Rostam (Roma & Stamina) - Hivi ama vile [Official Music Video]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 768

  • @directorshasibu
    @directorshasibu 3 місяці тому +9

    Nilikuwepo Hapa September 2024🎉🎉

  • @olivermwangombe2337
    @olivermwangombe2337 7 років тому +72

    Big up Rostam kazi nzuri kazi kubwa yani mumetisha sana aisee...........gonga like kama mnahitaji kazi kama hii kutoka kwa Rostam

  • @kenimboabra8230
    @kenimboabra8230 6 років тому +4

    Uku kenya twangoja collabo yenu na darassa itakuwa wazimu.......ngoma nzuri

  • @RomaMichael-ei6di
    @RomaMichael-ei6di Рік тому +2

    Gooooood rostam💪💪💪💪💪

  • @kalaydo255tz9
    @kalaydo255tz9 7 років тому

    maoni yangu sio sheria!!!!
    Beat KALI chorus KALI.....
    ila ngoma SIO KALI SANA......
    CLUB BANGER...........
    #ROSTAM...

  • @westzonetv366
    @westzonetv366 7 років тому +5

    nakubali sana bro VIVA ROMA HATA MM DAMU YANGU CHADEM ✌👌👌👌✌✌✌✌✌✌✌✌✌ NAKUBALI SANA

  • @user-vv5xd3ye4i
    @user-vv5xd3ye4i 7 років тому +1

    toka ndani ya Pluto planet..... ngoma Kali xana tu.... timu WCB

  • @therealomisa_facts1027
    @therealomisa_facts1027 7 років тому +2

    Itakosaje kufika milioni wakati mimi mwenyewe nishaangalia zaidi ya mara kumi? Nani anairudia kama mimi agonge like hapa?

  • @bilewaneesembe2196
    @bilewaneesembe2196 7 років тому +2

    From USA ( Denver Colorado) nakubali hii goma 🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷

    • @matyebuela127
      @matyebuela127 5 років тому

      M'waseba bilé o'ó bato ba Denver

  • @menazacharia1316
    @menazacharia1316 7 років тому +2

    Ubunifu poa sna kiukwel kila mtu alijua pale wanacheza gemuuu sad Sana nimependa

  • @kgchippy
    @kgchippy 7 років тому +4

    Hii ngoma kali zaidi... From Kenya Mombasa

  • @gershonkomando4669
    @gershonkomando4669 7 років тому +1

    Duuuu iv Roma zimbabwee kunaa niniii umetishaaa xanaaa ngomaa kaliii xanaaa

  • @simba8147
    @simba8147 7 років тому +10

    am from Ukraine but i feel this song very much...
    nice
    kip it up Roma mkatolic nd stamina from moro town..😍

  • @grantonjnrmaghanga5821
    @grantonjnrmaghanga5821 4 роки тому +1

    Hivi ama vile ...kunakosikika Ngoma ni wapi...??? You are guys are rocking the air waves

  • @guyemant5137
    @guyemant5137 7 років тому +8

    Hawa jamaa wakalale lumande siku mbili. marufuku kuimba wimbo mkali kama huu

  • @Alexmerck2324
    @Alexmerck2324 4 роки тому +1

    nimeludi uku baada yakumkumbuka Romo Kama nawwe upo Uku gonga like

  • @allymalick5959
    @allymalick5959 7 років тому +69

    Happy birthday yangu leo zawadi pekee naomba tukafikishe 1M views wimbo wa Roma zimbabwe😊😊😊

  • @edwarddaniel5683
    @edwarddaniel5683 7 років тому +1

    all the way from Mogadishu sijui kiswahili ila hii ngoma kali sana

  • @mutetikonfidence8680
    @mutetikonfidence8680 4 роки тому +8

    These guys can sing.big up from Kenya

  • @luganobwenda8590
    @luganobwenda8590 7 років тому

    Sio mpenzi wa ku-comment kwenye mitandao lakini kuna wakati miiko inabidi ivunjwe tu... Hii ngoma ni kali aisee, nafikiri ni miongoni mwa vitu masikio yangu inapenda kusikiliza zaidi kwa wakati huu.... Oyooooooooooo!

