Siyo kubaya ila mchukua video ndiye kaharibu, hajui engo za kuchukulia video na pia hafahamu chaguzi za location muhimu. Kwenye dimbwi yeye anashuti, kwenye uchafu twende ili mradi kachukua video tu. Lakini naamini huu ni mwanzo tu taratibu atazidi kujifunza na ipo siku atatuletea video nzuri tena zilizokuwa kali.
dah mbona kama kubaya aisee mitaa gani hii