Diamond anavyotumiwa na Mastaa wa Marekani kwenye soko la Afrika, Amapiano imepigwa nyumbani kwao

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @AllySMwalimu
    @AllySMwalimu День тому +25

    Diamond Platnumz Ni Msanii Mkubwa Sana Hapa Nchini But Watanzania Hatuna Sifa Ya Kupenda Vya Kwetu Vikiwa Hai Tunasubiri Mpaka Viwe Vimekufa, Tu Do Respect Kwa Diamond Platnumz Ametuweka Kwenye Ramani Kubwa Ya Music Nchini Na Nje Ya Nchi Big Up Kwa Team Nzima Na Diamond Platnumz Wanafanya Kazi Kubwa Sana....
    Kupitia Hiki Kinacho Endelea Kuhusu P.DID, Come On Tuwe Na Akili Za Kufikilia Yani Watu Wote Waliokutana Na DID Wameingiliwa? Ikumbukwe DID Pia Ni Msanii Na Nikawaida Kuona Wasanii Wanapeana Content Na Ndivyo Ilivyo Kuwa Hata Kwa Diamond Platnumz, But Sio Kwa Kusema Kafanya Huo Mchezo Wa Kihasharati Jamani Sisi Watanzania Tupige Kelele Kukemea Na Kulinda Brand Za Wasanii Wetu Kwenye Hili Na Sio Kuendelea Kuchafua

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 23 години тому

      Nimechukizwa na subtitle ati anatumiwa eti inamaana hafaidiki ama?

    • @ullyamos4205
      @ullyamos4205 21 годину тому

      ​@@Qqambaamsipaniki hizi ni subtitles tu zakuvutiaa viewers

    • @Olivapascal
      @Olivapascal 19 годин тому

      😮😮😮😂

    • @diamondplatnumz.148kviews5
      @diamondplatnumz.148kviews5 56 хвилин тому

      Sahihi kabisaa

  • @MohamedMohamed-ry6lt
    @MohamedMohamed-ry6lt День тому +6

    Nafasi wanayopata wasaniii wengine kwa kushindanishwa na Diamond ni kubwa na inawasaidia Nyumbani ila kimataifa nafasi hiyo inawapotezea muda

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc День тому +18

    Nyinyi wa Tanzania munataka Diamond 💎 afanye nini? Nyinyi munajua Sana mbona muko hapo Kwa simulizi? Heshimuni kazi za wenzenu!!!!!! Heshimuni Diamond tafadhali!!!! Jioneni hata bado munavaa vi t-shirt

  • @JacksonCosmass-j2i
    @JacksonCosmass-j2i День тому +12

    Ni mmoja bongo tukubalii,🙌🔥🔥🔥 Simba 🦁

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy День тому +5

    Simba hakamatiki

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c День тому +2

    walienda kwani? kuicheki iyo muvi??na didi😊,,,,big up sana swizbit kwa kumkataa didi,,tulikuwa tumekwishaa,,,,uyo kaka yetu sifa,,angeenda tu uyo

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 День тому +2

    Simba halali, ni rahisi kumjaji jamaa lakini viatu vyake vizito ukimpa Dudubaya hatembei 😂..

  • @Zuu673
    @Zuu673 День тому +2

    Leo anatumiwa tena khaaa 😂😂😂watanzania sijui munataka nn,basi mwacheni na maisha yake akitumiwa ni yy mmh

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet День тому +3

    Wakwanza

  • @bachirncadebachir7099
    @bachirncadebachir7099 День тому +2

    akuna chabure apo wa Africa wanafirwa. akuna sapoti yabure

    • @CamweziKarashnekov
      @CamweziKarashnekov 23 години тому +1

      Kama kwenu ndivyo mnavyoishi usihisi watu wote wanaishi mnavyoishi

  • @RazaquePedro
    @RazaquePedro День тому +2

    Nfano marioo ameipromoti iPhone Bila kuzingatia brand yake hiyo no kutojifahamu

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc День тому

      Kweli Sana. Hajielewi kabisa

    • @fredychristopher636
      @fredychristopher636 День тому

      Wew Na Marioo Nani Hajiewi?? Acha ukulanyokwee Wewe Kwani Hujui Kama KUPITIA Huo Wimboo Anaweza Kupata Deal Mfano Iphone Wakisikia Wakamtafuta Sometime Deal Huwa Zinakuja Kulingana Na Ulichokifanya Kikasiki Na Kikawavutia Wahusika Brow Usijalii Njia Mojaa

  • @PeterMalima-fc4tf
    @PeterMalima-fc4tf День тому +1

    Welcome to Lushoto- Tanga

  • @mugalujoseph1220
    @mugalujoseph1220 День тому +2

    Huyo ni nguvu ya p ddi

    • @mugalujoseph1220
      @mugalujoseph1220 День тому +1

      Kwa ni huowongo😂😂😂 na mbona mna mbania jama kutuma sms nyi nyi amutakagi ukweli😂😂 wote wa wili p did amesha wa paka baby's oil 😂😂😂😂😂😂

