KIJANA APASUKA KICHWA KATIKATI YA BARABARA ARUSHA, WALIKUWA WANAKIMBIA PIKIPIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 338

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 3 місяці тому +87

    Huu mwaka jaman tumuombe sanaaa mungu jaman khaaa mauti yamezid sanaaaa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому +9

      Mungu ndiye amekadilia hivyo hakunakifo kilokosa sababu sikuikifika utakufatu kikubwa kuomba mwisho mwema.

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 3 місяці тому +5

      @@HanifaOman-oo4pl kbs kbs umesema kitu muhimu sana tuzid kuomba dua jmn

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому +1

      ​@@HanifaOman-oo4plAaminaYaarabi mdawote tukae kwasafari mdaukifikaHamnaNamna

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 2 місяці тому +2

      @@SalmanMughal-lq5lt ni kweli kbs

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 2 місяці тому +1

      @GregoryGitau siandiki utanifanyaje sasa

  • @mohamedchrispin7148
    @mohamedchrispin7148 3 місяці тому +248

    KAMA UNASOMA COMMENT HII MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU 🙏

  • @kulthoumkaita2181
    @kulthoumkaita2181 2 місяці тому +18

    yaaan vijana wa chuga bhana eti somebody tarimo😂😂aiseee poleni sana sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea

    • @azizamaulid9257
      @azizamaulid9257 2 місяці тому

      Nkazani ni jina lake

    • @rahmankya148
      @rahmankya148 2 місяці тому

      😂 uyo wapili ndio somebody kbx​@@azizamaulid9257

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 2 місяці тому +36

    Tunachezea sana uhai😢😢Uhai ni zawadi kubwa sana Toka kwa Allah😢😢 RIP

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 місяці тому +1

      Hasa bodaboda wakiwa kwenye barabara hawana element lakini speed wanayokuwa nayo ni hatari

  • @mitchellshayo4801
    @mitchellshayo4801 3 місяці тому +15

    Huu mwaka nmekumbuka miaka kadhaa nyuma wallah matukio yalikuwa kila siku hadi tukazoea Mungu atupe mwisho mwema

  • @eliadaniel216
    @eliadaniel216 Місяць тому +1

    Safii sana hii 😂😂😂 waendelee kukimbia hovyo 😅😅😅 maana Wana sumbua sana Hawa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @MariamMwibidy
    @MariamMwibidy 3 місяці тому +18

    Innalilah wainnailah raj uun,😭😭😭

  • @TheGothaman
    @TheGothaman 2 місяці тому +2

    Vijana wa arusha wanaendesha pikipiki rafu sana.sometimes unaweza ukawa unaendesha gari unajikuta umewekwa mtu kati.Mungu ampe pumziko la milele Amina.

  • @HamisiKianga
    @HamisiKianga 3 місяці тому +26

    Piki piki ni chombo cha usafiri, alama za barabarani zizingatiwe vijana ni nguvu ya taifa, poleni sana

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 місяці тому

      Pikipiki siyo chombo cha usafiri wa abiria kwa ajili ya biashara,bali usafiri binafsi

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 2 місяці тому

      ​@@mataypanga5262 Nini maana ya plate number nyeupe kwenye pikipiki ?.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 місяці тому

      Vijana hawaelewi wakiwa barabarani hasa bodaboda Hawa si vifaa Kinga angekuwa na element asingepasuka kichwa

    • @JumaGendeye-sv6yl
      @JumaGendeye-sv6yl 2 місяці тому

      ilaasinge kufa​@@MashakaMagesa

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому

      ​@@MashakaMagesaSasa unaambiwa gari imepitia juuYakichwa Hyo Element ingesaidia nini

  • @Bulationlinetv
    @Bulationlinetv 3 місяці тому +16

    Ndio shida ya sisi vijana wa Arusha tulivyo tukiendesha pikipiki tunakua ni kama tumefika mbinguni. Hatutaona tena kama kuna hatari mbeleni...😢😢

