindi ziutengeze yenye sio vipindi na muende mukiendanga
WENYE MNASEMA BABA YENYU AMEWAAMBIA NI SCRIPTING.INGIA KWA CHANNEL YA HUYO MUNGU WENYU MNAMWABUDI MNIONESHE VEDIO MOJA YENYE AJASCRIPT NA AJATAJA JINA YA MTU.YAANI VEDIO TU YENYE AJATAJA UA-camRS NIKUBALIANE NA NYINYI
Hiina the previous ya sugarmummy(boss) maskini wakukaa same plot na wife anaclaim anawagaramikia wote hawana doh zakinyozi wala saloon then unsikia Mbabba akisema nanipa pesa zako za saloon which saloon back to the show huyu demu ni innocent mwanaume ndiye shida
How can u date a guy hujui nyumba yake..u go as far as conceiving for him in the guest? Ladies kuweni sharp. Reduce ur stupid trust to these men who r there to waste u, yet they have their beloved wives. Chanukeni madem
Juu umezoea ku act u think Kila mtu ni type yako...unapenda vitu fake na acting so is ur life also just acting endelea kuact ukule ku act.... this platform ya angel is not for acting toka hapa uende uka act uko hater wewe...acha wivu watoto wako wasikue na wivu kama wewe...ur jealous of angel enda ukajinyonge acting baboon
Unfortunately it now to hard to watch these shows after scripting allegations. Is it so hard to get real people with real issues? Now I understand why Wanjiku does not do follow ups
The wife is one in a million,,
Very real and considerate, God bless this gal and give her bright future ahead,,, she deserve favor from you!
Some fans are complaining that Wanjiku is showing scripts but they are here watching 😂😂😂😂. Chill and enjoy. Script or no script, it can happen in real life
Most of them are vipindis. As long as they are not people with staged fundraising like conman Jay and conwoman Bella, it's okay.
I hear the yungest couple 😂😂😂😂i can't stop laughing 😂😂
😂
Acting is real 😂😂
The guy had been denying, "hata Sijaimuona"😂😂
The wife shouldn’t be hitting that girl. She didn’t know fisi was married! Angel you need to intervene next time and make sense to the hurt wife in such circumstances!
Tangu nijuwe dhamana ya furaha yangu 😂😂😂siezi lia ju ya mwanaume 😂😂
Haki...huyu analia as if amefiliwa na mtoto? Siwezi lia hivyo...cz i also know how to make myself happy.
Yaani TWD yeye ndiye president wa you tube, saying like other content creators are doing scripting na watu wanakubali,na wenye mnakubali si muhamie huku muache kutusumbua hapa
Twd ni nini sasa
Ati hajawahi muona😂 the main reason i hate to date a married man ,atakuruka tu 😂😂😂,date a married man at your own risk😂😂
I feel bitter. Hiyo nikutesa msicha wa mtu
Kutafautisha mkamba mwanaume Na mke Ni kazi ngumu sana😮😮😂😂
Michel Magdalena girlfds ,wife 4yrs marriage what, about wakifika 15yrs Ian the explainer 😅
Ssa kupea mtu mimba pia ni kitu ya kufanya ulie mradi hajakuletea ukimwi 😂😂 kids r blessings from god.
Heheheeh nani aliwaambia mukifanya wedding mwanaume awezi cheat😂😂😂 mwanaume ni mwanaume tuu
Wife alikuwa anataka kusema how many times mtoto amefukuziwa fees
Valentine inanukia ❤❤❤.The man has a certain taste dark and medium curves.
Ian ian ian weeeh😂😂
The wife ameteseka bure! May God be with her!!
Unfortunately it now hard to watch these shows after scripting allegations. Is it so hard to get real people with real issues? Now I understand why Wanjiku does not do follow ups
Then do not watch. We who believe and like it watch. You are not forced to watch, neither is she obliged to do follow up. It is her show, she decides what to do and you decide to watch.
Si tunajibamba 😅
Kwa Raha zako
Kamati ya roho chafu.
Follow ups Ni movie unataka ama?
Mtarimbo ichimbangi shimo moja inachimba shimo mingi wanaume waaaah 😂😂😂😂wacha nicheke mie
Mwanaume ndio ako na shida si huyu dame,, mwanaume hakuambia dame ako na bibi
I really loved watching this but after the allegations aaai
What allegations?is this pple acting?
