Zorah - Mshindi (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 19 жов 2024
- Katika ulimwengu ambapo mafanikio yanaonekana ni kwa ajili ya watu wachache tu, ni rahisi sana kukata au kukatishwa tamaa.
Lakini fahamu kuwa WASHINDI huwa hawazaliwi bali wanajengwa kupitia uvumilivu, kujitambua na imani isiyo na kikomo kwa Mungu.
Wimbo huu ukukumbushe kwamba kila unapofeli ni fursa ya kufanikiwa. Haijalishi mara ngapi unapoanguka, ni jinsi unavyoinuka ndivyo unavyoonesha ukuu wako kwenye hii dunia.
Kwa hiyo, Usiruhusu roho ya kukata tamaa itawale moyo na hisia zako, bali iwe kichocheo cha kufanya vizuri zaidi. Pambana kila siku bila kuchoka na endelea kuamini kuwa Mungu yupo na anakuongoza.
Video hii ikawe dozi yako ya kila siku ya kukuhimiza kupambania ndoto zako, bila kujali changamoto unazokutana nazo katika maisha.
MIMI NI MSHINDI✊
___________________________________________________________
In a world where success seems reserved for the few, it's easy to feel like giving up. But Winners aren't born; they're made through perseverance, determination, and an unyielding belief in themselves and the Almighty God.
This motivational video is a reminder that every setback is just a setup for a comeback. No matter how many times you fall, it's how you rise that defines you.
So don't let failure discourage you; let it fuel your fire. Keep pushing forward, keep grinding, and keep believing in yourself, because the journey to greatness is paved with challenges.
Let this video be your daily dose of inspiration to never give up on your dreams. Watch, absorb, and let's conquer obstacles together.
Your breakthrough is just around the corner.
I AM A WINNER✊
Follow Zorah on Social Media:
Subscribe on UA-cam: youtube.com/@Z...
Instagram: ...
Facebook: www.facebook.c...
#zorah #kassumusic #mshindi #music #fypシ #tabora
TikTok: tiktok.com/@rajzorah
Twitter: x.com/raj_zora...
Katika ulimwengu ambapo mafanikio yanaonekana ni kwa ajili ya watu wachache, ni rahisi sana kukata au kukatishwa tamaa.
Lakini fahamu kuwa WASHINDI huwa hawazaliwi bali wanajengwa kupitia uvumilivu, kujitambua na imani isiyo na kikomo kwa Mungu.
Endelea kutazama Video ya MSHINDI na kama umeifurahia tafadhali usiondoke bila ku'LIKE & COMMENT na ukiweza SHARE na wengine wengi✊🏼🎶✨
Bofya Link🔥👇🏼👇🏼
ua-cam.com/video/OkNNa4XBN4Y/v-deo.htmlsi=ahkHm6PMLSCFpLKh
Hakika #Mshindi sikuzote anatengenezwa
Bonge la point
Hongera sana mpaka hapo ulipo fika mwambie Mungu asante kaz inaeleweka kiukwer❤❤❤❤❤❤
Ninashukuru sana. Ninamshukuru Mungu pia kwa kuniletea watu wenye upendo kama wewe. Mungu akubariki sana❤️🙏
Sina wasi wasi na wewe @zorah good music and good video a live. Les goooooo🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Shukrani sana mkubwa🙏
Kichupa kikali sana daaah af kimekutana na Audio Kali sanaaa #Mshindi
Shukrani sana my G🙏
best video....bravo nimefurahia na kuludika kama mshindi
Asante sana. Usisahau Kushare na wengine wengi🙏
Ongera sana brooh pambn ,,mpaka apa ulipofika umepiga hatua kubwa so kazaaa💪
Asante sana. Mungu aendelee kututia nguvu. Shukrani sana kwa support🙏
Kwa anaejua mzik mzur bas like na comment wimbo huu
Asante sana kaka🙏
Im a winner...nafalijika sana na wimbo mtamu.
