HATIMAYE YULE AFANDE AJULIKANA, ALIYEWATUMA VIJANA KUMFANYIA UKATILI BINTI WA YOMBO!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @AminaAlfan-r6n
    @AminaAlfan-r6n 21 день тому +1

    Shida majeshi hayana dini hayamjui Muumba mbingu mmiliki wa vimbunga na mwnenye kuazibu azabu kali bado hawamjui mfalme ni nani ni muda sasa mungu azungumzwe kwenye majeshi yetu inaskitisha sana Mungu yupo jamani majeshi amkeni zama zimeisha tayari dah😢😢😢😢

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v 20 днів тому +1

    Sura yake sio ya Fatma huyo.Na nyie chunguzeni vizuri vyeti vyake.Kama hajadhulumiwa mtu haki zake.Akabandikwa yeye.

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 21 день тому +3

    Nahuyo mume aowe huyo binti❤❤❤😂

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 20 днів тому

      Kweli kabisa, huyo Mume amuowe huyo Binti. Mh. Rais Hongera sana ❤

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 20 днів тому

      Kabsaa aozeshwe yye nae ndio sababu mume nae tumjue

  • @SmilingDolphin-xg2kd
    @SmilingDolphin-xg2kd 20 днів тому

    Hakika huyu mungu amuukumu mwenyewe Ametia aibu sana

  • @yusuphlazaro
    @yusuphlazaro 21 день тому +1

    Uyuu mama naee apelekewe moto akirekodiwa tuiyone kama atajisikiaje

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 20 днів тому

    Uyo mama nayye afirwe na uyo binti sawa na mwanae au mjuku wake uyo ndio tunataka akomeshwe anamuonea wivu mume zezima hovyo tunataka haki itendeke,,,na wamama wote mudiri na wanaume zenu michepuko haina makosaaa mzibinti mumeo,,,na uyo afande arie kuwa anamtetea topsta afukuzwe kaz si warisema awajatumwa na afande kumbe warikuwa wanateteana,,,mume anauma lkn ndio hufanyie mtto wa mwenzio hunyama kama huo

  • @FEBRONIAFABIANI
    @FEBRONIAFABIANI 21 день тому +1

    Jamani nimeunga mkondo wazo la mdau kumfuta machozi bint huyo kupitia changamoto hiyo tuyabadili maisha yake jman

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 20 днів тому

    Mama mtu mzima unagombania mbwana uyo ndio mbwa ario watuma vibaraka wake wafunge na mume tumjue na haki itendeke

  • @asteruapaul2243
    @asteruapaul2243 21 день тому +1

    Dunia simama kidogo nishuke 😂😂😂

  • @AgnesMiyi
    @AgnesMiyi 20 днів тому

    Wasipo mpeleka gerezani wa Tanzania tutaanfamana Sasa

  • @MeryHanspeter
    @MeryHanspeter 20 днів тому

    Kweli Hilo limama halijamfanyia huyo Bint haki kabisaa kwani kama nikweli huyo Binti angeondoka na hicho kiungo Cha mumewe? Aah jamanii aadhbiiwe tu.

  • @HamiduHamadi-e4p
    @HamiduHamadi-e4p 20 днів тому

    Kwani hajazaa huyu mama

  • @user-cc8le8bx5s
    @user-cc8le8bx5s 20 днів тому

    Wemama kweli unahofuyamungukweli?

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 20 днів тому

    Ivi yy uyo hafande yy hana watoto ingekua nitoto wake angependa kufanyowa uzalilishaji kama huo

  • @RamadhaniKiduba
    @RamadhaniKiduba 20 днів тому

    Hilo bibi ni ovyo

  • @MeryHanspeter
    @MeryHanspeter 20 днів тому

    Hivii? Una watt wewe? Mh tambua auwae kwa upanga nae atakufa kwa upanga.

  • @AminaOmary-sm4wl
    @AminaOmary-sm4wl 20 днів тому

    Aibu naona mimi mtu mzima ovyo

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 20 днів тому

    Kiukweri mume wake amuowe biti uyo mama aende jela uko

  • @SarahNambela-m1v
    @SarahNambela-m1v 21 день тому

    ivi Huyu mama hakufikiria uwii umezeka wewe bibi wivu wanini kibibi wewe umemwanga mboga

  • @deborahamisi9294
    @deborahamisi9294 20 днів тому

    Alioni ata aibu embu lichapeni kidogo apate adabu

  • @ZuhuraAcholla
    @ZuhuraAcholla 20 днів тому

    Jimama lizima hovyo

  • @user-ml3zf7mw1y
    @user-ml3zf7mw1y 20 днів тому

    Fatima umekosa hekima,wee mtu mzima unajizalilisha,haya huyo mme nenda na jela

  • @EvelynePaul-x9y
    @EvelynePaul-x9y 21 день тому

    Nawewe unawatoto ulichokifanya unaona ulikuwa sasa kweli ifikie hatua mmiogope mungu malipo nihapa duniani wivu wahivyo naumli huo siopow