  • @educosmas4649
    @educosmas4649 7 років тому +1

    nko na wanang hapa joberg wamekubar ii ngoma kal na kideo cha moto
    lgonga like ka unakubali

  • @kiplarono8515
    @kiplarono8515 7 років тому +1

    Sauti zenu kaka ,naikubali mimi,,wimbo safi tena ina nguvu tele

  • @kingzforeal7967
    @kingzforeal7967 7 років тому

    from afghanstan kiswahili kinanisumbua kidogo ila ngoma nimeikubaliiii sanaaaaaa

  • @zakayonyassa3616
    @zakayonyassa3616 7 років тому

    Stamina humpendi mwenzio akafanye shoo kibiti daaa mumetisha sana ROSTAM

  • @johnjumatatu127
    @johnjumatatu127 7 років тому

    Kali ya mwaka ihiii wazee wa anga awateembei chini fire wacheni tuuu

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 7 років тому +1

    Aah mamae,viva babaaaa...nomanoma

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 7 років тому

    I REP +254 , ROSTAM imeungana poa. Track imetisha kichizi. Kazi nzuri. Ringtone yangu

  • @michaelanthony7470
    @michaelanthony7470 7 років тому +1

    safi sana mzeeee baba,,viva ROMA,,,video kali audio pia ubunifu umesheheni we love you guys

  • @ellyfrancis_
    @ellyfrancis_ 7 років тому

    Ngoma kali sana kumbe pale wambo nje wanawachezesha Madada duuuuu wamenichangaja mwanzo

  • @angelshirima7347
    @angelshirima7347 7 років тому +113

    I don't understand the language used but hawa makaka wametisha kinomaaaaaa gonga like hapa afu karibu chinaaaaa

    • @mwinyihamisidee5813
      @mwinyihamisidee5813 7 років тому

      Angel nation Itabidii tuje tu huko maana hali ya Huku tete

    • @angelshirima7347
      @angelshirima7347 7 років тому

      Masangu John Dee haha hahah pambaneni na hali zenu hukooo

    • @mwinyihamisidee5813
      @mwinyihamisidee5813 7 років тому

      Angel nation maana Hakuna namna nyingie Bado miaka 8 hapa uncle aondokee

    • @lucky9285
      @lucky9285 7 років тому +2

      Masangu John Dee
      Bado miaka 20 ili uchumi wa Tz uwe kama USA 😀😀😀

    • @angelshirima7347
      @angelshirima7347 7 років тому

      salum hassan hahhahha ndio

  • @khamisisuleiman4315
    @khamisisuleiman4315 7 років тому +2

    wow nice job pamoja sana big up

  • @chazmuro
    @chazmuro 7 років тому

    naomaaa Sanaa Roma ...wanangu wa man u mkono juu#hivi ama vilee..

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 7 років тому +1

    Ngoma kali katika mikono ya T touch!! Waimbaji ni zaidi ya moto!!! Kazi nzuri!!!

  • @gervastweve8612
    @gervastweve8612 7 років тому +1

    harari saaaana ,mchizi romaaa umetishaa, kwenye show mtakuja ua,%%%_√√√%%

  • @Face256
    @Face256 7 років тому +3

    Good music wasafe records keep it up ,is a nother one.

  • @bidimkaribidi7523
    @bidimkaribidi7523 7 років тому +198

    ngoma kali kama umeikubali gonga liker hapa ili tuende sawa

  • @theprince2548
    @theprince2548 6 років тому +1

    Nomaa sana aisee kazi safi wanangu

  • @janejames1899
    @janejames1899 7 років тому +1

    Hapo sawa Roma mziki mtamu

  • @sasitaokusimba2969
    @sasitaokusimba2969 5 років тому +1

    From kenya .Napendanga cllabooo yenu bro

  • @patopartizzodientertainer893
    @patopartizzodientertainer893 7 років тому +1

    APA SHIDA!!track moto kama pasi!!

  • @brianwanjala8193
    @brianwanjala8193 2 роки тому +8

    My favorite of all the time 💕 2022 still rocking

  • @gongalike3441
    @gongalike3441 7 років тому +45

    I'm from Pakistan, I don't uderstand Swahili but hii Ngoma kali sana.

    • @spoasaule9865
      @spoasaule9865 7 років тому +1

      like it

    • @erastomwakalukwa3594
      @erastomwakalukwa3594 7 років тому +4

      Chakustaajabisha TV hata comments umeandika kiarabu!

    • @gine9011
      @gine9011 7 років тому

      Chakustaajabisha TV
      unazingua ati hujui shahil.

    • @neemasteven7372
      @neemasteven7372 7 років тому +1

      kwl kabisa haujui ndio maana jina kiarabu hata comment umemalizia na kiarabu

    • @godlisten255
      @godlisten255 7 років тому

      Og

  • @patrickmalumbo7832
    @patrickmalumbo7832 7 років тому +2

    hivi ama vile nampenda mangekimambi hahaaaaaaa mm so msaniii Ila ngoma kaliii yaan nishaweka kambi nampenda mama Ivan natania tu

  • @sizaalbert6898
    @sizaalbert6898 7 років тому +1

    Iko poa sana wanaaaa...!!!

