A snitch, a two headed serpent. He switch/change like a chameleon, being against artists and suddenly changing after realizing that BASATA was loosing out was girlish move though it worked for him.
@Fortunatus lukwala Haimaanishi kwenda shule ndy kutakufanya ujibu vizuri.. hiyo ni busara ama hekma tu ya mtu kwani ni wengi wamesoma na wanaongea utumbo na wapo ambao hawajasoma na wako fresh kiakili.. pia @Gerry kuhusu mtangazaji yale ndy maudhui ya kipindi chake kuuliza maswali ya kimitego na cyo uchochezi sasa kama ni mtu wa kupanic unaingia kwenye mtego wake wa maswali..
Alafu mtangazaj huyu c ndio wa harmorapa huyu!!! Huyu nae mambo yake kam ya shirawadu tu,, kwanz huo mtambaa wa nini sasa!! Usipende kuuliza maswal ya kushinikiza kitu, wngine wanajielewa!!!
Duwe ni sahihi kufanya hiv maana ni mfanya habari wa gossip. Lazima awe na maswali ya kukera na kumbana mtu.. Wachache sana mtamuelewa.. Na anajaribu kupeleka umbea kwa level kubwa sana.. Hata ishu ya harmorapa alikosea tu kidogo kuwa na usalama wa kutosha.. Lakn alikuwa sahih kabisa kumuita yule basha wa amber lulu ili kumaliza utata..nchi za wenzetu ni kitu kipo na kinakubalika. Na tasnia lazima iwe na drama za kutosha wasanii wapige pesa na kupata deals zaid.. Hapatakiwi kupoa kabisa# ni mtazamo tu
Shida Nay wa Mitego anadanganywa na ule usemi wa "sisimizi kumuangusha tembo." Haijawahi kutokea! Na kama itatokea basi si mmoja kama alivyo. Ni wengi, tena SIAFU! Si sisimizi!
Huyo mwandishii wa habalii ni pimbiii kwery mtu anaseama ajamkosea bado analazimishaa aungee kama sio uchocheshajiii ndio maana haji amewatukanaa tajatakaa 😂😂😂
Ila huyu mtangazaji ni mnafiki maswali gani ya kumuuliza eti kuna uhusiano gani kati ya wewe nick wa pili na pimbi nay wa mitego amekuita wewe pimba una uhusiano gani na pimbi
😆😆😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅...Ila Duwe Ananikoshaga Saaana Anajiamini Saaaana Akiwa Na Mic Nilianza Kumfatilia Tangu Nilipoona Interview Yake Na Ben Pol 😆😆😆...Ben Pol Alitaman Ardhi Ipasuke ,ETI anamuuliza Nikki Kuna Mahusiano Gani Kati Ya Pimbi Na Wewe 😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅... Ila Ni Mjanja Anaangalia Na Wa Kumuhoji
*Habar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia UA-cam andika sir Binladen 786 pia naomba msisahau kusubscribe Asanten*
Too educated to be understood by an ordinary person. Cool, collected and respectful. N2 Congrats
A snitch, a two headed serpent. He switch/change like a chameleon, being against artists and suddenly changing after realizing that BASATA was loosing out was girlish move though it worked for him.
Fuck
Team mo town sanya and mchaga og and zebwela hao nakubali vipindi
Jamaa yupo cool sana nimependa majib yake
Due nakubali kamanda umewasimamisha damu wapuuzi wale wa clouds media..wasafi nawakubali ngumi ngumi mtu akitaka Due sawa
Wee msenge nn
@@enockboss2696 ola chunga mdomo kaka huo sawa
Mkiambiwa muende shule mnakataa...(kajib vzur sana nic 2,,...af mtangazaj mbna anajing'ata ng'ata..hviii
Huyu mtangazaji mchochezi sana huyu, nshamuona interview nying sana anamaswali ya kichochezi sana
@Fortunatus lukwala Haimaanishi kwenda shule ndy kutakufanya ujibu vizuri.. hiyo ni busara ama hekma tu ya mtu kwani ni wengi wamesoma na wanaongea utumbo na wapo ambao hawajasoma na wako fresh kiakili.. pia @Gerry kuhusu mtangazaji yale ndy maudhui ya kipindi chake kuuliza maswali ya kimitego na cyo uchochezi sasa kama ni mtu wa kupanic unaingia kwenye mtego wake wa maswali..
Hiyo ni hekima ya msomi bhana Elimu isipo kupa ajira ::Itakuongoza kwenye yako mazingira ::Genius ::
Well said
Shida ya waandishi wa habari kama hawa wasenge ndio wanaohoji kwa kutaka kuyakuza ....jifunzeni kwa wakongwe kama baruani muhuza, na wengine
nmepend majibu yake
atanyook taratibu huyu nikki mmekuj tunapoish sharout kikos kaz baba malcom 👍
Nikki wa pili yupo sawa tu kwanza smart kichwani
Alafu mtangazaj huyu c ndio wa harmorapa huyu!!! Huyu nae mambo yake kam ya shirawadu tu,, kwanz huo mtambaa wa nini sasa!! Usipende kuuliza maswal ya kushinikiza kitu, wngine wanajielewa!!!
