AJALI DAR: KHADIJA wa DARASA LA 2 AGONGWA NA GARI AKIVUKA BARABARA, VURUGU ZAZUKA, GARI LAPIGWA MAWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @Satwant-c1p
    @Satwant-c1p Рік тому +9

    Ooh masikini..😭mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi!🙏🏻 Binti..😥

  • @mulkseif5497
    @mulkseif5497 Рік тому

    Allah awape subra wafiwa mko kwenye wakati mgumu subra ndo kila kitu na Allah anawependa wenye subra

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +2

    Subhannallah jaman nyumbani hiyo mtoto wa nani tobaa😢😢😢

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw Рік тому +3

    Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family

  • @ShaniShebila
    @ShaniShebila Рік тому +1

    Poleni sana wafiwa wote allh yupo nanyi kwenye kipindi hiki kigumu

  • @RahmaMlanzi
    @RahmaMlanzi Рік тому +2

    Yarabi tulindie wtt wetu pumzika kwa amani

  • @vero57
    @vero57 Рік тому

    Wekeni mtu awe anavusha wanafunzi na watoto, poleni sana

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Рік тому +3

    Kweli hii ndio tz yangu pendwa baada kufa khadija ndio police wameliona tatizo na police watakuwa wanawavusha wanafunzi baada ya kufa khadija 😳😳polen wafiwa ahadi yake imefika 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @Reginamallya-t2n
    @Reginamallya-t2n Рік тому +1

    Eeee Mungu wangu, khadija wangu pumzika kwa amani kipenzi mama yako sijui ana hali gani ingawa kwa sasa nipo mbali i wish ningemuona jamaniii😢😢😢

  • @sanzeclassic
    @sanzeclassic Рік тому +1

    Hapo wangeweka kivuko cha juu tu ndo ingekuwa solution ,kwa sababu kama matuta yapo lakini hayasaidii kitu

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Рік тому

    Pumzika kwa amani Mtoto mzuri! Hata hao wanaoendesha magari wanajua kuna watu na hasa watoto wanavuka kinachofanya ukimbie ni nini?

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    Innalillah wainnah lillah lajuun daaaaa m/mungu aipe nguvu hii family 😢

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 Рік тому +3

    Pumzika Kwa amani mtoto wangu,yaan matuta na hizo zebra mpaka mtu apoteze maisha

  • @csato9415
    @csato9415 Рік тому +1

    Kwa ukweli ni kwamba maderava hawajali maisha ya watu kabisa, wanaendesha bila kujali. Na kwa upande mwingine waliohusika kuweka hizo zebra sijui walifikiria nini ! Maana kuna mtaro pembeni au ni lipua lipua kwa hakuna wa kufuatilia. Serikali lawama kwenu.

  • @skilindaissa5441
    @skilindaissa5441 Рік тому

    😭😭😭hinauma Sana.poleni Sana wafiwa😭😭😭

  • @priscarkasitu8101
    @priscarkasitu8101 Рік тому +1

    Huyo mwenyekiti anahema bp hiyo

  • @salhaayub1338
    @salhaayub1338 Рік тому

    Polen sana family 😢😢

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Рік тому

    Mbwa Hawa hawa wawe kwenye zebra wanaona watoto wanatak kuvuka lqkin hawasimami Tena wanakimbizaaa

  • @saidijuma5424
    @saidijuma5424 Рік тому

    Inna Lillah wainna Lillah rajiun

  • @sein.208
    @sein.208 Рік тому

    Innah lillah Wainnah iley Rajioon 😭

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 Рік тому

    Pumzika Kwa amani mtoto wangu,yaan matuta na hizo zebra mpaka mtu apoteze maisha