  • @FatumaAbdallah-g6q
    @FatumaAbdallah-g6q 21 день тому

    Peleka gerezani huyo mama anaweza akawa mwanae kama angekuwa wakwake ingekuaje

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 21 день тому

    Binti huenda kapata ukimwi😢

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 21 день тому

    Aibu sana

  • @JovithaChaula
    @JovithaChaula 21 день тому

    Jamani huyu mubibi mbon kam yupo kweny menopose bado anatakaga😂

  • @user-zv2ng6ov2k
    @user-zv2ng6ov2k 21 день тому

    Sasa ukifungwa mumewakosinjo atachepukakwelikweli, unakosakudili namumewako, unakakwakulipa visasi tena vyakikatili

  • @user13375
    @user13375 20 днів тому

    Mshangaz,😮😮😮😮

  • @JuliethNgowi-n8f
    @JuliethNgowi-n8f 20 днів тому

    Hahahahaaa nilicheke tu kwazarau kumbe ndiyo maana lile kurumbembe lingine likasema nikahaba kumbe yamefanana akili mpaka miili Yao kama mifuso ona lilivyo jikoboa na mikorgo

  • @FatumaAbdallah-g6q
    @FatumaAbdallah-g6q 21 день тому

    Nibora huyo mwanaume amuoe huyo dada maana wamesha mzalilisha nani atamuone

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 21 день тому

    Yule RPC ADUTWE.KAZI KUMBE UNENE ULE WA RUSHWA

  • @MeryHanspeter
    @MeryHanspeter 20 днів тому

    Akichomoka tutamlenga mawe kama muembe.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 21 день тому

    Wasiojulikana wauwaji wabakaji ni wao

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 21 день тому

    afadhali nimeanza kuiamini jeshi la polic, ila kwa umri wa hyo mama hatakiwi afanye ujinga kama huu

    • @user13375
      @user13375 20 днів тому

      Hajashtakiwa na polisi😮😊

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 21 день тому

    Safi Sana apewe hukumu yake.

  • @othmanMoroko-zh8ct
    @othmanMoroko-zh8ct 21 день тому

    Na yey aende jela afungwe milele

  • @ashaomari-rb1uu
    @ashaomari-rb1uu 20 днів тому

    Jibibi zima linakua na wivu wa kijinga halina hata haya litakukuta jambo mpuuzi kabisa uyo

  • @selemanpius9789
    @selemanpius9789 21 день тому

    mulekeni ngezani aede na kina nyundo zake

  • @selemanpius9789
    @selemanpius9789 21 день тому

    asate mungu tulikuwa tunamutafuta huyu

  • @awadhkannah6587
    @awadhkannah6587 21 день тому

    Shida ipo kwenye ushahidi mahakamani, je utaweza kupatikana, maana hakuonekana kwenye picha, labda upatikane kwenye mtandao wa simu, otherwise sioni ushahidi wa moja kwa moja wa kumtia angle huyu bibi, anachomoka kweipeee

    • @ERRICKISIGO-mv7co
      @ERRICKISIGO-mv7co 21 день тому

      Umeona mbali ndicho ambacho nawaza Iko kitu

    • @JuliethNgowi-n8f
      @JuliethNgowi-n8f 20 днів тому

      Hapana haiko hivyo mpaka kapatikana watakuwa hao wabakaji wamemtaja hawezi kujipeleka mwenyewe Kuna kuminywa unataja fasta hajajipeleka mwenyewe kazi inafanyika namungu yupo ma mama Samia yupo japo haongei tukasikia pamoja nawaziri wetu gwajima hili jambo hawajalikubali hachomoki huyo bibi

    • @ShamsaOnesha
      @ShamsaOnesha 20 днів тому

      Yule wakili madeleka wakili wa kujitegemea aliyemfungulia kesi na kumtaja mpka anafungua kesi na kumtaja hadharani ina maana kuna ushahidi anao hawez fungua kesi tu yule ni wakili, Yan hapa labda waroge, Mungu asimame kwenye hili haki itendeke

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 21 день тому

    Mbna umri umeenda kwanin asitulie yule binti si kama mwanae kabisa

  • @selemanpius9789
    @selemanpius9789 21 день тому

    muoane cheo chake akamalizie jela waka muoe ngenge lake

  • @user-pi8ln3fe3n
    @user-pi8ln3fe3n 21 день тому

    Uzee wake akaumal zie jela mtu mzima ovyo

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 21 день тому

    Mama wa hovyo weee kimbe fatma looo

  • @user-vr5fy7hb7w
    @user-vr5fy7hb7w 21 день тому

    Bibi wa hovyo na yy alawwitiwe aone raha yake

  • @LatifahPambe
    @LatifahPambe 20 днів тому

    AstaghfiruLlah

  • @selemanpius9789
    @selemanpius9789 21 день тому

    bibi aede jela maisha jela

  • @AsilaAlhabsi-hg9lg
    @AsilaAlhabsi-hg9lg 21 день тому

    Duuu jambazi wanatafutwa majambazi kumbe eti afande latisha sijui nani alompa kazi mbwa huyu

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 21 день тому

    Ametafuta matatizo kwa gharama nafuu

  • @edwinisimfukwe9803
    @edwinisimfukwe9803 20 днів тому

    Lijinga