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 2 місяці тому +3

    Poleni bagdad hapo maskani yangu zamani,baba alii,godii,

  • @HappyNkya-n8j
    @HappyNkya-n8j Місяць тому

    Woooi Hawa kifo wanakupendaga wenyewe bhna mi hata sioni huruma

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 2 місяці тому +1

    Somebody wa pil jaman arusha pole familia ya mfiwa 🙏🙏🙏

  • @jumarajabu862
    @jumarajabu862 2 місяці тому +9

    Mimi naitwa somebody

  • @HusnaLyale
    @HusnaLyale 3 місяці тому +9

    Inalilah wa inalilah lajuuni

  • @distilahtz5878
    @distilahtz5878 Місяць тому

    Machaliii wapewe darasa dont drink an drive,dont smoke an drive vitu kama ivyo,kingine japo litatuimiza yan inabid tuwe na lesen hairuhusiwi kudrive without lesen

  • @NagwaNagwatz
    @NagwaNagwatz 3 місяці тому +7

    Ina lilah waina ilah rajiun

  • @Alidah-kg5hd
    @Alidah-kg5hd 2 місяці тому

    Ma somebody wte wameeleza vzr mno😢😢😢 dogo pumzika kwa amin😢😢

  • @AsiaBakari-rb2ok
    @AsiaBakari-rb2ok 2 місяці тому +2

    Mm mwenyew Kuna siku walitka kunigonga nilisimama niliangalia Ile pikipik mpk unapo ishia kwakweli nili niliumia sana alinitukana snaaaaa

  • @JloveOfficially-p9d
    @JloveOfficially-p9d Місяць тому

    Pole san jmn allah R I P😢😢

  • @YasintaNgimba
    @YasintaNgimba 2 місяці тому

    Mhhh jmni mungu atusaidie afu ni vijana 2 ndo wanakufa

  • @MikaelFijabo
    @MikaelFijabo 2 місяці тому

    😢😢 inasikitisha saanaa alafu tukiwakataza kukimbiza pikipiki wanatuchukia wanasema tusiwaingilie kwenye maisha Yao

  • @BarakaMichael-dm2nx
    @BarakaMichael-dm2nx 2 місяці тому

    Mama yake nimekutana nae mountii melu mama analiaaa sana yuko pekuu kama kichaa 😢😢😢

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 місяці тому +5

    Kila shuhuda anaitwa Somebody??

  • @MariamKhalid-ub9jj
    @MariamKhalid-ub9jj 2 місяці тому

    Pole kwa familia jamani Allah awape nguvu na uvumilivu🤲😭

  • @anthonikabuye6819
    @anthonikabuye6819 2 місяці тому

    daah hizi speed noma wazee raia wanakula dundo sana skuzi

  • @SarahCharls
    @SarahCharls 2 місяці тому

    Yaan afadhal wawe wanapata funzo yaan huwa nawaonea huruma wanajifanya kama wao ndo wamiriki wa pumzi zao wasijue pumzi ni kazawadi TU 😢😢😢 ila polen lkn wajifunze

  • @D.MAN12-k5u
    @D.MAN12-k5u 2 місяці тому

    Daah mungu ailaze mahali pema pepon

  • @Norrinelawrence123
    @Norrinelawrence123 Місяць тому +1

    MAY HIS SOUL REST IN PEACE AMEN 🙏

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen 2 місяці тому

    Wameondoka wamemuacha mwenzao amekufa😢😮😮 rip bro

  • @wine4music331
    @wine4music331 3 місяці тому +9

    ARUSHA VIJANA PIKIPIKI KWAO WANAONA KUENDESHA KWA FUJO NDO UDEREVA WAWE MAKINI KUFA MARA MOJA TU
    #MBIO SIO UDEREVA,UDEREVA NI UMAKINI
    REST IN PEACE 😢

  • @JosefuSengasu-z9r
    @JosefuSengasu-z9r Місяць тому

    Inauma sana

  • @Justinestone4
    @Justinestone4 3 місяці тому

    Dah kweli ajali Ila Arusha 😅😅 sio kwa maelezo hayo mbona utaelewa hii ni Arusha

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 3 місяці тому +5

    Arusha vijana wengi wanakufa kwa style hiyo hiyo ya kujifanya wanamautundu na pkpk waliobaki ni wadudu😂sa sjui miaka ijayo kutakuwa na wazee kweli huko😢

  • @engineertarimo7345
    @engineertarimo7345 3 місяці тому +5

    Dah! Nimepita hapo majira ya saa 11 hivi kuelelea saa kumi na 2 jioni, nimeona alivyokuwa chini kichwa halipo. Kiukweli nilishindwa hata kukatiza eneo hilo

  • @AshaKache-nr5fz
    @AshaKache-nr5fz 2 місяці тому

    Pole kwa family

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 2 місяці тому

    Inalilah wainnailaih rajiun 😭😭😭 poreni sana family

  • @linahmichael3458
    @linahmichael3458 2 місяці тому

    Chuga wahuni mmezidi kukimbiza pikpik jmn 🙆🏼‍♀️ jioneeni huruma na uhai wenu lami sio yakucheea. 😭

  • @aaronjustin7235
    @aaronjustin7235 2 місяці тому +1

    Hawa madogo wa arusha wapewe darasa wao wanahisi ni ujanja,binafsi naona uzembe tu unaendelea.

