Huyu Ndiye Aliyepigwa Risasi Katika Tukio la Ujambazi Mbande

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @papafikiri
    @papafikiri 8 років тому +2

    muuliza maswali unajisahau sana keshajibu unarudia tena ongeza umakini katika kazi yako

  • @alexyarroh6534
    @alexyarroh6534 8 років тому

    Pole sana kaka Mungu yuko pamoja nawe utapona tuuu

  • @mobileshop818
    @mobileshop818 8 років тому

    pole sana kaka mungu atasaidia utapona

  • @saumusalimuhassan3041
    @saumusalimuhassan3041 8 років тому

    Pole sana bro

  • @jamalisudy7883
    @jamalisudy7883 8 років тому

    pole

  • @cwrybeautylicious8545
    @cwrybeautylicious8545 7 років тому +1

    eti uliumia sana?unaweza kuwakumbuka baada ya tukio walikimbilia wapi?baada ya kuhudumiwa ulirud nyumban?Nonsense questions!!!

  • @aishah3186
    @aishah3186 8 років тому

    pole to sana

    • @maxinijuma337
      @maxinijuma337 8 років тому

      pole kijana.inasikitisho tukio kama hilo hukupata msaada wwt.

  • @neemaali6056
    @neemaali6056 8 років тому

    pole kk

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 8 років тому

    pole kka sasa mwandishi ashakwambia yy alijificha atawaonea wapi watu walipo enda

  • @rajabmbendenga5775
    @rajabmbendenga5775 8 років тому

    Jamaa anakwepa kufanywa shahidi

  • @salimalherdany6106
    @salimalherdany6106 7 років тому

    pore

  • @kiganjamediatz8850
    @kiganjamediatz8850 8 років тому +1

    Habari, nimetazama video zenu nyingi nimegundua mtangazaji (mwandishi) una ttzo la kuongea Sana.
    Yaani kila sentence fupi ya unaemuhoji lazima utasikika ukisema (mfano :ndio, Sawa sawa, Sawa kabisa ndio.)
    Hi si Sawa unapouliza swali Acha mtu ajielezee hadi atakapo kupa nafasi ya kumuuliza Tena. Hizo ndio ndio si Dhani kama hata darasani Hua mnafundishwa hivyo.
    Bila shaka utajirekebisha. Tena ni vizuri kutazama kazi za wenzako utasikia audio yao inavyokwenda kwa mtiririko mzuri.

    • @jaafarmkatta1336
      @jaafarmkatta1336 7 років тому

      Hivi! Kumkosoa mwandishi kunamsaidia nini mhanga? Basis bora hata mngeanza na neno 'POLE' ambalo ni bidhaa adimu kwenu.

  • @richakilo
    @richakilo 8 років тому +3

    Hivi nyie global tv mnatoa wapi hawa waandishi wa habari. Hawapo makini, hawajui kuandaa interview. Mtu kapigwa risasi mkononi unamuuliza ulitoka damu!!! seriously. Au ulifikiri unatoka maji ukipigwa risasi. Mtu kasema alikimbilia ndani baada ya kusikia mlio wa risasi unamuuliza ulikimbilia wapi!!! Nasikia ulikimbilia chooni.How is that relavant to the story. This is so annoying shallow interview nimeshindwa hata kumaliza kusikiliza. Embu kueni makini na kazi zenu.

  • @jamalisudy7883
    @jamalisudy7883 8 років тому

    pole