CONGO ITAANGUKIA MIKONONI MWA RWANDA KAMA WASIPOKUWA MAKINI
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Mpenzi mtazamaji wa UKUU WA MWAFRIKA & IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.
Jambo ndugu mtangazaji kwakweli uchambuzi ni mzuri sana
Safi kabisa❤❤❤
Uchambuzi mzuri na ushauri mzuri sana
Leo nimeamin kumbe hata mtu wa kawaida anaweza kusaidia taifa sio maraisi na mawazir .
Ushauri mzuri yani wew ni mzalendo
Wasipo kaa sawa inch wanaikabidh
Asante Sana unasikika vizuri kbs wazo nzuri
Wa congo niwanafiki wenyewe kwa wenyewe
sio wacongo... vyanzo vyenu vya habari ndo zinatoa habari zakinafki.. Mskie huyu et anaomba warusi waje kuitoa m23.... Wakati M23 ni wanaharakati wa mapinduzi km kina Traole
Jeshi la Congo ni zaifu
Kunaswali hapa unasema
Ukuu wa mwafrika huwez jua huyu mwamba akichukua nchi labda congo utapata mabadiliko
Senge sana congo
Mungu tu awatie nguvu naujasili wakupambana
Shida ya serical ya congo ndani yake kuna waasi
Hope jeshi la Kongo linajipanga vizuri lokiwasoma Hawa wahalifu Ile siku wataamua ithink itakuwa mwisho wa Paul kagame
idiot. ikiwa unaishi kwa nyumba ya manyata ama nyasi usikubali watu wachezee moto kwako. Tishesedi alisema ati atachoma Kigali mbona anajichomea kwake , Burundi ndo itafuata idiots
Wishful thinking
Mimi ni Mkongomani damu.
Kuhusu hii vita ya congo, Rais Tchiseked anajua na kuelewa kila kitu. Yeye ndiye anawapa nguvu waasi.
Yule akiamua tu, hiyo vita haitafanya mwezi 1.
Anaelewa nn zaidi, useme ashauriwe labda kama kuna sehem anakosea arekebishe hivi vifo sio vizuri bwana
Yani Africa yote inahitaji sana msaada waputin mana Marais ote nivibaraka Wawa zungu
🙄🙄🙄🙄
Hatutakiiii tutajijenga wenyewe
Chiseled Kuna mambo anoyoyajua lakn anjifanya hajui ndicho kinchoitafuna congo wafuate walichokubalia
Laana ya Patrice Lumumba hiyo, hakuna Rais wa Kongo mwenye akili hata mmoja, wao wenyewe ni Vibaraka wa nchi za Magharibi, Ufaransa na Marekani ....... Ndiyo maana hawawezi kuomba Urusi ije kutoa msaada, maana wanajua kuwa Putini hana mchezo
M23 siyo magaidi ni wakongo wanaopigania haki yao . Na wakikamata nchi congo miaka ijayo mtasema historia tofauti. Mpigania haki always hushinda.
Africa yote tunamhitaji sana urusi mana viongozi wetu hawajitambui urusi ijetu itusaidie
Wote except Rwanda cz tumelidhika na PK.
Rwanda haiusiki ni marekani njo
Wakifanya mchezo hao jamaa wataichukua mpka bongo
Bongo weee wasubu waone
Sasa cornel nangaa km alifanya ivyo ili kisekedi apite yeye ndiye aliye sababishi damu ya sisi wa congomani kufariki kilaleo
huna chanzo cha habari cha uhakika... leo unasema Rwanda 🇷🇼...... kesho utakuja na habari hapa... "Kumbe M23 ni wacongo wenyewe na Rwanda hausiki"
Kongo inaenda kugawika mara 3, hii inatisha M 23,wako siliasi sana wameamua kabisa,Kisekedi kazi kwako,
Jeshi lipindue nchii ma anasherekali imeshindwa
Yaani siasa za Congo ni atari mtu ana hasi serkali aloiweka mwenyewe conell nanga 😂😂😂😂 kiongozi wa tume agyeuka muasi sija iona tokea nizaliwe 😂😂😂😂😂Congo niatari
Uroho wa madaraka
Urusi umeenda mbali.waambie jwtz waende chapter 7.apply full combat
Heheheeh,once u are civilian always civilian u don't know what u are talking,nenda wewe ukawafukuze.