Mulianikwa pia nyinyi, kumbe ni vipindi tupu😹😹😹😹🤔🤔🤔😏🚶
Unamaanisha nini ulisema walianika😅😅
@@Trizah-ff6ml kuna actor alisema waliact na madem wawili na hawakulibwa kwa TWD aty ni vipindi but ni sawa wao hawaombi michango
@@Nsms531 oooh,Ile clip kumbe ni ukweli nilidhani ni utani tu wanawafanyia
Waah kwani kila mtu n businessman/woman
Eka ngutavye kimwana kii nduneka nesa !!! Remember haadi ulio eka qwa madhambao
Ww mschana mwaume ata haujui kwake,inafikia wapi mpate mtoto na yy.sikulaumu,hivyo ndo mmezoea,lakini wanaume wakimalizana nanyinyi,mnaanza kufuata fuata waume wa wenyewe.this is what happened to kamsicha kengine kalikua na bwana yangu kaliachwa hivyo tu.na bwana yangu akamwabia ilikua tu uongo ile ya wanaume na akamwabia pole iyo ikaisha.tell the goatwife not to leave her husband because of kiluka jia.mtu anazaa na mtu mwenye hajui kwake what's this.
Angel your camera is something else
Justice to rosecoco
When you guys where fooling around... 😂😂😂
Hiyo maswali nayo...... 😢😢😢
We angel ulete episode zote
Kuna kitu nimeona hapa; it means John pia ako na side chick(Michelle) na main ni Magdalene
Waaah! kumbe white weeded pia huchezana?
Ungemchunguza Kwanza,kabla kulala na yy.ugepeda hata kumeet huyo bro wake alikua anasema, ndo umjue viziri ww si wakwanza neda kalee mtoto,wachana na doa ya wenyewe.
Mapenz yanauma nyie ona vile huyu mke anatembea tembea anauchungu sana
Its funny vile maboiz hukana madame only kupatikana ta gitono....tell the truth..worst case utaachwa tu
Mwenye anachezwa nayeye anabore kama mshuto.. holy ghost fireeeee
Sorry dia
Dem hana makosa yawa mm cwez pigana na mwanamke
Pia uyu wife to be sanitized aiiii drama mingiiiiii
I think it's just the girls and boys
Sanitize her phone
Wanjiku sanitize huyu side hen
Malaya ni Malaya wa club how could you get pregnant for aman in a lodge Malaya tu Malaya they can never change
Friends,friends,friends have been proven to be your greatest enemies.Learn to stick to yourself
Mambo ni live live kwa ground 😅
Wanjiku endelea tu kuscript Bora ulipe wenye wanakuactia ,ama wakuanike
Kwani ni script tena
Eeh ni script alianikwa juzi@@eddahkilimo6026
Pia akina Becky ni vipindi na watu wana enjoy,wacha tujibambe
Yaani mtoto imekwa business ya pesa
Ni bar maid not bar hostess
Sidechick kienyeji
Script kabisa......i like it though
Wait, how did the side Godzilla snapped back like that with a 2 month old???
Collins ako na kichwa ngumu...amekataa ku label episodes
Alizaliwa nyanza 😂😂😂
😭😭😭😭😭
Dressing code ya wife noo haziendani na Ian kabisaa
🤣🤣🤣🤣🤣anajirudisha nyuma
Men b sure of wat u do or talk. Mara simjui dem..mara namjua kama customer wa club yao, mara nilimpeleka shoot, mara alinipa doo nikamtumia kwa M pesa akanipa cash, mara tulitumia cd, mara namjua na mtoi simjui. Men b serious and take ur responsibilities.
Not punishing innocent grandmother to cater for the mjukuu. Kijana b a man pliz.
Bottom line is we want entertainment scripted or not is irrelevant IMO keep going angel good job 👏 😅😂🎉
Wueh 😂😂😂
Ana mtoi mchanga na bado kashape kake kazur
The comment I was looking for... U just said my mind
Hiyo tumbo iko n mtoi wa 2 months? really! anyway, wasichana, mboa uzae na mtu hajakuoa, hujawai enda kwao na unajikaza kuzaa? wasichana ni wajinga kweli.
Kwani walipatana tu immediately akapata ball coz mtoto ni 2mths meaning ball ni 9mth ndio and 2mth ya mtoto i doubt mtoto sio wa huyo nikuwekelewa huyu ni malaya hata angetaka kupata ball angesoma mwanaume kwanza sio hivyo uongo hata mayb mtoto sio 2mths
@truth watch dog come confirm this
Episode moja moja siku hizi.
Walai
Ju wanalipwa pesa kidogo 1k per episode those actors have problems 😢😢😢
Alafu mnataka kuniambia hii ni kipindi
Yes
Wanjiku this days episode ni moja tu
Big liar 😢😢
Wife🤣🤣🤣ati apana ,"huyu hawezi kuwa mtu wako' unakania mwanaume...utachapwa character development...wife hizo movements mingi ni zaa Nini!tulia ..