  • @RynoFire-w8k
    @RynoFire-w8k 2 місяці тому

    Safi tu, kwanini iwe kwao tu? Mimi nimeishi Arusha sana vijana ni wajuaji sana na wanajikuta wahuni mpaka kwenye vitu serious,

  • @OmarSaid-n3w
    @OmarSaid-n3w Місяць тому

    Sasa hapo mwenye gari kosa lake nn na mtu kaingia mwenyewe

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 2 місяці тому

    Watakufa ad wapate akili timamu,,bodaboda wa Arusha awa vijana washenz sana wanaatarisha maisha ya watu wengine wasio na hatia awana huruma ata na maisha yao wenyew

  • @Peaceaminy
    @Peaceaminy 2 місяці тому

    ee mwenyez mungu nakuomba tuepushie na mitihani hio

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 3 місяці тому +2

    Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭😭

  • @EverMassawe-o9c
    @EverMassawe-o9c 2 місяці тому

    Hiv somebody ni jina la ubatizo...enewei rest in peace 😢

  • @stevenmichael9264
    @stevenmichael9264 3 місяці тому +2

    Wafupi wameamka na kujifut vumbi dadekiiiiiiiiiiii 😂😂😂

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 2 місяці тому

    😂😂😂hapo kwenye SAMBADI😂😂😂

  • @habibarajabu-z4l
    @habibarajabu-z4l 2 місяці тому

    Polen san ndug jamaa na marafik😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 3 місяці тому +4

    Mungu wangu 😢

  • @mparewaujerumani
    @mparewaujerumani 2 місяці тому

    Jamani Arusha kwa matukio khaaa 🙌

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t 3 місяці тому +1

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiun 😢😢

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 3 місяці тому +4

    Kwani baada ya Tarimo kusema Somebody Tarimo huyu wa pili nae anasema naitwa somebody😂😂😂.
    Dogo apumzike kwa amani.

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 3 місяці тому

      🤣🤣🤣,yaani nimekwama hapo kwny somebody,yaani hajijui jina lake au 😂 nyieee

    • @tucasashycom1072
      @tucasashycom1072 3 місяці тому +1

      yaan wote wanaitwa somebody 😂😂😂

    • @danielthomas9609
      @danielthomas9609 3 місяці тому

      Sasa mnacheka nn​@@neemayatosha1618

    • @machakuroger7068
      @machakuroger7068 2 місяці тому

      Dada Somebody ndio jina lake 😂 (First name ni Somebody)

    • @machakuroger7068
      @machakuroger7068 2 місяці тому

      ​@@neemayatosha1618 wana majanga hao, hawatajagi majina kamili

  • @neemamoshi5303
    @neemamoshi5303 3 місяці тому +3

    Ajaiona gar Hla ni shuhuda Na ameona gar ya canter ndio imeleta ajal shikamo arusha

  • @chacha-255
    @chacha-255 2 місяці тому

    Vijana wa Arusha hii michezo itawamaliza na kuwavunja vunja, kwasababu
    -Wanatumia Pikipiki za bodaboda wakati hio michezo ina pikipiki maalum
    -wanaendesha wakiwa wamelewa bangi na pombe
    -hawavai helmet
    -Kuendesha kwa fujo bila kufuata sheria kwao ndio ujanja
    - hawavai viatu maalum wanavaa kandambili
    - hawavai mabegi ya kulinda mgongo
    -hawavai makoti magumu

  • @YusuphRasuli
    @YusuphRasuli Місяць тому

    Ajali,yakorogwe

  • @LillianEmanuel
    @LillianEmanuel Місяць тому

    Rest in peace 🕊️

  • @haikawilson216
    @haikawilson216 2 місяці тому

    Ila Arusha hajawahi kua siriaz eti somebody tarimo😂

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 2 місяці тому

    Watakufa sana tuu,maana wanaendesha pikipiki baadhi yao hawana leseni,hata sheria za barabarani hawazijui,helmet pia hawavai na bado wanataka sifa@

    • @jumaomary7615
      @jumaomary7615 2 місяці тому

      Labda uumbe dunia yako usi pande pikipiki maisha yako yote maana siku yako iki ifika uta rudi kwa muumba wako hata uki panda ndege kwa akili yako ya hovyo dereva boda ni wazembe...tumuombe mungu mwisho mwema..