Uyo raisi wa Congo ana ubanguzi wa makabila mengine acha ndugu zaka wa Kasai wamseidia
Mbn imekua ivoo tena brooo imekuaje
Huyu Mtaganzaji anaropoka
Nilikua na Mkubali before Ila kwasasa wapi
Anaegamia Upande Mmoja tu hataki kusema haki yetu Watutsi
Jana alisema M23 inapigwa
Nikakataa sai ameanza kuhaha tena 😂
Che Guevara mwanampinduzi aliwahi kuja zaire kuwasaidia wa zaire kwenye harakati za kugombea uhuru akishindwa na akalalamika kuwa ni wasaliti, hawajitumi na wala rushwa kwa hiyo sioni ajabu
Mpoki buya yuko wapii
Viongozi wasaliti rais wa Congo angewatowa wote alafu akamuita mrusi afanye kazi yake 🇧🇮
Russia yenyewe imeshindwa
Kwani jeshi la south africa tanzania burundi wanafanya nini
Si ulisema wanapewa kichapo
Bado nitakuwa wa mwisho kuamin kuwa M23 watachukua Congo...huenda kuna mpango unasukwa na huu mpango huend Rwanda akalipuka muda wowote....hapa wanazubaishwa na kwa style hii wanakuw wanapungua nguvu maana ukiuchukua mji lazima wakae wanajeshi na Congo ni kubwa mno. Na ata hii misaada ya kigeni au kibinadamu wanapoambiwa wafungue viwanja vya ndege huend ndio wanaletew silaha hili lingestopishwa shirika la afya la kongo ndio wahusika kihifadhi miili. Na Rwanda amewaandaa hawa vijan ni wengi hivy watakuwa wanakufa wengin wanaingia na bado wengin wanapew mafunzo...Rais wakongo atumie fedha ajir vijana wakutosha kama 1000 kwa kuanzia wakitoka analeta tena elf moja adi hivi vita viishe hayo madin yana kazi gan na yanaibiwa tu kwann usikubal kipoteza ili uje ulinde kingi
Mwamba akili nyingi bonge la ushauli.
Tisheked ni kisantili Yani kigeu geu
Wewe nimshabiki
Inasikisha sana inakuwaje jeshi Ra Kongo mdebwedo hivi hata wakipigana na panya rod watapigwa kutwa kwenye kioo kujemba arafu aende kupigana Howa m23 mbona mdebwedo tu
Rwanda ni sawa ila nyuma yupo mkuu wake, kumbukeni Israel inavyojiatanua na nyuma yake yupo mkuu wake,
Mjomba congo ni Syria utaona
Congo haijawai pata kiongozi mwenye akili timamu !!.jpt
Hakuna haja ya M23 kufanya mazungumzo na Rais Tshiseked,kwani Mazungumzo tayari yalishafanyika na Mikataba tayari imekwisha sainiwa kwa pande zote mbili yaani M23 na Seikali ya DRC, kilichobaki ni Rais Tshiseked kutekeleza mkataba wa Makubaliano kiufasaha.
Acha M23 ickuweee .....labda wakaijenga iyo nciii
Kongo m23 itaikaba ,tchisekedi mda siomrefu atakimbia.
Netanyahu wa African
Jeshi la kongo nasikia lipo imara sana tatizo hawalipwi mishahara ya kutosha ,ambayo haina motisha ndo mana yote haya sio kwamba hawawezi ni wanakosa motisha hvo serikali ya kongo inabidi ikae na kuwapa kipau mbele wafanyakazi kwa kuwapatia stahiki zao kwa wakati ba zinazofaa kwa motisha, we unafanyaje kazi ya hatari halafu hakuna ela
@salomemtwale5370 wanalipwa dola mia sawa kama laki mbili na nusu 😂wao wanasiasa wanajilipa mabilioni sasa si ujinga huu
Uko sahihi kbs kanini wasiyendi kwa putini?
Felix asipo kuwa makini atapinduliwa na Rwanda.
Simulisema eti baada ya kipigo M23 imeomba ya ishe na imekimbiya?nyiye tangaza habari kama ilivyo ni kwanini hamukusema eti M23 wamesimamisha vita?mnaongeza sana kiushabiki
Serikali dhaifu huzaa jeshi dhaifu.
Urusi ni kweli inasaidia ila ni lazma uwe mzalendo. Je rais wa congo ni mzalendo???