  • @dualeduale2240
    @dualeduale2240 3 роки тому

    Noma sana kazi safi-With love from Nairobi

  • @msasunkumua9582
    @msasunkumua9582 7 років тому +1

    Wachawi wa music,watu na fani zao..chadema vidole viwili juu...

  • @isaackbenson7346
    @isaackbenson7346 7 років тому +2

    Ngoma kali, video kali... Good music

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 7 років тому

    kibonbo bongo mpaka africa nzima sijawai ona kama ROSTAM ase hatar awa jamaa

  • @josephlengesia9309
    @josephlengesia9309 7 років тому +10

    Imekaa Safi Hadi Kero bhana Mmezidi Na Nyinyi

  • @aminadaudi4680
    @aminadaudi4680 4 роки тому +9

    5/June 2020 like zenu jaman ata 5 tu 😍😍ngoma ata aichuji

  • @emanuelshirima3267
    @emanuelshirima3267 7 років тому +1

    Ngoma kali sana big up sana wangu mnajua

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 6 років тому

    Kama unamin kuwa hivi vichwa ni 🔥huwez kuvielew kama huna akili zaziyad gonga Like yko hap twende sawa 👊

  • @reubentza
    @reubentza 7 років тому

    Walah nishaweka kambi nampenda mange kimambi mwaaaa!!!!

  • @gid84able
    @gid84able 7 років тому +2

    Bongo new school!!! nommaree wakenya mpoooo?? inanikumbusha enzi za kina mwwana FA an Jaymo

  • @paulomsigwa6202
    @paulomsigwa6202 7 років тому

    tisha ile mbayaaaaaaaa!!!!,, Roma and Stamina stand up!!!!!!!!!!!!

  • @zephaniamichael5546
    @zephaniamichael5546 7 років тому +3

    ngoma kalii kinoma big up broz

  • @danemanuel7507
    @danemanuel7507 6 років тому

    Hivi ama vile mmetisha wanangu. Big up sana

  • @kelvinrichardshirima7739
    @kelvinrichardshirima7739 7 років тому

    Big up ngoma Kali nimeilewa kichiz

  • @hebronmwagodi3671
    @hebronmwagodi3671 5 років тому +4

    Rostam!!!!! Wow!!! Classic Hip Hop,,,their voices are super!

  • @sullepeter4722
    @sullepeter4722 7 років тому

    daa! nawakubali sana nyie marapa wawili kwenye hii nyimbo naona niko upande wa roma, tumetofautiana hapo kwa arsenal tu

  • @cholokanji7139
    @cholokanji7139 7 років тому

    joxee setty kweli anaharibu hii ngoma walikua wasitoe kwanza zimbabwe inatosha

  • @evancemariki6837
    @evancemariki6837 7 років тому

    255 African father ngoma iko pouwaa hadi kichupa

  • @hassainsalum2756
    @hassainsalum2756 7 років тому +1

    Bonge la song yaani nilijua litakuwa la kiboya kumbe ni la kuangamiza Roma & Stamina salout kwenu

  • @meddykessy7127
    @meddykessy7127 7 років тому +2

    Makonda hawana vyeti lakn boss anatuamini

  • @rominpeter274
    @rominpeter274 7 років тому +1

    Namm wakinikata damu yangu wataiona sura ya ruwassa mtupu😄

  • @bazukamimi5721
    @bazukamimi5721 5 років тому +3

    Real bongo hiphop is back

  • @aloycregnald6095
    @aloycregnald6095 7 років тому

    Nampenda snura anabonge la chura hahaha ngoma kalii hii

  • @officialswagamilionea
    @officialswagamilionea 7 років тому

    !!! Nothing to say! You are the BEST

  • @jumajasjas2925
    @jumajasjas2925 7 років тому +1

    "Makonda hatuna vyeti na tunaaminiwa na bosi"

  • @mukakathejoker6504
    @mukakathejoker6504 4 роки тому

    Nampenda Snura anabonge la chura.
    #Gonga like wanangu wa kupenda milima

  • @victorbernard449
    @victorbernard449 7 років тому +9

    Daah...Nicklas naona hanscana aanze kujipanga..kichapo kikalii

    • @frankjully5457
      @frankjully5457 7 років тому +4

      Nicklas yuko vizuri sana duniani hakuna namba moja wa milele hata hascana alimkuta Adam Juma