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 3 місяці тому

    Arusha wanaongea kitajiri sana😂😂 ety mi naitwa somebody😂😂😂 rip marehemu😢😢😢

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 3 місяці тому

    mungu tunaomba utuangalie kwa jicho la huruma.

  • @ScholasticaMathias
    @ScholasticaMathias 3 місяці тому +3

    Hii somebody imekaaje huko arusha????

  • @valentineevarist
    @valentineevarist 3 місяці тому

    Jamaa ana itwa somebody 😂😂

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 3 місяці тому

    Mumzuie wa kanta kwan kakosea nini?

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 місяці тому

    Hiyo barabara maeneo ya back dady kuna namna fulan wanatakiwa waongezewe matuta magari yanajiachia sana alafu mbele kuna conner kubwa😢

  • @MasudiNangololo
    @MasudiNangololo 2 місяці тому +1

    vijana wezangu boda boda tuwe makini bala balani🙏

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 2 місяці тому

    Yani mlitaka kulisimamisha gari lililoua kwa uzembe wa bodaboda ili mumpige au

  • @dadimagoma5779
    @dadimagoma5779 2 місяці тому

    Hao vijana siyo kwamba waliondoka ni kwamba wamekimbia sababu inawezekana hata leseni ya kuendesha chombo Cha moto hawana na ilo ni kosa kubwa

  • @UpendoFoya-po4me
    @UpendoFoya-po4me 2 місяці тому

    Hawa toyo hawackii jmn mungu saidia vijana hawa jmn wanaisha na iz pik pik

  • @nicolauslema88
    @nicolauslema88 3 місяці тому +2

    Boda boda wao ni wababe sana kama wana serikali yao.

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 3 місяці тому

    Mshaambiwa sana hamsiikiii
    Na mimwendo yenu

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 3 місяці тому

      We Acha tu wakipita Karibu na WW kama una tatizo la moyo unatangulia kufa Kwa mshituko

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 3 місяці тому

    Wote wangekua warefu, sijui ingekuaje huu msiba 😢

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 місяці тому +2

    Tatzo mavijana ya Arusha hayana akiri timamu hayatak shule yanakimbilia boda huku yakiwa yamevuta bangi 😮

    • @exprodigitaltechtv5571
      @exprodigitaltechtv5571 2 місяці тому

      Kwan ukienda shule ndo hufi

    • @Yana-o2u
      @Yana-o2u 2 місяці тому +1

      Umeongea Kweli Jmn

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 2 місяці тому

      @@exprodigitaltechtv5571 ukienda shule unakua na akir huta Fanya vitu vya hatar ambavyo unajua vinaweza gharim uhai wako

  • @Ferricks
    @Ferricks 2 місяці тому

    Alikufa kifo kama cha Brian Chira😢😢😢 poleni

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 3 місяці тому +6

    Mungu tusamehe tu hali si hali tena Rip 😢

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 3 місяці тому

      Kwann huoni kama ni uzembe 😂

  • @HajiFaki-n9v
    @HajiFaki-n9v 3 місяці тому

    Husnul khatim mungu ampe safari njema tupo nyuma yako tunakuja ila kikubwa tunashauri serekali au makonda mkuu wa mkoa wa arusha ilo eneo liekwe matuta kwasababu kwa maelezo yao ilo eneo nahisi la mteremko so tunawaomba muweke matuta ili kukinga ajali za mara kwa mara asanteni

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 місяці тому +2

    Yaani arusha kila sk matukio

  • @SalumSafkim
    @SalumSafkim 2 місяці тому

    Inalilah wainah ilah rajiun

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 2 місяці тому

    Yawezekana boda ndo mwenye matatizo lkn Kuna mda MWINGINE inakuwa sivyo Elimu wapate Kila alie nachombo Cha moto barabarani