Hapo ni Putin ndy kiboko yao bas
We Surambaya skiya Tz,SA,Malawi na FDLR na Wazalendo wenu Tuta wachapa msichezi namu Tutsi
Tatizo congo ipo chini ya mfaransa kwhy kam wamewapa matumaini kua watawapa magurunet au askari basi watasubiria badala ya kuchukua hatua kwa uoande wa pili wakifanya uzembe magaidi watachukua nchi alafu tutawatambua kama serikali halali😢
Kama wacongo wapo chini ya mwanvuli wa France basically bora magnificent wachukue nchi
Sasa wao kamaichi hawajielewi hatakidogo wakidanganywa wanakubari hatambinu hawana nchi inachukuliwa na rwanda
mtangazaji hao siyo m23 hawoote ni RDF jeshi rarwanda siyo m23 hao wa m23 munaosema haiko haoote ni RDF Pamoja na UPDF jeshira uganda
Rwanda, Kenya, Uganda na sudan kusini M23, tunawanuwa EAC
KENYA ipi? Ruto wananchi wake hawamtaki (hujackia Zakayo must go?)
UGANDA, Museveni anachechemea na kujikojolea… kazeeka.
S.SUDAN wnamuona Kagame kama mwendawazimu tu, hata hawamuelewi
Mpango wa Kagame na Museveni wa kutengeneza Hima Empire umefeli sana. Nyie kama hamtaki kuishi na watu vizuri, basi rudini kwenu Ethiopia na Somalia huko huko… mnakosa amani kwa kuwa mmekali ardhi ambayo siyo yenu, mizimu ya WABANTU haijapendezwa na tabia zenu, rudini MOGADISHU
Alafu aliye wekwa madarakani yuko kimya nikama ajuwi nini kinaendelea 😂😂😂urumasana
Military ya kongo kuna mamuruki saana,yaani kunawengine wanatoa siri yao sana ,ndiomana munaona m23 inacukuwa sehumu bila tatizo lolote
Lakini tena, jeshi la congo linawasaliti wengi, kuanzia ngazi za juu, ambao walitumika kwenye serekali ya kabila
Yaani Congo sijui wafanyaje,sijui wavynhe serikali na kubadilisha jeshi,maana jeshi Lao limehaa wasalit8 ndo shida inaania hapo
Unaongelea bukinab nanchi nyingine kaka congo ni ,shamba kubwa hakuna pa kulinganisha congo ingekuwa ulaya bara hili lingekiwa kubwa na lenye nguvu kijeshi na uwezo congo inajenga ulaya yote kaka uwezikiwatoa Hawa watu 23
Hii nchi ya CONGO sijuwi kama Ina Raisi
Raisi kichaa
Fikiri kongo sasa ni soko la maaskari.je ikitokea ghafla felex akafa .na korineli .akafa ghafla kongo itakua wapi ikiwa mataifa yote yamo humo
Wakongo wanaona huyu koroneri ni akichukuwa taifa ra kongo wataishi vizuri kumbe hiri ni fumbo mzee koroneri akichukuwa taifa ra kongo ni sawa kongo imetawariwa na ruanda yani watakuwa chini ya amri ya ruanda narudia kongo wanajeshi wake ni vibaraka wa ruanda ndio wanao uza mechi kwa uroho wa pesa tamaa za utajiri tatizo wakongo hawana umoja MAGENERAL wote wakae kikao waungane
Shuda ni motisha,wanajeshi kulipwa mishahara kidogo inakata motisha ile jazi ni ya hatari ni kujitoa, hvo kuwa kibaraka, Mungu asaidie
Rakini m23 sio wanyarwanda Aho ni wakongomani.kwanini unasema rwanda. Tena si wagahidi ni raia wanataka kuwa na amani nchini kwao
Ariko murasetsa muziko abantu ari ibigoryi😂😂😂 😂😂😂
@ZaninkaYasmeen ngaho tubwire mada wowe ubizi neza
@ZaninkaYasmeen utabaye ikigoryi wowe wemera yuko abanyamasisi nabanyarwanda
Afu ww mwalimu unazingua ujue… hv saa nyingin unajielewa kwel ww… mara kagame kapigwa, mara kagame ni masihi… ataichukua DRC kwa sekunde 2 tu, mara mzee kagame ni pan african
Viongozi wa Congo ni wajinga na washenzi,mbunge wa Congo analipwa dola elfu 21 kwa mwezi,mamluki wa kizungu analipwa dola elfu 10,mamluki wa kirundi analipwa dola elfu 5 kwa mwezi alafu Askari wa serikali ya Congo analipwa dola 150 na wazalendo hawapewi kitu yaani wanajitoleya hata kupata ca kula ni shida nambiye sasa hiyo moral ya kuteteya nci yake itatoka wapi?