    • @saidiswedi4882
      @saidiswedi4882 6 років тому

      Nibalaa nyie

    • @saidiswedi4882
      @saidiswedi4882 6 років тому

      Kama kukuona live

  • @moshimoshi6096
    @moshimoshi6096 7 років тому +1

    ngoma Kali idea ya ukweli
    lakn tatzo wale jamaa wa tamadun wanasema mmewaibia

  • @joxeesetty1980
    @joxeesetty1980 7 років тому +3

    Ww unaharibu ilitakiwa uache Mzimbabwe isonge kwanza

  • @wamulunjiwabukhonyi4768
    @wamulunjiwabukhonyi4768 7 років тому +2

    Mimi Wema.... Miye Zari...damn! These guys are just really good

  • @remigipascal7421
    @remigipascal7421 7 років тому +1

    Music is an art, well done...wanaojua art wataelewa...

  • @linaliaty549
    @linaliaty549 7 років тому

    Kiufupi tu tee touch mkali anakimbiza bongo Ile mbaya nyie hamuoni ney kapotea au nimekosea

  • @ramzsalim8327
    @ramzsalim8327 7 років тому

    aii hii n bigup xana kilifi r listenng kaboom

  • @officialzacky8435
    @officialzacky8435 6 років тому

    This is why I love bongo music... Hit the like button if you love bongo

  • @issamohamedissa8894
    @issamohamedissa8894 7 років тому

    mafundi wanapokutana huwa wanafanya kweli...bonge la song

  • @kizajr9264
    @kizajr9264 6 років тому +1

    team azi jengi hata wasafi waki jenga masaki..

  • @melkizedeckallen3399
    @melkizedeckallen3399 7 років тому +1

    ngoma kali sana!!!!!!

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 7 років тому +1

    hawa watu nawapenda sna😍😍😍😍

  • @fedrickisse2330
    @fedrickisse2330 7 років тому

    Niko gerezani na wafungwa wenzangu
    Wakina manji na malinzi ngoma imeeleweka hadi huku

  • @akidasalim215
    @akidasalim215 5 років тому

    ngoma kali napenda creativity ya video editing gudigudi

  • @cosmasnsojo4260
    @cosmasnsojo4260 7 років тому

    Ngoma kaliii xnaa Much respect Kwenu Roma na Stamina

  • @patientGrevislay
    @patientGrevislay 7 років тому

    Sijue kiswahili ..lakini ngoma hii imepenyaa..gonga like kama waikubali

  • @godfreyjames23
    @godfreyjames23 7 років тому +2

    Wote makaka zangu usambaani na upogoroni mkikutana Mala nyingi huwa hamkosei nawapenda @romaa2030 @StaminA

  • @davidkalinga5580
    @davidkalinga5580 7 років тому

    ngoma kali broz, mngewatupia tu president lowassa maguful ney madee nk ingenoga zaid

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 років тому

    Duh bonge la kichupa nakubali hip hop Bongo imesogezwa mbele na legends

  • @godwillkamendu2691
    @godwillkamendu2691 7 років тому

    Wahuni si watu wazuri kizazi jeuri tena chafu sio pw ko ROMA umesema nay ana ki nn napenda ligi

  • @naftarchaula9364
    @naftarchaula9364 7 років тому

    huja wai feli mze roma ngoma zako ziko makin zina wabamba wa huni uswaZ

  • @johnhaule7445
    @johnhaule7445 7 років тому

    nawakubali sana ebhna kichupa kimetulia gonga like kama unakubaliana nami

  • @mkolwebrown4599
    @mkolwebrown4599 5 місяців тому

    HII NDO WALIMUIBIA YOUNG KILLER.ALOOOOO

  • @kalukithi3112
    @kalukithi3112 6 років тому

    Tanzania artist's wanatalents but hawajui kuzitumia, kweli kwenye miti hakuna wajenzi

  • @erastobakunda395
    @erastobakunda395 7 років тому +7

    mhhhh bonge lasongi kama naww umeupenda huu wimbo hebu like nikuadd

  • @mwandumazaoidrossa1702
    @mwandumazaoidrossa1702 7 років тому

    Eti mm nampenda magu muokozi wa makapuku. tisha mbaya

  • @ramadhanluhweja5578
    @ramadhanluhweja5578 7 років тому +1

    ngoma iko vzur hngera xn

  • @kisianganijob1068
    @kisianganijob1068 5 років тому

    Very Creative indeed!Dope let me see the likes.

  • @hussleafrica8402
    @hussleafrica8402 2 роки тому +3

    Much love from Kenya 🩸❤️🇰🇪

  • @batsmanintruder419
    @batsmanintruder419 7 років тому +6

    Kwanzaa mmoja ana kithethe