Huo ndio uchaguzi dogo. Mkitaka democracy mkubali na mashart yake. Mmetumia maneno ya kejeli na matusi kwa CCM now it's your turn kumalizana wenyewe. Mmetoka tuhuma za uongo kwa viongozi wa CCM na mmetukana Usiku mchana Sasa ndio benchmark yenu ya Siasa zenu huwezi kukwepa malipo.
Hamjakomaa kuibeba inchi
Yericko Nyerere ameiskia hii
Chadema haina sera
Wote waondolewe, awakes Heche na Lema