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 3 місяці тому +1

    ARUSHA ARUSHA ARUSHA NIMEIITA MARA 3 VIJANA ACHENI BANGI NA MIADARATI MTAAWAACHA MAMA ZETU WAKIA WAJANE KABLA YA UZEE WAOO 😢😢

  • @zetrillionairlifestyle
    @zetrillionairlifestyle 2 місяці тому

    Innaillah waina illah rajiuun

  • @AdamMohamed-u4p
    @AdamMohamed-u4p 3 місяці тому +14

    Unajua shida Arusha wanajiona wameshindikana sana wanaleta sifa sana yani acha wafe kuma hao unachezea pikipiki unadhan godoro

    • @mukhsintwaha5909
      @mukhsintwaha5909 3 місяці тому +2

      Innalillah wainnaileihy rajiuun

    • @jamesloshilunye414
      @jamesloshilunye414 3 місяці тому +7

      Kwa hiyo wanao kufa kila siku dar ni WA Arusha?? Acha ufala wewe na wewe pengine mauti Yako ipo kwenye pikipiki wewe Koment ujinga mshenzi mkubwa wewe

    • @wizhustlaOfficial
      @wizhustlaOfficial 3 місяці тому +4

      Huwa naumia kukutana na comment za maduanz kama hizi unafkiri kuna mtu anajitakia ajali ase

    • @kakaaignas3675
      @kakaaignas3675 3 місяці тому

      @@jamesloshilunye414fala huyo

    • @FrancisRM-ex8vf
      @FrancisRM-ex8vf 3 місяці тому +3

      Aliyesababisha ajali si aliye kufa kwa hiyo punguza jaziba, kifo hakina taarifa.

  • @realrzzocmg485
    @realrzzocmg485 2 місяці тому

    Taarifaa ya habar inasemaa walkua nawakimbia pikpik

  • @winifridanyenza4585
    @winifridanyenza4585 3 місяці тому +1

    Wakina sam bade ni wengi

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 3 місяці тому +2

    Safi sana apa arusha wamezidi kukimbia ovyo sana

  • @SifaeliMelitta
    @SifaeliMelitta 2 місяці тому

    Wangekufa wote tuu maana bodaboda wa Sasa kichomi Kila siku wanaua watu

  • @ShainaaLugongo
    @ShainaaLugongo 3 місяці тому +1

    Daaah😢😢

  • @dawhacker2216
    @dawhacker2216 2 місяці тому

    Utasikia CCM inausika na ili 😅😅😅

  • @profadiztech
    @profadiztech 2 місяці тому

    Watu wote mbona wanaitwa Somebody

  • @RogasianStephen
    @RogasianStephen 3 місяці тому

    Maelezo hayaeleweki bt RIP mpendwa wetu mwendo umeumaliza

  • @MariamNdossy
    @MariamNdossy 2 місяці тому

    Innalilah wainailah rajiuun

  • @HezroniJonh
    @HezroniJonh 3 місяці тому +2

    Serikali ipunguze kuagiza pikipiki kodi iwe kubwa kupunza pikipiki mjini

  • @jerome3143
    @jerome3143 2 місяці тому

    shida kuto kujua sheria za barabarani ata mkifuata sheria ya michoro ya kitrafi ni kosa la bodaboda mungu amlaze pema pepon

  • @AkilinyoMussanyo
    @AkilinyoMussanyo Місяць тому

    Tatizo vijana sifa zinatuzidi tukiwa navyombo vyamoto tunafanya utani na uhai

  • @Ahlul-Bayt---Rasulillah2020.
    @Ahlul-Bayt---Rasulillah2020. 3 місяці тому +1

    Mungu atunusuru

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 2 місяці тому +1

    😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun

  • @AgnesOnesmo
    @AgnesOnesmo 3 місяці тому

    Hivi mpanka 2030 kuta kuwa nawatu duniani usasani tz kweli Mungu aturehem tu

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 3 місяці тому

    Hii Arusha kuna KITU sio bure Salini Saana Mungu aingilie kati

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 3 місяці тому +5

    Yani vijana wa Arusha kila siku wanaambiwa ila hawasikiiii kila siku wanakufaa aisee kila siku wanakufaaaaa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 місяці тому

    Aliyasema Lemma..

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 3 місяці тому

    HAKUNA CHA BROTHER YAO WALA NINI KIFO NI KIFO TUU.VITU VYA MZUNGU UNAZILETEA MAZOEA NDO HAYO SASA