Twendeni Mji Mkubwa Tukafanye Shopping / /Shopping Brussels Belgium / Swahili Vlog.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @maggiekanyoi
    @maggiekanyoi 6 місяців тому +2

    Nipee hiyo Baag😂😂😂❤

  • @magevedasto1187
    @magevedasto1187 6 місяців тому +1

    Dada hongera sans mashallh ❤❤❤❤❤❤

  • @fatimabinsayid1323
    @fatimabinsayid1323 6 місяців тому +1

    Mansha Allah ❤❤❤❤

  • @swabbieremus
    @swabbieremus 6 місяців тому +1

    Guys nipitieni niwapitie❤

  • @ramadhanimatanza9514
    @ramadhanimatanza9514 6 місяців тому +1

    Mi nakukubali da rukia allah akuongoze na akupe mwisho mwema inshaallah

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  6 місяців тому

      Ameen yarabi inshallah 🙏 kwa sote

  • @habibaguledguled1926
    @habibaguledguled1926 6 місяців тому +1

    MashAllah very beautiful sasa ukitaka kuja huo mji wasema waeenda wapi? From train station washukukia wapi? Which stage

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  5 місяців тому

      Brussels noord ..then unatembea kama dakika 10

  • @salimahussein1267
    @salimahussein1267 6 місяців тому +2

    Thanks sweetheart for letting us know I love ❤ you Ruks naona km nipo hapo na nyinyi😂

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  6 місяців тому

      🥰🥰🥰maskini karibu sana belgium

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 6 місяців тому +1

    Waishi belgique vipi yaani hauzungumzi kifaranza jamani

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  6 місяців тому +2

      Hee mm siishi part ya ufarasa niko kwa wa flemish tunaongea kidutch ..belgium imegawanyika mara 3 na tunaongea lugha 3 hapa

    • @SaumuSaumu-jz5pq
      @SaumuSaumu-jz5pq 2 місяці тому

      ​@@RukiaLaltianitafika aje huko, akiy nifanyie connections Niko na passport tyr

  • @abdullahalmahrooqi8306
    @abdullahalmahrooqi8306 6 місяців тому +2

    Salam usizdishe mambo utachukiza kufyonza midomo wewe ni mbongo uwe uavyo zungumza lugha zote mwisho utarudi palepale.

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  6 місяців тому +4

      😂😂😂😂😂mbna sikuelewi 😅😅kujua lugha zengne ni dhambi ama

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 6 місяців тому +3

      😂we nae unaongea nini jmn

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  6 місяців тому +4

      @@nancyg8664😅😅😅mm namshangaaa ati …

    • @salimahussein1267
      @salimahussein1267 6 місяців тому +1

      Hata mimi pia sikumuelewa🤔

    • @azirajuma553
      @azirajuma553 6 місяців тому +2

      Rukia ss twakupenda saaana,,achana na huyo ana husda zake ❤❤❤