Anasikia kuendesha yawa😢
Wanjiku, I like the way you make things straight with this joy, "You had sex", right!? Yes we had sex
Huyu sio yule sugarmummy wa mtu sa dhuthi in the previous episode? Hiyo nywele na kuongea au mimi ndio naota😂😂😂
Yes huyu n yye adi sura shape😂hizi vitu n script
Mwenye anaona wajiku anafanya kipindi aende kwa wenye walisema ni vipindi sisi tunataka vipindi tuwatch muzisumbue watu hapa kila saa vipindi ziutengeze yenye sio vipindi na muende mukiendanga
Pia wao wakatengeneze zao na kwani nani anawalazimisha kuwatch
Kwaza huyo twd anaboo you tube yote Sana kinaboo sana
Wenye mnasema pivindi,nawapea free advice enda utengeneze kipindi yako tukuone
Huyo anawaanika eti ni script atupee yake pia tuone nkt
@@DorrisNdunge ukweli kwani atashinda kitu moja unajua anataka watu wamfollow that's why naona ako uwoga fulani juu hajui jay anafikiria nn
Nothing scripted here ...that short girl is hurt
Very true
If it's scripted or not nowadays angel ako harsh kwa "clients" 😂😂😂
Umenotice 🤔🤔
Collins cameraman ndiye walisema mharsh xaidi
Kuna mtu atatokea tu tena tuhame😂😂
@@sharondebear mbona juu huyu haja con mtu
@@sheilahbarongo3653 she's not taking our opinions into consideration and never replies 😂😂
Scripted mcheeeeew😢😢😢
I came to realize that Anita Dave was nothing but acting the same thing is happening here 😂😂
This sly queen came dressed like she was going to a wedding hoping that the guy would see what he was missing 🚩🚩🚩🚩🔥
WENYE MNASEMA BABA YENYU AMEWAAMBIA NI SCRIPTING.INGIA KWA CHANNEL YA HUYO MUNGU WENYU MNAMWABUDI MNIONESHE VEDIO MOJA YENYE AJASCRIPT NA AJATAJA JINA YA MTU.YAANI VEDIO TU YENYE AJATAJA UA-camRS NIKUBALIANE NA NYINYI
Stop watching if ur not interested please
Hizo cameras leo
Cheating imekuwa kawaida aki waaa. Why fight for a man kwanza haka ni kahii. Girls acheni kuonyesha wanaume machozi
So tusema kuna alot of unprotected sex out there watu hawajipendi ama?jst asking sina ubaya
Hahaha
Hii nayo ni script
Hiina the previous ya sugarmummy(boss) maskini wakukaa same plot na wife anaclaim anawagaramikia wote hawana doh zakinyozi wala saloon then unsikia Mbabba akisema nanipa pesa zako za saloon which saloon back to the show huyu demu ni innocent mwanaume ndiye shida
How can u date a guy hujui nyumba yake..u go as far as conceiving for him in the guest? Ladies kuweni sharp. Reduce ur stupid trust to these men who r there to waste u, yet they have their beloved wives. Chanukeni madem
But surely madam wife. U say u are a bussines woman how then do you say the child had no food to eat at Home.
Stop your lies
Wanjiku tafuta serious actors 😂😂 mwanzo huyo goat wife doesn't know how to actor that part😂😂
If u think it's acting stop watching
😂😂😂😂😂😂
Hope ataona ii comment 😅😅
@@pricillanzawadi7500 hiyo Sio acting tu but pure acting 🤣🤣 haikosi wewe ni one of actor's if so kindly please improve
Juu umezoea ku act u think Kila mtu ni type yako...unapenda vitu fake na acting so is ur life also just acting endelea kuact ukule ku act.... this platform ya angel is not for acting toka hapa uende uka act uko hater wewe...acha wivu watoto wako wasikue na wivu kama wewe...ur jealous of angel enda ukajinyonge acting baboon
😂😂😂 Script script script hata venye wanastamer
😂😂😂😂 u said script na goat wife Ako Hadi na shamba amenunuliwa I just stop to wonder kwani mm nilikosea wapi 😂😂😂
Kumbe wakamba utokea kwa show,,,goat wife kudos😂and move on
Huyo goat wife mwanzo ndo hajui acting kabisa 😂😂😂
scripted show
Ni script soo what 😅😂
Who forced you to watch
Wanjiku told wife to try to act real kumbe huyo goat wife hawezi hiyo part😂😂
Unfortunately it now to hard to watch these shows after scripting allegations. Is it so hard to get real people with real issues? Now I understand why Wanjiku does not do follow ups
Goat wife ni mrembo kuliko side chick,, alfu niliambia mtu wangu skiwai ni heat,, a make sure amenicheat na Mali safiiiii kuniliko,,, amb aye sina🤣