We are Winners✊ Asante sana chief🙏
Hongera kijana bila malnorvath nisingejua
Shukrani sana kwako na Malnovarth. Mungu awabariki sana🙏🙏
Bonge la ngoma bonge la video
Asante sana mkuu🙏
Ujumbe mzuri ubunifu mzuri Sana
Asante sana kiongozi🙏
Zorah hii video nali mnooooooo Yani umu ndani kunaunyama Fulani ivi naiona hii video nikubwa sana🔥🔥
Asante sana ndugu yangu🙏🙏
Upo good kaka endelea hivyo hivyo utafika mbali❤❤❤❤❤❤
Amen. Na iwe hivyo. Asante sana🙏🙏
Mimi ni mhindi
Sisi ni WASHINDI🔥✊
Imetulia kinoma noma hii🙏🙏
Asante sana sana mkuu🙏🙏
Aisee umenikosha sana hii nyimbo mungu akufikishe unapopahitaji broo
Amen. Shukrani sana🙏
napenda sana kutazama kila wakati...inanitia nguvu kama mpambanaji mimi ni bravo Kulubone na ni mshindi katika maisha yangu
Ninashukuru sana kaka. Hapa ni kwako, kuwa huru kurudi na kuiangalia wakati wowote unapohitaji. Share na wengine ili nao wabarikiwe kama wewe🙏🙏
Mungu akuongoze katika njia njia ya mafanikio
Amen Amen. Ninapokea baraka🙏
Tajiriiii Piga Kazi❤
Tajiri ninafuata maelekezo yako. Ninatumai sijakuangusha❤️🙏
Hakika Tuna move from Zero To Hero!! Ngoma kali
Amen, asante sana kaka🙏
Uko vzr san mwamba
Asante sana kaka🙏
Aisee🔥🔥🔥
🔥🔥🙏🙏
Dogo uko vzr, Ngoma Kali video Kali, hakika sisi sisi ni washindi
Asante sana kaka. Mungu akubariki sana🙏🙏
Hakika ww bro ni mshindi🎉🎉
Sisi ni WASHINDI✊🔥
Qaliiiii sana
Asante sana🙏
Kichupa kimesimama saaana,
Asante sana kaka yangu🙏
Imefanywa hiyo video ni kali kaka by Murry og
Asante sana kaka🙏
Hongera sana kijana hii pia ni hatua kubwa kwenye safar ya mafanikio stay awake my bro
Asante sana Mkubwa wangu. Mungu akubariki sana kaka🙏🙏
Inawezekana
Nakubali✊💪
Ayeyeeeeeeee
The Last Man of Ayeyee😄 Shukrani sana kaka🙏🙏
mshindiii ✊✊✊✊
Mkalii, sisi ni WASHINDI✊
Unyamaaaa
Asante sana mkuu🙏
Umetishaaa saan bro
Asante sana blood🙏
Congratulations to you and your management! Frankly speaking, the video is attractive...I like it.
Thank you brother. God bless you🙏🙏
Nice 👍👍 keep going another stage🔥🔥
Shukrani sana🙏
Yo zorah umefanywa hii by murry og.... Man simu yangu imezingua ndo siko online kwa sasa
Pole sana kaka. Usiwaze tupo pamoja, ninaamini utarudi hewani soon. Ninashukuru sana kwa Upendo wako damu yangu. Mungu akubariki sana🙏🙏🙏
Chupa lamoto Sana 🔥 🔥 🔥 uhalisia wa ngoma nao ni noma
Asante sana kaka yangu🙏🙏
VIDEO KALI NGOJA NI IRUDIE TENA
Asante sana kaka yangu. Mungu akubariki sana🙏
Kar🔥
Shukrani sana🙏
I like it
Thank you🤗🙏
❤❤ hongeraa
Asante sana❤️❤️
💥💥💥
🔥🔥✊
Dua tu bro
Nakubali mkuu🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
Producer wa Dunia🔥✊
Mungu ndio anafanyaga zaid ya matalajio ya kila mwanadamu...❤
Amen❤️🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
💪💪💪
🔥🔥✊
Mwamba unajuwaa sana niswala la muda tu na mapambano 🎉
@@Mr_Chelsea1905 Asante Sana Mkuu. Mungu Ni Mwema🙏
mapito ni nguzo...nayoyaona leo ni funzo....mimi ni bravo im a winner❤
Thank you brother🙏🙏
Kaka unajua na unajua tena💪💪🫡🫡🫡🔥🔥🔥
Asante Sana Kaka🙏
Good song my brother zora so pongezi pia kwa hd produza
Asante sana kaka🙏
Hii nyimbo nimeiludia kuisikiliza zaidi ya 10+
Asante sana Kaka🙏
Ngoma ni Kali, video Kali. Kifupi umetisha sana brother.
Asante sana kaka🙏
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤️❤️❤️❤️❤️
❤
❤️❤️
Dogo pambana sana ndio tuna toboa kidogokidogo
Asante sana brother🙏
tupo pamoja blood ✊
🙏🙏🙏🙏🙏
Unasomeka vyema blood
💯🙏
Oiiii Maro hapa nakubali sana
Kaka mkubwa. Shukrani sana🙏
Gud
Asante sana kaka mkubwa🙏
mimi ni mshindi 🤸♂️💪💪💪💪
Sisi ni WASHINDI✊💪
🔥🔥🔥 unyama bloodie big up sana bro
Shukrani sana damu yangu🙏
Mungu Acha Aitwe Mungu🔥
Siku zote brother🙏
Ngoma kali sana mkuu🙌
Asante sana kaka🙏
Kaka Soon Utaon Sim Inaita🔥🔥
Wote tuseme Amen🙏🙏
Good job my young Broo
Asante sana my Sister❤️🙏
we will win. and be great in Tz
💪💪💪💪
Go higher my guy🔥🔥🔥💪
Thank you my G🔥✊🙏
💪💪💪🤝
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤️🙏🙏
Ni Motoo Tu🔥
Haina kupoa🔥
💫💫
✨✨🔥
❤❤❤🎉
🔥🔥💪💪
Nimeiel3wa hii daah
Shukrani sana brother🙏
🎉🎉 imeenda
Asante sana🙏
🤝
🙏
Nqbl
✊🙏🙏
🙏🙏🙏
🔥✊
🔥🔥🔥
Kaka mkubwa🙏🙏
Kwa anaejua mzik mzur bas like na comment wimbo huu
Ahsante sana brother🙏🙏🙏
Naweza kupata mawasiliano
@@eliudzacharia6393 Sure. Nichek DM Instagram: @raj_zorah au Facebook: Raj Zorah
Go higher my guy🔥🔥🔥💪
Thanks a lot brother🔥🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
🔥✊
🔥🔥🔥🙏
🔥🔥🙏🙏