Mashallah allah akusimamie ndowa zako watu tunachukulia kawaida kuzini naukiwa mzinifu watu wanafurahi ila ukiowa tu wanaaza kutoka maneno ambayo ata Allah ayapendi watu anaikewa na watoto ata watano shida nini tuwacheni nafasi chafu
Manara umeoa inshallah kheri mungu asimame ktk ndoa Yako na maelewano yenu yadumu....achana na comment na mambo ya kujibu jibu ..wee Fanya yk na upendavyo wewe ndiyo muhimu ktk maisha yk ....ya majibu ya watu. Waachie wenyewe
Hongera sana kaka haji.
Usiskikilize maneno ya watu.maana watu wengi ni wanafiki
Mashallah allah akusimamie ndowa zako watu tunachukulia kawaida kuzini naukiwa mzinifu watu wanafurahi ila ukiowa tu wanaaza kutoka maneno ambayo ata Allah ayapendi watu anaikewa na watoto ata watano shida nini tuwacheni nafasi chafu
MashAllah brother may Allah bless you all with good health and happiness in your life
Mm mwenyewe nimeoa mWanamke anamtoto kila wakizaa ndo wanazidi utam
Manara umeoa inshallah kheri mungu asimame ktk ndoa Yako na maelewano yenu yadumu....achana na comment na mambo ya kujibu jibu ..wee Fanya yk na upendavyo wewe ndiyo muhimu ktk maisha yk ....ya majibu ya watu. Waachie wenyewe
Yani hata tubaki wawili siolewi namanara😏😏😏😏😏😏ninavopenda kiss nauyo mdomowamanara😀😀😀😀😀😀
Wee pita tu kama wenzio walivyo pita Swaki la kuokota Haliishi Hamu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nime cheka hapo kwa ommy dimpoz🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duhhh!
kusema kweli ndoa kama inakuwa na imani hv muda wote basi hakuna ambaye asingeoa lkn shida inakuja mwez mwaka mbele
Jiongelee mwanangu saa nyingine wache wakupe heshima.
Forget about the past
Tangiapo alisha kuwa mbwa
Wachambeni jamani,wamezidi
Buggat 100%
Huyu dada live jaman daaah tumepigwa na kitu kizito😀😀😀
Mzuri kbsa
Hahaha
Unamwambia amshaur mond kwani mond mwenyew hajui
Duh,Haki hiyo duh,kwahiyo wewe ndio ufatwe 🙄
KWA HYO ULIKUWA MCHEPUKO WAKO
Iv ukioa wanawake watatu mwanaume unavaa pete 3
Pete mwazijua nyie
Hakuna ulaziam wapete
@@lifeinmiddleeast8179 kwaiyo mnaoana bila Pete kama wanyama!!! 👀👀👀
Bugati nataka nipite njia zako
Mwanamke yuko bize na mambo yako huyu anaropoka ropoka2
Yan kwenye ndoa alikua anawaza cm tu me nikajua cjui cm gan kumbe cm yenyewe ndo iyo loh akaona cm yamahana kuliko alivostilika