BABA LEVO AIGEUZA KENYA KUWA KAMA TANZANIA AITISHA PRESS KUMSEMA WILLY PAUL ATOA TAKWIMU ZA DIAMOND

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 47

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 години тому +6

    😂😂😂 leo nimecheka mm baba levo ninlevo nyengine😂😂

  • @lucianoluciano6795
    @lucianoluciano6795 2 години тому +2

    ....wape somo hao watufudenke hawajielewi..Big up Baba Levo..

  • @ruhindacostantine2092
    @ruhindacostantine2092 Годину тому +4

    Safi sana baba levo

  • @N0RBETHMPOLOSI
    @N0RBETHMPOLOSI Годину тому +5

    Diamond ndio GOT wa mziki wa Africa mashariki na kati

  • @IbrahStaneliy
    @IbrahStaneliy Годину тому +6

    Cc tupo pamoja na wew WCB ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @comm611
    @comm611 51 хвилина тому

    Nakukubali. Baba levo

  • @beckiegatwiri1939
    @beckiegatwiri1939 26 хвилин тому +1

    It's okay we agree with you diamond is the most watched artist In Kenya and we were supporting him because we loved him but now he has showed us that he don't deserve our support anymore, he has failed his fans from kenya and trust you me we're done with him completely, just wait next year a time like this go check if he'll be the number one artist watched in kenya then ndio utajua this is kenya and not Tz we mean our words😂

  • @DubaloTV
    @DubaloTV Годину тому +2

    Baba levo karibu kenya .. Kenya ni home na tz ni home .....enjoy ur stay

  • @Nicksonbarasa-s8g
    @Nicksonbarasa-s8g 39 хвилин тому

    Baba levo karibu kenya hatuna ubaya na watanzania sisi ni mandugu

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 Годину тому +2

    Wafunde hao manyaghau❤❤😂

  • @Michambonline
    @Michambonline Годину тому +1

    Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu ❤

  • @Robinson24560
    @Robinson24560 Годину тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kenya inaanzia namba saba poleni

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 26 хвилин тому

    Kilichokupeleka hapo ni diamond au basketball 🏀

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 31 хвилина тому

    Alikiba ayupo

  • @Iamstarking
    @Iamstarking Годину тому +5

    It gonna take time but I assure you Kenyan music gonna be on top someday 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop Годину тому +2

      😂😂😂 keep on sleeping so you can achieve your dream better😂 watanzania tumeamka kitambo

    • @mashakabundala9955
      @mashakabundala9955 21 хвилина тому

      Pole kenya

  • @TIZZOBOYOFFICIAL
    @TIZZOBOYOFFICIAL 15 хвилин тому

    Hio list ni ya 2023 not 2024

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 Годину тому +1

    Wewe babalevo uko.odm ama uda

  • @zebedeeojamong
    @zebedeeojamong 35 хвилин тому

    We'll boycott diamond platnumz

  • @BarakaZakayo-w9y
    @BarakaZakayo-w9y 2 години тому +3

    Ebu wambieee😂

  • @officialhopestarmusic959
    @officialhopestarmusic959 Годину тому +2

    Kichapo kinakuhusu 😂😂😂

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 35 хвилин тому

    Acheni matusi jifunzeni mbinu za watanzania mutainuka

  • @FrankHaji
    @FrankHaji 13 хвилин тому

    Baba levo wewe uko saw ila

  • @0ficiolerickMwimbe
    @0ficiolerickMwimbe 44 хвилини тому

    Sema hajui hata kutaja jina la boc wake

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 2 години тому +2

    utakuja Kumia mwanakharam na huyo. bos wako.hakupi pepo

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l Годину тому

      Subutu hamuwezi Kenya nyie mapimbi tu ndomaana yuko hapo subutuni muone

  • @paulmwita7049
    @paulmwita7049 Годину тому +1

    Baba levo tabua hii ni kenya BN

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l Годину тому

      Mtamfanya nn mtu yupo kwenu na anatamba inauma tz kwanza

  • @saidomea-3174
    @saidomea-3174 58 хвилин тому

    Wakenya hamjui music mnaimba upumbav tupu hamtuwez Kwa chchote

  • @DominicOjwang
    @DominicOjwang Годину тому +2

    Mtu mzima umekosa kazi ya kufanya

  • @NathanielMwangemi-w2f
    @NathanielMwangemi-w2f Годину тому +2

    Diamond anakubalika Kenya kuliko hata Tz,achana na hio idadi ndogo inapiga kelele na matusi mtandaoni,fans wa simba Kenya nguvu yetu tunaionyesha kwa kumfollow,kuview,kusubscribe nk

    • @Deborahdepsy-qh4rj
      @Deborahdepsy-qh4rj 38 хвилин тому

      Hawa Wana majivuno sana nasikizote majivuno hayaendi mbali Sasa from next vidio nakuendelea ndio watajitambua wanajua maliwilly Paul akonayoo itawanunua wanajivuna nn😂😂😂😂 iwish waangalie top riches musicians Kenyans are always simple that's why wanamuona hanambele Wala nyuma bila mziki wilypaul anakula nakuvaa😂😂😂

  • @kelvinpiko524
    @kelvinpiko524 2 години тому +5

    Wewe hauko Kenya tukikupata utajua simba ni paka apa Kenya

    • @samsondawson6982
      @samsondawson6982 Годину тому

      Mafala tu nyie wakenya na hakuna cha kumfanya na yupo hapo hapo Kenya

    • @MeshiliTemba
      @MeshiliTemba Годину тому

      Utafanya nn ww shoga

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l Годину тому

      Yupo kwenu na anatamba mtamfanya nn sasa

    • @DubaloTV
      @DubaloTV Годину тому

      Baba levo yuko nchini na tumemkatibisha... enjoy ur stay baba levo .. Kenya ni home na tz ni another home,na simba atabaki no.1 East Africa

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 34 хвилини тому

      Yupo Kenya na alipost alivyo anza safari.

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 Годину тому

    😂 pesa za tanzania zipo chini sana millioni 20shya kenya=millioni 400shyatanzania.hatari kweli.

    • @ce-08
      @ce-08 38 хвилин тому

      Sasa hiyo pesa yenu mbona aifanyi mziki wenu uwe mzuri😂😂😂 hamuwezi kuwa juu kwa Kila kitu kwenye swala la Burudani Tz namba moja Afrika Mashariki