Genius sana
We SNICHI TUUU...unaonekana mstaarabu kumbe msaliti tuu...kweli pimbi tuu
Nikki nakukubali sana achana na huyu kichaa
Kweli nay ni kiboko kamwita Nikki pimbi 😁😁😁
Hahaha
Nikki anaakili nyingi mnooo
Safi xn umesimamia misingi ya uwanaume 🤙🤙
Huyu mtangazaji vipi kile kidagaa chake na harmonize
Duwe ni sahihi kufanya hiv maana ni mfanya habari wa gossip. Lazima awe na maswali ya kukera na kumbana mtu.. Wachache sana mtamuelewa.. Na anajaribu kupeleka umbea kwa level kubwa sana.. Hata ishu ya harmorapa alikosea tu kidogo kuwa na usalama wa kutosha.. Lakn alikuwa sahih kabisa kumuita yule basha wa amber lulu ili kumaliza utata..nchi za wenzetu ni kitu kipo na kinakubalika. Na tasnia lazima iwe na drama za kutosha wasanii wapige pesa na kupata deals zaid.. Hapatakiwi kupoa kabisa# ni mtazamo tu
Kwel broh makin
Shida Nay wa Mitego anadanganywa na ule usemi wa "sisimizi kumuangusha tembo." Haijawahi kutokea! Na kama itatokea basi si mmoja kama alivyo. Ni wengi, tena SIAFU! Si sisimizi!
DUE WATU HAWAKUTAKI .
...GONGA LIKE KAMA UNAKICHUKIA KIPINDI KWAJILI YA DUE
Nimempenda bure Nick
Huyu mtangazaj sio mzima. Now anaboa
Huyu ndo.mwanaume sikieni majibu yake
Huyo mwandishii wa habalii ni pimbiii kwery mtu anaseama ajamkosea bado analazimishaa aungee kama sio uchocheshajiii ndio maana haji amewatukanaa tajatakaa 😂😂😂
Hujamaa ukimchunguza vizur utauona upimbi wake ila ukimuangalia jujuu utaona nikichwasana
Afu huyu mtangazaji anachocheaga sana ugomvi huyu, mara nying namuonaga anapenda sana kukuza mambo
We jamaa hua unakera sana
Nikki kaambali na uyo mtangazaji haaminiki ata kidogo uckute apo akatokea ney akakuteka
😂😂fala sana
😁😁😁😁
Wasafi journalists watihaji
Ila huyu mtangazaji ni mnafiki maswali gani ya kumuuliza eti kuna uhusiano gani kati ya wewe nick wa pili na pimbi nay wa mitego amekuita wewe pimba una uhusiano gani na pimbi
💚💚💛💛💛💛💚💚💚NIKI WA²
uto🚮
@@nassoronuvye1220 useng
Huyu ney hana akili ata kdg
Sasa vipi kuhusu gigy money wamemfungulia nae ...ama @gigymoney
Nay Nikki anakipaji na elimu kakuzidi ww ndio pimbi
Acheni kukalili kwmba yy ndo ana elimu gn ww,ustawi wa jamii ndo kuwa na elimu kubwa
@@anthonykondobole3962 wewe una ustawi upi na Nay wako?
Genius himself
Mitego nyau tu kma nyau zingine
Siku zotee nasema huyu sio mwAndishiiiiiiiiiiiii jamani tuelewane
Wewe due ni choko
Uyu mtangazaji mpumbavu anapaswa kufungiwa kwa alichomfanyia harmorapa
Congrats nick
Genius
Ata mimi simwelewi
Mtu mjinga usijibizane nae kama alivyofanya #Nick unajibu kisomi tu
Unapambana kuwagombanisha!
😆😆😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅...Ila Duwe Ananikoshaga Saaana Anajiamini Saaaana Akiwa Na Mic Nilianza Kumfatilia Tangu Nilipoona Interview Yake Na Ben Pol 😆😆😆...Ben Pol Alitaman Ardhi Ipasuke ,ETI anamuuliza Nikki Kuna Mahusiano Gani Kati Ya Pimbi Na Wewe 😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅... Ila Ni Mjanja Anaangalia Na Wa Kumuhoji
Air weusi
Kweli Ni pimbi
🙆♂️
Huyu si mtangazaji
Refreshiiiii
mtangazaji 00. 0%
Unapaswa kuwa kiongonzi
Imekuwa😂
Mmmh
NAY WA MITEGO ANATUMIKA KIHARAKATI ZAIDI KULIKO KISANII NDIYO SHIDA YAKE!!
Samehe mwaya
Huyu Due mfukuzeni wasafi
Afukuzwe na mapolisi wamshike
Afukuzwe kwa nini mwajua maana ya Refresh kweli!!??
Kumbe unakumbuka RB yake ya juzi maana kajikausha kama si yeye 😄😄juzi kajua kufanya tukio la kikatili kumdhalilisha Harmorapa ila tambua dunia duru
Kwa kafanya kosa gani hapo elewa maana ya refresh basi
@@jastinjustus6878 haupo duniani wewe ndiyo maana hujui yalotokea juzi madhara makubwa bila shaka MB zilikuishia 😄
*Habar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia UA-cam andika sir Binladen 786 pia naomba msisahau kusubscribe Asanten*
Sijahi kipenda kipindi cha huyu mbulula SEMA naangali2 sababu ya wasafi wapate views
sawa dear😂😂😂
Hili ndo kundi la weusi chezea majibu