Kaka ndugu mwagarashi,,,naitwa hamisi maulidi kutoka miritini,,,nafurahia Sana kufwatilia mashairi yako mm pia ni mtunzi wa mashairi ila sauti ya kukariri ndio yanipiga chenga...naomba mungu Sana siku Moja niwe kama wewe,,,Niko na mashairi mengi ila kwenye mitandao sijaeza kuyaeka
Mzee wangu shekh khamisi naomba nije nipose moja niwe mkweo kwajili ya allah inshaallah mm kijana wako nipo Tanzania dar salaam
Wazo zuri huu ujumbe ujibiwe
@@SheikhNassorMuhammad
Karibu sheikh wangu jambo la kheiri hilo
mungu atuongoze na atupe rizki tuwalee wana wetu pasi kubagua yarab na ndugu zetu walio tangulia mbele za haki mola awaeke pema penye wema yarab
mashallah, message is well conveyed 🙏 I think social issues should be given highlights in line with Islamic teaching 🌴
InshaAllah
Kutoka Dar esalam, Nawapa salamu , Mola awajaze kheri
Aamiin Aaamiin Aamiin inshaAllah.
Shukran Sana kaka
Kaka ndugu mwagarashi,,,naitwa hamisi maulidi kutoka miritini,,,nafurahia Sana kufwatilia mashairi yako mm pia ni mtunzi wa mashairi ila sauti ya kukariri ndio yanipiga chenga...naomba mungu Sana siku Moja niwe kama wewe,,,Niko na mashairi mengi ila kwenye mitandao sijaeza kuyaeka
0714841371
Tune nzuri sana
Mashallah kaka mungu akupe maisha marefu
Maa shaa Allah SHAIRI limeibwa vizuri sana na ujumbe mzito sana kwa kweli. Mimi pia napenda sana mashairi kutunga na kughani
Karibu saaana rafikiangu
Wlh ujumbe mzury umetufikia....mungu atujalie tuwakumbukeni mayatima na wasiojiwezah
Aamiin aaamiin inshaAllah kakaangu hamadi
Hongereni madada Kwa shairi lenye msisimko Allah atawajazi kher manake ujumbe saa nyengine mpaka ufikishwe hivi
Shukran Sana rafikiangu Kakaangu Abdi Kwa support yako... Allah akulipe
Mungu akubarikini sana kwa kweli
Aamin Aamin. Tubarikiwe sote kakaangu musss
Sadakta wapenzi kwa ujumbe bomba.....🙏🙏🙏
Shukran Sana rafikiangu Ray shukeli Kwa support yako
Kazi kuntu Kaka Hamissi
Aamiin Aamiin
Mashaallah mungu awajaalie kila la kher maishani mwenu # Aamiin
Aamiin Aamiin yaarabil aalamin.
Shukran Sana rafikiangu
Masha'Allah Masha'Allah TabarakaLlah
Shukran sister
Walai wameweza, ujumbe tusaidieni yatima na vilema. Asante sana mwagarashi .
Kaka Adan Mohamed shukran Sana rafikiangu
Mashallah
Allah akujalie afya na kukupa umri inshaallah uzidi kukuza vipaji 😍
Aamiin Aamiin yaarabil aalamin.shukran Sana Dadaangu
Mashallah Mwagarashi naomba kujiunga
0714741371.Karibu WhatsApp tujuzane tunapo pajua.
Masha Allah,,Allah awajalie mkuze vipaji vyenu in sha Allah 🙏
Alhamdulillah.
Shukran Dadaangu mishi Mwana Omar Kwa support yako Allah akulipe Kwa kunitia moyo
Ipo siku nami ntakuwa miongoni mwenu In Sha'Allah
inshaAllah
Imeniingia mpaka kwa ubongo mashallah
Shukran Sana Dadaangu Saida
Dada Saida umenyamaza Sana kulikoni?
Dah.. Ya huzunisha. Tuwaangalie Yatima kwa jicho la huruma
Kweli kaka
Napenda Sana hii sanaa
Karibu Kaka Jackson Robert
MaaaashaAllah message well sent🙏🙏🙏🙏
Shukran sana rafikiangu
Mashanllah
Shukran Sana Dadaangu
Mashallah,
Shukran
Mashaallah Allah baarik
Aamiin Aamiin yaarabil aalamin
Mashallah tabarakallah
Afwan
Shukran
Hongereni sana
Shukran Sana Dadaangu Neema Hassan.
Mashallah shairi zuri
@@hamisimwagarashi9501 kongole sana. Ujumbe mzito kwa shairi. Aiseee.
Shukran Sana
@@jobsure4614 shukran Sana rafikiangu
Mashaallah
Shukran Sana sister
Mashallah ujumbe mzuri,hakuna group ya whatsp uniaad tuendelee kuburudika,0706494009
Group ipo Ila Ni ya wanao hitaji kujifunza kitu.0714741371
Natamani nije kusoma uko
Hongereni Sana na Allah awafanyie wepesi
Mashallah asate kwa ujumbe mzuri
Mashallah
MashaAllah