Nasheds imeenda chuo kikuu Uturuki haqiqa wabab hili ni jukumu lenu mtaulizwa masikitiko makubwa leo watoto wanaacha kusom wanafanya kaz wakiwa wadogo mnoo umri huo ni wakujisomea nasio kufanya kaz watoto wengine wanakosa maadili sababu bab wengine toka wadogo mpaka mkubwa hajui chochote kutoka kwa baba hongereni mabab mnaojua maan ya familia na mkatimiza majukumu ipasavyo Allah awazadie pepo insha'Allah
Nasheed nzur sijapata kuona ❤❤❤
Mashallah hatimaye sauti ya soud khafa imerejeaaa❤❤❤
Maaashaallah hasbiyaallah kaz nzur, never give up
Alhamdulillah nlikuwa nasubiri mdaa
baba zetu mnakumbushwa jaman nikwel xo uongo munayoambiw
Nasheds imeenda chuo kikuu Uturuki haqiqa wabab hili ni jukumu lenu mtaulizwa masikitiko makubwa leo watoto wanaacha kusom wanafanya kaz wakiwa wadogo mnoo umri huo ni wakujisomea nasio kufanya kaz watoto wengine wanakosa maadili sababu bab wengine toka wadogo mpaka mkubwa hajui chochote kutoka kwa baba hongereni mabab mnaojua maan ya familia na mkatimiza majukumu ipasavyo Allah awazadie pepo insha'Allah
Maashaallah❤ ujumbe mzito sana 😢
Mashaallah kwa ujumbe mzur
Unyama sana
mudrik napenda saut yak unavyoipaisha hongeren kwa nyot funz kwa jamii mzm ilo il nataman nimuone abdillah inxhaalh nitamuon tu
❤❤❤❤nasheed mzur sanaaa mashaalah abdillah nimekusikis ten soud khaf hongern na wanafunz wak
mudrik saut yak napend unavyoipaish
❤
Sasa nina amani nimemsikia abdillah