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere День тому +1

    Wapili mimi hapa

  • @yagirlgloriaprincess1006
    @yagirlgloriaprincess1006 День тому +1

    Kinacho ni furaisha mimi jama alikataa kwenda up stairs kwa Diddy

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani День тому

    Mbinu zote zakumshusha SIMBAAAA bila mafanikio SIMBAAAA ❤❤💪💪💪💪

  • @SifaEmma
    @SifaEmma 23 години тому

    Watanzania Wote tuungane kukataa Harmonize Mzee Popo kuharibu kazi za Diamond kwenye youtube na uchawi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @thethengomba355
    @thethengomba355 19 годин тому

    Anatumiwa kweli kweli, lakini watanziana wengi bado are in denial because of fanaticism, all that Nasibu is doing is promoting AMAPIANO, you should all be embarrassed to even brand him as you do, acheze muziki wa kitanzania kama Burna Boy, Davido, Wizkid, Fally Ipupa wanacheza mziki nwao to the world , then we can talk about mziki wa Diamond "kimataifa". Some die hard ignorant fans won't swallow this comment 🤣😂🤣😂🤣

  • @tnftz1461
    @tnftz1461 16 годин тому

    Mko vzur wazee🙌🙌🙌 huyo mwamba wa kulia anaitwaga nan mana saut Yake na alivyo ni tofaut namsikiaga kwny back ground ya clip nying lkn sijuag hata anaitwa nan anavocal flan amazing 🫡

  • @EvodiusLaurent-ud7ns
    @EvodiusLaurent-ud7ns День тому

    Ukiona atu wengi wanakujadiri katika jambo iwe postive or negative way ujue kuna kitu cha pekee unacho ,pengine wengi washajaribu na bado hawatoshi

  • @officialhariri6673
    @officialhariri6673 День тому +1

    ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @shaibukhamis863
    @shaibukhamis863 6 годин тому

    hah wasanii wa mbele asa wanaweza kupiga show africa bil ata ya msanii wa africa sema wasanii wazeee kam hao kina derulo

  • @abdullmo8736
    @abdullmo8736 День тому

    Yani wajinga san hivi msani wa marekan atafute kutoboa Africa ten Tanzania mjinga san hayo matasisi ya nguvu za kichw ziko huko kwao marekan wacha ujinga

  • @Rajabu-n3q
    @Rajabu-n3q День тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @nyikaboychannel7089
    @nyikaboychannel7089 День тому +1

    ✅✅✅✅✅✅✅✅✅

  • @frank18112
    @frank18112 День тому +1

    Hivi komasava inaweza kushinda Grammy...???

  • @bedabeda6348
    @bedabeda6348 День тому

    Ameyapa promo maji ya afya
    Chupa ilikuwa ya maji ya afya

  • @Lassana755
    @Lassana755 День тому

    simulizi mbona muko local au wasanii tu wanapaswa kuwa wa kimataifa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 23 години тому

    Sikuzote mtumwq hakubqliki kwqo

  • @mzeezidane4060
    @mzeezidane4060 17 годин тому

    Kitu kikubwa sana mnafanya wazee

  • @OLOLUFEMITz
    @OLOLUFEMITz День тому

    Muuni mwenye akili 😂😂😂😂

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk День тому

    Free mason

  • @rachidemomademomaderachide5897

    Diddy

  • @njoroboihastla
    @njoroboihastla 20 годин тому

    Giant man🙌🙌🙌🔥

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 День тому

    Diamond mwnyw ni kiereere..😕👌

  • @sergetyga1387
    @sergetyga1387 День тому +3

    Kwanini munatumiya uongo sana kwenye iyi média na kwanini mnapendeleya diamond sana nawakati rayvanny ndo msani aye kubalika sana inje ya Africa kuzidi Simba tuwache upendeleo ili tuinuwe wasani wetu wote kwapamoja kama wa Nigeria, wa Congo na inchi zingine👌 Ila siyu mbaya kuzidi kupambania azidi kuwa Bora kuliko wote tatizo uko tunapotaka awe awezi peke yake kupambania mziki wa tanzania kubaki kimataifa itaku tu kubatisha kila Siku ngoma moja moja na tunapoteya🧏

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc День тому

      😂😂😂😂Ray alipiga show lini south Africa??? 😂😂😂😂ama umerengwa???? Wacha uchizi

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 День тому +1

      Sasa ndugu yangu n kwli usemayo ila unajua kua hta Rayvany mwnyew kashapotea kwnye ramani ya mzikinwa bongo .Hashtui Tena kma zamani ndiomana juz kat katoa nyimbo ila pka xx hakuna anaemzungumzia .Mziki sai umabadilik unaenda na trend na kuangalia soko linataka Nini sai Rayvany ni product amabayo haizingatiwi TNA sokon kma zamani .Na sns ni wtu wanaofnya content wnategemea content iende ili wapte ugali wa siku xx hta wakilet hbar za Rayvany hazina mashiko wtafnyaje ...Hyo msiempenda nyny wabongo ndio anawarank ndani na nje ya nchi shida yeny mmejawa chuki na uzinzi ila huo ndio ukwl

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul День тому

      Wewe mtanzania kweli😂😂.
      Lugha ipi umetumia😅

    • @gavasa24
      @gavasa24 10 годин тому

      Kwanza haujui kuandika 😅😅

  • @AlksvJshd
    @AlksvJshd День тому

    ❤❤❤❤