M23 wako sawa wachukue tu nchi saabu hawa viongozi wa africa ni vibalaka wa wazungu wanaiba mali nchi haiendelei hata kidogo bora waichukue tu
Hata hao m23 wakichukua nchi watakuwa vibaraka2 hakuna watakacho badilisha kwa sababu hata wao nyuma yao kuna wazungu
Jambo ndugumutangazaji,maoniyangunikusema,wakongomanitu,ndiowatu,wanao,ogopa sheria?Hao,nikuogopa kupigarwanda?tunasubiri yesu?
Jeshi la Congo 🇨🇩 limeja M23 ndaniyake kilichopo wakubali mazungumzo nipo hapa hawatashinda jeshi la M23
Sasa umekubali wewe natarifa zako congo wakiacha kubaguwa wanaichiwake itakuwasawa
Hivi wewe unaweza kuwa mamluki asiye na mafunzo ya kijeshi kweli? Mbona Putin ametoa mpaka ndege za kivita na zimetekwa na m23 ? Katika historia ya dunia ukitemea mataifa mengine yakupiganie wewe nj sleki tena bwege. Huwezi kushinda vita hata kidogo.
Wanapambania hakiyao so wewe hujui chochote
while you continue to praise the FARDC, it's important to note that they were defeated by various forces, including your own soldiers TPDF, as well as the South Africans SNDF, Burundians, and Malawians MPDF, AND fdlr. Referring to M23 as the RDF based on incomplete or inaccurate information does not provide a full picture. If it were truly the RDF, the situation would likely have been resolved and the job finished.
Siousaliti kuna wanyaruanda atamkuu wamajeshi nmnyaruanda ndani ya jeshi akunawatu wanatukuza nnchiyaokama wanyaruanda
Wewe Fanya Utafiti wako Acha kuegamia Upande Mmoja
Congo TUNABAGULIWA sana Eti Kisa sisi ni Watutsi
Wakati nilizaliwa Congo nikakulia Congo sijawahi hata kukanyaga Ardhi ya Rwanda leo hii Niitwe Mrwanda
M23 sio Wanyarwanda
Tutapigania haki yetu mpka
Tanzania na Malawi na Burundi na S.A Walikuja kusaidia Tschisekedi Ili Mutumalize sisi Watutsi ila hamtaweza
Ninyi ni waTutsi asili yenu ni Eritrea Ethiopia na somalia
Tatizo siyo “watutsi” kama watutsi tu. Tatizo ni wahuni kutoka ktk kabila hili wanaojiona kuwa bora zaidi ya makanila yote; kwamba hawawezi kutawaliwa na WABUNTU. Hiki ndicho wanachomaanisha sikuzote wanaposema “wanaopigania haki yao” (wanapigania KUTAWALA).
Kihistoria katika makabila yote hapa chini ya jangwa la Sahara hakuna kabila lenye watu wakorofi na wenye fujo sana kama watutsi. Hili halina upunzani, ni ukweli mtupu.
Kaka ,, naomba unielewe vzr,,,wewe umesema umezaliwa Kongo ,,kwani uliwahi kuambia urudi Rwanda?? Sema umejiunga na M23 mwenyewe Kwa ridhaa yako ila hujabaguliwa. Wapo wanyamulenge wengi mno Kongo na wapo kwenye ngazi za juu serikalini na wapo safe . Shida siyo Watusi waishiyo Kongo but NI Watusi waliyopo serikalini mwa Mzee Kagame . Na sio Raia ,,,, Mtusi ambae NI RAIA Hana SHIDA Kabisa. Mimi Ninao Rafiki zangu wazuri Sana tena Sana wengine Wahutu wengine Watusi but they are Good People. Shida NI siasa na sio Ukabila kama unavyo Sema. Wanyamulenge wapo miaka mingi Sana,,,,NI wazalishaji Wa maziwa mikowa mingine na they are Good Guys
@@abeidkhamis6130
Nawew Asili Yako ni Ipi kama hapo Tanzania Kila Mtu Anajuwa Aliko Toka
Mtanzania wa kweli Ni Masai
@@James_Jabari
Wew n MUHUTU
ndio maana anasema Uongo
Nani alikwambia tunapigania Utawala ?!
Tunapigania haki zetu za kutengwa na Serekali yetu
Simulisema eti baada ya kipigo M23 imeomba ya ishe na imekimbiya?nyiye tangaza habari kama ilivyo ni kwanini hamukusema eti M23 wamesimamisha vita?mnaongeza sana kiushabiki